Nina Miezi saba Ujerumani | Ninafanya kazi Shambani | Nilitafuta tu mwenye mtandaoni fursa hii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 เม.ย. 2023
  • Nilipata nafasi ya kufanya mahojiano na Witness Vlog kuhusu experience yangu nchini Ujerumani kwa kipindi cha miezi saba. Ni mengi tulizungumza na yenye tija sana kwako , angalia mpaka mwisho hakika utaipenda.

ความคิดเห็น • 16

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog ปีที่แล้ว +1

    Was really good talking to you. Ubarikiwe sana kwa kushea nasi

  • @user-es9zp4hx6x
    @user-es9zp4hx6x 7 หลายเดือนก่อน

    Mambo vp

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  6 หลายเดือนก่อน

      Kwema mkuu

  • @godfreybahitwa4798
    @godfreybahitwa4798 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana, Nimetoka kwa Witness Vlogs

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi za mashamba ni lazima uwe na taaluma ya kilimo?

  • @elikanakiheka8242
    @elikanakiheka8242 ปีที่แล้ว

    Safi sana mwamba

  • @benadethaapolinary3900
    @benadethaapolinary3900 ปีที่แล้ว +1

    Fursa za kwenda nje hata kama sio ujerumani nchi yeyote ile si unaweza ukatafta pia mtandaoni na ukapata

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      Ndio zipo fursa nyingi za kwenda nchi tofauti tofauti na taarifa zote muhimu zinaanzia mtandaoni

  • @elikanakiheka8242
    @elikanakiheka8242 ปีที่แล้ว

    Nilikuandikia whatsapp kaka, nikumbuke ndugu . unipe ujanja.

  • @RizickNzemya-vt2ry
    @RizickNzemya-vt2ry ปีที่แล้ว

    Nisaidie na mimi mpendwa

  • @issakitundu617
    @issakitundu617 ปีที่แล้ว

    samahan bro naomba link ya bic star maana siion gugo

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      bixter.training/

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +2

      bixter.work/

    • @issakitundu617
      @issakitundu617 ปีที่แล้ว

      @@EliTaarifa ahsante

    • @issakitundu617
      @issakitundu617 ปีที่แล้ว

      @@EliTaarifa pia chec email nimekutext kule

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      @@issakitundu617 Nimejibu mkuu