TAZAMA MASTAA WA BONGO MOVIE WALIVYOTUNZA KWENYE 40 YA MTOTO WA GABO ZIGAMBA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
TAZAMA MASTAA WA BONGO MOVIE WALIVYOTUNZA KWENYE 40 YA MTOTO WA GABO ZIGAMBA
#Bonatv #Exclusive #bongomovie
Mwenyezimungu amlinde namacho ya husda
Mashallah Mashallah, iyi kazi ya Ruge na King Kiba❤️❤️mapenzi yenu wa Islamu wa kweli. 🤲🤲🤲
isha mashauzi mashaALLAH napenda makeup yako
Masha'allah ustaa Una Raha yake Bana😅
Shughuliiii ya gaboo like zenu
Nice dora mpandisheni kwenye stuli jamani tumuone
Mashaallah mke mrembo mashaallah 💋💋💋
GABO MTU MASHAALLAH TABARAKA RAHMAN ALLAH AWAKUZIE MTOTO WETU AWE MTOTO MWEMA ALLAHUMA AMIN 🤲
Huenda za wcb ndo kashoboke huko😂😂
Hongereni Sana Wana bongo move
Ustaa bhan unarah yake
Wema sepetu hauzurii kwenye shughuli za wenzake sijui yupoje utasikia nikiumwa 😣😣😣
Yakimfika atajua tu uhimu
Mashallaah gabo ana mke mzur jamn mashallaah
c nilisikia anawawili au
Mke wa Gabo mzuri mashallah
Hakuna mwanamke mbaya matunzo tu ata ww mzuri pia
@@mussaali197 ,meona eeeh bro hata me Ni mrembo kushinda hata hao sema Nini pesa Sina za makeup,mafuta ya Bei,nguo za Bei lkn nikipata cio mie
Mama kimboooo mmemuonaaaaa
Masha Allah
Wow jamn na me natamn mtoto
Usjr utampata
Usijali kabisa,, wakati wa mungu ni timilifu,, hauwahi wala hauchelewi
Mungu awabariki 💕💕💕🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nimependa hivyo vijora smart
Kaswid ustadh hafidh
hongera saana dada
Mama kimbo akeee
Sare nimeipenda 👌👌👌
zama unatoho ya amani sana eshima yako
Mma billy kama mm maashalaa mungu akukuzie
Nzur sale zenu
Johari. Hajaweka kitu nimeona jero tuuu hahaaaaa
Wema sepeto
Davina❤️
Mashallah mmenoga jmaan
Jamani nimependa umevaa kiheshima
Sare nzuri sana
Hata mm nimezipenda
Mashaalah
Dora mwenzio yupo wapi Tausi?
MashaAllah😍😍
Johari hakuweka hela
Shishi katoa elfu tano nimeona
MashaAllah
Pambèeeee
Doraaaa kapendeza kwel
kajala cjamuona vp
Piga kelele kwa t wweeweeee
GC
Mama kimbo katoa kikombe Cha prastk nimeona
MashaaAllah