Eli Tips
Eli Tips
  • 31
  • 13 903

วีดีโอ

NJIA MPYA YA KUHAMIA UJERUMANI KWA AJILI YA KUTAFUTA KAZI, VIGEZO VIMERAHISISHWA | CHANCENKARTE
มุมมอง 219ปีที่แล้ว
#chancenkarte #opportunutycard #ujerumani #immigration #germany #diaspora www.bundesregierung.de/breg-de/themen/arbeit-und-soziales/fachkraefteeinwanderungsgesetz-2182168A
Nafasi Za Madereva Wa Mabasi Na Malori Ughaibuni
มุมมอง 272ปีที่แล้ว
Ujerumani ina upungufu wa zaidi ya madereva elfu sabini. Sheria ya kuingia kupitia nafasi hii imerahisishwa kuruhusu watu wenye fani hio kujaza nafasi hizo. Changamkia sasa.
Kazi za Kiingereza Ujerumani | English Jobs in Germany
มุมมอง 223ปีที่แล้ว
Tafuta kazi sizizohitaji ulazima wa kujifunza kijerumani kupitia search engine hii ya englishjobs.de/
Kwanini Watu Wanaenda Ulaya Mashambani na Bongo Yapo | Mahojiano na Witness Vlogs
มุมมอง 1.7Kปีที่แล้ว
Unahitaji kujua utofauti wa mashamba ya bongo na mbele?, Unatamani kujua mbinu ipi ya kutumia kama huna degree au diploma? Je una degree au diploma na ungehitaji kupata mahali nje ya nchi kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye sekta ya kilimo na mifugo?. Basi kama ndio hii ni yako, sikiliza bila kuruka.
PART 3. Nafasi Za Kazi Nje ya Nchi | Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Ujerumani | Ausbildung
มุมมอง 520ปีที่แล้ว
Kwenda moja kwa moja kwenye website ya Federal employment agent fuata link hapo chini. www.arbeitsagentur.de/jobsuche/?angebotsart=4
PART 2. Nafasi Za Kazi Nje ya Nchi | Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Ujerumani | Ausbildung
มุมมอง 480ปีที่แล้ว
Ni sifa gani unatakiwa kuwa nazo kupata fursa hii? Hauhitaji degree tano wala PhD ya maswala ya anga.
PART 1. Nafasi Za kazi Nje ya Nchi | Mafunzo ya Elimu ya Ufundi Ujerumani | Ausbildung
มุมมอง 610ปีที่แล้ว
Fuata link ifuatayo kwa taarifa za ziada www.make-it-in-germany.com/de/studium-ausbildung/ausbildung-in-deutschland/was-ist-das/dual
Jifunze Kijerumani Tanzania | Ongeza Wigo Wa Kupata Fursa Zaidi
มุมมอง 534ปีที่แล้ว
Goethe Institut Tanzania inatoa kozi za lugha ya kijerumani kwa njia ya darasa na mtandao. Kujua lugha ni kuzidi kupanua wigo wa fursa na kurahisisha upatikanaji wake.
Namna Ya Kuingia Ulaya Bila Kazi
มุมมอง 937ปีที่แล้ว
Kupitia Job search Visa unaweza kuingia nchini Ujerumani kwa lengo la kutafuta kazi. Unapewa nafasi ya kuwa nchini kwa miezi sita kwa lengo kuu la kurahisisha harakati zako za kujipatia kazi ya ndoto zako. Fuatilia video hii kwa taarifa zaidi.
PT 1. Muonekano Halisi Wa Ulaya Vijijini
มุมมอง 879ปีที่แล้ว
Huku ndio ushagoo ya ulaya, huku ndipo kuna project nyingi za kilimo cha mazao na mifugo. Ni nje kidogo ya miji mikubwa lakini huduma zote za kijamii ni za uhakika na kufika miji mikubwa ni rahisi sana kutokana na usafiri wa uhakika wa treni za mwendokasi, mabasi na usafiri binafsi kwenye barabara zinazoruhusu kuendesha kwa speed kubwa (Autobahn)
Kodi Ya Kusali | Ukiwa Muumini Lazima Ulipe Kodi
มุมมอง 90ปีที่แล้ว
Kwa waumini wa baadhi ya dini nchini Uerumani kulipa kodi ni wajibu.Ili utambulike rasmi kama mshirika wa dini fulani lazima uwe tayari kuchangia mapato yakokila mwezi kama kodi.
Hatua Kwa Hatua | Fursa ya Internship na Kazi Ujerumani Kupitia Bixter Training
มุมมอง 643ปีที่แล้ว
Hatua Kwa Hatua | Fursa ya Internship na Kazi Ujerumani Kupitia Bixter Training
Tour | Makao Makuu ya Wilaya | Kama Geita Au Njombe ya Bongo
มุมมอง 65ปีที่แล้ว
Tour | Makao Makuu ya Wilaya | Kama Geita Au Njombe ya Bongo
Nina Miezi saba Ujerumani | Ninafanya kazi Shambani | Nilitafuta tu mwenye mtandaoni fursa hii
มุมมอง 1Kปีที่แล้ว
Nina Miezi saba Ujerumani | Ninafanya kazi Shambani | Nilitafuta tu mwenye mtandaoni fursa hii
Jinsi Ya Kutuma Pesa Kutoka Ulaya Bila Bank Account
มุมมอง 151ปีที่แล้ว
Jinsi Ya Kutuma Pesa Kutoka Ulaya Bila Bank Account
Jinsi ya Kwenda Marekani Kupitia Programu ya AU Pair, PART 2
มุมมอง 418ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kwenda Marekani Kupitia Programu ya AU Pair, PART 2
Jinsi ya Kwenda Marekani Kupitia Programu ya AU Pair, PART 1
มุมมอง 799ปีที่แล้ว
Jinsi ya Kwenda Marekani Kupitia Programu ya AU Pair, PART 1
Daladala za Ujerumani | Muonekano wa Usafiri wa Umma
มุมมอง 90ปีที่แล้ว
Daladala za Ujerumani | Muonekano wa Usafiri wa Umma
Visa Rahisi Kupata Kuingia Marekani | J1-Visa| Exchange Visitor Visa
มุมมอง 1.9Kปีที่แล้ว
Visa Rahisi Kupata Kuingia Marekani | J1-Visa| Exchange Visitor Visa
Kijijini katikati ya Ujerumani | Matembezi mafupi | Utulivu na Upweke
มุมมอง 79ปีที่แล้ว
Kijijini katikati ya Ujerumani | Matembezi mafupi | Utulivu na Upweke
Kazi nje ya nchi, Uwekezaji kidigitali, Mbinu za Ku-save na Videkezo vya safari.
มุมมอง 244ปีที่แล้ว
Kazi nje ya nchi, Uwekezaji kidigitali, Mbinu za Ku-save na Videkezo vya safari.

ความคิดเห็น

  • @julianamassawe2508
    @julianamassawe2508 8 วันที่ผ่านมา

    Tuambie namna ya kuaply

  • @user-bt6tl9hn5u
    @user-bt6tl9hn5u หลายเดือนก่อน

    Kwahyo hii ausibulding haina masharti ya miaka ?

  • @ShaniAbdala
    @ShaniAbdala 4 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kutujuza habari muhimu jmn hizo kaz zakujitolea zinahitaji watu waumri na inachukua muda gani mbak kupata nafasi

  • @elibarickmateru6193
    @elibarickmateru6193 5 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba uziandike

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka naomba mawsiliano kunakitu nikuulize

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka nambo namba yako

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka naomba namba yako

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako kaka

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 5 หลายเดือนก่อน

    Hi kaka denisi nakutafuta sana Asante mungu nimekupata

  • @mrlongrichlongrichagent1929
    @mrlongrichlongrichagent1929 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka channel gani youtube ulisema tunaweza icheki kujifunza kijerumani?

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 6 หลายเดือนก่อน

    Unawezaje kutusaidia ambae hajuwu kutafuta

  • @yaredkidai9681
    @yaredkidai9681 6 หลายเดือนก่อน

    Pamoja mkuu

  • @thomasmwasongwe7790
    @thomasmwasongwe7790 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka please naomba ushirikiano wako please nisaidie na mm naitaji kuja huko us kufanya kazi brother naomba msaada wako brother.

  • @user-es9zp4hx6x
    @user-es9zp4hx6x 7 หลายเดือนก่อน

    Mambo vp

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa 6 หลายเดือนก่อน

      Kwema mkuu

  • @bethisdori5197
    @bethisdori5197 7 หลายเดือนก่อน

    halo kaka

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa 6 หลายเดือนก่อน

      Hallo Hallo

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio ni lazima uwe nayo au uzoefu wa kutosha ambao unaweza kuuthibitisha

  • @user-dy3gq3qf4h
    @user-dy3gq3qf4h 7 หลายเดือนก่อน

    Hizo na,fas zipo,MPa,sasa

  • @Azde131
    @Azde131 8 หลายเดือนก่อน

    Msamehe tuu huyo Dada Yako. Umefanya vizuri Sana kaka kutoka. Wengi tunatamani kutoka ili tujifunze Ni vile hatujapata fursa hongera Sana.

  • @Azde131
    @Azde131 8 หลายเดือนก่อน

    Nakupongeza kaka yanu. Wewe piga kazi. Tuko nyuma yako tunakuja.

  • @BahatiAssey-lu4sj
    @BahatiAssey-lu4sj 8 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka kwakutuonyesha njia

  • @bethisdori5197
    @bethisdori5197 8 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe msang mwenzang

  • @bethisdori5197
    @bethisdori5197 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka eli mzm

  • @bethisdori5197
    @bethisdori5197 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @bethisdori5197
    @bethisdori5197 8 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 9 หลายเดือนก่อน

    asante sana kk mungu akuneemeshe zaidi

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka mnanipa hasila ya kuja ulaya maana nia nina uwezo ninao shida njia za kukuji ndo tatzo ila nataman one day nije kupika kazi ulaya

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa sasa una uzoefu au taaluma gani mkuu

    • @mkingageorge2641
      @mkingageorge2641 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi ni dereva ndo taaluma yangu elimu ni darasa la 7

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 9 หลายเดือนก่อน

    Tupo tayari bongo tunateseka jmn hela zimekaliwa na wachache tusaidie uwe kma ebm wa USA

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka elias mim naomba wewe utuweekee utalatibu wa kutusaidia kujaza hzo cv na kuaply visa na mambo mengine bora uwe unatuchaji kidgo ili kubalanc mda wako yani tutakushukulu sana sisi wa tz wenzako ubarikiwe

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 9 หลายเดือนก่อน

    Ndgu elias naomba uje utengeneze video ya sisi tulio ishia darasa la 7 na pesa nauli tunazo na tunawezaje kuja huko kupiga kazi hata za viwandani #mungu wako ndo wetu pia #asante kwa hizi video

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo hapa unamanisha kusoma A1 mpka B1 jumla ni milioni 1 na laki 8?

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน

    Me nina Vocational training Vetta naomba mawasiliano yako

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi za mashamba ni lazima uwe na taaluma ya kilimo?

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 10 หลายเดือนก่อน

    asanteee sana kk kwa kutuleteya habari njema mimi ni mdau mpya kwako nimekupata kwa witness

  • @SmileForever-dx5gq
    @SmileForever-dx5gq 10 หลายเดือนก่อน

    Brother mimi nmemalza diploma ya utabibu clinical medicine niweza pata kazi au kusoma degree ya udaktari kwa elimu yangu Hii kutoka tanzania

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba link kaka

  • @user-fq4ys9ws7u
    @user-fq4ys9ws7u 11 หลายเดือนก่อน

    Kazi zamashambani. Inakuaje. Iliupate

  • @user-fq4ys9ws7u
    @user-fq4ys9ws7u 11 หลายเดือนก่อน

    Je kama mtu Hana ELIMU. Anweza kupata kazi ip

  • @legatz
    @legatz 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mno kaka Eli..unajitoa Sana kwa ajili yetu 🙏🙏

  • @shukurukisuguru6461
    @shukurukisuguru6461 11 หลายเดือนก่อน

    habari kaka Eli...! hv ile BFD ya kuvolunteer..inakuwaje kuwaje!! km utabahatika kupata....nauli inakuwa juu yako eeh!!?

  • @legatz
    @legatz 11 หลายเดือนก่อน

    Woow..pazuri mno🥰🥰😋

  • @OllykekeSwahili
    @OllykekeSwahili 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani hiyo miti ilivo mizuri jamani😍😍

  • @user-pb7hx1uz1q
    @user-pb7hx1uz1q 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka nitumie namba

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA 11 หลายเดือนก่อน

    Daah kumbe nawe una channels

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa 11 หลายเดือนก่อน

      Ndio ndio

  • @nahiriali1405
    @nahiriali1405 ปีที่แล้ว

    Safi sana ila hii haina umri kaka

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa 11 หลายเดือนก่อน

      Haina Limit ya umri

  • @legatz
    @legatz ปีที่แล้ว

    Asante kwa taarifa kaka

  • @ElikanaKiheka-fl4wu
    @ElikanaKiheka-fl4wu ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka

  • @elikanakiheka8242
    @elikanakiheka8242 ปีที่แล้ว

    Nilikuandikia whatsapp kaka, nikumbuke ndugu . unipe ujanja.

  • @elikanakiheka8242
    @elikanakiheka8242 ปีที่แล้ว

    Safi sana mwamba

  • @elikanakiheka8242
    @elikanakiheka8242 ปีที่แล้ว

    Mambo vp? Naomba unipatie namba yako nikupigie ili tuongee kwa kina , asante sana

  • @RizickNzemya-vt2ry
    @RizickNzemya-vt2ry ปีที่แล้ว

    Nisaidie na mimi mpendwa

  • @josephachoro7728
    @josephachoro7728 ปีที่แล้ว

    Mkuu naomba mawasiliano yako kuna information naitaji unisaidiee