TAZAMA VIDEO NZIMA YA YULE MCH.ANAEWACHANA LIVE WABABAISHAJI "Hutaki nenda kwanza sijakuita"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2020
  • CLEDIT:NyTV
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 699

  • @romanmwaisela
    @romanmwaisela 8 หลายเดือนก่อน +10

    Wazee wa mfano huu ni adimu sana Kwa kizazi hili,sisi tuliobahatika kupata mafundisho tumerithishwa Kwa mwendelezo wa kuchunga kanisa na watu wa Mungu.... HALELUYA mtumishi wa Mungu.

  • @justamwesiga1877
    @justamwesiga1877 3 ปีที่แล้ว +27

    Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi baba yangu wa kiroho..pia Mungu akupe maisha marefu zaidi

  • @martinakyoo148
    @martinakyoo148 ปีที่แล้ว +6

    Bwana Yesu azidi kukutumia kwa utukufu wake Mzee wetu Mch Mose's Magembe ,siku zote jumbe zako zinanibariki.

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akubariki sana baba yangu mpendwa..unaisema kweli tena unakemea kabisa.barikiwa sana baba.

  • @irenemunuo1710
    @irenemunuo1710 3 ปีที่แล้ว +14

    Mungu akupe miaka mingi ya huduma mtumshi wa Mungu. Mungu azidi kukutumia katika shamba lake.

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 9 หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤❤nimeamini watu mkiwa na hofu ya Mungu mnafanana Mungu awe nawe baba

  • @jimmyfund1502
    @jimmyfund1502 3 ปีที่แล้ว +12

    Mungu akupe maisha marefu zaidi ili tujifunze zaidi kwako.

  • @user-ts1bi7gc8i
    @user-ts1bi7gc8i 5 หลายเดือนก่อน +3

    God bless u preacher for the preaching you provide,

  • @hansondaniel-nb2jn
    @hansondaniel-nb2jn ปีที่แล้ว +5

    Nampenda sana huyu mzee mungu amuweke hai

  • @prosperprosper3192
    @prosperprosper3192 3 ปีที่แล้ว +12

    Barikiwa sana Mjoli wa Bwana 🙏 🙏 akika nimebarikiwa nimeona ukinipigisha atua kwenye uduma yangu nanisema nimechukiwa na wengi kupitiwa hii clips kwenye magroup ya kiroho ila fanya kazi baba hata Yesu aliposema kweli wengi walimchukia dah ninamengi sana ila Mungu akubariki mno🤝🤝🙏🙏

  • @graytonndamgoba4805
    @graytonndamgoba4805 8 หลายเดือนก่อน +6

    There is authority in this man when he speaks.Haleluja

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 2 ปีที่แล้ว +7

    Mchungaji Magembe wewe ni mmojawapo wa wachungaji wachache sana mlio salia hapa duniani. Mungu akutie nguvu na umri mrefu ili uendelee kuifanya kazi ya Mungu.

    • @juliussabuni2033
      @juliussabuni2033 2 ปีที่แล้ว +1

      Mzee Magembe uko wap I? Nataka kujifunza kwako

  • @siboniobubinga4523
    @siboniobubinga4523 3 ปีที่แล้ว +13

    Ni mm peke angu namuona ....kafanana Na marehemu Mengi au daaah.,..Ujumbe mzur saaana Be blessed😍

  • @VeronicaMacha-pl3xt
    @VeronicaMacha-pl3xt 5 หลายเดือนก่อน +2

    Piga kazi babaaa wewe ni katika wachache mnaotulisha maziwa yasiyoghoshiwa Mungu akubarik🙏🙏🙏

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว +7

    Bwana Mungu atutie nguvu jmn!!! Nimeguswa sana na mahubiri ya huyu mchungaji!! Jmn Bwana Yesu asifiwe sana

  • @fredrickbaijukya2800
    @fredrickbaijukya2800 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akupe maisha marefu ili uzidi kufundisha Neno la kweli maana kanisa limeishajichanganya.

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ni mwema nyakati zote❤

  • @user-uw2fx9ch7p
    @user-uw2fx9ch7p 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asante baba iyo ndio injili apaswa buhubiliwa na watu wote

  • @bobnassa6151
    @bobnassa6151 3 ปีที่แล้ว +38

    Am not Christian but this pastor is truly touch my heart, Glory to God & we are all brothers & sisters 🙏

    • @this.is.aaliya7395
      @this.is.aaliya7395 3 ปีที่แล้ว +3

      May the Lord touch you soul in Jesus Name and may the Holy spirit réveil himself in you bless you brother

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 2 ปีที่แล้ว +3

      I pray for you brother one day Our living God will touch your soul 🙏🙏🙏

    • @sammymasinde373
      @sammymasinde373 2 ปีที่แล้ว +2

      Okoka brother

    • @harrietkiden7808
      @harrietkiden7808 ปีที่แล้ว +2

      Brother Bob Nassa, may the Holy spirit continue to touch your heart and get more revelation

    • @imangunjaimangunja
      @imangunjaimangunja ปีที่แล้ว +1

      @@monicabh1668 0l

  • @gloryurio1213
    @gloryurio1213 3 ปีที่แล้ว +5

    This is a true servant of God,
    Mzee Mungu akupe nguvu

  • @ChazaraEsmael
    @ChazaraEsmael 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akupe ufunuo zaidi yahapo

  • @annamwaipopo9485
    @annamwaipopo9485 3 ปีที่แล้ว +12

    Nimebarikiwa sana kwa neno lako Mungu akupe maisha marefu na akubariki mchungaji wetu

  • @SabinaEzekiel-vb5nh
    @SabinaEzekiel-vb5nh หลายเดือนก่อน

    Amina, nampenda sana mchungaji huyu, Mungu ampe maisha marefu.

  • @BaloziAron-ff1ly
    @BaloziAron-ff1ly 2 หลายเดือนก่อน +1

    I'm blessed sana Mungu akubariki sana

  • @cristianoprincegabrielles3951
    @cristianoprincegabrielles3951 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa Mtumishi Wa Mungu aliye Juu..... Bwana Yesu akutendee Mema Baba Mchungaji Magembe

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante baba ubarikuwe mno hiyo ndiyo injili ya wa TAG

  • @alfredmwangi9640
    @alfredmwangi9640 ปีที่แล้ว +6

    Powerful n practical, oh God revive us again !

  • @raphaeldaud532
    @raphaeldaud532 3 ปีที่แล้ว +8

    Karibu kwenye mkutano wa injili unakaoaza tarehe 20-12-2020 hadi tarehe 03-01-2021 kanisa la TAG Majumbasita kwa mchungaji Magembe. Wote mnakaribishwa

    • @lightnesskantu523
      @lightnesskantu523 3 ปีที่แล้ว

      Ahsante.Nabarikiwa sana na huyu mtumishi yuko wazi na injili ya motomoto isiyogoshiwa.Mungu aendelee kumtunza azidi kuliamsha kanisa la leo na la hapo mwanzo.

    • @raphaeldaud532
      @raphaeldaud532 3 ปีที่แล้ว

      @@lightnesskantu523 Amen.. Usikose kufika kwenye mkutano. Ubarikiwe sana

  • @christsontarimo5803
    @christsontarimo5803 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sanaaaaaa..,,,,Watu watubu Dhambi wamrudie Mungu..,,Wokovu si kimbilio la kupata mafanikio ya kidunia...,
    Nanukuu maneno ya Askofu wa kwanza wa TAG Tanzania (Emmanuel Lazaro)
    "Mimi siwahubirii mafanikio, nyie mliumbwa kufanikiwa tangu mwanzo..."
    Wakristo Turejee huu mstari tutaelewa kwanini Mungu hajibu Maombi yetu.
    Isaya 59:1-2

  • @simonwanyama749
    @simonwanyama749 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki sana mtu wa Mungu,mimi ni simon toka kenya

  • @tutuyamononi5185
    @tutuyamononi5185 3 ปีที่แล้ว +16

    Glory to God Bishop welcome Kenya

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mtumishi wa MUNGU sema tupone! Heleluya Bwana YESU asifiwe sanaa

  • @cresensiankwera1776
    @cresensiankwera1776 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nimebarikiwa Sana na mahubiri ya baba mchungaji🙏🙏🙏👏👏

  • @user-xi8ce3ld5f
    @user-xi8ce3ld5f 6 วันที่ผ่านมา +1

    Amen mbalikiwe mchungaji

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 3 ปีที่แล้ว +7

    Akiri zimeisha hata ufahamu wa kuazima hakuna 😊😊😊 Barikiwa mchungaji 👏👏👏👏

  • @VioletMbezi
    @VioletMbezi 5 หลายเดือนก่อน +3

    Baba ubarikiwe sana hii ndio injili ninayo itafutasana kwa sasa maana hata mimi nilipotea baba nahitaji kupona unanibariki sana,ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa uhai

    • @mayelegeneral
      @mayelegeneral 3 หลายเดือนก่อน

      Mzee ubarikiwe na munguwetu

  • @user-mm3no1lj6c
    @user-mm3no1lj6c 7 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali Babu umepewa jukumu hilo la kuwalea wanao na sisi wajukuu kiroho na tutambue tunalo lifanya
    THANKS MY GRANDFATHER kwa kazi nzuri mungu azidi kukutia nguvu kutufungua tuzidi kujua mengi na kujilinda na lidunia la ajabu hili
    MUNGU AKUTIE NGUVU KIROHO NA KIMEILI

  • @mosesndahani243
    @mosesndahani243 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu kwahakika ni nabii wa kanisa la leo. Mungu akupe neema zaidi

  • @jacquelineb3643
    @jacquelineb3643 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akubariki akuongeze Miaka mzee naitaji kuokoka umeguza Maisha yangu

  • @charlesgasper2243
    @charlesgasper2243 3 ปีที่แล้ว +2

    Ufunuo. Wa Yohana. alionyeshwa. Kuwa kutakuwa nawahubiri wenyekujitukuza kuwa wametumwa na Mungu kufanya miujiza lakini tahadhari ikatololewa watavaa ngozi zakondoo lakini ni mbwa mwitu! Tutafakari. Wakristo mbwa Huyo humula mnyama akiwa jai mpaka anakufa. analiwatu tena wanakuwa wengi. Sana tujifunze kwa Huyo mchungaji au some I kitabu chaufunuo vinginevyo mbinguni kuingia! Labuda!!!!

  • @MzubaloJunior
    @MzubaloJunior 11 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ Mungu akupe maisha malefu baba

  • @nominetjacob8137
    @nominetjacob8137 5 หลายเดือนก่อน +1

    BWANA YESU kRISTOR akubaliki sana mtumishi wa MUNGU BWANA YESU kritor aliye hai ubarikiwe akuongezee siku za kuishi ili injili kama hii tuendelee kuisikia maana vijana wa kisasa hawaelewi injili iliyo sahihi ni ipi na kuombea maisha malefu MUNGU muumba mbingu na Nchi akupe maisha malefu Baba yangu

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 3 ปีที่แล้ว +19

    Powerful message
    We all need repentance

  • @tobeymershal4154
    @tobeymershal4154 3 ปีที่แล้ว +14

    spirit ya moses kulola inaongea ndani ya huyu mtumishi hata sauti ni ya kulola. barikiwa sana.

  • @richardesther6738
    @richardesther6738 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante jactani kwa kutuletea congamano hili maana kiukweli limenibariki ,ombi langu kwako utuletee kongamano lote kuanzia siku ya kwanza hadi siku ya mwisho pia utuwekee hadi mwisho wa maombi maana tujifunze na kuombewa pia usikate muda wa maombi ,asante

  • @nickodemsimchimba594
    @nickodemsimchimba594 3 ปีที่แล้ว +24

    Nimetokea kumpenda Sana huyu Baba,ana neno la kweli moyoni! Amembeba Mungu alie hai!

    • @titogood3002
      @titogood3002 3 ปีที่แล้ว +2

      Amina

    • @valentinandukuvalentinandu4779
      @valentinandukuvalentinandu4779 2 ปีที่แล้ว

      true

    • @jamsonjasson7591
      @jamsonjasson7591 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe umesema amembeba MUNGU ila sio MUNGU,,

    • @WilsonNiwagila-fh7pu
      @WilsonNiwagila-fh7pu 6 หลายเดือนก่อน

      Anasema ukweli. Tuhubiri NENO Sio maneno. Tujue historia yetu, Tutambue wakati huu Mungu anataka tufanye nini Na Maadalizi ya kesho no yapi?

    • @adennashon
      @adennashon 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu akutunze na kukuongeza miaka.

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nimwema sana ❤❤❤❤

  • @vailethjovinali2804
    @vailethjovinali2804 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu wa mbinguni azidi kukulinda baba yangu

  • @mediavumbi9243
    @mediavumbi9243 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana muchungaji kwa Neno,umenirudisha kwa misingi ya Neno la Mungu, ubarikiwe sana

  • @aganzemukongomani272
    @aganzemukongomani272 3 ปีที่แล้ว +3

    Mutumishi wamungu,mungu akusaiidiye sn uwedeleye kuhubiri manone mazuri kama haya napiya akuongeziye miaka yakuiishi ili utuokowe mubitedon bibaya amen.

  • @olimpasteven1968
    @olimpasteven1968 3 ปีที่แล้ว +4

    hizi ndo injili Mungu atusaidie sana

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 3 ปีที่แล้ว +11

    We mch ulikuwa wapi wewe na mafundisho yako mazuri Mungu akutumie kuponya makanisa yya kipentecoste jamani Mungu atuponye nakupenda baba chapa neno

    • @willisonrushenza7427
      @willisonrushenza7427 3 ปีที่แล้ว

      Nakuelewa mtumishi wa mungu hakika weee ni mtumishi wa mungu aliye hai Amina sana

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 3 ปีที่แล้ว +1

      @@willisonrushenza7427 Mungu aliyehai huandikwa kwa herufi zote kubwa au ya kwanza. Ukiandika herufi ndogo kama ulivyoandika ujue unazungumzia mizimu. Ubarikiwe

  • @mazongholabaraka6575
    @mazongholabaraka6575 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki mtumishi wake Mungu.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว +8

    The best people from God....

  • @betuelnyandala4018
    @betuelnyandala4018 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishi magembe

  • @user-zy4nh5jj4z
    @user-zy4nh5jj4z 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubariki wewe ndio Mzee unazeeka na pamoja na Yesu barikiwa sana

  • @marykibwana9413
    @marykibwana9413 3 ปีที่แล้ว +126

    Barikiwa baba, Mungu aendelee kukutumia kanisa lipone. Gonga like kama unakubali maneno yangu.

  • @rizikitito3024
    @rizikitito3024 3 ปีที่แล้ว +5

    Anaongea kama kulola Mungu akubariki baba unahubir injili ya kweli

  • @winnyrocha1361
    @winnyrocha1361 2 ปีที่แล้ว +3

    Ujumbe mzuri sana mchungaji karibu Kenya tunahitaji hii injili ya ukweli

  • @joycenniragira1327
    @joycenniragira1327 3 ปีที่แล้ว +7

    Baba,mungu akubariki ,mungu akutume,uje America ukahubiri, maana watu waliotoka Africa wamefikahuku America wakajifanya ndiyowenyewe,please naomba number ya huyo mchungaji asante sana

  • @edomkyamba3988
    @edomkyamba3988 2 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe

  • @YoungsHilary-xd2ml
    @YoungsHilary-xd2ml 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimebarikiwa sana ,Asante Mtumishi wa Mungu

  • @LevocatusMwaisumo-qe8ge
    @LevocatusMwaisumo-qe8ge ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe BABA MCHUNGAJI

  • @janetnzai9866
    @janetnzai9866 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki Baba akupe maisha marefu uzidi kuokoa nafsi za watoto wa Mungu

  • @AbedinegoSteven
    @AbedinegoSteven 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mtumishi wa bwana kwa ujumbe wako mzuli ambao umeuandaa mungu wambinguni akupe neeema kubwa kwa ajili ya maneno yake watumishi wa sasa ni wachache ambao wanaotoa meseji ya hivyo walisha baki toa ubalikiwe mala nimeona nyota yako imeibiwa mala nimeona kabuli kiukweli acha mungu akutumie ktk viwango vikubwa amen🎉

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 3 ปีที่แล้ว +7

    true man from God ..blve him .he is from Father.

  • @PETERNKUFYA
    @PETERNKUFYA 4 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Mungu akubariki sana unafundisha sijapata kuona

  • @michaelalfonce6340
    @michaelalfonce6340 3 ปีที่แล้ว +22

    TAG ikiwa mtapuuza ufunuo wa huyu mzee mtakwisha maana Mungu amemweka kwa makusudi kuzungumza bila unafiki wala uoga mana hayuko TAG kwa maslahi binafsi.

  • @shabanimbwambo7297
    @shabanimbwambo7297 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mwinjilishi umegusa sehem sahihi

  • @joemunyasya7958
    @joemunyasya7958 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa xana mafunzo yako Rev .moses magembe am revived already fire is burning in me may the Lord keep u and bless u pastor

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana baba hapana

  • @AmosWangese-mk9yy
    @AmosWangese-mk9yy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you pastor be blessed

  • @msambyaathumani125
    @msambyaathumani125 ปีที่แล้ว +4

    Blessed man of God

  • @sammymasinde373
    @sammymasinde373 2 ปีที่แล้ว

    God bless you for the wonderful massage

  • @claudianyangasi206
    @claudianyangasi206 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ hongera sana mtumishi

  • @daudiwiston5485
    @daudiwiston5485 3 ปีที่แล้ว +6

    Injili kama hizi kwenye kizazi hiki zimekuwa adimu, hongera sana Baba Mch!

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa dhambi ZINATESA wahubili wa injili ya YESU NI adimu

  • @bonifacemwakyoma511
    @bonifacemwakyoma511 5 หลายเดือนก่อน +1

    Facts man of God

  • @victorwilbard2585
    @victorwilbard2585 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa mahubiri mazuri.
    Nimefarijika sana kumuona Baba yangu Mch.Urassa.

  • @gracepalex7454
    @gracepalex7454 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ni mtumishi wa kweli kila neno lako linagusa mioyo .... Mungu akupe miaka mingi

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 ปีที่แล้ว

    Amina baba wapo watumishi wasiojua wajibu wao ni majungu tu madhabahuni hawajui ni ofisi ya Mungu madhabahu!inashangaza sana nimekuelewa sana baba.!

  • @missarepafra3973
    @missarepafra3973 ปีที่แล้ว +3

    Mchg unavumri gani ? Umesema una miaka hamsini katika huduma tukiongeza umri wa uganga hadi kusoma na kumaliza naona inafika zaidi ya sabini lakini nakuona unakimbia mbio za kijana kabisa. Ubarikiwe Baba!

  • @gracemasawe7646
    @gracemasawe7646 5 หลายเดือนก่อน

    Haya ndiyo mafundiso ya kweli ubarikiwe baba❤

  • @sospeterkedmonchitema
    @sospeterkedmonchitema 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema sana👏

  • @user-xe8tq9bz6p
    @user-xe8tq9bz6p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante baba kwa maneno maxito p

  • @shabanimbwambo7297
    @shabanimbwambo7297 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa Sana kweli kabisa linaangamiia

  • @husnashaban1373
    @husnashaban1373 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe baba mgembe kwa injili

  • @beatricegeorge1515
    @beatricegeorge1515 3 ปีที่แล้ว +2

    Na barikiwa na neno lako baba be blessed Sana

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 ปีที่แล้ว +5

    Mchungaji, naandika tu sijui hata kama unaweza kunijibu. Kuna wimbi la watumishi wa Mungu manabii wanaodai kukutana ana kwa ana na Bwana Yesu na akawafunulia mambo ya mbinguni na kuzimu. Wanatushirikisha mambo mengi kuhusiana na maono/mafunuo waliyopata. Moja ya mambo wanayotuambia Bwana Yesu aliwatuma kuonya kuhusu Wanawake kujipamba, kwamba, wanawake wanaojipamba (kuvaa vitu bandia kama wigi, kucha, kope; kujichubua rangi ya ngozi, heleni, bangiri, shanga, n.k.) kamwe hawatoingia katika Ufalme wa Mbinguni. Nawaona baadhi ya wanawake unaowahubiri hapo wapo hivyo. Jambo hili limekaaje Kiongozi wangu.

    • @salvinahassan8778
      @salvinahassan8778 ปีที่แล้ว +1

      Wokovu ni process,. Kufika mbinguni ni Neema, kukamilia ni pale safari yake imefika mwisho, kanisa ni sehemu ya uponyaji, Kila mtu ana siku yake

    • @salvinahassan8778
      @salvinahassan8778 ปีที่แล้ว

      Kujua kama mafunuo Yao ni kweli au sio kweli, yapime kwenye biblia

    • @emmylema5911
      @emmylema5911 10 หลายเดือนก่อน +1

      Soma biblia maana unabii unapimwa kwa neno la Mungu

    • @user-kv7hq5mb6m
      @user-kv7hq5mb6m 10 หลายเดือนก่อน +2

      Mimi ni msabato,lakini nilikuwa najipamba tu,lakini nikawa sikuwi rohoni,nashuku tu,Kisha nikaanza kuota ndoto zakulala nawanaume nisiowajua naninaowajua,nimeombewa sana,nimefunga sana,lakini nilikuwa sifunguliwi,Hadi nipo kwenye mfungo naingiliwa kimwili nakula vyakula ndotoni,nikamlilia mungu sana,nikamuomba anionyeshe mlango ni Upi unaoingiza uharibifu kwangu,siku Moja nikalala,nikaona maono,jini lilinitokea limejipodoa kama wanawake wakawaida,napafyumu limepaka vipodozi nilivyokuwa navyo ndani,likataka kunigandamiza kitandani,nikakemea likapotea,nikamuuliza mungu ,akaniambia ndo huo mlango,nikaamka asbh nikatubu,nikavichoma VYOTE,nikanyoa nywele,nikafunguliwa bila hata maombi,,nikaamini,vipodozi nimlango wauharibifu mkubwa sana,usijifananishe namtu yeyote hata kama nimtumishi ,thamani Yako anajua mungu tu,wengine hujui wanamaagano gani

    • @user-kv7hq5mb6m
      @user-kv7hq5mb6m 10 หลายเดือนก่อน +2

      Ndugu,ninao ushuhuda wavipodozi,vimenitesa sana,Hadi nilipoviacha,viliniua kiroho kabisa

  • @daimavlog
    @daimavlog 6 หลายเดือนก่อน

    Mtume yuko mbezi beach anakula chips😂😂. Asante mchungaji. Bwana Yesu atufungulie macho ya rohoni maana watu wake wanahangamia kwa kukosa maarifa

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.

  • @ChazaraEsmael
    @ChazaraEsmael 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ni ukweli hatujui niwapi tulipo uniombee nipate kuelewa asante kwa kunifungua

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi wa Bwana anenaye yaliyo moyoni na yatokayo kwa Mungu.

    • @barakakidugutu944
      @barakakidugutu944 3 ปีที่แล้ว

      Hivi watumishi imeona hizo ishara za vidore anavyovionesha Huyu mzee?

  • @edmundsilayo2736
    @edmundsilayo2736 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamani naombeni namba za huyu pastor. Neno safi sanaaaaa. TAG take it serious na sisi wengine we have to work on it.

    • @josephgeorgematiku1064
      @josephgeorgematiku1064 3 ปีที่แล้ว +3

      MIMI NI JOSEPH GEORGE MATIKU NA HUYO MCHUNGAJI NI BABA YANGU WA KI-ROHO. SIMU YAKE NI VODA 0767283818 na TIGO NI 0715283819. BARIKIWA SANA SANA.

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 9 หลายเดือนก่อน +3

    HALLELUJAH ❤HALLELUJAH ❤HALLELUJAH ❤

  • @samweldamian8098
    @samweldamian8098 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @christineneema3008
    @christineneema3008 2 ปีที่แล้ว +4

    Powerful words halleluyah

  • @jameskenzedex
    @jameskenzedex 3 ปีที่แล้ว +2

    Praise be the name of God I just came across with this clip when was looking for a true word of may God keep u burning 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 the Gospel am blessed..... N kweli mchungaji

  • @floranceh5333
    @floranceh5333 3 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah Bwana umwema

  • @user-pk4qj7ed4w
    @user-pk4qj7ed4w 8 หลายเดือนก่อน

    Amina baba endelea kutusahihisha maanake Kuna waumin hatujui tumetoka wapi. Mungu akubarik baba

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki Mchungaji