JAPHET ZABRON NA VICTORIA WAELEZEA MAISHA YA MARCO ENZI ZA UHAI WAKE NDUG YETU HAKUWAHI KUUGUA MOYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 549

  • @angieblessed
    @angieblessed 2 หลายเดือนก่อน +34

    Poleni ndungu zetu wa Tz . pia sisi tumeumizwa na kifo cha ndungu yetu.from kenya

  • @emmahndunda5691
    @emmahndunda5691 2 หลายเดือนก่อน +17

    Sio Jambo rahisi, Mwenyezi Mungu hawafariji Zablon Singers na aiweke roho yake mahali salama.
    From Kenya

  • @MaryMuli-co9sf
    @MaryMuli-co9sf 2 หลายเดือนก่อน +13

    Rip Marcos Joseph, tulikupenda lakini mungu amekupenda zaidi . Najua ni uchungu kumpoteza ndugu yenu. Sisi wa Kenya twasema pole sana. Tunalia pamoja na mungu awafariji zabron singer's na wa Tanzania wote.

  • @yucabethdavis4072
    @yucabethdavis4072 2 หลายเดือนก่อน +10

    Poleni ndugu zetu wa TZ. My condolences 💐 to the Zabron singer’s family. Pole zangu from USA 🇺🇸. I love your ministry na maombi kwenu nyote wana ZABLON SINGERS 😭😭😭😭😭😭🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

    • @isaacmaomba
      @isaacmaomba 2 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏 💔💔 shukrani

  • @maggiemandela3526
    @maggiemandela3526 2 หลายเดือนก่อน +10

    Yehova awafajiri familia ,ndungu na marafiki pamoja na taifa mzima la Tanzania.
    Hugs from Kenya 🇰🇪.
    Tunaomboleza pamoja nayi.

  • @JescaKisinza
    @JescaKisinza 2 หลายเดือนก่อน

    Daaaaah pole sana , wanafamilia wa zabron Mungu awatie nguvu kwa kipindi hiki kigumu, Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi.

  • @wilfrednyandusi5148
    @wilfrednyandusi5148 2 หลายเดือนก่อน +5

    Condolences to Zabron singers in general and Tanzania. We are proud of your songs. Hence receive our condolences from Kenya

  • @susannyairabu
    @susannyairabu 2 หลายเดือนก่อน +4

    Poleni sana zabron singers, poleni Tanzania,, Mungu awatie nguvu kwa wakati huu mgumu,, kutoka Kenya

    • @DeboraThomas-i4t
      @DeboraThomas-i4t 2 หลายเดือนก่อน

      Poleni jamani dah si rahisi lakn Acha mungu awatie na awape faraja kama wana familia

  • @VirginiaKitheko
    @VirginiaKitheko 2 หลายเดือนก่อน +5

    Weee si raisi ila poleni sana wana zablon singers ndungu na familia kwa ujumla na ss mashabiki pia tuwe pole kazi yake ameimaliza bado na ss tumalize yetu tuweni pole sana ss wote from kenya 🇰🇪 inauma sana❤😢 ila mungu kashampenda zaidi lala salama Marco kuume kwa bwana amen 🙏 😢 😢

  • @EvelyneShadrack
    @EvelyneShadrack 2 หลายเดือนก่อน +57

    Tume huzunika sana sio tu Tanzania pekee kenya kwa ujumula ina uma sanaa kumupoteza muimbaji maarufu my heart condolences to the entire friends family and zabron singers may our Lord God strengthen you all

    • @MilaKavwai
      @MilaKavwai 2 หลายเดือนก่อน +2

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @victoriauno5394
      @victoriauno5394 2 หลายเดือนก่อน +2

      Sad unbelievable we will never see him again oh God😢.Wife n kids mungu awape nguvu.

    • @victoriauno5394
      @victoriauno5394 2 หลายเดือนก่อน +1

      Victoria may the Lord strengthen you.

    • @liliankimathi6973
      @liliankimathi6973 2 หลายเดือนก่อน +2

      My condolences to his family and Zablon singers

    • @alicekaita
      @alicekaita 2 หลายเดือนก่อน +1

      😭😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪wakenya tumelia sana

  • @noelmukasia376
    @noelmukasia376 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana Wana Zabron Singers...Mungu Ndio Mfariji Mkuu...Awafariji sana...Mungu Ailaze roho ya Marco mahali pema Kwake

  • @Teacherrononck
    @Teacherrononck 2 หลายเดือนก่อน +13

    From Kenya 🇰🇪 poleni sanaa 😢😢

  • @korirkipyegon7732
    @korirkipyegon7732 2 หลายเดือนก่อน +5

    Makiwa kutoka Kenya. Honestly, this loss came too soon. May God anchor zabron singers and his immediate family through this low moment

  • @abigaelmwendwa5374
    @abigaelmwendwa5374 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni Sana Wana Zabron singers, familia na Tanzania, Sisi Mashabiki wa Zabron singers tumeumia Sana , Joseph Mungu amuifadhi Hadi siku ya mwisho.

  • @jacksonsimiyu6492
    @jacksonsimiyu6492 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pigo kuu kwetu mashabiki wa Zabron singers.Mwenyezi Mungu aifariji familia na aiweke roho yake mahali pema.

  • @emmanuelbiketi9201
    @emmanuelbiketi9201 2 หลายเดือนก่อน +2

    Poleni sana ndugu zetu wa Tanzania.. Mungu afariji Familia yake.. Pia Wakenya tumelia sana.. Safiri salama Ndugu Joseph.. tutaonana baadaye

  • @ANNHILDAMWANGI
    @ANNHILDAMWANGI 2 หลายเดือนก่อน +5

    Oh God... remember the entire family 🙏... love from Kenya..RIP

  • @mchunguziclemenc4678
    @mchunguziclemenc4678 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kwakweli Mungu azidi kuwapa nguvu katika kipindi hichi vita amevipiga vya kutosha na mwendo ameumaliza Jina lake Bwana litukuzwe Amina

  • @JoelKimutai-e1j
    @JoelKimutai-e1j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zablon singers let God give you strength.waimbaji wazuri sana.ndugu zetu watanzania Pia Sisi wakenya tuko na uzuni Sana wacha mungu awake Roho Yake mahali pema pazuri mbinguni

  • @DorcasMutili-b8l
    @DorcasMutili-b8l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Oooh,mwimbaji tuliyemtambua,mwimbaji wa nyimbo za ijiri,Mungu akuweke mahali alipojichakulia,poleni sana,Mungu awatie nguvu,asa,asa hii familia❤, Pole,poleni sana,pia nasi tunauchungu sana,na kifo chake.

  • @emilymwadime5478
    @emilymwadime5478 2 หลายเดือนก่อน +21

    From Kenya poleni sana

  • @ZubedaVicent
    @ZubedaVicent 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu ampe pumziko njema, polen sana wapendwa Mwenyezi Mungu awaited nguvu ktk kipindi hiki kigum

  • @eunice3876
    @eunice3876 2 หลายเดือนก่อน +3

    God strengthen his wife and children.so painfully aky..poleni Sana

  • @enockmaina629
    @enockmaina629 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Familia ya zablon singers. Mungu awepe faraja kipindi hiki kigumu. Mimi Kama kipenzi cha kwaya ya zablon singers naumia kwa kweli. Ni uchungu....... May God grant you strength and comfort during this trying moment

  • @CathreenMexigan
    @CathreenMexigan 2 หลายเดือนก่อน +1

    We were with Zabron singers at kisumu last Saturday during campmeeting Marco was very healthy and happy.i just cannot believe that he's no more.Mungu na aifariji familia yake

    • @NaomOnywoki
      @NaomOnywoki 2 หลายเดือนก่อน

      Weuh pia naumia poleni sana from Kenya may our lord comfort you during this difficult moment

  • @rosyjerop4205
    @rosyjerop4205 2 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢😢it's so painful to lose a mentor and God fearing man like you,my sincere condolences to the family and zabron singers, may his soul rest in eternal peace,,go well champion

  • @daisychepkoech4715
    @daisychepkoech4715 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wakenya tulimpenda sana kwa kwaya ya zabron...tulihusunika sana wish Tanzania ingequa karibu tuombolexe wote....may his soul rest in eternal peace till we meet again

  • @danielkyalo5531
    @danielkyalo5531 2 หลายเดือนก่อน +3

    Poleni sana Zabron singers from Kenya Kitui Mungu na awafariji sana.

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 2 หลายเดือนก่อน

      Kiukweli kifo ni fumbo mwenyezi atujalie mwisho mwema

  • @mercylinemuhere7649
    @mercylinemuhere7649 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu awafariji sana Zabron fraternity na taifa la Tz kwa ujumla, pokeeni pole zangu toka Kenya

  • @stellakusaga4916
    @stellakusaga4916 2 หลายเดือนก่อน

    Huuuwi!!eeeeh!!Mungu!!ni ngumu sana kibinadamu!!inaumiza sana!wapendwa wetu wa Zabron Singers Mungu awatie nguvu awape faraja iliyo kuu!!ktk kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wetu kaka yetu Marco!!

  • @KamantheJohn
    @KamantheJohn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Soo bad ,😢😢 heri walalao wakiwa ndani ya yesu ,maana Huwa pamoja na mungu ,shine on your ways shujaa wa nyimbo,😭😭from Kenya , condolences to all his family & Tz na wote wanaomjua ,makiwa

  • @NancyMgonja
    @NancyMgonja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zabron’s singers Family Mungu wa Mbinguni awape faraja ya pekee kutoka mbinguni, Mungu amfariji mke wa marehemu na watoto pamoja na familia yote kwa ujumla 🙏🙏🙏

  • @jacksonfamba1748
    @jacksonfamba1748 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndugu zetu watanzania.....so painful to loose such a vibrant soul .... rest easy Marco Joseph..... from kenya

  • @carolinekaburi2613
    @carolinekaburi2613 2 หลายเดือนก่อน

    My heart condolences to the family and friend's....I know it's a hard time loosing a talented singer Marco ...may he rest in eternal peace...his songs are inspirational to more generations
    May God grant his family grace 🙏

  • @evancekamilembe
    @evancekamilembe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaah! Tumehuzunika Sana na kifo Cha mpendwa wetu hakika Mungu ailaze roho ya marehemu mahara pema peponi, apumzike kwa amani, AMINA.

  • @Maria-ic5kp
    @Maria-ic5kp 2 หลายเดือนก่อน

    From us here Tacoma WA Heavenly Consolations and May he rest in Heavenly Peace Through Risen Christ Our LORD Amen .❤

  • @PaulineNdutaWanjira
    @PaulineNdutaWanjira 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana familia, na Tanzania
    Ni ngumu, lakini Mungu anajua kwanini
    Bwana Yesu awape nguve na moyo wa kuitikia lilofanyika. Ndugu yetu Markos
    Pumzika kwa amani.Mungu alitupa ana Mungu amemchukua, Jina lake lisifiwe.

  • @sarahke4298
    @sarahke4298 2 หลายเดือนก่อน +3

    My heartfelt condolences to the family of Marco and the Zablon singers. May God comfort you and grant you sufficient grace as you mourn your loved one.

    • @claudettepeterkin4186
      @claudettepeterkin4186 2 หลายเดือนก่อน

      My condolence to the Zabron Family.Pray I'll meet you in Glory Marco.❤

  • @HylineBwonda
    @HylineBwonda 2 หลายเดือนก่อน +1

    From Kenya my condolences to the family and Zabron singers at large
    Nimeumia roho sana😢😢😢😢😢

  • @FatumaMvungi-u5h
    @FatumaMvungi-u5h 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni awape faraja idumuyo familia nzima ya zabrone singers,na mke wake kipz 😊

  • @sallykiptoo
    @sallykiptoo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana kwa familia and zabron singers at large...God wil wipe your tears...

  • @wanjirawarui4215
    @wanjirawarui4215 2 หลายเดือนก่อน

    🎉poleni sanaaa Wana zabron singers especially familia yake may Our good Lord have mercy on you

  • @wairimumurua9351
    @wairimumurua9351 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana family na Zabron singers.May our brother in Christ rest in peace. From Kenya.

  • @HapyNessShirima
    @HapyNessShirima 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole San ndugu wa marehem na rafiki na jamiii Kwa ujumla tulikupenda San ila mungu amekupenda zaidi upumzikee salam Marco Joseph

  • @mugagithome2143
    @mugagithome2143 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana the Zablons, hili ni pigo kubwa sio kwenu peke yake lakini hata sisi wapenzi wenu the Zablon singers. Mungu awape nguvu

  • @RizikiKalama
    @RizikiKalama หลายเดือนก่อน

    Msivunjike moyo namsikate tamaa Wana zablon singer mzidi kufanya maombi shetani asipate nafasi yakuwasabaratisha ju ya Marko pia mungu awatie nguvu wakat huu mungumu, pia mim naomba niwe na mwisho mwema! from Kenya

  • @EstherMwongela-n9u
    @EstherMwongela-n9u 2 หลายเดือนก่อน +2

    From Kenya 🇰🇪 poleni sana 😢it has hit us hard too

  • @FaustinMmeitsi
    @FaustinMmeitsi 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wa Tz.Mungu ailaze roho ya ndugu pahali pema

  • @Kenyalydiahmonayo
    @Kenyalydiahmonayo 2 หลายเดือนก่อน +2

    From Kenya, poleni sana. 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @evancebarden4
    @evancebarden4 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole ndugu Na jamaa. Tunawapenda Na Upendo was Yesu. Mungu awafariji. Tunawaombea Sana Kwa jaribu Hilo.

  • @mulesi68
    @mulesi68 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana WanaZabron singers. Poleni sana wote mlioguswa na msiba huu. Mungu Mwenyezi tunazidi kuomba faraja yako kuu isitupungukie.

  • @tracykogo3542
    @tracykogo3542 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kutoka Kenya our deepest condolences to the family, friends and the Zablon singers. Mungu awafariji..

  • @EuniceKerubo-n2g
    @EuniceKerubo-n2g 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndungu zetu wa Tanzania hata sisi tumeumizwa na kifo chake ndungu yetu .from Kenya

  • @williamchesoli8622
    @williamchesoli8622 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana kwa familia,marafiki na wote.Tunatazamia asubuhi njema tutakapo kutana naye Yesu akija.

  • @PaulineMkongo-k2d
    @PaulineMkongo-k2d 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana watz tumehuzunishwa sana na kifo Cha mwombaji mungu ailaze roho yake mahala pema wakenya tuko pamoja

  • @janetkhaoma
    @janetkhaoma 2 หลายเดือนก่อน

    A humble soul full of Godly humility.....rest easy brother till we meet again

  • @Christine-ho5us
    @Christine-ho5us 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana dungu zetu watanzania na familia pamoja zabron singers na Africa mzima tumepondeza my condolences to all God comfort

  • @Kevin-h5l
    @Kevin-h5l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Rip Joseph you have really transformed not only my life but also lives of people from different countries 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awape faraja mioyon mwenu zabron singers

  • @andrewmungandi-cg9ql
    @andrewmungandi-cg9ql 2 หลายเดือนก่อน +1

    It's a sad development my family,, let's give God some praise for the loss , I'm following from Zambia

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dada Victoria poleni sana famillia yote inauma sana kwetu wote mpenzi wetu

  • @marymaghuphamary5561
    @marymaghuphamary5561 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana wana zabron singers mungu awe mfariji wenu from kenya

  • @DorcasWanjiru-b3f
    @DorcasWanjiru-b3f 2 หลายเดือนก่อน

    Polen sana ndugu zetu na familia ya Marcos mwenyezi mungu awafariji wakati huu mgumu poleni kutoka kenya

  • @fabianlaurent6144
    @fabianlaurent6144 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu Amlaze Mahali Pema Peponi, Tutamkumbuka kwa Mazuri yake Pamoja na Huduma Yake kwa Jamii

  • @Bettermustcome714
    @Bettermustcome714 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana... Wakenya kwa jumla tunatuma pole zetu kwa familia na kikundi kizima cha Zabron singers

  • @rachelmaina3476
    @rachelmaina3476 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana na huzuni kubwa .Mungu awafariji zablon family na Tanzania nzima.Wakenya twawapenda.

  • @Lordrich-m7y
    @Lordrich-m7y 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wanzania tunaoishi south Africa tumeumia sana..poleni sana wanafamilia.

  • @flavianfrank6256
    @flavianfrank6256 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awapatie faraja familia ya zabron hakika inauma 😭😭😭😭😭lala salama kaka yetu

  • @simonkavelaga8964
    @simonkavelaga8964 2 หลายเดือนก่อน

    Pole dada pole sana mwenyezi mungu akutie nguvu kikubwa tumuombee marco apumzishwe kwa Aman

    • @charlessamwel963
      @charlessamwel963 2 หลายเดือนก่อน

      Tutaimisi sauti yake😢

  • @estherkaranu5583
    @estherkaranu5583 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana WanaZabron na familia kwa jumla😢Mungu ailaze roho ya Marco mahali pema peponi

  • @kamuhuro
    @kamuhuro 2 หลายเดือนก่อน

    Pole to the family and the choir may they find solace at this difficult time,from Kenya poleni sana.

  • @AndreaAbery
    @AndreaAbery 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wana ndugu na familia kwa ujumla mungu awatie nguvu

  • @sarahadhiambo7858
    @sarahadhiambo7858 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana from kenya 🇰🇪 it's not easy loosing such a soul

  • @aggieallan6517
    @aggieallan6517 2 หลายเดือนก่อน

    Tunatoa pole zetu Kwa ndugu zetu wa Tanzania Kutoka Kenya ..Mungu awafariji

  • @chassalamu8886
    @chassalamu8886 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni saana ZABRON SINGERS msiba ni wetu sote

  • @Nancymakena-z1d
    @Nancymakena-z1d 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana familia, twaomboleza pomoja sisi kama wakenya ndugu yetu amekuwa wa baraka kwetu kupitia nyimbo zake😢😢

  • @CarolineLangat-sb2bf
    @CarolineLangat-sb2bf 2 หลายเดือนก่อน +2

    poleni sana ndugu zetu wa tanzania mungu to awafariji wakati huu mgumu

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mnawahoji sana jamani khaa hamuwaachi wazike kwanza yan mm ningewagomea kuhojiwa wallah

    • @chrispinantabaye4866
      @chrispinantabaye4866 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwakweli mpaka too much,wangewapumzisha kidogo!!!

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢wanakera sana,Mimi HAPO nimeshapiga makamera hukoo😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢wanakera sana,Mimi HAPO nimeshapiga makamera hukoo😢

    • @SelinaDorcas
      @SelinaDorcas 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wanatafuta kazi tu hao lkn hawaangalii uchungu wa moyo

  • @MercyMwongeli-q7q
    @MercyMwongeli-q7q 2 หลายเดือนก่อน

    Pole aki victoria...I feel it....take heart 😢😢

  • @davidadorwa258
    @davidadorwa258 2 หลายเดือนก่อน

    My condolences to the entire family and may God comfort you during this hard time? We are leaved with no words but may the name of almighty God praise in both sad and happiness.

  • @Hope0shee
    @Hope0shee 2 หลายเดือนก่อน

    Am just shocked 😢God of love be with the family rip man of God from kenya we have lost a hero and a regend

  • @jamesbenjamin-kp4xc
    @jamesbenjamin-kp4xc 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU wetu ni mfariji mkuu, awafariji Familia nzima ya Zabroni Singers, MUNGU atabaki kuwa MUNGU katika nyakati za kila aina | poleni

  • @Lovergal0423
    @Lovergal0423 2 หลายเดือนก่อน

    From Kenya 🇰🇪 I feel so broken …😭😭may his soul rest in eternal peace

  • @GatiNyamataga-nk3uw
    @GatiNyamataga-nk3uw 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana familia marafiki na kanisa Kwa ujumla Mungu awatie nguvu

  • @claudettepeterkin4186
    @claudettepeterkin4186 2 หลายเดือนก่อน

    Your fans from Jamaica W I weep with you Zabron Family ❤.

  • @onsangojuniorcomedy1739
    @onsangojuniorcomedy1739 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pole zangu kwa zabron singers, watanzania wote na wote wampendao Mungu kupitia utumishi wao zabronbsingers kwa njia ya uimbaji.
    Kutoka Kenya

  • @MamaPrince-kd9cw
    @MamaPrince-kd9cw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa Kisumu City Kenya tunaomboleza na nyinyi...Mungu awape nguvu na faraja....Ndugu Marco alikuwa angali mdogo....

  • @Roseline-ld8ed
    @Roseline-ld8ed 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana Mungu awafariji familia ya zabron 😭😭
    Pumzika kwa Amani 😭

  • @justinomtili9226
    @justinomtili9226 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana familia ndugu jamaa na marafiki,mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu 😭😭😭

  • @juliakingori1099
    @juliakingori1099 2 หลายเดือนก่อน

    I'm so heartbroken but God have the reason for everything. May the lord give the family strength at this trying moments

  • @samwelchacha6912
    @samwelchacha6912 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭 from 🇰🇪 poleni sana mungo ailaze roho yeke mahali palipo na wema 🙏

  • @EstherKasoki-s5p
    @EstherKasoki-s5p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakosa niseme nini ila mungu ajuwa sababu muwe ngufu zabroh mungu afariji jamaa na marafiki na kanisa nzima la wa adventiste

  • @SaraMaphie
    @SaraMaphie 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni ndugu wote kwa msiba wa ndugu yetu Marco

  • @joseph.mihambo5842
    @joseph.mihambo5842 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni Sana Wana family Mungu wa Mbinguni awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na Mungu aiweke loho ya malehemu mahala pema peponi Amen 😢😢

  • @cynthiamelinda9901
    @cynthiamelinda9901 2 หลายเดือนก่อน

    Representing My Fellow Kenyan 😭😭😭😭May God comfort the family my Biggest condolences 😫😰

  • @carolinekiptoo
    @carolinekiptoo 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana kwa family, marafiki wote, tulikupenda sana Marco but God love you too rest in peace marco

  • @RahmaMoon-e3h
    @RahmaMoon-e3h 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana mungu wa mbinguni awatie nguvu from Kenya

  • @BensonKingatibenson
    @BensonKingatibenson 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana familia,zabron singers na Tanzania yote kwa ujumla kwa kumpoteza Moja wenu.may God condole your hearts

  • @patrickmbogo3029
    @patrickmbogo3029 2 หลายเดือนก่อน

    May God grant you peace at this very difficult time and will fill the gap. Blessed are the peace lover.

  • @HappynessRobert-j8z
    @HappynessRobert-j8z 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana nyasubi kwa kuondokewa na mpendwa wetu