Hatua Kwa Hatua | Fursa ya Internship na Kazi Ujerumani Kupitia Bixter Training

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 เม.ย. 2023
  • Maelezo kamili kuhusu sifa, mahitaji na namna ya kufanya maombi ya internship, training na kazi nchini Ujerumani kupitia Bixter training.
    bixter.training/

ความคิดเห็น • 20

  • @legatz
    @legatz 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mno kaka Eli..unajitoa Sana kwa ajili yetu 🙏🙏

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka nambo namba yako

  • @mafrikanws
    @mafrikanws ปีที่แล้ว

    Asante kk Eli sidi kutujulisha zaidi

  • @mafrikanws
    @mafrikanws ปีที่แล้ว

    Piya Ata ukipata fursa za kazi za kawaida mtujulishe

  • @andreacharles242
    @andreacharles242 ปีที่แล้ว

    Nikiwa nimesomea bachelor ya human resources management, cwezi kupata kwenye hotel

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Habari Andrea, Siwezi kuwa specific sana but naamin kuna possibilities kila mahali so my best advice naomba uwaandikie email info@bixter.com na ueleze exactly situation yako, nitafurahi ukishare feedback nasi. Asante

  • @anoji260
    @anoji260 ปีที่แล้ว

    Ivi mfano vyuo vya private vya kilimo vipo qualified kwel

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Chuo kama kimesajiliwa na kinatambulika hamna shida

    • @anoji260
      @anoji260 ปีที่แล้ว

      Sawa

  • @hildagathngaponda6089
    @hildagathngaponda6089 ปีที่แล้ว

    Hi
    Asante sana kwa interested content...no very clear.. nilikuwa nataka kujua in all process Hadi nauli gharama zake ilikuwa sh ngapi?

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Hello Hildagath. Gharama yao ya kukutafutia nafasi ni kati ya euro 650 mpaka 1300, gharama ya visa ni euro 75 na nauli ni kuanzia euro 500 ... hivyo kwa makadilio ni kama Tsh. 5,500,000. Ninaandaa video pia ya jinsi ya kupunguza gharama hio.. natambua ni ghali na ni ngumu kwa kila mtu kumudu.

    • @hildagathngaponda6089
      @hildagathngaponda6089 ปีที่แล้ว

      @@EliTaarifa okay Asante

    • @paulmuro6971
      @paulmuro6971 ปีที่แล้ว

      Kaka hivi hakuna internship ya fully funded?

  • @GodfreyMdemu-uw2lv
    @GodfreyMdemu-uw2lv ปีที่แล้ว

    Kwamfano sisi hatuja fika secondary kazi zetu hakuna tunaitaji.

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      Ninaendelea na utafiti nikipata fursa kwa ajili yenu nita share hapa

    • @GodfreyMdemu-uw2lv
      @GodfreyMdemu-uw2lv ปีที่แล้ว

      @@EliTaarifa pambana hata ukipata za kawaida tujuze Eli.