USIRUKIE DOZI AMBAYO HAIKUHUSU NA USIANZE KUHOJI "PST MGOGO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
TH-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Alafu huyu mtumishi ni Genius sana ila hapendelei kujiweka kimbelembele kama wale wachungaji wengine, namkubali sana
Haaaa kimbelembele
Mplrsa
🙏🙏🙏🙏
Mchungaji nakupenda lakini kwakutetea chanjo umemkosea mungu Tena Sana utubu mbele y mungu uache maneno y kutetea zambi y dunia tetea inchi yko utubu
Hallelujah injili ya ukweli barikiwa papa
Watching for kilifi
Mahubiri yake yanajenga moyo wangu ubarikiwe sana
Great word man of God, very much blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mahubili yako mchungaji yameponya wengi na tena ushauri wako umeimarisha maisha yangu ahsante sana na Mungu akubaliki sana
Soon furj
Amen amina
Ameeeeen God blessing🙏🙏🙏🙏🙏
Akili nyingi mchungaji nimekuelewa vizur sana
Am addicted to your teachings pastor,be blessed ( From Kenya)
Ndakwikundira from Burundi tunakupenda sana gisi munavyo hubul injil
Vizuri Sana viongozi wa dini na wanachi wa Tanzania tupige Vita hii chanjo wakti magufuli yupo hai aliikataa hii chanjo
Sasa Magufuli yuko wapi sasa?
@@gwamakangwala6468 yuko kwako
Napenda sana mafundisho yake
Munguatukumbukewatanzaniakwaakilizetuatuwezi
He he he he heeeeeeee isee Amina baba
Sema baba nakuelewa sana hizi NONDO zako kali
NAKUPENDA SANA MCHUNGAJI MUNGU AKUBARIKI SANA
My favorite Pastor ubarikiwe sana mtumishi kanisa lako liko wapi natamani kufika
Dah mtumishi umenikumbusha tuliiba mapera na maembe machungani🤠🤠🤠
😅😅😅😅😅
Amina
Matikiti, karanga niliiba sana mtumishi umenikumbusha mbali sana
😆😆😆😆😆
Mie niliiba Sana viazi machungani
Pastor ulipitia shule gani nipeleke Pastor wangu
Dah uko vizuri wew mchungaji
Nili iba sn viazi mtumishi
Hii channjo inakataliwa Sana Na watumishi wa Mungu naonea Kuna Hatari hata Kwa watakao jikosesha akili Na wtaangamia Kwa kukosa maharifa
Watching from Canada nimebarikiwa sana. mtumishi Mungu .
Glory be to God. Also Welcome to our channel of Hephzibah Church Kenya
Nimekamwatwa Mara nyingi sana
Mchungaji hombea sana taifa latu LA Tanzania
Daaah
Mgogo
Ila pastor huwaga unanibless sana
Unatumia mafumbo kufikisha neno la Mungu
Uyu jamaa na gwajima ndo wazalendo wa kweli. Mungu yu pamoja nasi watanzania. Akuna kuchomwa chanjo ya Masonic wazungu wanaitaka hii nchi tuna Mali nyingi mno. Sasa tukichomwa Ayo masindano tutakuja kuwa mazuzu wote alafu waje wajizole Mali zetu. Fanyeni mazoezi sana kula chakula vizuri na matunda maji ya kutosha corona aiwezi kabisa.💪🇹🇿.
Corona Rudi tu ulikotoka maana tumekukataa
Chanjo anajuta kuja tz😄
Kuna kitu hapa
Asante🇰🇪
N'gombe za mbele zimetuponza.baba shugulika na hizo n'gombe za mbeleee sisi mnatuonea tuuuu😅😅😅😅😅
Huwa nakukubali sana
Watching from saudia.....no chanjo..to my bodies God is my vaccinations..in Jesus name..
Amina sana mi pia nimechunga hayo yote nimeyafanya
Hii nimeielewa kwa sana
Barikiwa mtumishi
Amina.
Umeeleweka vizur sana
Amen mtumishi tunakuelewa..kaziaaaaa
Mbona kadogo mtumishi!!!uhubili ulikuwa bado haujaisha
So blessed with your teaching Man of God. 🇰🇪
Pastar nakuelewa sana. Japo siendi kanisani ila nikiangalia mahubiri yako nikanisani tosha
Amen mchungaji Mungu akuongoze ktk taifa LA tanzania
Upo sawa mchungaji barikiwa sana
Hatari Sana mtumishi.
Barikiwa Sana mchungaji
Nimejifunza 🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi karibu kahama
Amen msema kweli mpenzi wa mungu
Amen🙏🙏 Gwajima + mgogo😁😁😁
Shalom! Nmebarikiwa. Mungu akutunze Mtumishi.
Niliiba sana Miwa na machungwa p1 na miogo
"Ubarikiwe"
Amen
Hhhhhh, hata mm
Mbinguni utapasikia tu😂😂
@@wisperfect5320 😂😂😂Hahaha na Pastor nae😎😎Mbingun Atapasikia tuu au..?
Mch: Mgogo uko vizuri sana.
🤣🤣🤣 aki hii imenikumbusha wakati tukiiba maembe kwa jirani🤦. Barikiwa sana mchungaji
Umenena mchungaji Amen
Tuna shiba na mahubiri yako ubarikiwe tuko Saudi Arabia
Watching from kenya Malindi
Pastor umebalikiwa .KUWA na msimamo hivyhvyo Mungu atakupa neema ya aina yake
Man of God Amen
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Amina!!! 🙏🙏🙏
Jiwe la gizani meseji sent and deliver
Kweli umechunga ng'ombe
Amina na mungu akupe maisha marefu
Hekima kubwa sana
Ahaaaahaaaahaaaahaaaaaaaauuwi, daaah haya bwana!!!
Watching from Germany 🇩🇪
Nimebarikiwa sana🙏🙏🙏
Hakika
🤣🤣🤣mpk na nyie mnahtqj kubalikiwa wakt mko ujerumani
@@juhudijotham6741 00
Hy
Kweli kabisa Asantee
Watanzania tupge kelele chanjo mbaya
Ubaya wake nini..
Kifo,hasiyesikia la Mkuu Uvunjika guu
Jamani tuchanje chanjo nikwafaida yetu wenyewe,nahii ni fursa tusije ijutia hapo mbeleni,natujenge Imani kwa viongozi tulio wachagu kwamba hawawezi kututoa kafara,Amen
unae sapot chanjo tunakuomba ukae kimya kabisa,mchungaj endelea tuko pamoja na ww bila kumsahau gwajima wetu
Kwan wewe Emmanuel nan kakuzuia kuchoma ukichoma wewe wengine tunapona.
Anza wewe si viongozi wako wamesema afya yako iko mikononi mwako.! So, jipeleke tuu mwenyewe kwani hautoshi au shindano anachanjwa mwingine kwa niaba yako.!?
Mtumish naelewa sana somo lako MUNGU akubark sana sana
Ubarikiwe,
Amina🙏🏾🙏🏾.
Tunakuelewamsapoti gwajima mzee wasio kuelewa wakasome
Akili kubwa Sana.
Amen amen
Wote kwa mungu tunasamehewa
Hakika kabixa. Barikiwa sana mchungaji
Amenii😎😎😎😎
Pastor unapiga misumari ya zege hongera
Amen
Amina mgogo
Amen mchungaji😍❤️🙏tunabarikiwa
Umenikumbusha mbali sana
Eemen🙏🙏🙏
Amen baba yangu ubarikiwe sasa
Big up father
Ubilini kulingana na nyakati za sasa, mambo yako wazi yaliyotabiliwaa
Aminaaaa
Mapera tuliimba
Fahma upo wapi
Love you man of God much from Uganda
Lugaba akubeele
Daaah mchungaj ww ni nom
Hata ivyo haituhusu
Sawa kabisa mchungaji
Duhh mchungaji kwaiy Sisi watanzania tumekimbia dozi ya corona wakat sio yetu
Amina, Mchungaji mwendelezo wake?