INALIZA: Aliyehukumiwa MAISHA na KUKAA GEREZANI miaka 43, Atoa Siri Nzito toka Gerezani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2017
  • INALIZA: Aliyehukumiwa MAISHA na KUKAA GEREZANI miaka 43, Atoa Siri Nzito toka Gerezani
    Subscribe / uwazi1
    Anaitwa Mzee Raphael, mmoja kati ya waliokuwa wafungwa na wakaachiwa huru hivi karibuni siku ya sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya uhuru wa Tanzania bara, ambapo siku hiyo Rais Magufuli alitoa msamaha kwa baadhi ya wafungwa.
    Mzee Raphael alikamatwa mwaka 1974 kwa kosa la kuhusishwa na Mauaji, yeye pamoja na Wenzake wanne kisha kuhukumiwa kunyongwa mwaka 1978.
    Akiongea kwa masikitiko makubwa huku akihuzunishwa na kifo cha wake zake wawili pamoja na watoto wake kadhaa, hata hivyo amebakiwa na Mke wake wa kwanza pamoja na watoto wake wanne, akiwemo Mwanae wa kwanza Bi Rose Mary ambaye ni Mwenyekiti wa UWT, CCM Njombe, huku Cosmas akiwa ni Mwanajeshi pamoja na mwanaye Daudi ambaye ni Mchungaji.
    Fuatilia mkasa huu wa kusisimua mwanzo hadi mwisho.
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @selincharles3383
    @selincharles3383 6 ปีที่แล้ว +72

    tangu nijue maisha sijawai kuona polisi aliestaafu akaishi maisha mazuri na yaamani... nilikuwa sijui sababu kumbe nilaana na matendo yao maovu ndio yanayowahukumu...sasa jamani kwanini mfanye haya... embu badilikeni duniani muhukumiwe bado na ahera inawasubili... duuu Magufuri bado naona kazi kubwa mbele yako... ila naamini Kama Mungu alituumba sote kipi kitamshinda..? pole mzee Pole Sana

  • @allysaid1215
    @allysaid1215 5 ปีที่แล้ว +35

    Kama polisi ni sawa na mbwa gonga like

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 6 ปีที่แล้ว +121

    Maisha yake yameishia gerezani masikini pole sana mzee wetu Mungu atakulipia,watu kama hawa wako wengi magerezani wanateseka bila kuwa na hatia. Naelewa mzee anajisikiaje. Pole mzee

    • @mtosimbakwamzungu7703
      @mtosimbakwamzungu7703 6 ปีที่แล้ว

      🚶

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 6 ปีที่แล้ว

      True

    • @jumakiparis2267
      @jumakiparis2267 6 ปีที่แล้ว

      Pole sana Mzee mbona hio mpaka Leo majambazi wakipora police wanapewa posho halafu wanaingia mitaani kukamata watu kuua soo na hata hutasikia waziri wa mambo ya ndani kwema magerezani kukutana na wafungwa kupata maelezo lao sema hivi sasa watatia akili

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 ปีที่แล้ว +1

      Usikubali mtoto wako akasome chuo cha upolisi kwanza hatakaa amwone mungu pia hawana msaada ukipata shida ndo wanafurahi wapate pesa yaani pesa kwao ndo muhimu haki kwao hamna hayo machozi baba hayatakuwa ya bure yatakuwa juu yao mungu anawaona

    • @tumainijoseph6356
      @tumainijoseph6356 5 ปีที่แล้ว +1

      ashukuriwe mungu

  • @denisclay8549
    @denisclay8549 5 ปีที่แล้ว +505

    Kama una amini police ni kazi ya laana gonga like hapa mbn sioni jamaniiiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @bernadethamsaki2921
      @bernadethamsaki2921 5 ปีที่แล้ว +6

      Co laana ila walioajiriwa ndo wana laana! Ni kazi kama kazi nyingine

    • @shafiimarandu6971
      @shafiimarandu6971 5 ปีที่แล้ว +2

      Denis Clay kwel

    • @basilisamsaka1221
      @basilisamsaka1221 5 ปีที่แล้ว +6

      Kweli kabisa kz ya police nilaana,na wamelaaniwa,wanasingizia watu sana

    • @bahatirobi6262
      @bahatirobi6262 5 ปีที่แล้ว +2

      Denis Clay niwalaaniwa hata sijui kwa mungu watajitetea vipi

    • @rahimaaaaa8699
      @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว +8

      Polisi wana laana ndio maana ni maskini wa KUTUPWA.

  • @dainesszuberi5033
    @dainesszuberi5033 6 ปีที่แล้ว +54

    Mzeee umeninilizaa sanaaa nimeumiaa mungu kufanyie wepesi katika afya yko na maisha yako mungu yuu pamoja nawe nimeumia sanaaa malipo ni hapa hapa duniani shukrani za dhati zimfikie mh:pombe Jonh magufuri azidi kuwa na moyo huo huo nimeumizwa sanaaaa👏👏Ahsante muheshimiwaaa

  • @raphaelngongo1310
    @raphaelngongo1310 6 ปีที่แล้ว +42

    kwa kweli raïs Makufuli Mungu amujaliye yeye na familiya yake waishi maisha marefu kwa jambo kubwa alilotenda sababu ma raïs wengine wanajuwa kuhuwa na kuachanisha jamihi ndugu Raphaël shimama kwenye zamu ya kaziya Mungu .

  • @donlee2553
    @donlee2553 6 ปีที่แล้ว +162

    POLISI WOTE PITENI HAPA MTAJIFUNZA KITU.JAMAANI NISAIDIENI KUWAITA POLISI.

    • @selincharles3383
      @selincharles3383 6 ปีที่แล้ว +2

      mmoja tu nihuyo mwanae sidhani Kama yaliyomkuta baba ake anaweza mfanyia mtu mwingine

    • @siwemaseleman7091
      @siwemaseleman7091 6 ปีที่แล้ว +3

      pole sana baba malipo ni hapahapa duniani umeteseka sana

    • @nikolymo9315
      @nikolymo9315 5 ปีที่แล้ว +3

      Munngu in mweza ya yote

    • @janethotieno1281
      @janethotieno1281 5 ปีที่แล้ว +1

      police piteni hapa mjifunze

    • @kingmazengo3643
      @kingmazengo3643 5 ปีที่แล้ว +1

      Wajewajeeeeee

  • @brunonsungwe8676
    @brunonsungwe8676 5 ปีที่แล้ว +2

    Mh jamani acheni Mungu aitwe Mungu ! Huyu baba yetu kaniliza sana! Asante Magufuri kwa ukombozi huu! Hakika Mungu azidi kukuimalisha katika kutafutia haki wanyonge! Mungu mpe maisha marefu huyu mzee

  • @reddyjulius3997
    @reddyjulius3997 6 ปีที่แล้ว +47

    Pole sana mzee wangu ndo Tanzania yetu ilivyo hadi leo kuna kesi nyingi sana za kusingizia huku wakiachwa watenda maouvu machozi yako yatawalilia

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 4 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana mzee Allah atakulipia ata mm machoz yananitoka iyo ndio Tanzania kila kitu chafanywa uenyeji uwenyeji tu

  • @delitonavaia3503
    @delitonavaia3503 5 ปีที่แล้ว +28

    kwakweli nimetokwa na machozi, japo siyo mtanzania lakini Kama binaadamu nimeguswa. Allah atakulipa.from 🇲🇿

    • @dianadeus1308
      @dianadeus1308 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana jaman

    • @jumabaraka1212
      @jumabaraka1212 4 ปีที่แล้ว

      Daaah yaaan na hii nyimbo inaleta huzuni zaidi

  • @helenamhema3606
    @helenamhema3606 5 ปีที่แล้ว +22

    pole sana mchungaji wangu mlyuka ukiwa makambako tulikukubali mungu amesikia maombi yako

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 6 ปีที่แล้ว +28

    Huyu mzee kweli alikuwa anajishughulisha miaka 34 nyumba 2
    Vijana wa sasa miaka 35 anavaa supra hajui kodi hata ya chumba

    • @patrickplatnumz4765
      @patrickplatnumz4765 5 ปีที่แล้ว

      ommie马瑞 , very true

    • @shuushuushuu2413
      @shuushuushuu2413 5 ปีที่แล้ว

      Kwel kabisa

    • @kokufelix2186
      @kokufelix2186 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @APILET
      @APILET 5 ปีที่แล้ว

      @@kokufelix2186 koku Felix duh

    • @mwajeynzitto2367
      @mwajeynzitto2367 4 ปีที่แล้ว

      Ndo mana walimfanyia fitna jaman ila kila jambo tumshukuru mungu tuu

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 5 ปีที่แล้ว +21

    JELA NIMEKAA ZAIDI KULIKO NJE...Daah Mungu wangu

  • @TheMaarifa
    @TheMaarifa 6 ปีที่แล้ว +25

    Dah! aisee inasikitisha sana. kuanzia sasa mimi kama wakili nikipewa jalada la kesi ya mauaji nitalifanya bure kabisaa kuwatetea watuhumiwa. Haiwezekani tukaacha hali hii iwe inaendelea kutokea mahakamani

    • @georgewilliam7657
      @georgewilliam7657 6 ปีที่แล้ว +1

      Nakujua Wakili Augustus Fungo. Katika hilo Mungu akusimamie. Barikiwa sana. Nimesikiliza kilichozungumzwa na nikabaki mdomo wazi

    • @ghalibujamali3392
      @ghalibujamali3392 5 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubaliki wakili

    • @nancesebastian3464
      @nancesebastian3464 5 ปีที่แล้ว +1

      Augustus Fungo asante na mungu atasimama pamoja na ww

    • @clemencehaule917
      @clemencehaule917 5 ปีที่แล้ว

      polen wazee wangu!

    • @zalkiabendera7238
      @zalkiabendera7238 3 ปีที่แล้ว

      Mungu wangu

  • @aminanyangero7603
    @aminanyangero7603 6 ปีที่แล้ว +50

    Chozi LA mwenye haki halitaenda bure

  • @hadijabashasha3337
    @hadijabashasha3337 4 ปีที่แล้ว +3

    Dr.John Pombe Magufuli Mungu ndie atakae kulipa kwa wema na huruma yako akujaalie hapa Dunian na kesho Akhera

  • @claudiangowi9585
    @claudiangowi9585 4 ปีที่แล้ว +13

    Pengine police wenyewe walishakufa mamaaaaee, siyo kila kifo mnahuzunika watanzania wengine walitenda mambo mabaya wanalipia.

    • @anyelwisyemwakasungula7419
      @anyelwisyemwakasungula7419 หลายเดือนก่อน

      Na sio kila stori mnaiamini Watz kueni stebo kwenye akili ivi mahakama zote zimuonee, Mahakama kuu na Mahakama ya Rufaa zisimtoe, majaji sio wajinga kama mnavyozania

  • @lucywilson5875
    @lucywilson5875 5 ปีที่แล้ว +7

    Miaka 43, nimelia na huyu Mzee, kichwa kinaniuma. Mungu atunusuru

  • @goodhelpnolland9637
    @goodhelpnolland9637 5 ปีที่แล้ว +17

    Pole mzee inauma sana mtu anafungwa bila hatia

    • @jamilasaidi1020
      @jamilasaidi1020 3 ปีที่แล้ว

      Inaumaxan pole sana police sio watu kabisa

  • @witedsteward4168
    @witedsteward4168 5 ปีที่แล้ว +44

    Mimi nimemaliza form four nikaambiwa nijiunge najeshi la polisi kitu ambacho niliona siyo sawa kuliko nichague kazi ya upolisi bora nikachunge ng'ombe!!!! Jela wenye makosa siyo wengi!!!! Kama huw Kubali hawa jama zetu (polisi)gonga like

    • @patrickplatnumz4765
      @patrickplatnumz4765 5 ปีที่แล้ว +1

      Wited Steward , nilichaguliwa pia baada ya kumaliza form four. Sikwenda wala sijutii

    • @helenjonsob5718
      @helenjonsob5718 5 ปีที่แล้ว

      Wited Steward kwa kweli

    • @omanimujsa9756
      @omanimujsa9756 4 ปีที่แล้ว

      Nimelia jamani eeeemungu magufuli msimamie azid kua kiongoz wetu bora yarabiy muweke rais wetu wallah nimelia sana

  • @b9media144
    @b9media144 6 ปีที่แล้ว +7

    Nimeshindwa kujizuwia, hakika nimeumia, nimelia sana!
    Japo tunasema kuwa Mh Rais yupo kisiasa zaidi ya kujitengenezea mazingira mazur ya hapo baadae, (kila mtu anafikiria kutokana na utashi wa upeo wake). Lkn kwa hili basi amefanya uungwana wa ajabu sana na namuomba Allah amjaalie sikumoja apate kuona nuru ya uislamu na afe haliyakuwa yupo katika Qalma ya laailaaha ilallaah Muhammad rasuulullaah!
    Kwasababu sisi tote n wa M/mungu, anatupenda sawasawa kabisa

  • @marymah7149
    @marymah7149 5 ปีที่แล้ว +8

    Chozi ramnyonge ulipwa na mungu Inshaallah muachie mungu inaniuma kama baba yangu mzazi jmn inauma duuuh😢😢😢

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 ปีที่แล้ว +7

    Masikini pole sana baba miaka 43 jela, kuna watu wengi wamefungwa kwa kesi za kubambikiwa police wana husika kwa kesi hizo hao walio toa ushahidi wa uwongo mungu awalaani mpaka kufa kwao .

  • @gerraldbukelebe5152
    @gerraldbukelebe5152 6 ปีที่แล้ว +113

    Mmmmh! Ni mtoto wa kiume lkn nimeshindwa kujizuia nmelia sana aisee!!

    • @bettymsongole2254
      @bettymsongole2254 6 ปีที่แล้ว +2

      gerrald Bukelebe pore baba yangu

    • @swaumuramadhan1832
      @swaumuramadhan1832 6 ปีที่แล้ว +1

      Pole sna baba

    • @rehemaradhid5716
      @rehemaradhid5716 5 ปีที่แล้ว +1

      daaaa

    • @mussajuma2847
      @mussajuma2847 5 ปีที่แล้ว

      Betty Msongole kweli

    • @zawadiommary8593
      @zawadiommary8593 4 ปีที่แล้ว

      pole sana mzee machoz yako uliyo yamwaga kwauchung hakika watayalipa mungu ndomtoa hukum yamwisho pole san mzee

  • @marygathu3800
    @marygathu3800 5 ปีที่แล้ว +4

    Hio machozi mwenyezi Mungu atalipisha.pole baba😢😢😢

  • @aokinsindi6948
    @aokinsindi6948 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mzee mlyuka mi ni mgum Sana kutoa machozi lakini ktk Hilo nimejikuta machozi machozi mwee 🇹🇿 JPM MUNGU akuongezee siku za maisha YAKO!!

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Mzee ashukuriwe Mungu aliyekuweka mzima hadi unaiona tena familia yako. Muombe Mungu akuondolee uchungu kuhusu uonevu uliotendewa ili usije ukakuumiza na kukuletea madhara. Kuna maisha baada ya yote yaliotokea Yesu ni mfariji.

  • @raphaelngongo1310
    @raphaelngongo1310 6 ปีที่แล้ว +6

    jambo kwa jamihi zote kwa kweli Mungu amemutowa ndugu Raphaël kwenye mavumbi kamuinuwa zaidi ya utajiri ushuhuda huyo wanipa tumaini kubwa mbele za Mungu mimi piya ni Raphaël nikiwa Congo jina hila la Raphaël limetimizwa kama lililo maanayake yani Mungu mponaji na ndiye aliyemuokowa amen .

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 6 ปีที่แล้ว +22

    Pole babaa Ndio Dunia naa aminn mtuu hafii ila kwa zakee na MUNGU NI MUNGU Atabakii kuwa MUNGU sio ww baba wengii wapo jela bila kesii nii kusingiziwa tuu

    • @johnbeda7620
      @johnbeda7620 6 ปีที่แล้ว +1

      it painful alot mungu bado amakusudi na wewe mzee wetu

    • @khadijaabdully6284
      @khadijaabdully6284 6 ปีที่แล้ว

      inatia uchungu kwakweli,machoz yamenitoka kwa huruma,pole sanna baba angu,mungu yu mwema,na shukran mh magufuli,m/mungu akuweke

    • @lissamsalu2179
      @lissamsalu2179 6 ปีที่แล้ว

      Pole sana famille hiyo

  • @fredmathubejr3547
    @fredmathubejr3547 6 ปีที่แล้ว +55

    Wakowapi majaji na mawakili waliowafunga wazee hawa? Tujifunze kutenda haki coz nothing last forever

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 6 ปีที่แล้ว

      Fred Mathube jr tafuta hela wewe huyu mzee kaingia jela Na miaka 34 ana nyumba 2 Na watoto 10 maeeeee we laza duduuuuu tu

    • @fredmathubejr3547
      @fredmathubejr3547 6 ปีที่แล้ว

      Hhhhhh umevurugwa

    • @denarddavid9202
      @denarddavid9202 6 ปีที่แล้ว

      Fred Mathube jr Na HAO maaskari waliosingizia kesi bado WAPO. Mamlaka zichunguze

    • @romanachao245
      @romanachao245 5 ปีที่แล้ว

      Ata yaeza kuwa walifariki na magonjwa,maajali ila mzee yuko hai na salama.Mungu akulinde sana Baba mpe Mungu Marsha yako zaidi ulivyo Tumika jela

    • @petersolomon2979
      @petersolomon2979 5 ปีที่แล้ว

      Wengi wao walishakufa

  • @jamillahmansoory3652
    @jamillahmansoory3652 6 ปีที่แล้ว +21

    Dah mzee kaniliza huyu acha mungu aitwe mungu

  • @johnvenus7507
    @johnvenus7507 6 ปีที่แล้ว +78

    Huwo ni ukweli mimi nimeishi Tanzania kambini Mutabila Polisi wa Tanzania walikuwa na wivu kwa wakimbizi matajiri

    • @joekap604
      @joekap604 6 ปีที่แล้ว

      Africa , binadamu wanaishi na mashetani katika mazingira ya pamoja , watu hawajulikani na wala mashetani hawajulikani , cha kusikitisha ni kwamba baadhi ya watu wameowa na kuzaa na mashetani

    • @MamaMirakel
      @MamaMirakel 6 ปีที่แล้ว

      +Jozee Kap inafikirisha sana ulichosema! Mungu atusaidie

    • @rehemaradhid5716
      @rehemaradhid5716 5 ปีที่แล้ว

      kweli

    • @zefaniacharles8627
      @zefaniacharles8627 5 ปีที่แล้ว

      Z.C nikweri

    • @fatmarashid2384
      @fatmarashid2384 5 ปีที่แล้ว

      @@joekap604 Hata uko ulipo mashetani wapo nahata ww shetani mmoja wapo

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 6 ปีที่แล้ว +6

    Baba yngu Had machoz yananitok ila mungu yiko na atakufut machoz nyamaz Baba yngu 😭😭😭😭

  • @onyokoreo7999
    @onyokoreo7999 4 ปีที่แล้ว +4

    Inshallah you will get your justice Soon,magufuli ni Rais wa wanyonge

    • @salmabanga8962
      @salmabanga8962 4 ปีที่แล้ว

      Duuu kumbe kuna watu wanafungwa bila hatia polee baba

  • @rehemabaraka9895
    @rehemabaraka9895 6 ปีที่แล้ว +38

    Daaa pole sana mzee mungu amesikia kilio chako

    • @mrsrumondo8740
      @mrsrumondo8740 5 ปีที่แล้ว

      Jamani magufuri ndio raisi anahangaria matatizo ya wananchi wake kira kona anapita mungu akubariki sana tena sana razima tukupe kura iri uongozi jahazi kwa Mara engine ccm oyeeeeeeeeeeeeee

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 6 ปีที่แล้ว +16

    Mungu atalipa hapa hapa

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 ปีที่แล้ว +7

    Bidii yako yaeza kupeleka pabaya duniani humu.pole sana mzee..loooo

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 5 ปีที่แล้ว +1

    Cosmas namfahamu vyema Miaka tuliyosoma Makongo Sec !! Ni Soldier mwenye Maadili Mazuri na Wanafunzi wengi tulielimika kwa Nasaa Zake!!! Pole Mwl na Hongera kwa Kumuona Baba kwa Umri huo!!! Mungu amzidi kumuongezea Baba Umri na Afya njema!! Hongera familia nzima, na Hongera Mchungaji

    • @kadoaugust6497
      @kadoaugust6497 2 ปีที่แล้ว

      Nadhani hata waliomfanyia hivyo watakuwa hawapo hai.

  • @dianajafety4888
    @dianajafety4888 6 ปีที่แล้ว +16

    nmeumia xana baba yaani c kila mfungwaana koxa mungu akutie nguv ad mzee ka huy anatoa choz hao police walaaniw na wote waliokufanyia ivoooo! mtalipwa kwa mlichotend nmeumia sanaaa

    • @selincharles3383
      @selincharles3383 6 ปีที่แล้ว

      Diana sidhani Kama yupo hata mmoja.... wameenda na roho zao mbaya

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 ปีที่แล้ว

      Duuuuu...! Huko jela wapo Wengi sana wenye kesi za kusingiziwaaaaa.. Sema ndio ivyoo na nadhani ndio maana Raisi alifanya uchunguzi kuhusu hizo kesi akagundua Zina utata ndio maana wakatokaa

    • @zalhahamadi9862
      @zalhahamadi9862 6 ปีที่แล้ว

      pole Ba mkwe ndo mambo

    • @rehemaradhid5716
      @rehemaradhid5716 5 ปีที่แล้ว

      nikweli

  • @josephineluge6693
    @josephineluge6693 6 ปีที่แล้ว +8

    Daaaah!!
    Imeniliza sana. Pole sn Mzee wangu

  • @tausijohn2569
    @tausijohn2569 6 ปีที่แล้ว +3

    pole sana mzee kwa yaliyokkuta mungu atakusaidia
    maisha yako ysmeishia gerezani .

  • @gemkachar
    @gemkachar 6 ปีที่แล้ว +4

    Natumai IGP Sirro pamoja na askari wake waniatazama hii video. Mwenyezi Mungu yupo.

  • @naylahkhamis1545
    @naylahkhamis1545 5 ปีที่แล้ว +8

    inasikitisha machozi yananitoka wallah 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @omarkhamis9514
    @omarkhamis9514 6 ปีที่แล้ว +5

    Hili jambo lisizikwe vivi-hivi, wizara husika ni lazima zifuatilie na mzee alipwe ridhaa na biashara zake, nguvu zake na mateso ya kihisia aliyopitia mzee huyu na yeyote aliyepitia dhulma za kusindikizwa. Imenivunja moyo sana. Udhalimu ulinuiwa mzee aozee jela milele, wapo wengi. Haki daima itaolea! Pole Mzee Raphael!

  • @carolinetalimo8088
    @carolinetalimo8088 6 ปีที่แล้ว +7

    mungu ni mwema ,,,na atakupa nguvu,,

  • @carolinesergon347
    @carolinesergon347 5 ปีที่แล้ว +1

    Woiye soo sad. Poleni sana kwa familia ya mzee Raphael kwa ujumla na pongezi pia..i think they all need counselling especially the old man. He is still in a tough place 4 sure. Am grateful too for what ur president did. Btw big ups to the beautiful presenter mwenye sauti nyororo pia 😍😎

  • @roseondieki7443
    @roseondieki7443 4 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu jidhihirishe katika maisha ya huyu Mzee jionyeshe mwongezee miaka mbariki katika uzee wake mpe tumaini tena....Amen Amen

  • @winfred2546
    @winfred2546 6 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana baba Mungu atakulipishia. ...Kwa kweli nimelia😭😭 am so sorry

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 6 ปีที่แล้ว +3

    Mi mpaka tumbo limeanza kuniuma.
    Dah!! Mungu anakupenda Baba

  • @neemaselemani3689
    @neemaselemani3689 4 ปีที่แล้ว +2

    Askari mungu anawaona, askari kazi ya laana sana, aiseee pole baba

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Baba ana uchungu sana sana,Mungu amtiye nguvu sana,ampe umri mrefu wa kuishi.

  • @kacheali4777
    @kacheali4777 6 ปีที่แล้ว +9

    pole baba mungu ndio mtetez wetu hapa duniani watu wajiona wakubwa kuliko mungu.lakn hak haipotei mungu akusaidie sana

    • @johnjoseph4832
      @johnjoseph4832 5 ปีที่แล้ว

      Pole sanaaa bb yetu mungu ni Muaminifu

  • @lukusupierrewembolambert41
    @lukusupierrewembolambert41 5 ปีที่แล้ว +30

    Tanzania haki iko wapi? Acheni ubinafsi mahkama tendeni haki kwa so wafungwa bure.

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaah jela miaka 43
    Nje ya jela miaka 34 duuuuuh Mungu mkubwa sana......Watoto washaolewa hata wake walishaolewa cjui

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole mzee Mungu analipa?Sahau yote na uamini Mungu anawezaa

  • @dirocksilikari1888
    @dirocksilikari1888 6 ปีที่แล้ว +29

    😔😔😭😭😭Police wakitanzania wanaonea watu sana wana jifanya iti wanafanya upeleji ila marekani police hawakuwagi hivo police kinacho tumika ni camera na sterite sio mambo ya kuzushiana kwanza ukisema mwenzoka afanya aje ww ndo unakamatwa

    • @saidaali9379
      @saidaali9379 6 ปีที่แล้ว

      Dirock Gerard all europe hata kama polisi kasema jaji anamuuliza polisi unaushahidi lakini tz polisi akisema basii umeenda

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 ปีที่แล้ว

      Hakuna sehemu pasipo na uonevu nyinyi, huko Amerika sijui sheria zao, lkn London polisi hawafatilii haswa au hawafatilii sana, hasa kesi za kinyonge ndio kabisa, mnavyojidanganya tu. Baadae ukifika mahakamani kuna guilty na not guilty, yanaelezwa mashitaka na mashahidi wanakuja kutoa ushahidi km mtu anakuchukia umeumia, na sisi watanzania wengi sana tukiwa nje hua hatupendani, na polisi na hao majaji wengi wao ni wabaguzi. Sasa unaulizwa guilty au not guilty? Na hua na wale wanaoitwa jury kwenye mahakama ambao wao mwisho wa case ndio wanaoamua km guily au not guilty pia. Sasa km huna pesa mnyonge unapewa lawyer wa serikali, na huyo lawyer wa kukutetea weye wa serikali aliyelipwa na serikali unahisi ana upendo au huruma na ww? Na ww ni mgeni? Na wengi wanachukia wageni? haswa na uwe muisilam. Kinachokua unashauriwa na huyo lawyer ukikubali mapema "Guilty" utapewa kifungo kidogo lkn ukikataa "not guilty" hadi mwisho jury wakisema guilty utapewa kifungo kikubwa mfano uliohai kesi ya madawa ya kulevya ukikubali mapema unapewa kifungo cha miaka 2, ukikataa wakikubali jury utakoma! kuna mtu namjua mm kafungwa miaka 17 hakukubali. Sasa ww unajua hakika hujafanya kile kitu lkn pengine mwenzio ametoa ushahidi wa uongo au ameku frame, namaana amekutilia yale madawa kukukamatisha. Na unaona kesi inaanza kukukalia vibaya utarisk kweli? Utaona haya nikubali Mungu atanilipia, ukikubali unapata kifungo kidogo, yanaisha. Unakuta kesi za London wanaokubali wengi hua hawajatenda lile kosa lkn wanakhofia kukaa mda mrefu gerezani bila hatia yeyote.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 ปีที่แล้ว

      Kumlipa lawyer ulaya hasa london nighali sana, haswa kwa kosa ambalo mtu hujafanya. Halafu wale wanaoeka lawyer wao wenyewe wenye pesa ndio afadhali kidogo hupata kung'ang'anua, na matajiri na wenye vyao hata wakikosa hawafungwi, Ma lawyer wanazipanga kesi vzuri sana na wala hawakubali hadi mwisho wa kesi km kaua ataambiwa hakukusudia na kupewa kifungo kidogo au atapelekwa kwa psychiatric bac.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 ปีที่แล้ว

      Dirock Gerard, kwani hujapata kuona watu wanaua, na mashahidi wanakuepo hapo ktk tukio "live" na mahakamani wanasema "not guilty"? Na wengine wanaachwa huru kabisa. Duniani popote hakuna haki wanaohukumu, wanaofanya uchunguzi na hao mashahidi wote wanaudhaifu. Haki ipo akhera anaehukumu ndie aliekuumba, hana mapungufu na viungo vyako ndivyo vitakavyotoa ushahidi sio mwengine.

    • @dirocksilikari1888
      @dirocksilikari1888 6 ปีที่แล้ว +1

      Love Mummy ichi yetu United States hapa kila kona lazima ukute camera sasa hizi kesi za kusingiziana huku kwetu sinyingi police uwa mfano brack people wapigana risasi ww ujitokeze useme uliona eti furani naww unaigia kwenye ma tatizo juu hapa marekani sisi Akuna mtu anae toka inje hovyo hata usikie kuna mtu umepigwa shaba ni kosa kutoka juu hapa 90% kila mtu anakuwa anagari yake ukitoka inje unaingia ndani ya gari so Tanzania nimekuria uko tena nilikuwa na lafiki wengi waki police hata Mimi kuna wakati walikuwa wananigeukia ila bwana Mungu atuhurumie sana juu hao asikari wanapenda rushwa ila ichi ambazo nimeenderea kama marekani sisi uku Akuna rushwa kabisa yani ujichanganye uti una mpa asikari rushwa kama utafungiwa wapi sjuwi kweli

  • @kavassay8899
    @kavassay8899 4 ปีที่แล้ว +5

    Daaaaaaaa mzeee Amelia kwa uchungu sana

    • @zamanineema3057
      @zamanineema3057 4 ปีที่แล้ว

      Kabisaaaaa filahun hawao Mungu atawalipaa kwa choz la mzee huyu

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 5 ปีที่แล้ว +1

    Unamshukuruh Allaah thummaah makufuli...Mwenyezimngu Atawalipaaa. Alokudhulluh ...

  • @jovinathobias7163
    @jovinathobias7163 6 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha mno kwakweli Mungu ni Mwema anamakusudi na maisha yetu kwanza kutupatiaMagufuli kila jama linamaana yake,Mungu so kiziwii wala sio kipofu,Asante sana Baba

  • @fortunatuswangubo6013
    @fortunatuswangubo6013 5 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana ndugu yangu kwa mkasa huo

  • @rukiaabdallah92
    @rukiaabdallah92 6 ปีที่แล้ว +145

    Machoz yako hayataenda bure baba maana mapolis wa tz ndo walivyo sasa sijui wanaiendesha vip nchi

    • @oyay2821
      @oyay2821 6 ปีที่แล้ว

      Mzee ni jambazi. Yaani hata huyo hakimu alikuwa hasikizi ushahidi?

    • @sheikhawashoto8717
      @sheikhawashoto8717 6 ปีที่แล้ว

      Rukia Abdallah nmependa manen yko

    • @johnpeter5111
      @johnpeter5111 6 ปีที่แล้ว

      pore sana

    • @elishatimoth3333
      @elishatimoth3333 6 ปีที่แล้ว

      Rukia Abdallah ç wote wengine niwaaminifu

    • @elviramboje2491
      @elviramboje2491 6 ปีที่แล้ว +2

      yaan hata mapolis sjui yakoje,,,Mungu anayaona

  • @user-mv9rh3nf3n
    @user-mv9rh3nf3n 5 หลายเดือนก่อน

    Pore Sana babu yng mwnyz mungu akupe maisha maref

  • @kaisarimbisso6146
    @kaisarimbisso6146 6 ปีที่แล้ว +1

    God bless your family, mzee wetu Raphael

  • @babaneygss6753
    @babaneygss6753 6 ปีที่แล้ว +7

    Asante Mungu kwa wema wako,asante JPM kwa huruma uliyowatendea wafungwa wote ulio wasaheme 09/12/2017.

  • @rahapaulina1451
    @rahapaulina1451 6 ปีที่แล้ว +5

    Mungu utabaki kua MUNGU dah nimelia sana pole sana baba

    • @luciapeter1345
      @luciapeter1345 5 ปีที่แล้ว

      Nmebaki
      Tyu kulike coment Za wenzang mana inaniuma
      sana jpo na meng ya kuxema but asilmia nying Imesemw na Wenzang Apa nmebaki tyu njiapanda tanzania kuna makafiri hvi?????????

  • @jackfrancis8047
    @jackfrancis8047 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaah nimeumia Sana polen Sana Mungu ashukuriwe

  • @lindahwazir7209
    @lindahwazir7209 4 ปีที่แล้ว +1

    Msijali jamani tunae Rais anae jitambua .Makufuli yote yanakwenda kufunguliwa. Mungu mtunze Rais wetu kila mtu amfurahie jamania

  • @mzeewamadodoso1816
    @mzeewamadodoso1816 6 ปีที่แล้ว +66

    video hii imenitoa machozi..Hakuna kama Mungu

    • @selinalawrence9173
      @selinalawrence9173 6 ปีที่แล้ว +1

      nimetoa choz Kama babaangu mzazi Jamani daaaah Kwer siyo Kla anae fungwa jera anakosa

    • @godwinmsuya6080
      @godwinmsuya6080 6 ปีที่แล้ว +1

      Mzee Raphael, kweli unasikitisha sana, nami nasikitika pamoja nawe lakini Mungu alikuwa na makusudi nawe..huenda hao wabaya wako wangekuua kama unge kaa uraiani, basi mpe Mungu utukufu wake.... najua unalilia umri wako na muda wa maisha yako uliopotea... lakini jina la Mungu nalibarikiwe... Mzee Raphael, pole sana na Mungu akubariki sana sana.....

    • @elizabethtadeo1922
      @elizabethtadeo1922 6 ปีที่แล้ว

      pole sana baba angu

    • @imanikipanga4108
      @imanikipanga4108 6 ปีที่แล้ว

      MZEE WA MADODOSO mungu mwema ipo sku ardhi itapasuka na kutoa ushuhuda

    • @abdallamwandunga8949
      @abdallamwandunga8949 6 ปีที่แล้ว

      Pole Sana mzeee

  • @dvjaddie7176
    @dvjaddie7176 5 ปีที่แล้ว +7

    Daa inauma sana mungu akujaalie afya tele ishaallah.

    • @raisonmwazembe7002
      @raisonmwazembe7002 4 ปีที่แล้ว

      Ee yesu nisaidie,nifikesalama yote ya duniani pore_baba,mungu in mungutu

  • @kananu578
    @kananu578 4 ปีที่แล้ว

    Great job Mr President Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha big respect from Kenya

  • @julytito3891
    @julytito3891 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaan Machozi yananitoka tu kweli maishani huwa tunapitishwa sana

  • @matundsarah7827
    @matundsarah7827 6 ปีที่แล้ว +15

    Nmeumia mnoo m spendii kuona ihhh halii jamanii naumiaga mnoo . m spend kuona MTU anaonewa jamani hata kipind nasoma mwalimu alikuwa akimchapa mwanafunz bila kosa nilikua naumia sana

    • @gracerichard7111
      @gracerichard7111 6 ปีที่แล้ว

      imenisikitisha mno polen sana nahongelen sana

  • @daudi1bashite48
    @daudi1bashite48 6 ปีที่แล้ว +9

    Kumbe wakati mwingine watu wanaotaka JPM atawale maisha wanakuwa na sababu za msingi tusiwabeze. Ila sheria zipo.

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 6 ปีที่แล้ว

    Hadi kesi imeniliza sana tokea mwanzo mpaka mwisho kusikia matatizo waliopitia family hii. Mtu afungwe muda wote huo kwa dhulma
    Pole sana Baba mzee, Mungu akupe umri mrefu Na mafanikio mema katika maisha yako.

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 ปีที่แล้ว

    Too much emotional I can't stop crying 😭😭😭😭😭😭 guys God is faithful and peaceful guys 😭😭😭😭😭😭😭😭 labda Mungu alipenda kuwapitisha kwa hau ile uwe ushuhunda kwa wengine hata mimi pia

  • @atukuzwemungudaimaariseand6156
    @atukuzwemungudaimaariseand6156 6 ปีที่แล้ว +41

    Siwakati wa kumuhukumu uyu mzee angekua ameusika asingelia ukiona mtu mzima analia ivo anaonekana alizurumiwa aki yake lakini mungu ndie hakimu wa mwisho.kaona ana kosa kamtoa . Nijambi lakushukulu mungu.daima

    • @julianakavishe1731
      @julianakavishe1731 6 ปีที่แล้ว

      Pole sna baba Mungu Mshukuru sna Mungu kwa yote na Mwombe akupe maisha marefu zaidi

    • @sadikisadiki7465
      @sadikisadiki7465 6 ปีที่แล้ว

      Atukuzwe mungu daima

    • @zurekhanabdulkadir5633
      @zurekhanabdulkadir5633 6 ปีที่แล้ว

      Atukuzwe mungu daima arise and shine nikwel

    • @cecyhenry760
      @cecyhenry760 6 ปีที่แล้ว

      Atukuzwe mungu daima arise a
      nd shine

    • @deewallance9354
      @deewallance9354 6 ปีที่แล้ว

      Atukuzwe mungu daima arise and shine amen Amen,

  • @happydeo9070
    @happydeo9070 5 ปีที่แล้ว +7

    Dada unasifa yakuitwa mtangazaji

  • @trdr1915
    @trdr1915 5 ปีที่แล้ว +1

    Oh my pole mzee mungu akunjalie na akulundishie chochote shetani amemba

  • @manasemwakagali9358
    @manasemwakagali9358 6 ปีที่แล้ว +7

    hakika mungu atakulipia, inauma sana. lakini hii inaonyesha namana gani watu wengi wamefungwa kwa kuonewa.

  • @isayajacobo8038
    @isayajacobo8038 6 ปีที่แล้ว +4

    mungumwema mzee

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 5 หลายเดือนก่อน

    Nchi nyingine polisi ni watumishi wa serikali wanaokimbiliwa na raia na wananchi wengine lakini siyo Tanzania. Nilichofanyiwa na polisi niliyemsaidia kunusuru maisha halafu akanipora. Ninamuachia Mwenyezi Mungu.

  • @penny4310
    @penny4310 6 ปีที่แล้ว

    So sad, May the Mighty Lord God give him strength,

  • @zehrahajji7216
    @zehrahajji7216 6 ปีที่แล้ว +31

    mungu yupo tu Na ipo siku atawahukum APA APA duniani

    • @chiefsumwa5158
      @chiefsumwa5158 6 ปีที่แล้ว

      Daa pole babu ata mm yamenikuta afande wa mangula walinikamata nakunipeleka mahakaman bila kosa lolote ila na mwachia mungu

    • @jumangodu2402
      @jumangodu2402 6 ปีที่แล้ว

      Mwaka 74 simu......

    • @TheGame-nz7um
      @TheGame-nz7um 6 ปีที่แล้ว +1

      Sehem yeyote yenye shida akiingia Mrema huwa kuna jambo linatokea...na kuna wengi wapo Jela na wameonewa Mrema endelea kuzunguka magerezani...watanzania wengine sio wazuri kabisa...tafuteni ukweli.

    • @imaniegno8690
      @imaniegno8690 6 ปีที่แล้ว

      Juma Ngodu duh imeniliza sn

    • @leahoketch8122
      @leahoketch8122 6 ปีที่แล้ว

      Zehra Hajji x,

  • @baidaismail4061
    @baidaismail4061 6 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭 Duh! inauma sana

  • @smwansasu8605
    @smwansasu8605 6 ปีที่แล้ว

    Mzee aache kuishi jana itamuuma sana. Mungu atamrejeshea miaka yake iliyopotea. Asamehe tu yote yaliyomtokea. Pole sana baba.

  • @monday1278
    @monday1278 6 ปีที่แล้ว +1

    Wahenga hunena " uongo Wa Askari si ukweli Wa raia" ndio yalomkuta huyu bwana. Pole sana baba.

  • @alphageorge4796
    @alphageorge4796 6 ปีที่แล้ว +8

    Mungu atukuzwe kwa hili

  • @anifajumajuma2681
    @anifajumajuma2681 4 ปีที่แล้ว +6

    Jaman polisi Mungu anawaona imeniliza😭😭😭😭

  • @fidesrazalo8438
    @fidesrazalo8438 4 ปีที่แล้ว

    Wote waliokufanyia hivo cku ya mwisho simamanao mbele ya mungu na mungu atawadhibu hapa duniani hakuna haki haki hiko juu mbinguni pole sana baba

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 5 ปีที่แล้ว

    Pole sn mzee omba sana mungu asikuache popote uendako kweli nimejifunza kitu kikubwa sana juu ya hili mh rais bc tu juu yako mungu akuangalie sn udumu baba

  • @Purity493
    @Purity493 6 ปีที่แล้ว +7

    Pole sana babaa, aki inauma

    • @sadanasibu1038
      @sadanasibu1038 5 ปีที่แล้ว

      Hayo ndio maisha ya way an zan a wanyonge kwani mpaka sasa uonevu huo bado unaendelea . Tatizo kubwa ni mfimo wa elimu ya uraia lakini IPO SIKU HAYA YATAKWISHA japo haijulikani ni link.Binafsi Nina uchungu na hasira kwani Mimi pia ni muathirika wa uonevu huo ambao unaendelezwa kwa makusudi na hawa waliopewa dhima ya kuongoza na kusimamia hali MUNGU mpe maisha marefu na karama ya uongozi mh. JPM raising WA haki WA awamu ya tano Tanzania Aminaa

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +75

    Ndio hivyo hata sasa ukipata Riziki kidogo unaambiwa freemason pole sana baba

    • @neemamakundi7736
      @neemamakundi7736 6 ปีที่แล้ว +1

      pole xN b b

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 6 ปีที่แล้ว +5

      Said Said -Umenena kabisa'ila kwangu mm wanikome kabisa'Ukinunua hata kiwanja tu basi maneno yanaaza

    • @saidsaid9463
      @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +2

      Mama tuishi- mama tuondoke tuna rais anayejali wanyonge ni wengi wanamatatizo kama haya hawana msaada

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 6 ปีที่แล้ว +3

      Said Said 'Kweli kabisa binafsi mwazo nilikuwa namchukia sana magufuli'Ila sasa natambua umhim wake'Kiukweli Mungu azid kumupigania msukuma wetu

    • @saidsaid9463
      @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว +1

      Mama tuishi- mama tuondoke yaani huyo jembe anayemchukia ahame nchi hapa kazi2

  • @lindahwazir7209
    @lindahwazir7209 4 ปีที่แล้ว +2

    Hivi huyu Rais Maguli mbona alicheleweshewa urais ?Ulikuwa wp Baba? Naomba Mungu akutunze akulinde, nimelia sana kwani najua kunawengine wengi kama huyu Mzee anayetoa machozi, hakika machozi haya yataotesha kitu kwa waliofanya hiv.

  • @Blaisebula-uo4fr
    @Blaisebula-uo4fr 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu nimwema siku zote .mungu akurinde baba

  • @innocentpius8083
    @innocentpius8083 6 ปีที่แล้ว +17

    INAUMA SANAA.

    • @sophialazaro3632
      @sophialazaro3632 6 ปีที่แล้ว

      Innocent Pius aise pole Sana bb yetu Mungu yu nawe

  • @mtindamtinangi6430
    @mtindamtinangi6430 6 ปีที่แล้ว +12

    Uonevu wapolice duuh mungu tusaidie

    • @jafariabdalah2882
      @jafariabdalah2882 6 ปีที่แล้ว

      pole zana mzee wangu Mungu ndo atakaehukum juu ya hili la uowevu dunia mapito

  • @richmanyotta167
    @richmanyotta167 4 ปีที่แล้ว

    Dah mungu tusimamie sisi vijana tuepushe na mabalaa nmeumia pale watoto wanahadithia maisha waliyoyapitia ya kuokota pumba mashineni harafu akawa analia huku anainamia sofa imeniuma sana, jopo hata Mimi nilishawahi kuokota pumba na unga uliodondoka chini kisha napeleka kwa mama tunapika maisha yanaenda baba yetu alitukimbia zaidi ya miaka 8 aliniacha na miaka 6 mwaka 2010 akarudi kuchukua now tupo dar maisha yanaenda kuishi bila baba si mchezo jaman, pole Mzee mpelen familia yotu mungu atawasimamia wewe ndo apangae huenda kunabalaa alilomuepushia hapo ulaian.

  • @jamestarimo2910
    @jamestarimo2910 5 ปีที่แล้ว

    malipi na hapahapa diniani...na pengine washahukumiwa wote walio mzulumu maisha mzee wetu...Mungu amtie nguvu mzee wangu ..pole sama mzee

  • @judithiwakaroyo8694
    @judithiwakaroyo8694 6 ปีที่แล้ว +6

    Ashukuriwe mungu jwailo pia raisiwetu.ukweli namuombea sana raisi munguamuongeze na ampe ufaamuzaidi kwani wdngi wanaonewa kufungwa mungu akuongoze na aisaidie serekaliyetu ifike maali waukumuwe waliousika na siokusingiziana ukweli inaumasana kufungwa bila kosa polesana baba mungu amejibu maombi.