MASKANI GABO ZIGAMBA NA MKEWE ( TIFFANY STORE ), BALQIS NJUKI & SALUM ABIJAHI || Ep 14

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2022
  • Kipindi Cha Maskani kinawakutanisha watu mbalimbali katika Jamii kwa lengo la kuzungumzia Mada zenye kufundisha, Kuelimisha, Kuburudisha na Kutambua Vitu ambavyo Huvifahamu.
    Kama ilivyo maana halisi ya neno Maskani, sehemu ambapo watu hukutana, kukaa na kuzungumza mambo mbalimbali.
    Kipindi hiki kinalenga kufata maadili yote ya utangazaji yanayoendana na sera na sheria za utangazaji nchini, bila kwenda kinyume na utaratibu wa nchi.
    Kaa karibu na chaneli yetu ya @GABZMEDIA ili usipitwe na uhondo huu wa MASKANI
    SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL : / @gabzmediaproduction
    Follow Us On
    Twitter : maskanilife?s=21
    Instagram : maskanilife?utm...
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 54

  • @keflineomary7998
    @keflineomary7998 10 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana hiyo kipd bg up bro gabo 🙌

  • @SadickTonny
    @SadickTonny 5 หลายเดือนก่อน

    Mko vzr sana jamaa zangu

  • @mwambodzemwangongo3884
    @mwambodzemwangongo3884 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda movie za gambo dzigamba

  • @VictoriaLoth-py6is
    @VictoriaLoth-py6is ปีที่แล้ว +1

    Saf kabisa Mrs Gabo hata Mimi spend ukewenza

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 2 ปีที่แล้ว +1

    Kishaa muko poa kweli kwenye kijiwe maskani

  • @ommyommy3787
    @ommyommy3787 2 ปีที่แล้ว +2

    Yani Gabo kanifanya nimecheka pekeangu nampendaga sana kiswaili chake nimecheka sana

  • @nuwayirally1725
    @nuwayirally1725 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah nzuri sana mwenzangu waweza pata mzuri ila tabia ikawa mbaya na yuko na akili utafanya nn

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 ปีที่แล้ว +1

    Salum abijah akili zake bhana,😂😂😂😂😂et hata miaka 60 ukiletewa unaoa salum eee😂😂😂

  • @zulfamsomali7507
    @zulfamsomali7507 2 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi nimekipendaa Masha Allah ,broo Salim anaa akili Sanaa Masha Allah

  • @semmyblack1375
    @semmyblack1375 2 ปีที่แล้ว +1

    Gabo kipindi chenu kizuri sana najifunza mengi kupitia nyie 🙏

  • @binaljabirmshihirzanzibar8369
    @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 ปีที่แล้ว +1

    Nmeipenda sana2 hii bro GABO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 ปีที่แล้ว +1

    Mada nzuri nimeipenda! Pia nimecheka sana😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @idabajbeery
    @idabajbeery 2 ปีที่แล้ว +1

    Wajaala baynakum mawwaddatan warahma

  • @nasrahussein2118
    @nasrahussein2118 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana gabo

  • @biduali6144
    @biduali6144 2 ปีที่แล้ว

    Safy sana kaka salum kipindi Kipo vizuri sana kwa kweli.

  • @mgdleenknzo9297
    @mgdleenknzo9297 ปีที่แล้ว +1

    Mimi natumia mswaki 1 na mumewangu hivo nimbaya am

  • @annemakaka210
    @annemakaka210 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana. Twendelee vivyo hivyo 👏👏👏

  • @rechoemid283
    @rechoemid283 2 ปีที่แล้ว +1

    Gambo zigamba💯💪

  • @fatmamazige9486
    @fatmamazige9486 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda Sana kuwasikiliza jamani natamani Namimi siku moja niwepamoja nanyinyi hapo mezani

  • @keflineomary7998
    @keflineomary7998 10 หลายเดือนก่อน

  • @umairomar2503
    @umairomar2503 ปีที่แล้ว

    Ashafeli

  • @asimwemayanja2117
    @asimwemayanja2117 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeenjoyyyy hiii video

  • @laylatabdallah2796
    @laylatabdallah2796 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaposema unataka m,me mzuri ujue na uyo m,me mzr anataka m,mke mzr pia so ulielewe hlo

  • @westonphirirobert4260
    @westonphirirobert4260 2 ปีที่แล้ว +1

    Following 📌

  • @laylatabdallah2796
    @laylatabdallah2796 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimempenda uyo dada alovaa baibui ni mstaarab anaongea kwa heshma

  • @kizighahassani5485
    @kizighahassani5485 2 ปีที่แล้ว +2

    I proud of you brother @SALUMU ABIGAY😂😂 mwalimu wangu.

  • @amaninyule8889
    @amaninyule8889 2 ปีที่แล้ว +1

    You are my inspiration bro

  • @amranimussa8847
    @amranimussa8847 2 ปีที่แล้ว +1

    i apriciate bro

  • @jmm1840
    @jmm1840 2 ปีที่แล้ว +1

    Wengi tunaoa
    Na wengi wanaolewa
    Lakini hatuzijui ndoa zina maana gani.Tunaoa na kuolewa kutafuta heshima.

  • @oscarovan9330
    @oscarovan9330 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣Gabo napenda sana the way unaswitch lafudhi yako..the way unacontroll maongez kijiwen..the way unanogesha kijiwe..the way unawarudixha wanakijiwe kwenye mada wakijaribu kuchoropa kwny njia..kna hako kastail mnagonga mikono then mnabuxu halaf mnaguxa kifua imekaa mkao sana...hapo kwnye swala la kuoga hapo naomba agiza tende za 5k nakuja kulipa 🥱🤗🤣🤣🤣🙌🙌

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna kitu nimepata hapa aise shukran sna kwa darsa hili

  • @ndizeyemadjaliwa2024
    @ndizeyemadjaliwa2024 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mimi nauliza dini inasema tuowe wala tuolewe kwa kufuata vingezo viinne sawa kwanza mwenye dini pili uzuri tatu uwezo yani mali zake pia na familia ?kumbe upande wenu akun mambo ya dini ?

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 2 ปีที่แล้ว

      Wa akili ndio wanaotafutwa saii...mataira wasio na akili watabaki na mamazao majumbani.

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 2 ปีที่แล้ว +1

    Omba mume mwema uzuri hata nyoka anauzuri wake, utaula huo uzuri?

    • @gabzmediaproduction
      @gabzmediaproduction  2 ปีที่แล้ว

      😀😀 labda anakula 🏃🏽

    • @hannanommy302
      @hannanommy302 2 ปีที่แล้ว +1

      @@gabzmediaproduction wacha ajisifie tu huyo bwana ameacha wangapi? Halafu siku zote sisi wanawake huwa tukisha jijua tuna ile rangi nyeupe huwa tunajiona kuwa sisindo wazuri jaman soon atamtafuta hata huyo mbaya anaesema

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 2 ปีที่แล้ว

      @@hannanommy302 🤣🤣