HIZI NI SABABU ZA NDOA ZA LEO KUVUNJIKA /ASKOFU MOSES KULOLA MIMI MUNGU ALINIMPA MKE HIVI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2022
- #SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079
UNAWEZA KUTUMA SADAKA YAKO KWA M_PESA +255742692079
YOU CAN SEND YOUR LOVE OFFERING TO THESE NUMBERS M_PESA +255742692079
Kifo, 😰.. bado tulikua tunamhitaji Moses kulola , lakini ashukuliwe Mungu kazi yake Haina makosa.
Amekufa lakin bado anasema nawe jitaidi ukifa maneno yako yananena habari njema
Kwa kweli ashukiriwe Yesu kwa ajili ya MTUMWA wake Moses Kulola,nimejengeka sana
Mahubiri haya sasa ni a dimu
My God!! I like this. It's sweet.
Mungu naombaaa mume sasa mme wangu ili nitumikeee kwa utakatifuu zaid
Namba zako
Ameeen Ameeen baba Bado mahubiri yako yanaishi duniani
Injili hiii nimeimisi sana, maana siku izi wahubili hamna wanataka Hela na kuuza maji na maduta SIO injili ya kweli kama hii
Eeeee wanauza MAJI MADUMU KWA MADUMU NA UDONGO NA VITAMBAA KUCHA NYWELE mmmmh hatuambiwi ukuu wa MUNGU Ila maji hatuambiwi habari ya dhambI KUWA inatesa duniani na jehanamu milele
Baba ninabalikiwa sana na mahubiri yako hakika tutakukumbuka dauma
Amen amen amen , Yesu Kristo wetu yu hayi
Mungu amkumbuke mtumishi wake uko alipo aise amjalie heri na fanaka.
Kupanga uzazi nimupango wa Shetani umeingia kanisani!!!
Moses Mungu atakulipa kwakurudisha watu kwa Mungu
Hatuko nae tena ulimwenguni lk leo amenifundisga vingi Mungu ndo anajua yeye hana habari
Eeeee Mungu tunakushukuru kwa ajili ya mtumishi huyu ambaye ulimpa kuinena kweli pumnzika kwa Amani Baba Yetu!
Mahubiri yako yataishi hadi mwisho🙏🙏🙏
Tupate wapi mtumishi kama huyu,Neno la Uzima
Baraka
Ashukuriwe Mungu
Aminaa
My god!!!!!
Tunakukumbuka mteule wa mungu hata kama ulimaliza mwendo baba sauti Bado inasaidia wengi Moja wao ni Mimi nikiwa Kenya
I agree with the Holy Spirit in Jesus' name....!!!
Huyu ni mtu wa MUNGU
Amiina
Amina
EE MUNGU TUREHEMU HATA RIZIKI YA WATOTO 2 BADO SHIDA, TUSAMEHE SANA
Maneno Yako ya nguvu za Mungu baba. Unatubariki Siku zote
❤❤❤ Aminaaa
Njili Hai kbs
Yes yes injili hii ni nzuriii mnoooooo!
Kweli mungu anawatu wake. Anaowatumia kikamilifu bila doa. Yesu ni Bwana
BABA BADO UNAISHI , KAZI UMEIMALIZA TUNAKUKUMBUKA DAIMA HAKIKA ULISIMAMIA KWELI
Unaishi mzee wangu.
Mungu atusaidie kwelikweli watu wa Mungu.INJILI INAUHAI KWELIKWELI TAAMU MNO
❤❤❤❤Amina🎉
Amen
asante bado maneno yako yanadumu
Ameen!
Nikweli huduma hii tumeisi wa mungu
Nahitaji mahubiri ya Moses kulola kila siku
Watu siku hizi hawako sawa kiroho
Kwaya muco
Watu siku hizi saw kiroh
Injili halisi