GABO ASHINDWA KUJIZUIA AFANYA YACHUMBANI HADHARANI BAADA YAKUFANYIWA SUPRISE NA MKE WAKE KWENYE B..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
- GABO ASHINDWA KUJIZUIA AFANYA YACHUMBANI HADHARANI BAADA YAKUFANYIWA SUPRISE NA MKE WAKE KWENYE B..
.
.
.
.
.
.
.
.
,
.
.
#GABOZIGAMBA #MKEWAGABO #BONGOMOVIE
Very wonderful congratulations gabo I love you brother your Good actress
duh kumbe gabo upo vizur na kuran mashalll
happy birthday live long much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mashaallah nakumbuka Gabo alinifundisha elimu ya dini nikiwa shule yamsingi kipindi hicho kabla ajawa msanii pale shule ya Chang'ombe mashaallah Bado naona yupo vizuri me mwanafunzi wangu big upo umenikumbusha taifa mazoezi Chang'ombe nadhani unakumbuka
Kumbe wasaninii wengine mmesoma dini vizuri mimefuraji sana gabo usiache kumuomba mungu kila kukicha
Mashaallah..Mola akuzidishie maisha mengi marefu yenye baraka tele sana sana,🤲🏾Aamin Aamin
Aki Gambo amekuwa handsome sana 😍😍😍😍😍
Maashallah nataman na mie nipate mume nije kumfanyia kam ivi kwakweli mapenz rah mkiwa mnapendan kwa dhat
Inshaallah Allah atakujaalia mwenye heri na wewe usikate tamaa
@@saadasimba267 shukran san my dada kwa kunifariji
Utampata tyu ishaallah
Inavutia kwa kweli
@@saadasimba267 amiiiiiiinnnn
dahhh.. hii suprise nimeipenda, hongera sana mama Gabo.
huyu mke.wa gabo ana mapenzi yakweli haoni shida kuingia gharama kufanya part kwaajili ya usingizi wake.
@@gottalentextra4703 na ivi ndivo inavotakiwa kwenye mapez inapendez san
Mungu anijalie nami nipate mapacha
Hii familia naipenda bule 😘😘mungu amueke jamani
Waigizaji bwana mpaka kwenye birthday mnaigiza yaani siku nzima asijue kama ni birthday yake jamani!! Kama unaamini walipanga wote weka like twende sawa
itakuwa alikuwa anajua kuwa ni siku yake lakini kuhusu hiyo parry ndio surprise.
Hiyo inawezekana wanawezakutayalishia vitu sehemu nyingine hapo ikawa nikuhamishia tu.
🤣🤣🤣🤣
Mashaallah nampenda sana gabo❤❤❤❤❤
Hongera Sana Gabo Kwa kuongeza mwaka M/mungu akupe umli mrefu wenye baraka Tele Afya njema na Amani
ahsabtum kW dua sheikhna alfu mabrouk maashallah😍😘😘😘
I wish to do this to my hubby on 6 Nov. Yaa Allah naomba utuzidishie upendo na maelewano mazuri
Kama utakuwa tayari tualike Tiki Tv wasailiana nasi +255 654 980 556 kwa maandalizi zaidi.
Mashaallah tabarakallah mngu akuzidishie umri mrefu kaka gabo
Kupendwa raha jamani hongera sana Gabo wetu
Mashaallah kumbe Sheikh mwenyewe Bw. Harusi.
hadi raha, naona Gabo amepatwa na muhaho gafla.
HBD,hadi raha
Mnachezea neno ra Allah babu kweli wanawake wapo uchu unasoma dua kk
Many many many years 4 u my Brother🥰
Amin mashallah hongera Kaka MOLA atupe waume wakher inshallah
Maashaallah meme penda sana gabo kwaajil ya allah
Mashallah Heluwa.
hongera kuongeza mwaka god bless you
Hongereni
Happy birthday Gabo🎁🎁🎁
MashaAllah Jazakhallahu kheiri
Npenda vile gabo anacheka🤗🤗
yani mwenyewe cheko lake tu❤
@@asifiwekitunga4655 mpka raha han makuu bro wa watu
Tupo wengii ata me napendaa
Umeonaeee nimesuri sanaaaaaa jamani
Yes ana smile nzuri na meno yanachangia
Ongera Sana,awanaga skendo
Mashaallah gabo hongera sna
hongera sana kaka kwa kutimiza miaka hy
Kugusa chupa shida wakati nyele umeacha waz kaz kwel
Ndy Hapo sasa
Hawa mapacha jamani...Kama nawaona wanangu vileee ewe Allah nakuomba unikuzie vijana wangu katika maadili mema aaaamiiin.
Ameen
Happy birthday 🎂 gabo my brother
Gabo Mauwa yako❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Waoooo NI njema sana
❤❤❤❤❤❤❤😊
Du Gabo ni usitadi MashaAllah
Mashaallah Allah barik
Mapacha MashaaAllah
Kali cn
Hongera kwa kupendana na mkeo ni agizo la mungu
Mashallah kwa dua
Hio Dua umefanya ninyanyuke nisali sunnah mashaallah
Hadi raha 👏👏👏👏👏
Mashallah kaka.
Happy birthday brother zigambo
🤣😂😂Jamani adi raha, gabo amefurahi yani adi unauyona furaha yake machoni wooooow, simpo but shua 😍
Heluwa wagidi gabo mashaallah
😅😅😆😆
Hongereni jamani hadi raha.
Sasa huyo dem anajishauwa hataki kugusa shampen kama unajijua umeshiba dini umeenda kufanya Nini hapo kwenye sherehe na mamiziki ya kidunia ungekaa home tu ukatulia
Demu fala tu,nyoko zake anajinata
Na kwa kuongezea asingweka hizo nywele bandia
Ndio hap ss ushangae MI nywel wazi kavaa nguo y ajab Alf anajifany htk kushik
Umeonaaaaa kwan akigusa anakuwaje
Haahaaaaaaaa swala 5 jaman af mara ya mwisho kuchukua uzu hakumbuki
maimuna nikiwa iraq hongera sana gabo unajua sana kuakti bila masiara
MashaAllh wooooh
haki hii suprise ni Moto hongereni
💕💕💕💕💕💕💕Gabo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kumbe Gabo muislam jaman nilikuwa sijui
Ongera unamke mzuri sana
Gabo is so cute 🥰 ilike him so much
Alhamdulilah❤
Mashallah habit
Umri Twaweel our dear brother
Maisha maref Gabo,ongera San umependeza mno
Masha Allah tabaraka Allah 🤲🤲🤲🤲 ameen yarabi Allah awape upendo daima insha Allah 🙏🙏🙏❤️❤️❤️💞💞
Happy birthday to you mr Gabo
Good job ❤️🌷
Nice...ila cake kwa muonekano hajaitendea haki jmn cjui radha .
Me nisingekubal alishe wanawake😂😂😂😂ak Gabo nakupenda hatar🙆
Una wivu kama wangu🤣
@@lydiawamaana8361 sana tu cz wamuonaje huyo mume mwenyewe 🤣🤣🤣
Hara mm
Happy birthday gabo
Maskin kaka mzuri huyu halafu muislam 😔
we ulitaka awe mkristo
😂jmn
😂😂
pongezi gabo
HIYO SONG YA ANJELA NA HARMONIZE H BABABABABABABAAAA NA AWILO 💃🍾🥂
mashaala.
Masha Allah
Ushamba tu huo na ndoa za ivi ndo zile huwaga hazidum
Cool
Those twins ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Noma sanaa
MashaaAllah
Mashaallah kwa dua
❤❤❤❤❤❤❤🎉
Mke mrembo kweli cheupe 😂😂😂😂📯📯
Na muona aisha mashauzi lahaaha jaman
Huyu gabo amesoma Dini Chuo cha Tanga cha kiislamu
Gabo ukimuacha Huyu dada ntakuchukia maisha yote km fulan
Mmmmh Mie ata nimekodoa macho kwahao vijana wawili hivi nimtu mmoja huyoo au nimapacha kiukwel
Mapezi tamu.ila ukimpata mke mzr mume kuguni atakukunywa damu.
Merry me as a second wife for sure
Nice arabic prayer
Ni mala yakwanza kumuona anatabasamu kbs
Na huu ni USHABA kulishwa watu wooteeeee cake...
Ma's ha Allah
Hbd hongera nakupenda bure gabo
HBD 🎂
Dah mke mzee mbona au makeup jamani dah
MashaaAllah MashaaAllah mpaka machoziyanitoka
Amiin asante kw dua
Hbd. 🙏🙏
Penda sssanaaa Gabo, Duuh,
Mue mnaweka kinywaji cha asili yetu kwenye hizo sherehe zenu mkiwa kama wasanii hapo ilitakiwa mfungue chupa ya togwa na si Shampen.
😃😃😃😃😃😃😀
@@pamelaemmy8180 Hahahahahahaaaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂dah
@@pamelaemmy8180 weeeeee