Hii Ni Marekani Usiyooneshwa Kwenye Tv | The America You Won't See On Tv...HUKU YUES

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2022
  • Nilitembelea mtaa unaitwa Skid Row uliopo Downtown Los Angeles. Skid Row ni mtaa ambao una idadi kubwa ya Homeless (watu wasio na makazi). Yote hayo yamechangiwa na hali ngumu ya maisha, madawa ya kulevya, matatizo ya akili n.k. Tembea na mimi ujionee yaliyojiri Skid Row, Los Angeles. Pia, nipe MAONI yako kuhusiana na hilo, And let me know which streets you'd like me to tour next.
    Also, Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching!
    🔸FOLLOW ME ON;
    INSTAGRAM: / jacchalz
    #hukuyues #losangeles #mtaani

ความคิดเห็น • 946

  • @jackwausa
    @jackwausa  9 หลายเดือนก่อน +2

    Please SUPPORT me by joining here;
    patreon.com/JackWaUSA

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 ปีที่แล้ว +111

    Kenya my country I wil never leave you🥰🇰🇪🇰🇪

    • @ianjesse8525
      @ianjesse8525 ปีที่แล้ว +1

      Hi I wonder why people leave there home country where leave your villages to go sleep on the street in USA iam shocked

    • @Official_S.u.m.m.e.r
      @Official_S.u.m.m.e.r ปีที่แล้ว +7

      You'll never leave your country because you don't have a VISA😂😂😭😭😭😂😂😂

  • @mosesbarofa4419
    @mosesbarofa4419 ปีที่แล้ว +21

    Kulngana na America kazi zipo bt mostely hao wnye wko homeless n wnye hawapend kufnya kaz n wavivu ndo wanajpata katka hal hiyo bt america kuna opotunities

  • @kyogherocosmas6736
    @kyogherocosmas6736 ปีที่แล้ว +16

    Thanks for showing the world how life is in the state big bro,much love en respect 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 from🇺🇬 Uganda

  • @miriammollel6244
    @miriammollel6244 ปีที่แล้ว +29

    They call it Africa. We call it home.

  • @irenemwakalinga4350
    @irenemwakalinga4350 ปีที่แล้ว +22

    Unatoka home unategemea kupata maisha mazuri huko the unakutana na hyo situation lazima uwe chizi Tanzania nchi yangu nakupenda sanaaaaaaaa

    • @bonifaceomallya9201
      @bonifaceomallya9201 ปีที่แล้ว +1

      Irene Africa tuna maisha mazuri sana hata hao watu wa Americans na European wanatamani wangezaliwa Africa huku vitu vingi ni natural vyakula n. k mie ujanishauli bado kuiama Africa au nch yangu Tanzania 🇹🇿 naipenda sana kwa keli

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +1

      @@bonifaceomallya9201, vtu vingi ni natural lkn pesa ipo? Acheni akili dumafu tembeeni akili zitqnuke. Nchi imejaa udhalimu kuanzia serikalini mpaka mitaani yann? Hao wtto wa viongozi wazee wao wanaokulq nchi na wamejaa tele nje nyie wtto wakimasikini mmeganda Tnz mnachokipqtq hakijuilikani zaidi ya kukwangiana na kufisidiana msotokq nje mkatafutq maisha.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      @@bonifaceomallya9201, nchi nusu na robo ya raia wake akilala hakijui atakachokula asubuhi??? Halafu mmeshika naipenda sana naipenda sana…labda mna mambo yenu wenyenu yanayokuekeni bila ya hivyo km mnapata fursa hakuna atakaekaa huko

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      Nchi ya mnyonge kunyongwa. Mana unapanga mihogo au mafungu ya tungule unauza na hayo hayo unaambiwa ulipie hii na kile

  • @samuelmaondu2465
    @samuelmaondu2465 ปีที่แล้ว +10

    Run Murife! That place is a no go zone and the funny thing it neighbors one of the most expensive places in LA

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 ปีที่แล้ว +7

    Kumbe na huko Kuna iyo hali? Nakupendaa Tanzania yangu, asante Mungu hata kwa maisha haya niliyonayo🙏

    • @enockmwanyonga9403
      @enockmwanyonga9403 ปีที่แล้ว

      Hao wengi si wazawa, ni wahamiaji halamu na serikali ya USA inatafuta ufumbuzi,wa kwetu wanalala kwenye mitalo, na hakuna anayejali, waulize panya road

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 ปีที่แล้ว +127

    🇹🇿SAFI SANA ILA TAKEA BROO🔥 USIJE UKAANGUKIA KIFO JIHAZAR HAO WAT HAWANA ZAMANA UNAONYESHA MAZAIF YAO DAKIKA TU WANAKULAZA 🔥🔥

    • @nelsonnyamle
      @nelsonnyamle ปีที่แล้ว +8

      Kuwa makini kaka

    • @abdallahmgaya7521
      @abdallahmgaya7521 ปีที่แล้ว +18

      Halafu Wajinga Fulani wanadiriki kusema no Bora ukazaliwe ukiwa MBWA Marekani kuliko kuzaliwa BINADAMU Tanzania.
      HIYO NDIO MAREKANI HOVYO TU

    • @abdallahmgaya7521
      @abdallahmgaya7521 ปีที่แล้ว +5

      Na hii ndio maana wamarekanikatika katiba yao wameidhinisha kufirwa ni Halali.

    • @aishaaisha4549
      @aishaaisha4549 ปีที่แล้ว +2

      Kweli

    • @SAM_163
      @SAM_163 ปีที่แล้ว +6

      FREEDOM OF SPEECH INAZINGATIWA SANA US WALA HAKUNA SHIDA ZIPO NYINGI TU HIZI VIDEO ZA KIINGEREZA. XO HAKUNA WAKUKUFUNGA WALA KUKUUA IPO IVYO.

  • @waziriwahekima6824
    @waziriwahekima6824 ปีที่แล้ว +8

    Africa ndio kwetu uko Ni kwawatu Mimi nikitajirika Africa nashukuru Mungu

  • @oscaroscar2555
    @oscaroscar2555 ปีที่แล้ว +4

    I do appreciate kaka umesoma unaongea kama umezaliwa marekan kaka salute kubwa

  • @davisalphonce7001
    @davisalphonce7001 ปีที่แล้ว +4

    I lived in South Korea, a lot of people are homeless,beggers amd poor.Yaan wakiwa huko wanafikiria kuonesha umasikini wa Africa but kwao pia wapo.If u had ever gone abroad,utakuja kugundua kwamba life ain't good at they show us on TVs

  • @prosperousbuildingconstruc3500
    @prosperousbuildingconstruc3500 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda Kenya mamangu na babangu
    Sitahama isipokuwa nimeitiwa kazi poa

  • @francescafrancesca8901
    @francescafrancesca8901 ปีที่แล้ว +9

    No paradise in this world.
    Just work hard na upange maisha yako ya kesho njoo utaishi.
    This is the land of opportunity for someone who works hard and has a goal.

  • @edsonjastin-vi6zj
    @edsonjastin-vi6zj ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kaka hii nadhani ni bora zaidi ya jinsi mtu anavyoweza kudhani kwasabu tunalo kundi kubwa la vijana afrika sio wazalendo hata kidogo yeye mambo yakiwa magumu basi anawaza bora angekuwa maandishi matatu Yani USA ambapo kiufupi maendeleo Yako yataletwa na ww mwenyewe sio Hawa wakoloni hivyo Asante sana.
    ASHÉ

  • @babalawo72
    @babalawo72 ปีที่แล้ว +10

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 first my dear brother what's behind of the history of those homeless bro be careful hawo watu unawo wasema hawana makazi Wali sababishwa na nini kwa kila kitu kina sababu yake Ndugu yangu hata nyumbani ukiwa hujali maisha yako hujitumi hakuna mwenye atakujali na hawo watu niwale walikuwa hawasiki kabisa sasa acha kuwakatisha Tama Ndugu zako hakuna mahali unaweza ukaishi maisha mazuri bila kuyatafuta my bra be careful what you are doing is risk for you tahazari kuwa makini kabisa Ndugu zanguni marecani ninzuri kwa yule anaye fuwata sheriya ilatu ukavunja sheriya utakuwa kwenye utata all my dear brothers and sisters yeah all welcome to America 🇺🇸

    • @tinahmbiseofficial5812
      @tinahmbiseofficial5812 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli maisha bila mapambano popote uyapati

    • @anjellastanislaus8102
      @anjellastanislaus8102 ปีที่แล้ว +1

      Nimekuelwa brother ila mi naimani kbsa ukijituma unatoboa wazungu wanapmbna sana awo watu ukienda mwadui shinyanga wanapmbna faata mlolongo wote kuanzia vibari kila kitu naisi utaishi vzri tu na kazi yyte pga unatoboa tu mi nikipat chance narka vzri tu

    • @lucykinyanjui438
      @lucykinyanjui438 ปีที่แล้ว

      Thus true, watu wajitume ndio dawa ya kupambana na umaskini

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 ปีที่แล้ว +8

    Damn,Kudos bro drop more contents hommie n keep disclose them😆

  • @melvinsweed4763
    @melvinsweed4763 ปีที่แล้ว +4

    Wawonyeshe Kaka,wajuwe ukweli, wasizani apa ni heaven !

  • @itskisaka
    @itskisaka ปีที่แล้ว +9

    *Kazi nzuri bro*

  • @davidmwangi1420
    @davidmwangi1420 ปีที่แล้ว +55

    A very important tour of that hidden side of life in the US. My thoughts are, in a place where life is so fast & competitive, bills so high, and generally so difficult to make it in life in spite of the opportunities that may be out there, it is an extremely bad idea to fall into a life of drunkenness and drugs. You soon lose everything including the eligibility to be employed any where. You ruin your life completely and live on the streets. Likewise its just as bad to get into gambling and a life of false luxury and accumulating credit card debts there living fancy to impress people. Soon everything you have is repossessed. Don't even go to getting a child and having to pay child support. It will finish you. Just be prudent in life. Be wise and be frugal and modest.

    • @mory1084
      @mory1084 ปีที่แล้ว +2

      True I love your advice

    • @lucyatieno1249
      @lucyatieno1249 ปีที่แล้ว +1

      Alaaaah 🙄 kumbe uko pia Kuna ghetto lkn Sasa shida ni kulala barabarani

    • @davidmwangi1420
      @davidmwangi1420 ปีที่แล้ว +1

      @@lucyatieno1249 yes there are. Really sad to see. Kwa street zao madawa za kulevya ndio nyingi na hawapati food rahisi.

    • @davidmwangi1420
      @davidmwangi1420 ปีที่แล้ว

      @@mory1084 thanks 👏🏾

    • @tuforu4
      @tuforu4 ปีที่แล้ว +1

      Your very CHEERFUL i bet

  • @joelmusebe2141
    @joelmusebe2141 ปีที่แล้ว +27

    Thank you for your information,some will think that America is the richest country in the world,every country has rich and poor.

    • @abdallahnjate8520
      @abdallahnjate8520 ปีที่แล้ว

      But Africa countries......80% poor,america 20%.....kimahesabu wapi rahisi kutoboa😃

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      @@abdallahnjate8520. Nahao masikini wamarekani ndio watu wenye maisha ya kati Afrika mana wa akili vzr, wanavaa na wanafanya yao japo kua si yakifahari. Lkn anaonyesha wala unga akatishe wenziwe tamaa

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdallahnjate8520washkaji wanalinganisha Amerika na Afrika eti dah😅

  • @lD20595
    @lD20595 ปีที่แล้ว +6

    Nyumbani ni nyumbani Kenya mama yangu I love you wacha ikaye

  • @kwizeraclaude9228
    @kwizeraclaude9228 ปีที่แล้ว +2

    Thank u guy.keep giving us updated news like that ma man

  • @emmanuelzani2889
    @emmanuelzani2889 ปีที่แล้ว +12

    Mmm, kumbe mimi nina maisha mazuri sana Tanzania, asante sana kwa taarifa hii. Kabla ya taarifa hii nilijua wote wanaoishi huko ni watu wa matawi ya juu, kumbe mambo ni haya!!! 😳

    • @danielotieno4042
      @danielotieno4042 ปีที่แล้ว

      Na huyo jamaa jiulize yeye anafanya nini huko kama hali ni mbaya hivyo!

    • @emmanuelzani2889
      @emmanuelzani2889 ปีที่แล้ว +1

      @@danielotieno4042 Hali siyo mbaya kwa wote, la hasha. Ila kuna watu wanaoishi maisha mabaya sana. Asante.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +1

      @@danielotieno4042 kwani yeye kakwambia kma anaishi hpo yy anasema muyaone maisha ya nchi ili musione kila sehemu maisha mazur maaan akili zenu waafrica zimelala mnaona mtu akiwepo nje ya nchi bs katoka kimaisha

    • @celinamutta5058
      @celinamutta5058 ปีที่แล้ว

      Dunia ni ile ile. Binadamu ni wale wale. Kwa wale waliotembea dunia, nami nikiwa mmojawapo, ni wapi ulipoenda usikute maskini aka homeless people? Ni viwango tu vimepishana. Weupe na weusi ni rangi tu, umaskini haujali rangi wala taifa. Marekani na Africa ni ramani tu. Maisha ni yale yale tu.

    • @celinamutta5058
      @celinamutta5058 ปีที่แล้ว

      @@danielotieno4042
      Huyo anatafuta umaarufu kwenye mtandao watu wajue yuko huko. Kama wewe ni mbongo, hata kama hujatembea mataifa, jua kwamba hii hali iko( nachelea kusema duniani kote) ! Umaskini na utajiri viliumbwa ili tofauti iwepo. Na hii ni mpaka mwisho wa dunia( ikiwa kama kweli mwisho utakuwepo)😂😂😂

  • @Idysalim
    @Idysalim ปีที่แล้ว +7

    Wewe....! Thanks bro for taking us to America without visa and passport, my country Kenya I will never let you go

    • @chief2177
      @chief2177 ปีที่แล้ว

      The government is fucked up

  • @seafordindasio6792
    @seafordindasio6792 ปีที่แล้ว +19

    Nice content, both Swahili and English used on top notch.

  • @shomaryabdul6862
    @shomaryabdul6862 11 หลายเดือนก่อน +2

    true boy...manake nduguzetu
    Wengi wanababaika na USA...mara south Jipange kwanza...siokukimbilia sehem wakati huna mbinu mbadala

  • @josephnjoroge5649
    @josephnjoroge5649 ปีที่แล้ว +11

    Shukran sana kaka Kwa kutupeleka Moja Kwa Moja Hadi marekani bila visa wala passport Kwa wengine wetu .

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 ปีที่แล้ว +6

    Kenya sihami 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕

  • @salamamsheh7985
    @salamamsheh7985 ปีที่แล้ว +9

    love my african countries are in my heart everyday.

  • @musevenihakizimana5461
    @musevenihakizimana5461 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa tarifa, unafungua macho ya hakiri kwa wengi. Let's think twice and develop our Lovely Mother Land (African Cities).

  • @rozanyansambo8856
    @rozanyansambo8856 ปีที่แล้ว +2

    Lkn imemfanya vizuri kutujuza hongera sn👏👏👏

  • @khalidnibikora6924
    @khalidnibikora6924 ปีที่แล้ว +6

    Bado tunatamani bro...nifanyie mpongo ili niweze kufika uko...pia asante sana ubarikiwe kw kazi yko nzuri

    • @omaribazanga7967
      @omaribazanga7967 ปีที่แล้ว

      Ukiwa na plan njoo usiogope,hao asilimia kubwa washatoka majela hawawezi kuajiriwa,usiogope bata huku kama kawa

    • @khalidnibikora6924
      @khalidnibikora6924 ปีที่แล้ว

      @@omaribazanga7967 sasa ndugu yangu nifanyie mpango tafadhal

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +7

    Sasa kuhusu afrika wazungu huwa wanaonyesha pande kama izi kwenye tv zao. Sehemu nzuri nzuri hawataki kabisa kuonyesha. America is not a better place as many ppl think!

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 10 หลายเดือนก่อน

      Afrika sehemu kubwa ni masikini, Marekani sehemu kubwa ni matajiri

  • @MUSICTRENDINGGLOBAL
    @MUSICTRENDINGGLOBAL ปีที่แล้ว +2

    Nakubali Sana Kaka 🔥🔥🔥

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 ปีที่แล้ว +2

    Mie naona kila nchi Ina udhaifu wake na kila nchi Ina sehem ya maskin kwke kwahyo ni kuomba Mungu akuongoze kwnye maisha ili ufanikiwe asante

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      Nchi za wenzetu umasikini ujitie kwenye drugs utokwe na akili ulale nje km hao. Lkn Afrika umasikini wakukandamizwa kwa makusudi na ulafi wa nchi na viongozi. Mana hata ukiuza mihogo utaambiwq ulipie ushuru. Huna uezo wa kula hata milo 3 midogo kwa siku, ukiumwa mash aka…utabanwa ilimradi usipate hata pesa ya kusave! Labda uibe na hao unaowaona wanaendelea wote wezi wa serikalini

  • @pierretembele8129
    @pierretembele8129 ปีที่แล้ว +4

    Nachakuongezea homeless unyanganywa vitambulisho vyote hadi awezi pata kazi seemu yoyote sasa nakushangaaeni leo ndo unajua homeless bro lakini nakupongeza umeuwa sana kazi kubwa salut faamisha watu wengine unacholijua hiyo nisawa sana 🙏

    • @abuuluqmaana8444
      @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว

      hatar kumbe hao ndio wa kwanza kuvunja haki zabinaadamu haafu huku africa kwetu kwenye amani wanakuja kuwalaghai viongoz wetu na kujufanya wanasaidi watu

  • @rabiinassoro5239
    @rabiinassoro5239 ปีที่แล้ว +15

    Hivyo vyakula vya bule ndo tunavitaka sisi tunakuja kumbe vipo thanks bro.

  • @hassanmkangwa2062
    @hassanmkangwa2062 ปีที่แล้ว +6

    Marekani Maisha ni magumu KWANGU mimi ni sehemu ya Kwenda kutembea na kurudi

  • @gabrielkuria8335
    @gabrielkuria8335 ปีที่แล้ว +5

    I say east or west home, home is always the best

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 ปีที่แล้ว +3

    Kiswahili safi kaka ...pongezi toka Kenya

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +9

    Duh kweli akili kumkichwa wa Africa kila kukicha kukimbilia uko wanasema Kuna Kazi kwaiyo hao wamekosa izo Kazi ?! Nakupenda Tz nchi yangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @fidodido9578
      @fidodido9578 ปีที่แล้ว

      Hao ni watu ambao asilimia kubwa ni mateja Wala madawa kama unavoona mateja bongo

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +1

      @@fidodido9578, si asilimiq kubwa tu ni km wote

  • @Shaflivictor3780
    @Shaflivictor3780 ปีที่แล้ว +1

    Much love bro from 254 men keep updating us love your swahili men ingawaje sisi wakenya tunabonga sheng but that doesn't matter the main issue is that I understand you

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว +1

    Subhana Allah bora nchi zetu wambie maana wanafikiri uko maisha mazuri

  • @christinakiguguzwa5696
    @christinakiguguzwa5696 ปีที่แล้ว +3

    Aah congrats best,, hapa unajifunza kufikiri sawasawa kabla ya kutenda🤔🤔

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 ปีที่แล้ว +7

    Swafi sana kaka endelea kutuhabarisha mzee nas tuone vizur iyo USA ilvyokuwa

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 ปีที่แล้ว +1

    Adamu na Hawa walikuwa wazuri mno badae wakawa wabaya kupindukia,maana hawakuwai kujifunza kupitia ubaya,
    Leo hii yesu amekuja kuwatengeneza wabaya wote wamekuwa watakatifu mmoja wapo nimimi alinibadilisha Mimi ili niwe mfano kwa wengine niliyowafanyia ubaya,Sasa Mungu ameniweka kuwa balua kwa watu Sasa nawafundisha watu wema wa Mungu kwa mtu mbaya Mungu anawatamani Sana watu wabaya ili awafanye watumishi wake,

  • @JerubaalXerxes
    @JerubaalXerxes ปีที่แล้ว +1

    Haya ndo maisha na sisi tunakimbilia kufikia.... ujamaa una nguvu yake kwenye jamii sana ukichanganywa na ubeberu. Ila ubeberu ni unyama unyama...

  • @bboyamos
    @bboyamos ปีที่แล้ว +6

    I am citizen of TANZANIA DARESALAAM I KNOW that no good things coming on easy way I love so much Tanzania and I wish to work in USA (MALENGO NA KUJITUMA NA PIA NIDHAMU ,HESHIMA YA HALI YA JUU)

    • @victorgerryson2695
      @victorgerryson2695 ปีที่แล้ว

      Acha bangi

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      Afrika huna utakachokipata labda uibe serikalini. Hao wafanya biashqra wakubwa karibu na wote wezi wa Mali za umma

  • @cecilykimani4400
    @cecilykimani4400 ปีที่แล้ว +4

    Waaaaah huko ni marekani i can't believe it

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Yes, Ni Marekani

  • @rachelmuhehe7789
    @rachelmuhehe7789 ปีที่แล้ว +1

    Fedha na dhahabu viko kwa Mungu ukizitaka ni kuomba na kufanya kazi kwa bidii na utazipata. Mafanikio yanatoka juu mbinguni siyo Marekani

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 ปีที่แล้ว +2

    Nimekubali mwamba,umetupa chupa la tofauti sana god bless u bob

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      God bless you!

  • @Abdiyoungrashid
    @Abdiyoungrashid ปีที่แล้ว +8

    Remember wat 2pac sayed they have money but can't help the homeless people

    • @dondallas6683
      @dondallas6683 ปีที่แล้ว

      They got money for war but can't feed the poor

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +1

      Sijui Marekani lkn UK wa wanasaidiwa na nyumba wanapewa lkn wanazikodisha wapate pesa wakanunue drugs!

  • @justinamusyoka4986
    @justinamusyoka4986 ปีที่แล้ว +23

    Thank you for sharing.A man we grew up together in the village travelled to US in his early 20's and somehow got lost and absorbed in American street life and I think this is how he lives.He has never visited home ever since he left.
    This are the traps to avoid.

    • @peterkariuki9073
      @peterkariuki9073 ปีที่แล้ว +2

      How did you know he used to live in streets?

    • @pokemon-Go22
      @pokemon-Go22 ปีที่แล้ว +1

      He is probably dead 🤣

    • @veronicawanjiku1763
      @veronicawanjiku1763 ปีที่แล้ว +1

      Kindly when you mean traps what do you mean

    • @davidmwangi1420
      @davidmwangi1420 ปีที่แล้ว +1

      Precisely the case. Unfortunately they never show is this side of life. On the other hand we all like to believe they are doing so much better in America than we are, back home. Which isn't always the case.

  • @mwl.joycekisha1849
    @mwl.joycekisha1849 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa taarifa hii muhimu
    Nina ndugu yangu anaitwa Eliud Kagya tumempoteza huko usa nashani kawa homeless jamani kama tunaweza pata msaada wa kumpata

  • @timosphilipo9916
    @timosphilipo9916 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana bro.. kufanya kitu cha hekima ili wanao sema bora mbwa ulaya kuliko mtu tanzania wajifunze.... siyo kila kinacho onekana kwenye tv ni uhalisia ...

    • @chelseafcinafrica4313
      @chelseafcinafrica4313 ปีที่แล้ว

      Hao unao waona hapo wanamakosa walio ifanya serekalini au walivunja sheria ndo wakajikuta hapo sio eti umasikini ndo sababu huyo jamaa anawadanganya

  • @jackwausa
    @jackwausa  ปีที่แล้ว +28

    Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️
    youtube.com/@Jackchalz

    • @godlovekatemba3162
      @godlovekatemba3162 ปีที่แล้ว +3

      Ahaa kweli Mungu atusaidie maana tuna mawazo ya uzuri tu

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +4

      Wengi utaskia kaolewa uingereza kaolewa paris kumbe maisha yao mabovu na ukiwaambia wakaidi

    • @rachaelnambisi
      @rachaelnambisi ปีที่แล้ว

      .
      Nm .mmm?

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 ปีที่แล้ว +1

      Pow tutaku4 low

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ ปีที่แล้ว

      Bora niendelee kuishi zangu Tanzania 😅😅😅

  • @christopherambrosehb7860
    @christopherambrosehb7860 ปีที่แล้ว +15

    Homeless are everywhere 🇿🇦🇿🇦

    • @zubedagodigodi7319
      @zubedagodigodi7319 ปีที่แล้ว

      tatizo sio homeless kuwa kila sehemu tuna aminishwa malekani kuna maisha mazuli

    • @lawaridihashim5709
      @lawaridihashim5709 ปีที่แล้ว

      @@zubedagodigodi7319 ndio mazur kwan uwongo na kwenye kila Zur baya halikosekani

  • @lucasmanyama2892
    @lucasmanyama2892 ปีที่แล้ว +1

    Thank you brother, I'm speechless

  • @saintliness1629
    @saintliness1629 ปีที่แล้ว +27

    You could get arrested for this, just be careful. Don't let securities see you doing that.

    • @kagege23
      @kagege23 ปีที่แล้ว

      Nkt fuck you when showing about africa who arrests them?

  • @philipomaemaobe6985
    @philipomaemaobe6985 ปีที่แล้ว +4

    Is tiz really! I had a dream of coming to America,but now brother lel me husler back 🇰🇪

    • @maryn7609
      @maryn7609 ปีที่แล้ว

      everything and everywhere has it own beauty and beast,push your dream bro!in Kenya we do have bright n dark side though

  • @mitioneline5189
    @mitioneline5189 ปีที่แล้ว +1

    Labda ungetumia style ya kama mahojiano ... Maana wenzetu hawapendi kuonekana wachini mbele ya nchi zingine , naukiangalia USA ni nchi inayojionesha nikubwa... Utaweza pata shida brother.. badili mtindo ila uko POA
    Umefundisha wadau wenye ndoto zao za kukimbilia huko👏🤝

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 ปีที่แล้ว +1

    Nice content ,umetisha sana

  • @ruthmwaura7893
    @ruthmwaura7893 ปีที่แล้ว +9

    Hi thank you for your information,I never thought that America iko na poor people like that.Take heart& jichunge.

  • @dianalyamuya4809
    @dianalyamuya4809 ปีที่แล้ว +4

    I love you so much Baba God bless you

  • @hezronjacob1365
    @hezronjacob1365 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri kaka

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 ปีที่แล้ว +1

    Asantee kwa ku2juza kaka🔥💪🏾🇹🇿💚🇹🇿💚✌️

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว +3

    Hawana makazi kwasababu wamefanya makosa. Ni tofauti na tanzania mtu akifanya makosa maisha yanakwenda. Hapa marekani hakuna .Ukifanya makosa tu Kuuwa, mwizi, kupingana kwenye makampuni Ulevi, social Security inawekwa X huwezi kuajiliwa sehemu yoyote ile. Wakiingiza zile. Namba social security kwenye computer wanaona makosa yako yote huwezi kupewa kazi. Kwa hiyo huyo kijana anawadanganya. Hao mnawaona wako barabarani wamefanya makosa Tofauti. Tofauti . Na Ndiyo wako barabarani.Kama hajafanya makosa Marekani ni sehemu nzuri sana kuishi. Una fanya kazi maisha yanaendelea.

    • @jackyjacob2105
      @jackyjacob2105 ปีที่แล้ว

      Acha kupingana na ukweli na hayo mazigira jinsi yalivyo na hapo pia utasema hawajui kufanya usafi pachafu wanakojoa hovyo et wanamakosa 😏😅😅😅🤪

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 ปีที่แล้ว

      Acha kudanganya watu.Maisha ya Wamarekani na kwingine Ulaya hayavutii sana hasa kwa watu maskini.Ukatili wa kutumia silaha,ushoga nk

    • @anosiata8242
      @anosiata8242 ปีที่แล้ว

      @@leonardchoma3765 kama wewe unasema maisha ya wamarekani hayavutii Maisha ya watu wa africa ndo yanavutia. Hao mnaowaona barabarani wameyataka wenyewe..

    • @matm.s
      @matm.s ปีที่แล้ว

      Not all bwana
      Hawa wengi ni addicts, na Sasa hivi marekani Kuna madawa yanaitwa fentanyl (inasomeka "fenti-nol") wanakufa sana kwa overdose.

    • @matm.s
      @matm.s ปีที่แล้ว

      Marekani Sasa hivi homelessness inaongezeka kwa kasi sana, Kuna sehemu nyingine inaitwa Kensington avenue Philadelphia, its more worse than this. Madawa, prostitution etc

  • @MinhNguyen-hs9mf
    @MinhNguyen-hs9mf ปีที่แล้ว +7

    They say every generation have there great story teller and I am the great story teller of my generation. And I am going to be one of the greatest story to ever live because the stories I tell can save you and your family from a life of crime, humiliation and DRUG ADDICTION! And I do have a lot more great stories to tell and I hope my life story can save you and your family from a life of DRUG ADDICTION.
    1

    • @peterkariuki9073
      @peterkariuki9073 ปีที่แล้ว +1

      You are an angel. Why don't you report them to the authorities in order to be monitored and trapped?

    • @MinhNguyen-hs9mf
      @MinhNguyen-hs9mf ปีที่แล้ว

      I got another way of handling problems.

  • @rozina2161
    @rozina2161 ปีที่แล้ว +1

    Imebidi ni subscriber duuuh kheri ni baki kwetu kenya

  • @wilsonmwaniki511
    @wilsonmwaniki511 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana

  • @naftalynaff7811
    @naftalynaff7811 ปีที่แล้ว +2

    I can only fly to the USA for a vacation just that

  • @Truck-Man
    @Truck-Man ปีที่แล้ว +7

    Mimi Mkenya lakini nakubali content yako .

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +2

      Asante sana, ubarikiwe!!

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 ปีที่แล้ว +2

    Duh! Noma sana

  • @godalone3487
    @godalone3487 ปีที่แล้ว

    On their camera they like to share us their out look Side I know that Africa is better than there it our time to think big our youth and other let us build our continent,occidental is not paradise
    Let us be together and Enjoy our beautiful nature,climate,cultural and other many goods we have.I love Africa and I am proud to be an African

  • @pokemon-Go22
    @pokemon-Go22 ปีที่แล้ว +6

    Put english subtitle please. I don't understand Swahili.

  • @babianliza
    @babianliza ปีที่แล้ว +6

    Niite bwana niwauzie vitumbuaaaa huo mtaaa

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 ปีที่แล้ว

      Sasa watakulipa kweri mana wao wenyewe choka mbaya.😅

  • @babusobakari7882
    @babusobakari7882 ปีที่แล้ว +1

    Dah shukrani mze baba nijiua unadanganya ila ulivyo muhoji huyo jamaa nimeamini that iz street of America

  • @daktariwakienyeji
    @daktariwakienyeji ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri kaka👏👏👏👏👏

  • @lynnemaremana6618
    @lynnemaremana6618 ปีที่แล้ว +7

    Wah Heri Kenya 💯 times
    San Francisco pia no ghetto Lakini kutwa kuonyesha Africa . Marekani kuna sehemi ukitembea unatekwa nyara mchana .

    • @gettyjusa3352
      @gettyjusa3352 ปีที่แล้ว

      Inalingana na slums za kibra wenye wako street's umewasahau na chokoras acha izo ...

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy ปีที่แล้ว +6

    Video nzuri ila kuwa makini, maana huko guns na visu kuchomana ni dk sifuri.

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 ปีที่แล้ว +1

    Palipo na ugumu ndipo palipo na mafanikio huwezi kupata Raha bila kupata shida huwezi kuwa mtu mzuri bila kuwa mbaya huwezi kuwa na tabia nzuri bila kuwa na tabia mbaya ukiwa mzuri ujue uko mbele utakuwa mbaya ukiwa mbaya huko mbele utakuwa mzuri ubaya kwanza uzuri unakiuja baada ya ubaya,

  • @jackokal8014
    @jackokal8014 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani kaka. Nakipenda Kiswahili chako. Mie Mwalimu wa lugha ya Kiswahili, Kenya.

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Asante sana!

  • @bakariathmanathman2187
    @bakariathmanathman2187 ปีที่แล้ว +18

    Kizazi sana kaka 😭 umetutoa taka zamasikio🦻 wengi tunaamini kwamba American nidunia yapili😭🙏

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 ปีที่แล้ว +4

      Wanao Amini hivyo ni wale ambao hawaja safari....Marekani haitoendelea kwa sababu ni wauwaji wakubwa duniani....Wana maisha mabovu sana kwa sababu Dhuluma Ilokithiri....

    • @fadhilamsagati1337
      @fadhilamsagati1337 ปีที่แล้ว +3

      hata uingereza wapo

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 ปีที่แล้ว +3

      @@saidjuma9782 mimi.sijawai fika uko lakini niliku najuwa umasikini kama uo upo bila shaka yoyote.

    • @evenmutethia9912
      @evenmutethia9912 ปีที่แล้ว

      Poa bro

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 ปีที่แล้ว

      @@saidjuma9782 unataka iendelee mara ngapi br? Chuki binafsi America wako far away sana kulinganisha na nchi nyingiiii duniani iwe unataka au hutaki

  • @dayanafelly1488
    @dayanafelly1488 ปีที่แล้ว +5

    Sijawahi kuota kuishi nje ya mipaka ya Tanzania... Nchi nyingine nitaenda kwa shughuli maalumu tu! Ila Tanzania, I am here to stay

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 ปีที่แล้ว

    Thanks Jo kwa kutuhabarisha kikubwa juhudi na bidii tuu popote tuu pale ukiwa na bidii utaishi Life poa tuu

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 ปีที่แล้ว +1

    Nishawahi ishi Atlanta (USA) and Munich ( Germany) back 2009. Hapo 5 ways Atlanta na Habonoof nolipoona live homeless beggers nilipata akili kuwa hata ughaibui is the same. Nilimshushua mzungu mmoja nasema.anataka kuja kusaidia Africa nikamwambia kwa nini usisaidue ndugu zako kwanza?. Alikaa kimya

  • @metrom8009
    @metrom8009 ปีที่แล้ว +4

    Lakini ukifanya utafiti wengi wao wamehathiriwa na madawa yakulevya. Kwa hivo maisha kwao yametupa thamani. Kusema ukweli america ni land of opportunities.

    • @barakaanangisye4812
      @barakaanangisye4812 ปีที่แล้ว

      absolutely buddy US is the land of opportunity

    • @maryammussa2002
      @maryammussa2002 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli if the issue is only homeless they give you shelter but but you have to follow the rules. If you are good person with not any other issues they will help you to find the job and you can stay shelter until when you have good income to afford low income house then you going find the house to rent. That is good opportunity for USA

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว +5

    tupe siri za manyangau kaka huku sisi africa tuko vizur ndio maana wanataka kutuharibia amani yetu na kuwadanganya viongoz wetu

  • @deborahcharles79
    @deborahcharles79 ปีที่แล้ว +1

    Hongera wafungue macho kuna watu wanadharau nchi zao hata ulaya kuna umaskini fantastic kazi nchini kwako utafanikiwa

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      Asikudanganyeni mtu Ulaya umasikini hakuna. Labda uwe mteja lkn km unaakili zako utakula ukitakacho, utavaa, utalala wkt vtu hivyo Afrika uwe na akili yako na huvipati. Wachache ndio wanavyomiliki

  • @mamakephoebemkatoliki6972
    @mamakephoebemkatoliki6972 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for this.

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 ปีที่แล้ว +22

    What is the story behind their homelessness? So many homeless people might be their own fault, others is due to the high cost of living in cities for they become homeless and still working for bills are too many to pay for and life in the cities is very costly and almost unbearable. The greediness of men has seen the world here!

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +10

      There's so many reasons behind like high cost of living like you just said, mental health issues, drug addiction and so on.

    • @geestargeebee9396
      @geestargeebee9396 ปีที่แล้ว +8

      I think mental health and making bad choices like drug addiction is the cause of this homelessness.

    • @carolcarolyn8928
      @carolcarolyn8928 ปีที่แล้ว

      My same question. How can there be too many jobs to do and yet watu wapo inje ? This doesn't add up kabisa .

    • @geestargeebee9396
      @geestargeebee9396 ปีที่แล้ว +2

      @@carolcarolyn8928 these guys have mental and drug addiction issues which can mostly lead to homelessness. Majority are on a disability checks

    • @jadejade7293
      @jadejade7293 ปีที่แล้ว

      This is downtown Philadelphia it's a hub of drug users

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 ปีที่แล้ว +3

    Uswahili lini uko pia duniani kote umasikini upoe sema kuna kuzidiana

  • @nicholasgachigi7832
    @nicholasgachigi7832 ปีที่แล้ว

    Kazi poa ya kupatia watu nguvu ya kuishi edelea hivohivo I like it👍

  • @Kengele
    @Kengele ปีที่แล้ว +1

    bro this is the real content
    #kengele

  • @flashlightstudio5399
    @flashlightstudio5399 ปีที่แล้ว +3

    Expose them brother expose them. Unajuwa wanavyo ichafua Africa yetu eti sisi wa Africa tunaishi misituni

  • @angeldejoice3202
    @angeldejoice3202 ปีที่แล้ว +3

    Masikini wako duniani kote tena bora hao wanapewa chakula !vipi kuhusu Africa yetu

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว +1

      Sasa nyie mupewe chakula wakati kila kitu mungu amewapa wavivu kufanya kazi bs

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 ปีที่แล้ว +1

    Mimi napambana tu niende mbinguni nikale bata lisilo na mwisho. Wanaoenda yues waende tu mie nabaki hapahapa Tz. Baada ya kifo na mimi ndiyo kwanza naanza maisha ya fahari yasiyokoma nikiwa ndani ya jiji la Yesu lenye sakafu ya Gold pure sasa sijui hayo majengo yake yamejengwa kwa madini gani iwapo sakafu tu ni dhahabu safi.

  • @Learn_101
    @Learn_101 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 ปีที่แล้ว +3

    Ama kweelii sikuwahi kujua kabla 🙊