Jifunze Kijerumani Tanzania | Ongeza Wigo Wa Kupata Fursa Zaidi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 เม.ย. 2023
  • Goethe Institut Tanzania inatoa kozi za lugha ya kijerumani kwa njia ya darasa na mtandao. Kujua lugha ni kuzidi kupanua wigo wa fursa na kurahisisha upatikanaji wake.

ความคิดเห็น • 18

  • @ShaniAbdala
    @ShaniAbdala 4 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kutujuza habari muhimu jmn hizo kaz zakujitolea zinahitaji watu waumri na inachukua muda gani mbak kupata nafasi

  • @shukurukisuguru6461
    @shukurukisuguru6461 11 หลายเดือนก่อน

    habari kaka Eli...! hv ile BFD ya kuvolunteer..inakuwaje kuwaje!! km utabahatika kupata....nauli inakuwa juu yako eeh!!?

  • @godfreybahitwa4798
    @godfreybahitwa4798 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana!

  • @bakarishareeff1111
    @bakarishareeff1111 ปีที่แล้ว

    Nice bro ngoja 2pambane

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo hapa unamanisha kusoma A1 mpka B1 jumla ni milioni 1 na laki 8?

  • @missnamwambemomentstv7753
    @missnamwambemomentstv7753 ปีที่แล้ว

    Kigerman tunajifunza...but hatuna elimu yakutufanya tufike nje 😢

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano mm Niko tayali kujiunga.

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Unaweza wasiliana nao kupitia +255 742 180 800

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 ปีที่แล้ว

    Kwanjia ya mtandao, online

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      unaweza fanya mtandaoni au darasani

  • @missnamwambemomentstv7753
    @missnamwambemomentstv7753 ปีที่แล้ว +1

    Unamshaurije mtu ambye ameishia form 4, na ana ndoto za kufika ugerman?? Je? Anaweza kusomea hii course ya kigerman?? Au aachane nayo tu!?

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      Ndio namshauri asome kijerumani harafu akipata cheti auombe nafasi za vocational training (ausbildung) ambayo ni kujifunza kwa vitendo huku ukifanya kazi.

    • @missnamwambemomentstv7753
      @missnamwambemomentstv7753 ปีที่แล้ว

      @@EliTaarifa wooow..!! Huyu mtu n mm sasa....hyo vocational training ikoje? Si watahitaji chet Cha veta?? Km utojal naomba no yako ya whatsap kwa ajil ya kunbriefy..

    • @BibianTz
      @BibianTz ปีที่แล้ว +1

      ​@@missnamwambemomentstv7753 huitaji veta ukiwa na Germany language level B1 kutoka goeth unaomba izo Kaz online na kujitolea kwenye nyumba za kulea wazee ( ausbuilding,FSJ au Aupair kama umri unaruhusu) cha muhimu jua kwanza lugha.
      Guten Morgen 😅

    • @missnamwambemomentstv7753
      @missnamwambemomentstv7753 ปีที่แล้ว +1

      @@BibianTz asnteh clement....swali la mwsho...uwez kuipata hyo B1 or B2 km ujavuka hizi level za A1 sio?🤔

    • @BibianTz
      @BibianTz ปีที่แล้ว +1

      Haiwezekani lazima uanze A1 then A2 afu B1 ila kama utaweza ili kusave money soma online then nenda kabook mtihan mana unalipiwa, ila iyo lugha n ngum nkushaur nenda kasome A1 chuo then soma A2 na B1 online then book mtihan.