Huwez mfananisha smata na Ali kiba wala daimond samata himfananisha na staa wowote Tanzania anajielewa na Juan nini kitakiwa katika mfumo wa dunia na akhera yake big up samata
Bwana samata mungu akujaalie hatakile ambacho hukuomba ilimlad kitafurahisha na kitakuIdishia kuishi maisha ya kumpenda mungu maana unaheshima sana na hekima ,napenda zaid unavyomtaja mungu kitu ambacho hakipo kwa waliofanikiwa wengi
In fact, you have said something that the fear of God here has made me think too far. Thank you, brother. May God protect you and guide you in happiness.
Ndege wafananao huruka pamoja hapa namuona samatta na Ali kiba wakiwa na mawazo yanayoendana Hawa jamaa wanajua walipotokea na Wana hofia kesho Yao na ndio mana Wana nidham na fedha na wanajua jinsi ya kuzuia matamanio Yao hivyo si watu wa starehe kwa sana. Ukitaka kujua mtu ana akili kwa kias gan ni pale anaposhika fedha yake nyingi kwa mara ya kwanza na kuweza kui-control. Bigup samagoal.
Namuomba ALLAH anijaalie siku moja nifanikiwe kununua Bajaj ntaweka picture ya samata kila konaaa 😢😢inshaalllah mana me toyo lakinii natamaniii sanaa sanaa siku moja niwe na Bajaj niipambe kwa picture ya samata wallah😢😢
Safi sana ,FICHA ZAIDI KAKA SAMATA WABONGO WENGI NI WATU WA AJABU ,WANAKUPENDA MDOMONI NA SI MIOYONI ,SO UKIONESHA VITU WENGI UTENGENEZA CHUKI ZA KUONDOA ATA UHAI , SO WEKA PASS WORD HIVYO HIVYO
Daah yaani katika watu hasa vijana wa Leo ambao hawana makuu na wanacho huyu mwamba na respect Sana na namuombea Kwa mwenyeezi MUNGU ampe maisha marefu yenye maraka tele! Tujifunze Sana katika hili✍️
Mungu akujaalie Afya samatta... MUNGU atazidi kukuinua.. Daaa uko vzr snaaaaa
Mungu akubariki sana Samatta! Una hekima kwa kuwa u mnyenyekevu! Mungu akuzidishie
Very humble Guy. Hongera sana Mbwana Ally Samatta.Mungu aendelee kukulinda na kukubariki.
Way brother
Interview Safi, hongera Kwa muulizaji, hongera Kwa Samata namna anavyokibu maswali
Very interesting interview kwa sisi wapambanaji be humble kwa kile kidogo unachokipata
Mungu kweli fundi, hamjalii mtu kizembe, this is a right one, samata we ni genius
Mbwana Samatta, hongera sana Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza, wewe huna makuu!
Well Allah azidi kukujalia brother
Samatta you are the legendary uzidishiwe
Hakuna kitu kizur kama kumshukuru Mungu God bless you 🙌mbwana samatta
Nawapenda Saana Samata Na Alikiba Big Up💪💪💪
Kivipi yaani😅😅😮
Mungu Akubariki sn Samatta, Kwa kuwa na Hofu ya Mungu, Mungu ndio Kila kitu Hongera sn.
kweli kabisa,kuanza ku cross😩😩😩 dua za watu ni kutokuridhika.una roho ya kitajiri sana na ndio sababu hutopungukiwa.hongera.
Huwez mfananisha smata na Ali kiba wala daimond samata himfananisha na staa wowote Tanzania anajielewa na Juan nini kitakiwa katika mfumo wa dunia na akhera yake big up samata
Nawapenda sana wewe na mbwana samata na ally kiba mko na moyo Wangu walah💋🙏
Samatta na ally kiba walitakiwa kuwa ndugu jamn 😊vitu ving wanaendana hasa life style ALLAH AWAHIFADHI
Acha kumfananisha samatta na vitu vya kijinga
Ameen
true
Samaboy!
Brilliant, very smart and humble!
Kijana mwenyezi Mungu akupe Maisha marefu sana,akutunze pamoja na familia yko,unahekima sana na umenibariki,Mungu akusimamie kwa kila jambo
Bwana samata mungu akujaalie hatakile ambacho hukuomba ilimlad kitafurahisha na kitakuIdishia kuishi maisha ya kumpenda mungu maana unaheshima sana na hekima ,napenda zaid unavyomtaja mungu kitu ambacho hakipo kwa waliofanikiwa wengi
Dah brother allah akufanye uwe na hyo roho
Haina kufeli one day yes captain mbwana mungu alkujaeli miaka mingi
Samata nimekupenda kijana wangu tofauti na wakina Good lucky (Kijana mdogo tajiri) anavyoonyesha hela zake
Hofu ya Mungu kui control pesa, daah safi Sana, kijana yuko humble
Maashaallah ushaahijiii kaka baarakallah fiikum
Mtangazaji smart sana🎤
Si mshabiki wa mpira lakn nmekukubali Sanaa broo😂😂
Ata mimi naami kua kila wanafanana❤❤❤❤
Unaakili sanaaaa kaka allah azidi kukuweka 🙏
Uyu jamaaa kumroga nikazi sana😂😂😂😂
Apo umesema bro,kuna cc tunaomba tupate 2 chakula kama unavyosema.hongera sna bro...
Mtangazaji unajua, unajua, unajua saana kuuliza, Big up Samata !
In fact, you have said something that the fear of God here has made me think too far. Thank you, brother. May God protect you and guide you in happiness.
😅😅y4x ģ❤
So humble guy.. Mengi ya kujifunza.
Samata one❤ MY brother mtoto anabidi aoneshe mfano mzuri wa kutafuta pesa.nimeipenda iyo
Mungu akuzidishie uko vizuri simtu sifa
Hongera sanaaa mwamba mungu akupe wepesi❤❤❤❤
Masha Allah 🍀🍂. Mwenyezi mungu amejali 🙏👏❤️
Ukitaka Pesa Idumu Nawewe, Jifanye Huna Hata Kama Unazo. Na Ukijifanya Unazo Kabla Hujazipata Sahau Kuhusu Kukutana Nazo. (Pesa Ina Nidhamu Yake).
Point naomba Mungu utusaidie
Brother allah akufanye uwe na hyo roho dah
Mashaallah kijana mungu akuzidishia usiwe na majivuno
Namkubali sana Samata na king kiba Huwa wapendi kuweka maisha Yao hazarani ila Kuna mtu anajiita Simba uyo anapenda kiki sana😂😂
Naombeni jina la huyu mtangazaji anajua sana maswali hayakeri ni tofauti na watangazaji wengine
Smart =to samata
Chief Good love
Kwer mungu hamtupi mjawake samatta ww ni mtu wa pekee ambae kwenye interview nimekuerewa sana
Uko vzr sn mbwana kwl kuna watu wanauhitaji wa kitu kdg tu wanakosa we unaomba kununua ndege mungu akufanyie wepes mzee
ALLAH akufanyie WEPESI
Well done dogo samata ,stay blessed
Kuna tofauti kubwa kati ya samata na diamond ,Diamond kutw
Kuonesh hela zake mtandaoni
Atleast leo umeiongelea vizuri simba 👏👏👏👏👏
Baarik Allahumma feekum. You're very smart and humble. Even the way you are answering the questions. May Allah protect you.
Safi sana kwa muuliza maswali👏
Big point bro ur bright umeongea vitu ambavyo ni sahihi🙏
Wanaopata mali za maagano ndio wanaosumbua watu kama hao wasanii wenu, ila mali halali unakuaga poa sana coz una jua kwamba only God
Tafuta hela acha nongwa
Angekuwa GOODLOVE 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Dah yule jamaa hana kityu kabisa na anajisifia sana yule chief godlove 😂
Hahahaaaaa umetisha kaka
Bwana samatta kaongea vizuri sana hongeraa
Hongera sana Mbwana Samatta kwa majibu mazuri na mayo wako wa kutokuwa na tamaa ya vitu
Ndege wafananao huruka pamoja hapa namuona samatta na Ali kiba wakiwa na mawazo yanayoendana Hawa jamaa wanajua walipotokea na Wana hofia kesho Yao na ndio mana Wana nidham na fedha na wanajua jinsi ya kuzuia matamanio Yao hivyo si watu wa starehe kwa sana.
Ukitaka kujua mtu ana akili kwa kias gan ni pale anaposhika fedha yake nyingi kwa mara ya kwanza na kuweza kui-control. Bigup samagoal.
U know brother.
Contented🔥✅
Verry nice
Smart indeed
Hongera kwa hekima zako.
Ayo maneno dawa sio mtoto aseme baba ana mali apambane kwa jasho lake nayeye big up
MashaAllah ALLAH akuzidishie
Man Of The Peoplezzz
Acha mungu hampe zaidi ya hapo kajenga misikiti kwetu hata 6 na hukute hanajipromoti kama washamaba daimond au konde
Konde alishawah kupromt msikit gan au kitu gan acha ushamba ww
If humble was a person 🙌🙌
Hongera sana Mungu awe na wewe ❤
Hahhh nimefurah saana sentensi aliyomalizia tunaambiwaga wengi saana maashaallah
Namuomba ALLAH anijaalie siku moja nifanikiwe kununua Bajaj ntaweka picture ya samata kila konaaa 😢😢inshaalllah mana me toyo lakinii natamaniii sanaa sanaa siku moja niwe na Bajaj niipambe kwa picture ya samata wallah😢😢
Hii video atumiwe chief godlove
Mashaa Allah
Uko vizuri kijana ubarikiwe
❤❤❤❤❤❤❤❤ umeongea sawa kaka
Saluti bro viva sana kaka
Mtangazaji ningekua natuzo ningekupa umetisha hatar Yan 🔥
Mungu akubariki sanaaaa
Soo good 👍👍
Safi sana ubarikiwe
Samatta 🤝 Alikiba
Safi sana ,FICHA ZAIDI KAKA SAMATA WABONGO WENGI NI WATU WA AJABU ,WANAKUPENDA MDOMONI NA SI MIOYONI ,SO UKIONESHA VITU WENGI UTENGENEZA CHUKI ZA KUONDOA ATA UHAI , SO WEKA PASS WORD HIVYO HIVYO
Sama tta end kiba🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Sama kiba respect sana
Safi sana Diego
Busara na nidhamu msingi wa maisha bora Big up
Alikiba na samatta tabia zao zinaendana sanaa
Sammata akili 🧠 kubwa. Big up bro.
Yaaan samata Ni star mkbwa sna lakin hata ndoa yake tu aliifnya kimyakinya Ila ningekuwa mm duhhh
Mnyarukolo kamwene 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Samagoal popa Allah akulinde
Samata mungu akubariki unasemaukwel
Humble man
SAMAKIBA FOUNDATION WAMEFANANA
The truth has been spoken!
Kudos sana,home boy. ✊💪🤝
Mm n
Daah yaani katika watu hasa vijana wa Leo ambao hawana makuu na wanacho huyu mwamba na respect Sana na namuombea Kwa mwenyeezi MUNGU ampe maisha marefu yenye maraka tele! Tujifunze Sana katika hili✍️
Waiting for samakiba
Uko powa sana
Icon
Jamaa Yuko vizuri sana