GABO ZIGAMBA AIRPORT KAMA MFALME / BARNABA AMSUPRISE KWA LIVE PEFORMANCE KATIKA BIRTHDAY PARTY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Suprise aliyofanyiwa Msanii Wa Filamu Tanzania Salim Ahmedy (Gabo Zigamba) na Mkewe Latifa Babla (Tiffany Store) Airport akiwa ametokea Bungeni Dodoma ambapo alialikwa kama balozi wa BODI YA FILAMU TANZANIA. Gabo Zigamba alifurahi na kushangazwa kwa mapokezi ambayo hakuyatarajia. Wawili hawa wamejiwekea mazoea ya kupeana zawadi kwa namna ya kipekee katika matukio ya kumbukumbu zao muhimu.
    Endelea kuwa Nasi kwa kufuatilia Vipindi, Tamthilia, Filamu, Maigizo, Documentaries, Behind the Scenes, Interviews na Burudani mbalimbali za Kiswahili katika Chaneli Yetu Pendwa ya GABZ MEDIA, Usiache KUSUBSCRIBE na KUWEKA NOTIFICATION ON.
    SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL : / @gabzmediaproduction
    Follow Us On Social Media
    Twitter : ma...
    Twitter : ga...
    Instagram : ...
    Instagram : ...
    Tiktok : gabzmedia
    Tiktok : Maskanilife
    GABZ MEDIA PRODUCTION (T) LIMITED
    Bora Kwa Ubora
    Email : gabzmedialtd@gmail.com

ความคิดเห็น • 1

  • @hadija_makange
    @hadija_makange ปีที่แล้ว +2

    Vile nawapenda ss namuomba mungu niwe km nyie ❤❤❤