Namna Ya Kuingia Ulaya Bila Kazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 เม.ย. 2023
  • Kupitia Job search Visa unaweza kuingia nchini Ujerumani kwa lengo la kutafuta kazi. Unapewa nafasi ya kuwa nchini kwa miezi sita kwa lengo kuu la kurahisisha harakati zako za kujipatia kazi ya ndoto zako. Fuatilia video hii kwa taarifa zaidi.

ความคิดเห็น • 15

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน

    Me nina Vocational training Vetta naomba mawasiliano yako

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 6 หลายเดือนก่อน

    Unawezaje kutusaidia ambae hajuwu kutafuta

  • @arithamlambiti1983
    @arithamlambiti1983 ปีที่แล้ว +1

    Thanks bro

  • @rodakafu3013
    @rodakafu3013 ปีที่แล้ว

    Thanks for the update

  • @luckysichone6705
    @luckysichone6705 ปีที่แล้ว

    Kakaangu nimekupata vizuri,nakwawale walio ishia darasa lasaba wanaweza pata Viza,

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Kwa hii job seeker Visa Wanahitaji kuanzia degree au uwe na fani

  • @magesadavid7708
    @magesadavid7708 ปีที่แล้ว

    Information is power! Thanks bro

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Thanks Magesa, Pamoja sana!

    • @neemamwassa8361
      @neemamwassa8361 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa kaka mimi naitaj lkn naitaji kuongea na ww

  • @INSSUMA
    @INSSUMA ปีที่แล้ว

    Tunashkuru kaka na tupo nyuma yako

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Asante sana pia kaka, Pamoja sana!

  • @jumamwesa6527
    @jumamwesa6527 ปีที่แล้ว

    kaka vipi kuhusu fani ya udereva,ni mona ya vigezo vya kupata visa au vipi,yaani kama ninacheti cha driving cha VETA ,ahsante natumai utanijibu

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      Kaka habari, moja kwa moja kwa fani ya udereva wa bongo kupata inakuwa ngumu... ni either uje kusomea upya udereva au kuongeza ujuzi kwenye hio fani yako kwanza kabla ya kupata kazi ya udereva

  • @salehesalum8289
    @salehesalum8289 ปีที่แล้ว

    Nakufatilia SNA kaka sijaacha kuangalia video zako kama hutajal unaweza nisahdia phone no yako or email plz