PART 5 BWANA YESU ALISHUKA KUTOKA MBINGUNI MPAKA NYUMBA IKATOKA NYUFA USHUHUDA WA MOSES KULOLA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.พ. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @user-tr7wf9sj7h
    @user-tr7wf9sj7h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba yangu wa Imani nakupenda sana unanikumbusha mwaka 1984 muujiza wangu wa kiimani ulivyonitokea kutokana na mahubiri yako Ubungo NH uwanja wa shule

  • @user-tt7cu2et1x
    @user-tt7cu2et1x 4 หลายเดือนก่อน +5

    Blessd pastor n true testimony

  • @EvangelistMathayo2604
    @EvangelistMathayo2604 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Utukufu na sifa apewe Mungu wa mbinguni Bwana Yesu Kristo wanazareth

  • @user-vk1ke5rh5j
    @user-vk1ke5rh5j 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa sana kila nikitazama Mungu awabariki sana na tunaomba mwendelezo zaidi wa gwiji moses kutoka halleluyah

  • @jimmymwashambwa7364
    @jimmymwashambwa7364 หลายเดือนก่อน

    Asante Baba

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 4 หลายเดือนก่อน +2

    Eeh YESU Nisaidie nitumikie kwa nguvu zangu zote katika maisha yangu ya hapa duniani

  • @luambanotv9357
    @luambanotv9357 หลายเดือนก่อน

    Exactly MOSES KULOLA WAS A MAN OF GOD ,

  • @Louez24
    @Louez24 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe sana kwa kuandaa na kutunza kumbukumbu za Mtumishi Mkuu wa MUNGU, Mzee wetu Moses Kulola.
    Ninakumbuka Bwana alimtumia kuleta Mageuzi ya Kihistoria tulipomwalika katika Fellowship wetu ya Chuo Kikuu Cha UDSM- Mlimani -USCF Jumatatu ya Pasaka mwaka 1999.
    JINA LA BWANA LIBARIKIWE!

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nmebarikwa sana... nmejifunza mbingun hawaend wakristo bali watakatifu

  • @lainacemmmwasote1862
    @lainacemmmwasote1862 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Yesu Kristo ni Bwana.

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @NaomiMwafongo
    @NaomiMwafongo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen be blessed more videos plz concerning Moses kulola please

  • @DavidMasao
    @DavidMasao 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Amen

  • @EmanuelyjumaTimbula-hf7zu
    @EmanuelyjumaTimbula-hf7zu 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatumie zaidi baraka zake ziwe nasi

  • @rosemarymwanitega7926
    @rosemarymwanitega7926 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Hallelujah nampenda Sana Moses Kulola

  • @SikujuaEmmanuel-fj4mg
    @SikujuaEmmanuel-fj4mg 4 หลายเดือนก่อน

    Ameni nabalikiwa kuona nyumba aliyokua anaishi Mtumishi wa Mungu Baba moses Kulola

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah WATU wa Mungu mbarikiwe Sana

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah, Glory to Jesus Christ

  • @linetmokami4247
    @linetmokami4247 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mungu anisaidie

  • @slyviaakoth8008
    @slyviaakoth8008 4 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Amina Yesu Ni Ni Mkuu wa vyoooote

  • @MARYABDALLAH-sd9gi
    @MARYABDALLAH-sd9gi 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmmh jmn
    Kwa kwel kumtumikia Mungu kunafaidaa.... Yani mtu mpaka anatembelewa na Yesu....
    Daaaaaaaaah

  • @LoFi_120
    @LoFi_120 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo mwishoni mzee wetu anaongea vitu vizuri, pasinge katishwa habari njema ipo hapo.

  • @PasterJ-pf3ic
    @PasterJ-pf3ic 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika BWANA ni mkuuu kuliko chochote.Amen

  • @EllyMasam
    @EllyMasam 3 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kututunzia shuhuda hizi. Zinahuisha sana

  • @sanchezrose1560
    @sanchezrose1560 4 หลายเดือนก่อน +6

    Nimependa huu ushuhuda mpaka umenitia kiu ya kumutafuta huu YESU KRISTO kwa bidiii ❤nawapenda sana nyote natumai siku moja tuje tukamuone mzee wetu Moses Kulola

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @happykabaka8981
    @happykabaka8981 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa baba yangu wa kiroho Mchungaji Obeid katunzi na team yako yote

  • @SIMONSULLE-uq3of
    @SIMONSULLE-uq3of 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli mungu alimtumia Moses kulola jinsi atakavyo yeye mungu

  • @njiaya6833
    @njiaya6833 4 หลายเดือนก่อน

    akika yesu ni Bwana

  • @sarahsarai8690
    @sarahsarai8690 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Sana Sana Mtumishi wa shuhuda za kweli pamoja na timu yako mliofanya zihara hii ,tumejua mengi

  • @PeterWilbert
    @PeterWilbert 4 หลายเดือนก่อน +4

    Bwana yesu asifiwe saaaana

  • @carenhilary8067
    @carenhilary8067 2 หลายเดือนก่อน

    Haleluya

  • @christinephilip5043
    @christinephilip5043 4 หลายเดือนก่อน

    Pastor katunzi na timu yako Bwana awakumbuke kwa kazi hii kubwa mnayoifanya kupitia ninyi tunapata nguvu ya kusonga mbele mbarikiwe sana🙏🙏🙌

  • @jalinybanda7286
    @jalinybanda7286 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeen

  • @user-df3jl4mc5c
    @user-df3jl4mc5c 4 หลายเดือนก่อน

    Ameee

  • @JudithElias-ig5nb
    @JudithElias-ig5nb 4 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa naushuhuda

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 4 หลายเดือนก่อน

    Kuishi ni Kristo kufa ni faida

  • @user-po7zh4zz2k
    @user-po7zh4zz2k 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU ni MKUU.

  • @rosemarykipesha4242
    @rosemarykipesha4242 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio injiri sasa hakuna rongorongo. Inahusu ukweli na utakatifu

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah sifa na utukufu na shukran tunamregesheya MUNGU wambinguni

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 4 หลายเดือนก่อน

    Ile number ya kuchangia msisahau kutupa tuhangaike ujenz wa eneo la ukumbusho

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 4 หลายเดือนก่อน

    Amen