PART 02 YA HISTORIA YA ASKOFU MOSES KULOLA/SABABU YA KUTOKUNYOA NYWELE ZAKE/MAAGIZO ALIYOYAACHA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2024
  • Live On Live Kutoka Hapa Chanika,Wilaya Ya Ilala,Jijini D’salaam,Nyumbani Kwa Hayati,Askofu,Dk Moses Kulola,Muhubiri Wa Kimataifa Aliyefahamika sana Hapa ndani na Nje Ya Tanzania,Aliyezaliwa June 1928 huko Mkoani Mwanza,Mwanzilishi Wa Dhehebu La EAGT,Alifariki Tarehe 29 Aug 2013.
    Historia Ya Maisha Yake,Idadi Ya Watoto,Maisha Ya Kihuduma ,Kufungwa Gerezani,Nk anayaleza Mtoto Wake Wa Tatu , Eng. Willy Moses Kulola @willykulola
    Interview Hii Inapatikana Yote Kupitia TH-cam Channel Yako Ya @paziatv usisahau Ku-subscribe Ili kupata Habari Kubwa za Gospel Kutoka Kila Kona Ya Mitaa mbalimbali Duniani.

ความคิดเห็น • 11

  • @jovinmwesige8520
    @jovinmwesige8520 2 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sana kusikiliza shuhuda za mzee Kulola maana zinanipa kiu ya kumtumikia Mungu kama mzee Moses Kulola.Mzee Willy na ndugu Pazia Mungu awabariki sana.

  • @user-ly4jw9qi9x
    @user-ly4jw9qi9x 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu atukuzwe mnoo kwa ajili ya mtumish wake baba yetu Moses kulola

  • @ayubmakenzi9804
    @ayubmakenzi9804 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya baba mtumishi wa Mungu Moses Kulola hakika aliifanya kwa uaminifu mkubwa. Utukufu kwa Mungu 🙏

  • @ayubmakenzi9804
    @ayubmakenzi9804 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kitu kikubwa kabisa nilichojifunza ndani ya huu ushuhuda ni kwamba maisha ya utumishi ni lazima Kuwa mtu wa maombi, Glory to God 🙏🙏🙏

  • @user-ht4lq4em4q
    @user-ht4lq4em4q 2 หลายเดือนก่อน

    Aisee mzee kulola kitu nimejifunza kutoka kwenye hii historia alikuwa na integrity kubwa sana katika utumishi wake , watumishi wa sasa wajifunze hili hasa kwenye fedha

  • @woltermbowe2728
    @woltermbowe2728 2 หลายเดือนก่อน

    Hicho kitabu kinatafutwa Sana mhe,mabookshopzote.

  • @FurahiniSanga-i4h
    @FurahiniSanga-i4h 22 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba ya mtoa ushuhuda jamani

  • @JoramKasenga-ig2gk
    @JoramKasenga-ig2gk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahia tunaomba namba ya mtoa Ushuhuda Ili taratibu zifanyike

    • @paziatvtz
      @paziatvtz  2 หลายเดือนก่อน +3

      +255 783 297 949 Eng. Willy Kulola

    • @michaelkiula8106
      @michaelkiula8106 2 หลายเดือนก่อน

      ✍️

  • @StewartUkason
    @StewartUkason หลายเดือนก่อน

    Hizi ni habari za ajabu sana. Yaani mtu amemtumikia Mungu Kwa zaidi ya miaka 60 lakini mpaka anakufa anaacha TSH 200000/= tu!? Huyu mtu alikuwa wa Aina yake. Wahubiri wa sasa ni mabilionea.