Kwanini Watu Wanaenda Ulaya Mashambani na Bongo Yapo | Mahojiano na Witness Vlogs

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ค. 2023
  • Unahitaji kujua utofauti wa mashamba ya bongo na mbele?, Unatamani kujua mbinu ipi ya kutumia kama huna degree au diploma? Je una degree au diploma na ungehitaji kupata mahali nje ya nchi kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye sekta ya kilimo na mifugo?. Basi kama ndio hii ni yako, sikiliza bila kuruka.

ความคิดเห็น • 29

  • @Azde131
    @Azde131 8 หลายเดือนก่อน +1

    Msamehe tuu huyo Dada Yako. Umefanya vizuri Sana kaka kutoka. Wengi tunatamani kutoka ili tujifunze Ni vile hatujapata fursa hongera Sana.

  • @Azde131
    @Azde131 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupongeza kaka yanu. Wewe piga kazi. Tuko nyuma yako tunakuja.

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 ปีที่แล้ว +2

    Ukirudi uonane na waziri Hussein Bashe ni Smart sana msaidiane tuijenge Tanzania

    • @MrBless-lz1pf
      @MrBless-lz1pf ปีที่แล้ว

      Wanini sass? Atasaidia nini?

  • @bennywalase1434
    @bennywalase1434 ปีที่แล้ว +1

    Kiufupi tu huwezi kuli sukuma gari ukiwa ndani ya gari hivyo basi lazima utoke nje ndipo uweze kulisukuma ..toka nje ya tanzania ndipo utajua nini unaweza wekeza Tanzania pia tunatoka kwajil ya kuongeza mitaji na maarifa...brother piga kaz ongeza kipato na maarifa kwajili ya maslahi binafsi na kesho kwa maslah ya jamii..tupo pamoja sana

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 ปีที่แล้ว

    Asante sana eliasi na witness watu wajue kufanya kazi nje inàlipa zaidi,hata Kuna wafanyakazi wa manyumbani wanalipwa pesa nzuri sana

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Elias na whitnes...
    Umeeleza vema Sana, Wasiojua hawajui, mnaojua mnajua tuu.

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      asante sana Hellen

    • @hellenmawere9284
      @hellenmawere9284 ปีที่แล้ว

      Mungu akusimamie Kila hitaji lako likatimie kwa wakati wake.

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog ปีที่แล้ว +1

    🔥🙌🏾🙌🏾🙏🏾 It always nice catching with you.

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      Thanks so much for support too

  • @anita-nv4kk
    @anita-nv4kk ปีที่แล้ว

    kweli ni vizuri kupata uzoefu naamini hiyo itakupa mwanzo mwema

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 ปีที่แล้ว

    Leo acha ni subscribe mana nikisikia mtu yuko Germany moyo wangu unastuka sana I wish one day

  • @benadethaapolinary3900
    @benadethaapolinary3900 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri bro

  • @SamaSports_Tv
    @SamaSports_Tv ปีที่แล้ว

    Kingne gift Kama ni mvivu asije Kwa wazungu😂

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 ปีที่แล้ว

    Je you tube ya eliasi inaitwaje tumsaport

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Channel yangu inaitwa Eli Tips th-cam.com/channels/PfAl4r27yoH3_IeNjALxRQ.html

  • @mrlongrichlongrichagent1929
    @mrlongrichlongrichagent1929 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka channel gani youtube ulisema tunaweza icheki kujifunza kijerumani?

  • @georgeascona5457
    @georgeascona5457 ปีที่แล้ว

    bro ukiwa na age above 33 vp unaweza kupata kazi au ni below 28 tu?

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Habari George, kwa ujumla kazi haina restriction ya umri but kwa program moja moja lazima kigezo cha umri kifikiwe. kwa Training au internship ni below 30 kwa dual training wanachukua mpaka zaidi ila unakuwa kwenye program na watu wa 18 mpaka 25 ambao ndo majority age kwenye hizi program

    • @GodiGodi-im5wi
      @GodiGodi-im5wi ปีที่แล้ว

      Je naitaji ata Mimi kuja uko kufanya kazi shambani naomba namba

  • @racheljoseph-nm5dp
    @racheljoseph-nm5dp ปีที่แล้ว

    Kaka piga kazi hao wanaongea wote huo niwivu wanatamani nahao waje wanashindwa chaumuhimu pambana naMungu akutangulie sisi watanzania aslimia kubwa hatupendani wivu umejaaa

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      asante sana Rachel

    • @praisetashblessed7065
      @praisetashblessed7065 ปีที่แล้ว

      ​@@EliTaarifa Asante kwa kutufungua macho..sasa lazima mtu awe na vyeti vya kuhitimu mambo na kilimo au animal production au pia mtu akiwa na ule upendo wa ukulima aweza pata job ..pls respond

  • @janemakemo5635
    @janemakemo5635 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nakuunga mkono wewe fanya kazi kwanza Tanzania hawezi kukulipa vizuri Kama wanavyolipa uko nje ,Tanzania hawana ajira na mshahara wao ni hafifu wewe piga kazi usijali wanakuonea wivu