Jinsi ya Kwenda Marekani Kupitia Programu ya AU Pair, PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 เม.ย. 2023
  • AU pair ni kwa ajili ya kwenda kujihusisha na shughuli za childcare. Ni fursa nzuri na rahisi ya kukusaidia kuingia Marekani. Ina faida nyingi zitakazo kusaidia kukuza connection zako kwa kiasi kikubwa. USIKOSE HII.

ความคิดเห็น • 19

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 5 หลายเดือนก่อน

    Hi kaka denisi nakutafuta sana Asante mungu nimekupata

  • @julianamassawe2508
    @julianamassawe2508 8 วันที่ผ่านมา

    Tuambie namna ya kuaply

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako kaka

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka naomba namba yako

  • @salehesalum8289
    @salehesalum8289 ปีที่แล้ว

    Nakufatilia sana kaka mungu akuongoze kwa kazi unayofanya ila kama hutajar naomba mawasilian yako

  • @GodfreyMdemu-uw2lv
    @GodfreyMdemu-uw2lv ปีที่แล้ว

    Dar safi sana hapo ni stert gani USA

  • @ngumaimani276
    @ngumaimani276 ปีที่แล้ว

    Shukran kaka

  • @anita-nv4kk
    @anita-nv4kk ปีที่แล้ว

    nipe namba yako ya simu nataka vifaa vya mashambani huko Ujerumani

  • @sophiamasawe4309
    @sophiamasawe4309 ปีที่แล้ว

    Mimi na elimu ya darsa la 7naweza kuongea kingereza,,nina uzoefu wa kuangalia watoto na wazee siwez pata?

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      Tafadhari apply, watakujibu vizuri na watakueleza vigezo gani vimepungua na uongeze nini

  • @MamaLio475
    @MamaLio475 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo ukiwa na miaka zaidi ya26 haiwezekani??

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +1

      Mara nyingi kigezo cha umri ndo hicho wanahitaji, kama kuna exception utajibiwa na agent. Jaribu kuomba

  • @mafrikanws
    @mafrikanws ปีที่แล้ว

    Sasa kk sisi ambao tuna vigezo vyote ila atujui kingereza tunajuwa kifaransa sisi wa congo

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว

      kaka nafikiri kingereza hapo kinahitajika maana unafanya kazi na familia inayozungumza kingereza, watahitaji hivyo

  • @ngumaimani276
    @ngumaimani276 ปีที่แล้ว

    Tunaomba link kaka

    • @EliTaarifa
      @EliTaarifa  ปีที่แล้ว +3

      www.greataupair.com/
      chinet.org/au-pair/

    • @omarjuma2937
      @omarjuma2937 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@EliTaarifakaka naomba kufaham kwa mfano mimi natafuta kaz nje kwenye hy link nitaingiq kwa host family au aupair