PT 1. Muonekano Halisi Wa Ulaya Vijijini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 เม.ย. 2023
  • Huku ndio ushagoo ya ulaya, huku ndipo kuna project nyingi za kilimo cha mazao na mifugo. Ni nje kidogo ya miji mikubwa lakini huduma zote za kijamii ni za uhakika na kufika miji mikubwa ni rahisi sana kutokana na usafiri wa uhakika wa treni za mwendokasi, mabasi na usafiri binafsi kwenye barabara zinazoruhusu kuendesha kwa speed kubwa (Autobahn)

ความคิดเห็น • 16

  • @mohrecaps
    @mohrecaps ปีที่แล้ว +1

    Kaka una kitu kaka endelea kutupa taarifa

  • @thomasmwasongwe7790
    @thomasmwasongwe7790 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka please naomba ushirikiano wako please nisaidie na mm naitaji kuja huko us kufanya kazi brother naomba msaada wako brother.

  • @ngumaimani276
    @ngumaimani276 ปีที่แล้ว

    Mashamb makubwa san

  • @godfreybahitwa4798
    @godfreybahitwa4798 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka kwa taarifa hii. Najifunza

  • @harmonize_tz774
    @harmonize_tz774 ปีที่แล้ว

    Good sana Mzee keep it up

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka mnanipa hasila ya kuja ulaya maana nia nina uwezo ninao shida njia za kukuji ndo tatzo ila nataman one day nije kupika kazi ulaya

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  5 หลายเดือนก่อน

      Kwa sasa una uzoefu au taaluma gani mkuu

    • @mkingageorge2641
      @mkingageorge2641 5 หลายเดือนก่อน

      Mimi ni dereva ndo taaluma yangu elimu ni darasa la 7

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 ปีที่แล้ว

    Tuambie hayo ni mashamba ya nini

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      Mengi hapo ni mashamba ya Canola, mahindi ya njano na ngano

    • @mkingageorge2641
      @mkingageorge2641 8 หลายเดือนก่อน

      Jmn hata kufanya kazi humu wanataka tujue lugha jmn duh ongeeni na weenye mashamba tuje kupigika kaka