"NILIACHANA na GABO Nikiwa na MIMBA YAKE ya MIEZI 7, UKIMUANGALIA UTASEMA Ndio HUYU" - HUSNA SAJENTI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 137

  • @catherinekan1
    @catherinekan1 3 หลายเดือนก่อน +14

    Mwenyezi Mungu atuongoze tusiolewe wala kuzaa na wanaume wa ovyo! 😥🥹🙆🏾‍♀️

  • @claudia1500
    @claudia1500 3 หลายเดือนก่อน +5

    Husna ni mpole na mzuri sana! Itakuwa tu hukuwa na bahati na hao wanaume,kwanza mshukuru Mungu bora wengine wakupite manaa wanaume wengine usiombe kukutana nao maishani

  • @mommymomm2237
    @mommymomm2237 3 ปีที่แล้ว +41

    Ikumbukwe km hakuna mwanamke ambae anapenda kuzaa na kila mwanaume jmn. Tusihukumu upande mmoja

  • @babyzuchu3866
    @babyzuchu3866 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nilikua Cjui Kama husna sajenti alipinduka Na gambo ze gamba ❤❤

  • @esterelias65
    @esterelias65 3 ปีที่แล้ว +14

    Mara nyingii wanawake wenye hurumaa ndo huwa wanaumizwaa zaidiii poleee dyadyaa mwanamke ku move on na mimba ya miez 7 sio rahis

  • @hellenpatrick3041
    @hellenpatrick3041 3 ปีที่แล้ว +33

    NIMEPENDA KUWA BORA UDATE NA MTU UNAEJUA NI MHUNI

  • @halimamis4236
    @halimamis4236 3 ปีที่แล้ว +15

    Hata siamini jamani huyo Gabo ukimuangalia hafanani

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว +3

    Diva NAKUPENDA 💟💟💟IKO KICHEKO CHAKO mie hoi my sster😂😂kama nawe ulipitia.pole sajent maskn.

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 3 ปีที่แล้ว +7

    Mahusiano bhna ni kitu Cha ajabu San ,huenda ww haukuwa chaguo lake ndio hakuwa sahihi kwake ndio maana kwahy tusilaumu sana

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว +2

    Chonde usimseme Chaz baba wangu. Bora uniite faragha tuongelee uko

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 4 หลายเดือนก่อน

    Kiislamu kama mmeowana kuna mimba haikubaliki kabisa kwa M/Mungu

  • @sophierseyyd1162
    @sophierseyyd1162 3 ปีที่แล้ว +20

    Mimba miez Saba jmn hebu fikirie ttz litakuwa wap mpk mtu kamua kufny maamuz si rahis kwa mwanamke
    Wanaume wanaume khaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 kwel wanaume baba wao mmj mama wao mmj

    • @mariellerashidi4649
      @mariellerashidi4649 3 ปีที่แล้ว

      Hinawezekana hata mimi jana nilikuwa nimeshafunga mizigo namimba kubwa

    • @sophierseyyd1162
      @sophierseyyd1162 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanaume wanatutesa Sana dah pole mpnz

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว

      Wanaume wamefungasha mizigo tu pale kati inawalemea kichwani wamejaa madudu

    • @ZenaMsumagilo
      @ZenaMsumagilo 5 หลายเดือนก่อน

      Hawajielewi kabisaaaaa

    • @deborahmchona5584
      @deborahmchona5584 5 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu we Acha Mimi niliondoka mtoto ana week moja na kidonda cha operation hawa viumbe wan Moto wao mbinguni

  • @RashdaAbdallahMahuwile
    @RashdaAbdallahMahuwile 2 หลายเดือนก่อน

    Leo ndo naamin kweli mkamilifu ALLAH 😢😢😢gabo kweli huyu dada huku2lia umeenda kujikwaa kwa yule mmmh ngoja ninyamaze

  • @ubahalfan105
    @ubahalfan105 3 ปีที่แล้ว +4

    Ndo mana kikaitwa kipindi cha lavi davi umbea mtamu nyinyi,, alafu wanao ojiwa nao pia ni mafala hayawezi jifichia siri zao ukisema staki kuongelea iyo ishu atakufanyaje ebo

    • @rashidjuma9774
      @rashidjuma9774 3 ปีที่แล้ว +1

      Wallahi wananikeraga sana jimtu kutoa siri zake

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @neemadorryantapa3082
    @neemadorryantapa3082 3 ปีที่แล้ว +1

    Heshimu upande wa wake jamni acheni kukoment mambo ya ajabu

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 3 ปีที่แล้ว +2

    Husna eti yule gabo mamaaa😃😃😃

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 3 ปีที่แล้ว +6

    Wanaume kudadadekiiiiii jamani 😔

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 3 ปีที่แล้ว

      Na Wanawake kudadadeki jamanii!!!kwa upande wangu lakini!!🤪🤪🤪

  • @mwanamvuasuleyman4671
    @mwanamvuasuleyman4671 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda sana huyu dada wallah anavyoongea napenda shepu lake alivyo jmn daah

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 3 ปีที่แล้ว +13

    Kama umezaa nae,.atabaki kuwa baba wa Mtoto wako,
    Diva atakusaidia nini kuhusu maisha ya mwanao,
    Acheni kuwasema waume milioachana mitandaoni, Kwasababu mlivyoanzana na nilikuwa mwayafanya mlikuwa wenyewe.

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamani gabo huyu huyu ama kuna gabo kweli ama ni mm ndio maskio yangu mambovu

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 3 ปีที่แล้ว +2

      Unawajua wanaume wewe ogopa sana wakimya

    • @mamafatuma138
      @mamafatuma138 3 ปีที่แล้ว

      @@eyabdimaha3698 kweli kabisa

    • @doreenchacha7692
      @doreenchacha7692 3 ปีที่แล้ว

      Siamin gabo😪

    • @monicamushi5192
      @monicamushi5192 3 ปีที่แล้ว

      @@doreenchacha7692 yeye pia alikua aamini Ila yalivomkuta ndo akajua hajui😄😄

    • @pendoprosper4090
      @pendoprosper4090 3 ปีที่แล้ว

      We amin maana huyu dada na gani toka kitambo kwel walikua wanapendana mpaka kaamua hivyo yalimshinda

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 3 ปีที่แล้ว +1

    Ao ni Gabo mwengine atujuwi

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 ปีที่แล้ว

    Hamna mkamilifu ifike stage tuache kuongeleana

  • @husnayahya5070
    @husnayahya5070 3 ปีที่แล้ว +16

    Huyu dada mbona mtumzima lkn hajielewi, km mtu mlishaachana kuna haja gani ya kumuongelea vibaya?, na mtu tayali yupo kwenye mahusiano yake ya ndoa?, kwajinsi unavyoongea unamaanisha kua gabo hana hata jema 1 kwako, sio kila mahusiano lzma yadumu au yafike kwenye ndoa, wewe na huyo kigagula mwenzio mkiachwa achikeni,

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 8 วันที่ผ่านมา

    Kwa gabo anaonekana kabisa jeuri.Kaacha mtoto kaenda lipa deni la demu mil8 kwa siku yankwanza tu hapo nikajua mmmh

  • @Africa-n1u
    @Africa-n1u 3 ปีที่แล้ว +2

    Sauti ndogo

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +1

    Masikini pole

  • @SteveMapene
    @SteveMapene 6 หลายเดือนก่อน

    Wahuni ni wa kweli siku zote.

  • @manyakuulaompondelo4419
    @manyakuulaompondelo4419 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo miwani mmmhh

  • @امينهعلي-ض5ث
    @امينهعلي-ض5ث 3 ปีที่แล้ว

    Duuuuu kweli mbona afanani alivyo

  • @luluabdul2800
    @luluabdul2800 3 ปีที่แล้ว +5

    Duh Gabo jmn😂😂😂

  • @EvaWaziri-so3gi
    @EvaWaziri-so3gi 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli tunaishi na wahuni wamejificha kwenye vivuli vya dini

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo hayo

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 5 หลายเดือนก่อน

    Ndo uliachwa hivyo

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 3 หลายเดือนก่อน

    Alikuona muhuni ndo akakuacha mana yeye simuhuni gabo mana anamke wanapendana snaa nawanaheshimiana snaa

  • @rahabumwakajoka6721
    @rahabumwakajoka6721 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ndoa,mahusiano marahisi,wanawake achani ujinga,na tamaa,na viburi vya uzima,.....mnafikiri waliozeeshana wameweza vipi,au ss wengine ambao bado tunarizungusha gurudumu la ndoa tunawezaje ,.....wadada mkoje kuweni na akili.

  • @RoseAmilet
    @RoseAmilet 3 หลายเดือนก่อน

    Haikuwa ridhiki yako rudhiki ilikuwa kwa huyo aliyekuwa naye sasa hakika wanapendana jamn

  • @aidahtimothy9052
    @aidahtimothy9052 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtu ameshaoa unamzungumziaje na kwann usikae kimya mbona unaonekana mtu mzima ovyo kwa mdomo huo mmmh hata niwe mm tujifunze kukaa kimya wanawake sie khaaa!!

  • @tatusalehe8775
    @tatusalehe8775 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo Gabo na chaz baba je ACHA kuongelea mtu vibaya

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +3

    Subhanallah 😳 huyuhuyu gabo mmhu Astagfirullah laadhwim na bahati kwasasa shemeji yangu kwa mdogo wangu wakijerumani wa manyoni maana isingekuwa si shemeji ningemfumuwa na radi ya caption🚶🚶

  • @esthermbwambo7227
    @esthermbwambo7227 3 ปีที่แล้ว +1

    Heri ujue huyu hamna kitu...

  • @MashaMbwana
    @MashaMbwana 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni nani tena

  • @RichAuntie-g6s
    @RichAuntie-g6s 4 หลายเดือนก่อน

    Hakumpenda itakuwa mwanamme akikupenda atafanya kila kitu kwaajil yako

  • @alfredmhana235
    @alfredmhana235 3 ปีที่แล้ว

    Sifikilii kama huyu Dada anasema ukweri wacha tukimsikia Gabi na yeye ndo tutujuwa.

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 3 ปีที่แล้ว +1

      Unajua Kuna kipindi ht faiza Ali alisema kuwa gb ni mshezi.

  • @YasintaNgimba
    @YasintaNgimba 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe ulikuwa wakupitiwa 2 na sio mke wala hukufaa kuwa mzazi mwenzie

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 3 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa

  • @isayajoram2434
    @isayajoram2434 3 ปีที่แล้ว +1

    We unataka mwanaume awe chini yako sahau ilo huna ukarim

    • @zakatothman1645
      @zakatothman1645 3 ปีที่แล้ว

      Kwan mahusiano ni vita jmn take it relaxed

  • @consokeic1472
    @consokeic1472 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamsikiki kwani mwaongea pekeyenu.

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว +2

    Nilicho jifunza usije ukaskiliza upande mmoja wa story za mambo ya mahusiano, yani mnapoachana kila mtu anajiona yuko right kiupande wake.

  • @swalehemalombe3916
    @swalehemalombe3916 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Dada anatatizo

  • @gladymtui3475
    @gladymtui3475 4 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sahihi wewe dada anajificha. Kwenye kivuli Cha. Dini. Hana lolote. Yule

  • @mamuamtoto
    @mamuamtoto 4 หลายเดือนก่อน

    Ni nguo gani hio maziwa nje!!stara ya Mwanamke ajisitiri

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni aibu Sana mwanamke kumwaga udhaifu wa mwanaume wake in public

    • @ericksylivester8757
      @ericksylivester8757 2 หลายเดือนก่อน

      Sometime inabidi Ili kupunguza lawama

  • @GiftIddy-k2f
    @GiftIddy-k2f 2 หลายเดือนก่อน

    Gabo kipengele hicho umefeli kwnn haumjari mtoto wako?

  • @hakizimanavaleriecamilla3895
    @hakizimanavaleriecamilla3895 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu si ndo yule aliye kuwa akipigwa kila mara na Gabo

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @shanishani-qv3bc
    @shanishani-qv3bc 2 หลายเดือนก่อน

    Mme wa mtu tayari vipi una hoji vitu ambavyo sio kabisa avifai

  • @lonelady3368
    @lonelady3368 3 ปีที่แล้ว +3

    kwani huyu diva mbona aulizi maisha ya maendeleo?kila anae kuja interview huulizwa kuusu Mapenzi tuu

    • @fredrickmatiku7783
      @fredrickmatiku7783 3 ปีที่แล้ว +1

      Wasaniiii wetu hawana maendeleo wanajua photoshooot na makeup kuvaaa kupendeza madanga ya kuwanunulia magari crown na shopping na vacation Dubai na Zanzibar maendeleo sijui na kiwanja najenga nafungua kampuni hawana mambo hayo ya maendeleo utasikia kwa akina Diamondplatnumz alikiba na Harmonize

    • @fatmasaid9400
      @fatmasaid9400 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fredrickmatiku7783 kumbe umeonaa

  • @jacklineandrew6303
    @jacklineandrew6303 3 ปีที่แล้ว

    Mtumwafuko wangu

  • @furahaabonga6642
    @furahaabonga6642 3 ปีที่แล้ว +16

    Ilo litangazaji na lenyewe limbeya mno.Kwan ww umewaikuojiwa na nani kuusu maisha yako?.utalikuta halina ata boyfriend alafu linataka lijuwe maisha ya wengine🤷🏻‍♂️.kumbe nyie watangazaji wajinga sana,nyie ndo mnawagombanisha watu.msenge sana we mtangazaji.Kwann unamlazimisha na kumchimba dada wawatu ili aongelee mtu ambae hayupo tena nae.iv kama ameshaowa mwanamke mwengine uko aliko anajiskiaje uyo mwanamke mme wake akiongelewa vibaya?.au na nyie mnaohojiwa uwa mmeshaset kila kitu mtakachokiongea kwenye maojiano?.naisi mtakuwa mnalipa hela ili muojiwe radioni tu.wajinga wote.

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅😄🤣🤣🤣

    • @azizaabeid2055
      @azizaabeid2055 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa ushaachwa achika hayo mambo yakuadithia ya nyuma hayahusu yote anayoyaongea mengine ya uongo tu ilimrad amuumize mwenzio kwani mtu ukiwa nae nilazima kuanza kuaditihia vilivyo pita Mana hata yeye huyu asiyejuwa kuachwa nae bila shaka anamapungufu nandomana ukatemwa na wewe ukiwa na mahusiano yko mapya utafurahi wewe usiyejuwa kuacha aje akuhadithie hapa ifike wakati tukiachwa tuachika kabisa hata tisiyajadili yaliyopita hata kama mtangazaji kauuliza unapotezea ukiachwa achika buana

    • @rahmarajab3688
      @rahmarajab3688 3 ปีที่แล้ว

      Anaehoji Alisha taka kuuwa ndoa za watu akimtaka mume wa watu awe nae yeye,
      Kwa matendo yake alijipatia jina A.K.A. kigagula,,,,Apenda Sana kulazimisha Wanaume wampende,
      Hana bahati,maskini,

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 3 ปีที่แล้ว

      Mbeya sana ! 🤣🤣tena anauliza huku akicheka cheka🤣🤣🤣

  • @Dusenge-TV
    @Dusenge-TV 3 ปีที่แล้ว

    Hivi wanaomzungumzia ni huyu aula?

  • @ramamasenda6637
    @ramamasenda6637 4 หลายเดือนก่อน

    Nawewe Malaya mbona

  • @victoriamatei7757
    @victoriamatei7757 3 ปีที่แล้ว

    Annet wa Uba

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 2 ปีที่แล้ว

    Kiislamu mume hawezi towa talaka ikima mke anamimba mpaka ajifunguwe ndio anaachwa sasa sikuhizi nashangaa kusikia mume anamuacha mke akiwa mja mzito

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 3 หลายเดือนก่อน

      Kiislam kama kamuowa waiting wee

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 3 หลายเดือนก่อน

      Simtototo wake huyo kidini kwa vile hajakuowa dada wer

  • @dicelwantu2192
    @dicelwantu2192 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume jaman bac t

    • @joh7282
      @joh7282 3 ปีที่แล้ว

      Ata kuuliza hawaulizi wameanza wanaume jmn kwa akili ya haraka haraka hakuna mwanaume anae weza muacha mpenzi wake au mtu wake akiwa ana mimba kubwa kiasi icho ata kama ni masikini kiasi gan au ni mhuni kiasi gan...izo ni zile pigo za kujifanya unamchukia alie kupa mimba kwa kisingizio ni mimba inampelekesha so ata ingekuwa ni mm nachapa rapaaaa stress za nn maisha ya saiz kila mtu anataka amani bwanaa acheni kulaumu sanaa

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio kujifanya inatokea kabisa kumchukia mwenye mimba ikawa hamuelewani

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว +1

      Usibishe

  • @abdulmalikaudreykaipa4007
    @abdulmalikaudreykaipa4007 3 ปีที่แล้ว

    Muongo mbona alikufumwa hukuyasema hayo

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 3 ปีที่แล้ว

    Huyu kigagula msenge kweli I hate her with passion. Yani lachokonoa hadi ya uvunguni yasiyo stahili kuekwa hadharani

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah Gabo wng🥵🥵🥵 dah siku mzaniii ivooo
    Ninavyo muonaga 🙈🙈🙈

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 3 ปีที่แล้ว

    Hat msanii flan nae anajifanya ni wa dini xana

  • @aginessmgaza9899
    @aginessmgaza9899 3 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว +1

    Siku nawe diva wakuhoj mana unapenda ya wenzii hatar mmmmmm!!! Tena mfukufuku hatar khaaa unataka had vya ndani

  • @abdulmalikaudreykaipa4007
    @abdulmalikaudreykaipa4007 3 ปีที่แล้ว

    Muongo ww mpumbavu gabo hana tatzo tatzo ww una mapepo mchafu hujui usaf ujui kuish na mwanadam unapenda mwaname umutawale

  • @nelsonngowi3950
    @nelsonngowi3950 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani unavyoonekana dada wewe ndio tatizo. Muonekano wako tu unakutambulisha,na hauna sababu za msingi zakumchafua Gabo. We angalia hiyo video ulionyesha kumshangaa Ili kuteka Akili za watazamaji wamuone ni mbaya ila ulipotoa sababu inaonekano hazina mashiko

    • @thebosslady9001
      @thebosslady9001 3 ปีที่แล้ว +1

      Usijaji kitabu Kwa kuangalia kava laitan ungekuwa mwanamke ungeelewa nini anaongeaa

    • @fadhiliyusuph5195
      @fadhiliyusuph5195 3 ปีที่แล้ว

      The way jinc alivyoanza ni km ni big ishu kuubwa na alitaka kuaminisha kwamba jamaa ni shida lkn sababu haina point

  • @mishimzihir7301
    @mishimzihir7301 3 ปีที่แล้ว

    Mablack boy cjui wanajikuta nan kwakwel

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 4 หลายเดือนก่อน

    Mkiona watu wametulia kwenye ndoa zao wewe ulishindwa kutulia mnaanza kuchokonoa ili tu na ndoa alio nayo ianze kuyumba ushindwe mmbwa wewe

  • @albertsayari7239
    @albertsayari7239 3 ปีที่แล้ว

    Tatzo saut zpo chin

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 ปีที่แล้ว

    Heee, maakubwa 🤔🤔

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 3 ปีที่แล้ว

    Uwenda wewe ndio shida , apo unatujaza tu uwongo ili tukuona upo sahihi

  • @dennismusiba4836
    @dennismusiba4836 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wanaume wote wamekuacha?we huna tatizo zaidi ya kuwasema kwenye media?tumia akili yako na sio kufatisha wana habari kwa kuhatibu sifa za watu kwenye jamii

    • @azizaabeid2055
      @azizaabeid2055 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa anawachafuwa watu wakati yeye mwenyewe ana mapungufu ivo ivo

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @saumuhamisimwandekwa5064
    @saumuhamisimwandekwa5064 3 ปีที่แล้ว

    We dida nawe nahilo jimiwani lako

  • @psj1564
    @psj1564 3 ปีที่แล้ว

    Yahani iki kipindi kwahajili yakujua maisha yawatu maisha yamtu wewe diva yanakuhusu nini nanyinyi wajinga munaotoa siri zenu kwauyo kahaba anaependa kudang'a ana aya mchumba ajui atamaumivu yandoa aunini maosha yandoa jitambueni munao fanya maongezi nauyo maraya

  • @MonicaMfinanga
    @MonicaMfinanga 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumwa fuko? Ama?

  • @rosemaryrwabibi5908
    @rosemaryrwabibi5908 3 ปีที่แล้ว +1

    Haka c kakwenye huba

  • @itsjkamolabeatz
    @itsjkamolabeatz 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂rayvanny chuii🐯 ana chekesha na ma jibu yake ku husu Paula Wa kajala
    Jionee apa utoe maoni yako😂😂😂
    👇👇👇👇👇👇👇👇
    th-cam.com/video/OHTWe6oh4Qo/w-d-xo.html

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 3 ปีที่แล้ว

    Usiumie Husna Mamy, Lea Mwanao kwa hicho unachokipata, tena nakushauri Usimfuate kumuomba wala usimzungumzie usimpe Airtime, Fimbo iko uzeen Hakuna mwana aso na Baba Wala Mama, pigo na kilio Mwanao atakopokuwa amefanikiwa,

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 3 ปีที่แล้ว

      Hanan.....mbona unachukua NAFASI ya MUNGU ??????

    • @hannanommy302
      @hannanommy302 3 ปีที่แล้ว

      @@minskbelarus7255 Sina uwezo wa kuchukua nafasi ya Mungu,soma vizuri msg yangu.Ndugu yangu kulea mtoto peko yako ni mtihani mkubwa. Na siku zote wanaume ni maselfish. Wanasagamu kuna kukua nakupata mafanikio mfano mzuri tumtazame Diomond Husna lea mwanao kwa hicho unachopata usimuulize baba wa mtoto fainal uzeeni na yunsona

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 3 ปีที่แล้ว

      @@hannanommy302 DIAMOND hawakilishi wanaume wote . Kuna wanaume wameachiwa WATOTO na wanawake waliozaa nao
      Umamshauri ampotezee GABO na amlee mtoto peke yake; he siku MTOTO akimuulizia BABA yake unamshauri amjibu nini? Na siku ukimuona GABO na huyo Mzazi MWENZAKE utafikiri UNAOTA ??? Umehukumu bila kusikiliza UPANDE wa pili. Kama haya yamekutokea...... POLE sana.