GABO ZIGAMBA/MKEWANGU ALIKUWA MSUMBUFU SANA/NILIRANDANAE USIKU KUCHA/NAPENDA CHIPS MAYAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    GABO ZIGAMBA/MKEWANGU ALIKUWA MSUMBUFU SANA/NILIRANDANAE USIKU KUCHA/NAPENDA CHIPS MAYAI
    #Bonatv #Exclusive
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 91

  • @edithrwechungura2768
    @edithrwechungura2768 3 ปีที่แล้ว +8

    Eti mtoto wa kiume,shukuru Mungu akikupa mtoto usichague jinsia eti hata sherehe imekuwa kubwa zaidi ...hujayajua maajabu ya watt wa kike weweee kwa familia zao

    • @mimiapa8436
      @mimiapa8436 3 ปีที่แล้ว +6

      muache tu huyo amkasirishe Allah na kauli yake mtoto wa kike ndio mwenye huruma na mapenzi kwa wazazi tunayaona kwenye familia zetu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 ปีที่แล้ว

      Mtoto ni mtoto tu, lakini mwanaume amefadhilushwa na ALLAH na ndio alisema wanaume ni wasimamizi wa wanawake.
      Pia manabii wote ni wanaume

  • @nas2800
    @nas2800 3 ปีที่แล้ว +4

    Waw kama naiyona furaha ya baba akipata mtoto Wa kiume mbona hongereni na Allah awakuzie mtoto wenu🥰🥰

  • @umyshedafa330
    @umyshedafa330 3 ปีที่แล้ว +23

    Kwahiyo wakike hawana thamani ila mukumbuke hakuna watu wenye upendo na wazazi wao kana watoto wakike

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 ปีที่แล้ว +4

      Na ndio walezi wa wazazi wao

    • @khairatyathumani2640
      @khairatyathumani2640 3 ปีที่แล้ว +7

      Kauli ya gabo sijaipenda😭😭😭

    • @ustzsele66
      @ustzsele66 3 ปีที่แล้ว +3

      Wanawake ndio kilakitu

    • @aishaomari944
      @aishaomari944 3 ปีที่แล้ว +5

      Kaongea utopolo

    • @zelhatyali8581
      @zelhatyali8581 3 ปีที่แล้ว +1

      hujamuelewa nahisi, nikawaida ya mtu yoyote akiwa na mtoto zaidi ya mmoja wa jinsia moja anakhofia kutopata jinsia nyengine hivyo anakuwa na hamu sana. mfano kuna watu wanawatoto wanne wote wakiume au wote wa kike .

  • @zenakambi6207
    @zenakambi6207 2 ปีที่แล้ว

    Wao kumbe gabo islamic very nice

  • @magrethsheki2796
    @magrethsheki2796 3 ปีที่แล้ว +2

    Tiffarstore mwenye vipodozi vyake og hongera mpenzi

  • @jasminjuma9254
    @jasminjuma9254 3 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂jamani Mimba yangu inataka kwenda Dubei 😊😊vyakula hapana😆😆😆🤗

    • @salmaanassor6796
      @salmaanassor6796 3 ปีที่แล้ว +1

      Mie naona mimba hii unataka nilale ikulu 🙄😆😆😆

    • @sabrinasab2910
      @sabrinasab2910 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @devinastephen4734
      @devinastephen4734 3 ปีที่แล้ว

      @Jasmin Juma, yako kali 😂😂😂😂😂😂😂haina wengi 😂😂😂😂

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwenzenu mtoto wangu wa pili kaninywesha bia sio kitoto yaani kila mda harufu ya Casto lite ilikua inanijia na ilikua lazima nipate Ase mimba izi 🙌🙌

    • @zalhatamakange2627
      @zalhatamakange2627 3 ปีที่แล้ว +1

      Ha ha ha ha ha haaaaaaa

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว

      @@zalhatamakange2627 mtihan kwakwel adi Dada angu alikua anachukia yni

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว +1

    Mie mimba yangu niltaman harufu ya mavi ya ng'ombe. Nilkua Namwambia mume wangu akaniache kwa zizi la ng'ombe. Harufu yke niliipenda mnooo

  • @agnesndagijimana168
    @agnesndagijimana168 3 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sana Gabo

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah MashaaAllah

  • @awatifrajab7381
    @awatifrajab7381 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah kwa jina zuri lakini ukiliita jitajid usilikosee jina hilo hasa huitwa SHARHABILL ndivyo linavyoitwa

    • @bbishatuale1150
      @bbishatuale1150 3 ปีที่แล้ว +1

      Swadakta 👍

    • @asamunique7075
      @asamunique7075 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndo nami najiuliza au nmeskia vbaya Navojua me ni hivo SHARHABIL, ama pengine yako mawili ngoja nkasearch🏃‍♀️

    • @ummimohammed9359
      @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว

      sharhabil

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 3 ปีที่แล้ว +8

    Mbona mama kama hana furaha jamani 😂😂😂😂

    • @khairatyathumani2640
      @khairatyathumani2640 3 ปีที่แล้ว +1

      Mshamba wa mitandao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @tunu1241
      @tunu1241 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂anajibu Kam hataki vile

  • @omanseeb3642
    @omanseeb3642 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah barakallah

  • @allyfaki7862
    @allyfaki7862 3 ปีที่แล้ว +7

    Mm mwenzenu ujauzito ndo kipindi ambacho chips,soseji,kuku, mayai vina nafasi kubwa kuliko dagaa maana najua nisipokula wakati wa ujauzito ndo bas tena

  • @hassanbakari5230
    @hassanbakari5230 3 ปีที่แล้ว

    Ongera

  • @happykajange7307
    @happykajange7307 3 ปีที่แล้ว

    I like it

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmependeza mno

  • @samiaabdallah2383
    @samiaabdallah2383 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah wajina wa mwanangu shurahbiil

    • @ameir2379
      @ameir2379 ปีที่แล้ว

      Masha Allah

  • @Mandonhommie
    @Mandonhommie 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @khalidjafary1120
    @khalidjafary1120 ปีที่แล้ว

    Waoooo

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @agnesbagaluha6293
    @agnesbagaluha6293 3 ปีที่แล้ว

    Wow Mashaalh👑👑👑🥰🥰🥰🤲

  • @agnesbagaluha6293
    @agnesbagaluha6293 3 ปีที่แล้ว +3

    ❤️❤️❤️❤️

  • @shirfadigubike7920
    @shirfadigubike7920 3 ปีที่แล้ว

    Usiku tu ndio anakuwa na hamu .mchana hana hamu.mhhhhh wati mnapenda kiki

  • @agnesavungwa8683
    @agnesavungwa8683 2 ปีที่แล้ว

    Wote ni watoto bhana acha ubaguz

  • @user-jc8lj7id6b
    @user-jc8lj7id6b 11 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa kwanza wakati wa pili mbona tunakujuwa

  • @rahmandegeulaya3927
    @rahmandegeulaya3927 3 ปีที่แล้ว

    Hakika imeshehena

  • @ghaniahamadhamad5162
    @ghaniahamadhamad5162 3 ปีที่แล้ว

    Msaada anae jua gabo n wa mkoa gani

    • @faridaessa7844
      @faridaessa7844 3 ปีที่แล้ว

      Tanga

    • @ghaniahamadhamad5162
      @ghaniahamadhamad5162 3 ปีที่แล้ว

      @@faridaessa7844 oky ahsante man kun mtu alinambia ety mmakonde

    • @africa7479
      @africa7479 3 ปีที่แล้ว

      Tanga, mdigo

    • @ghaniahamadhamad5162
      @ghaniahamadhamad5162 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaaa wamakonde wanataka kumuiba gabo

    • @Bandidutv
      @Bandidutv 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni mtu wa tanga na iringa mama yake ni mtanga baba yake ni mtu wa iringa ndio mana anajiita zigamba manayake ni n'gombe dume

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว +2

    Gabo umesema ni mtoto wako wa tatu na huyo mkeo amesema ni mtoto Wake wa Kwanza kwahiyo huyu Latifa ni mkeo wa pili au ni vipiii? Jamani anaejua anipe jibu tafadhali 🙏

    • @zahooramuba6227
      @zahooramuba6227 3 ปีที่แล้ว

      Huyo mke wake wa pili

    • @suleimankhamis3053
      @suleimankhamis3053 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndiyo mke wapili

    • @yahkiwera3611
      @yahkiwera3611 3 ปีที่แล้ว +4

      Watoto wakike wako3 namkehuyo alie Zaanae haowatoto 3 alisha achananae Ahsante

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว

      @@yahkiwera3611 c kasema ako na watoto wa3?

    • @janethhenry1557
      @janethhenry1557 3 ปีที่แล้ว

      Niwapili ndio

  • @deboraramadhan8663
    @deboraramadhan8663 3 ปีที่แล้ว +4

    Mama shura habil mikono yanguo yako haukupi uhuru nayo maana unaivutavuta

  • @merinajuma6948
    @merinajuma6948 3 ปีที่แล้ว

    Shga ango Tifa ongra mwaya

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @hafsakhamis5152
    @hafsakhamis5152 3 ปีที่แล้ว

    Shurahbills wow

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 ปีที่แล้ว

    IYO TABIA YA KUWA NA MIMBA KUTAKA VITU USIKU WA MANANE SIO MZULI MAANAILIMKUTA MADEBE LIDAI KAENDA KUTAFUTA UDOGO AKAITILIWA MWIZI MAANA MKE WAKE ALITAKA UDOGO WA NYUMBA SIO WA KUNUNUA MADUKANI SI ALITAKA WA NYUMBA SIO VZR JAMANI MSIENDEKEZE MIMBA ZENU

  • @pili3750
    @pili3750 3 ปีที่แล้ว +1

    Mke mkubwa mbona hatumuon jomon 🤔🤔

  • @seouliteawon8903
    @seouliteawon8903 3 ปีที่แล้ว +1

    Sikujua Gabo anaweza kuongea shit kiasi hiki....Kwa hiyo kwake watoto wa kike hawana thamani kabisa...!!!
    Unamsahihisha MWENYENZI MUNGU?

    • @sasharahma7360
      @sasharahma7360 3 ปีที่แล้ว

      Kateleza gabo subhuhaann Allah

    • @tunu1241
      @tunu1241 3 ปีที่แล้ว

      @@sasharahma7360 wallahi

    • @janetnjovu1251
      @janetnjovu1251 2 ปีที่แล้ว

      Kaka una mkufuru mwenyezi mungu

  • @mujingakabwiza7120
    @mujingakabwiza7120 3 ปีที่แล้ว

    Kwanini wadishi mu wafukunuku wakuhuliza na sio kuhusunu

  • @jestinaluvanda4787
    @jestinaluvanda4787 3 ปีที่แล้ว +2

    Jaman Kwa hiyo wakike hawakufanyiwa ila wakiume ndo amefanyiwa

    • @xxmidnightzepetosuni8106
      @xxmidnightzepetosuni8106 3 ปีที่แล้ว +4

      Tena ameongea kwa dharau sana amekufuru kwa kweli mtoto hujui mdhuri ni yupi ni kuomba dua tu kwa kweli

    • @user-lr2iv3gj1u
      @user-lr2iv3gj1u 3 ปีที่แล้ว +2

      Bina damu hamuachiiii lloooohhh

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 ปีที่แล้ว

      @@xxmidnightzepetosuni8106 ndio tena anaonekana mke uyu ndo anamapenz nae kuliko mkubwa wanaume shikamoon

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 ปีที่แล้ว

      @@mahmoodalghefeili5370 nasikia mkubwa wameachana kwa hiyo mdogo kashika hatam

  • @gresitimoth1099
    @gresitimoth1099 3 ปีที่แล้ว

    M

  • @jasminjuma9254
    @jasminjuma9254 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂jamani Mimba yangu inataka kwenda Dubei 😊😊vyakula hapana😆😆😆🤗

  • @khalifajuma3628
    @khalifajuma3628 3 ปีที่แล้ว

    Waoooh