- 635
- 2 022 384
SHUHUDA ZA KWELI
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 26 พ.ค. 2014
Lengo letu ni kuleta mafundisho yenye uzima kwa makanisa ya Kikristo na nuru ya ukweli kwa wale wanaoishi gizani. Tutaufunua ulimwengu wa roho kupitia ushuhuda wa kila mtu ambaye amepata uzoefu wake. Katika kurasa hizi pia tutaangazia dhana zisizo za kawaida, kurejesha injili ya kanisa la kwanza kwa ajili ya wokovu wa wale waliopotea. Hatutetei madhehebu au sehemu maalum; tuko wazi kwa wapentekoste, wa jadi, walutheri na wengineo.
วีดีโอ
MAMBO MAWILI YA KUUPENDEZA MOYO WA MUNGU
มุมมอง 741หลายเดือนก่อน
MAMBO MAWILI YA KUUPENDEZA MOYO WA MUNGU
INJILI YA UTAKATIFU YAPOKELEWA VYEMA NA WAKONGWE WA INJILI
มุมมอง 4223 หลายเดือนก่อน
INJILI YA UTAKATIFU YAPOKELEWA VYEMA NA WAKONGWE WA INJILI
PART 3 HUKUMU KATIKA LANGO LA MBINGUNI USHUHUDA WA ASTON ADAMU MBAYA
มุมมอง 1.3K3 หลายเดือนก่อน
PART 3 HUKUMU KATIKA LANGO LA MBINGUNI USHUHUDA WA ASTON ADAMU MBAYA
PART 2 KINACHOTOKEA ROHONI WASHIRIKA WANAPO FUNDISHWA INJILI YA UONGO KANISANI USHUHUDA WA ASTON
มุมมอง 2.4K3 หลายเดือนก่อน
PART 2 KINACHOTOKEA ROHONI WASHIRIKA WANAPO FUNDISHWA INJILI YA UONGO KANISANI USHUHUDA WA ASTON
PART 1 WATOTO WA BRANHAM WANAVYO KWENDA KUZIMU USHUHUDA WA ASTON ADAMU MBAYA
มุมมอง 5K3 หลายเดือนก่อน
PART 1 WATOTO WA BRANHAM WANAVYO KWENDA KUZIMU USHUHUDA WA ASTON ADAMU MBAYA
PART 1 KINACHOTOKEA UNAPOKWENDA SOKONI KUNUNUA CHAKULA USHUHUDA WA OSCAR
มุมมอง 2.5K6 หลายเดือนก่อน
PART 1 KINACHOTOKEA UNAPOKWENDA SOKONI KUNUNUA CHAKULA USHUHUDA WA OSCAR
UTENDAJI WA MALAIKA TUNAPO OMBA USHUHUDA WA ELIZABETH
มุมมอง 4.2K6 หลายเดือนก่อน
UTENDAJI WA MALAIKA TUNAPO OMBA USHUHUDA WA ELIZABETH
PART 2 MAWAZO YANAVYO WEZA KUKUPELEKA KUZIMU YA MOTO USHUHUDA WA JOHN
มุมมอง 2.2K6 หลายเดือนก่อน
PART 2 MAWAZO YANAVYO WEZA KUKUPELEKA KUZIMU YA MOTO USHUHUDA WA JOHN
PART 1 KINACHOTOKEA KATIKA VITA VYA MAOMBI USHUHUDA WA JOHN
มุมมอง 4.3K7 หลายเดือนก่อน
PART 1 KINACHOTOKEA KATIKA VITA VYA MAOMBI USHUHUDA WA JOHN
JE UNATAKA KUWA HATARI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO?
มุมมอง 4707 หลายเดือนก่อน
JE UNATAKA KUWA HATARI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO?
KUJIBIWA MAOMBI KABLA HATA HAUJAOMBA #kupata mafundisho.mbalimbali bofya link apo kwenye description
มุมมอง 1K7 หลายเดือนก่อน
KUJIBIWA MAOMBI KABLA HATA HAUJAOMBA #kupata mafundisho.mbalimbali bofya link apo kwenye description
PART 1 JINSI YA KUJIBIWA MAOMBI HARAKA, kwa program za mwanamke Bofya link kwenye description
มุมมอง 1K7 หลายเดือนก่อน
PART 1 JINSI YA KUJIBIWA MAOMBI HARAKA, kwa program za mwanamke Bofya link kwenye description
PART 4 SIRI ILIYO JIFICHA KWENYE MTI WA Christmas tree USHUHUDA WA LUKUBIKA
มุมมอง 1.7K7 หลายเดือนก่อน
PART 4 SIRI ILIYO JIFICHA KWENYE MTI WA Christmas tree USHUHUDA WA LUKUBIKA
PART 3 SIRI YA SHEREH ZA NAMNA HII NI UCHAWI NA UPAGANI USHUHUDA WA LUKUBIKA
มุมมอง 1.4K8 หลายเดือนก่อน
PART 3 SIRI YA SHEREH ZA NAMNA HII NI UCHAWI NA UPAGANI USHUHUDA WA LUKUBIKA
PART 2 MUONEKANO WAWATU WALIO OKOKA ROHONI NA UKU WAKITENDA DHAMBI USHUHUDA WA LUKUBIKA
มุมมอง 7K8 หลายเดือนก่อน
PART 2 MUONEKANO WAWATU WALIO OKOKA ROHONI NA UKU WAKITENDA DHAMBI USHUHUDA WA LUKUBIKA
MATESO YA KUZIMU NA JINSI YA KUINGIA MBINGUNI USHUHUDA WA ASTON ADAM MBAYA
มุมมอง 16K8 หลายเดือนก่อน
MATESO YA KUZIMU NA JINSI YA KUINGIA MBINGUNI USHUHUDA WA ASTON ADAM MBAYA
PART 3 NGUVU YA USHUHUDA PASTOR LANGI STANY
มุมมอง 1.6K9 หลายเดือนก่อน
PART 3 NGUVU YA USHUHUDA PASTOR LANGI STANY
NENO KUTOKA KWA NABII ASTON ADAM MBAYA
มุมมอง 1.1K9 หลายเดือนก่อน
NENO KUTOKA KWA NABII ASTON ADAM MBAYA
UJUMBE WA NABII ASTON ADAM MBAYA KWA ARUSHA
มุมมอง 2.3K9 หลายเดือนก่อน
UJUMBE WA NABII ASTON ADAM MBAYA KWA ARUSHA
PART 1 TAMBUA WATU WENYE TABIA ZA NAMNA HII NI WASHETANI.USHUHUDA WA LUKUBIKA SHETANI ALIYE JIFICHA
มุมมอง 7K9 หลายเดือนก่อน
PART 1 TAMBUA WATU WENYE TABIA ZA NAMNA HII NI WASHETANI.USHUHUDA WA LUKUBIKA SHETANI ALIYE JIFICHA
Nakataa Kanisa haliwezi kufa maana Kanisa lina haadi kubwa ya YESU aliposema Atalijenga wala mirango ya !uzimu haitalishinda sasa unawezaje kusema limeoza?kusema limeoza maana yake Yesu ameoza kwaiyo tusipotoshe ukweli
Kama hutaki kuabudu kanisani nenda mbinguni
Mch katunzi yaani ubarikiwe sana kwa maneno mazuri sana kwa ajili ya Baba yetu Magembe tuko pamoja Yesu anarudi lazima injili ya kweli ihubiriwe na kweli ya Neno la Mungu isemwe Amen.
Uaskofu ni cheo cha tamaa na wenye tamaa ndiyo wamepewa dhamana ya kuongoza
❤❤❤
Nimeumia sana kwa Magembe kuondoka TAG,,pia nimelia kwa kanisa kufa alitaki kuambiwa ukweli..tunapotea sana...Moto wa Mungu kwa Magembe utaliunguza kanisa la TAG litapotea sana sana
Bamiza kabisa!
Piga nyundo pastor! Ni wakati wa kubomoa ngome za dini
Mtasema tu. Tunawaambia kila Siku kuwa Dini ni Tamaduni ovu za kigeni tulizofakamia. Dini ni upumbavu!
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa Neno la Mungu
th-cam.com/video/uku-xvhT9Lg/w-d-xo.htmlsi=T9MS4vjejFiDx_oU
Mungu Akubariki sana, T.A.G Mungu awasaidi wasipotubu watapotea kabisa
HIVI WEWE MCHUNGAJI UNATUKANA DINI ,HUJAWAHI KUSOMA HABARI YA DINI ILIYOSAFI.UKISOMA HILO TU UTAJUA KUMBE MUNGU ANATAMBUA DINI.NAFIKIRI WW UNAPENDA USIWE CHINI YA UTARATIBU WOWOTE ,MUNGU AKUSAIDIE SANA ,HIYO T.A.G UNAYOITUKANA HUMO KUNA WATU WENGI SANA WALIOOKOKA KULIKO HATA HUYO MAGEMBE.
Ubarikiwe sanaa kwa hili Mchungaji obedi katunzi
Magembe Mungu amtie nguvu, washilika wake kama kweli wameokoka wote wangemfwata mchungaji magembe , wangewachia jengo tu sasa waumini wengi niwanadini ni mali ya Dini waumini wangekuwa mali ya Kristo wangetoka wote na mchungaji magembe
Nilikuwa natamani sana kazi ya uchungaji,But Kuna vitu vinafanya nifikirie upya
Tena ufikiri kweli kweli
Masikofu wa kipentekosti nizaidi ya vibaka. mara kumi ukutane na jambazi kuliko masikofu wa kipentekosti,ovyo mara mia Dini la kkT ni afsthari katoliki kuliko wakuu wa Dini wa kipentekosti,
Mchungaji huburi neno. Acha kuhubiri madhehebu mengine. Acha kuwahubiri watumishi wenzio. Sasa hivi umejitokeza mtindo ambapo watumishi badala ya kuhubiri neno la Mungu watu wajengeke, wanatumia muda mwingi kukashifu watumishi wengine. Zamani tukiwaangalia wachungaji tunapata picha ya Yesu. Leo hii picha unayoipata ni watu waliojaa matendo ya mwili. Wanaongoza kuisema vibaya serikari, wanaongoza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe. Mbona hayo kwa wenzetu waislam hatuyaoni? Leo hii kanisa haliwezi kuendeshwa kama ilivyoendeshwa mwaka 1968. Pia ili kanisa liendelee lazima kuwa na kanuni na taratibu. Hata kanisani kwako, washirika hawawezi kuanza tu kukukosoa madhabahuni bila utaratibu
Dini nipepo mchafu sana na nimifumo ya kitapeli
Mtumishi watumishi wa Dini katika asimilimia 100 asilimia tisini 90, niwachawi asilimia kumi ,10 niwenye haki,
Huruma sana wamefungwa Yesu Kristo awabariki wote wanao simama na kweli katika Siku za mwisho
Dini hamuwezeshi mtu kushinda dhambi, bali humuweka mtu kwenye mazoea,hata wakati wa BWANA YESU KRISTO alipokuwa duniani kulikuwako na dini mafarisayo,masudukayo,na waandishi hizi zote zilikuwa ni dini lakini pamoja na dini hawakuweza kushinda dhambi wengine walikuwa wezi wengine matapeli , wauwaji wazinzi nk na ndio maana ilimbidi BWANA YESU KRISTO kuja duniani kutoa uhai wake ili tupate wokovi halisi maana aliona wazi kuwa dini hakuwasaidia na kama dini ni jambo sahihi haikuwa na haja BWANA YESU kuja ulimwenguni kuutoa uhai wake ili kutukomboa na kutuokoa kwa upyaa ,anachosema pastor dini ni mfumo wa kishetani unaopelekea watu kukariri , kuwa na mazoea, sasa mwisho wake ni jehanamu ya moto
Ni kweli kabisaaa pastor naungana na wewe watu wanapaswa kufahamu kuwa dini na wokovu ni viti viwili tofauti,tena wenye dini wote hawataingia mbinguni si mara moja au mbili MUNGU ananiambia jambo hilo kuwa watu kwa sasa wamebaki na dini na sio wokovu BWANA YESU KRISTO anataka wokovu wa kweli ,ndio unaweza kuingia mbinguni na sio kuwa mwenda kanisani au kuwa na dini ya ukoo au ya jamii haitakusaidia kitu ndugu mkristo, fanya himantoka katk dini upate wokovu wa kweli na uwe mtakatifu ili uweze kuingia mbinguni
Am blessed indeed
Injili isiyoghoshiwa
Amen amen
Nikweli makanisa yameoza, wayakatifu wa Mungu hatutakiwi makanisani
Sema baba tuponeee
Nenda shuleni wewe kasome. Usidanganye watu. Can you say mifumo ya dini imeleta uchafu? Acha ujinga wewe. Huoni social services na huduma mbalimbali zilizofanywa na zinazofanywa na dini. Shida yenu mnafikiri ili uwe mtumishi wa Mungu ni kukosa utaratibu. Acha ujinga kabisa, nenda shuleni kasome.
Hajasema sini zisiwepo ila mifumo.ndo imejaa unyanyasaji..usikurupuke kuongea akasome, we elimu uliyonayo imekusaidia nini?
Katubu ,Kabla YESU hajarudi , Kweli lazima isemwe
Ninyi watu mbona mnalaumiana bure? Hamkusoma maandiko? Biblia iko wazi sana kwamba siku za mwisho zitakuwa za hatari! Cha kufanya ni kuchukua tahadhari tu ili kuweza kuishi katikati ya watu wa siku za mwisho. Unabii lazima utimie! Wale mnaosema TAG imechafuka je kwenu ni kusafi? Haya sasa mmesha toka TAG washeni huo moto katika siku hizi za mwisho then you will prove the bible is wrong. But if the bible is right apostasy will continue until the Church is rapture d. Kwa kweli nasubiri kwa hamu kuona babangu mch. Magembe akiwasha moto nje ya TAG na moto uwake ndipo nitakapojua kwamba biblia ilisema uongo katika 2Tim 3. Ukweli ni kwamba kanisa la sasa moto hauwezi kuwaka kwa sababu ni wakati mbaya. Moto utawaka nusu ya pili ya dhiki kuu sio sasa! Juhudi za TAG za kuwasha moto wa kiroho naziunga mkono na moto utawaka kwa watu wale wanaonyakuliwa! Mnapoteza muda tu kulumbana na kupoteza muda na shetani anawafurahia kweli.
Ukweli lazima usemwe hakuna anaayelumbana na YESU KRISTO anakaribia kurudi tutubu ukweli haupingiki@@ANDREA-k9p8u
Huyo mchungaji sija muerewa binadabu akitosheka anaruka mipaka mbon yeye anawachu kwaninj hakujiuliza kwao kuliko wewe huyo haerewi kitu mvurugaji tu
Ahaaaaaaa kumbe wewe kumbe weww umemutoa mtoto wako tag kuwan pcc huoni kama umetukimbizia muumini ? Inaman wewe tag ulikuwa huitaki so weww unatumika kuandaaa watu kuwa makanisa mengine siyo wawe kama wewe sisi tunakuma nguvu kuwa mmishen tulikutum makanisa uliyo fungua nchi ya tag yote je ulimukabizi askofu wako huyo mchungaji anae sema anakuinunuli mabega ana jenga kibuli tu siyo hukum wa wewe no no huyo kakuhalibu wewe hoyo ndo anasem nabii tatali mbona hata sasa kuna uamush miaka 23 wewe ubajuwa hiyo mch huyo alitaka uamusho gan? Nikwe kira kanisa lina mfumo wake lazima utii
Tunaivunja Mifumo yote ya Kidini Kwa Jina La YESU ,tunaiamuru Injili Ya Kwerii ya YESU iKainukena Kuangaza Kwa Damu ya Mwanakondoo .
Msikimbie Ukweli, hakuna kiumbe Yesu nje ya mifumo ya kidini.
Mungu Atusaidie Sanaaa ,Kanisa Lake Alitetee
Jaman acheni ujinga nyie tag yaani majumba sita kwenda kufanya halambe Kwenye kanisa kingine mbali na tag imekuw mbaya nyie kwakweli mfekufa nimeamini
Amina pst mungu atupe watu kama wewe tz hakika tutasonga mbele
Kwani wewe huduma yako ya kanisa katiba umeipangaje naomba majibu usimutoe kibanzi mwenzako wakati kwako kuna borti jichoni kwako
Wotenimakahaba
Any lakini Mzee hupenda kuhubiri hivyo na Mimi nilivyania anaonya makanisa yote duniani kumbe wakubwa wake walikua wanaona wanakemewa wao
AMENI AMENI
Kweli kabisa baba viongozi wa madini nishida Magembe amesemakweli tunajuwa wenye moyo safindio watamwona MUNGU,Asante mtumishi
Huruma sana,,, YESU KRISTO awasaidie sana,,,na tuzidi kumuombea Mzee WETU azidi kuisimamia kweli,, watu watoke ktk dini,,na waingie Kwa YESU KRISTO
Ukweli mtupu pastor🙏👏
Hosea 4:6
Mtu aliye kwenye dini hawezi kupita bila kudhihaki ila aliye ndani ya Yesu ataamua kuutafuta msaada wa MUNGU, umesema vyema mtumishi wa MUNGU. Ee Yesu nijalie mwisho mwema
Nimefatilia tangu mlipoanza na kumbe Mchungaji Moses Kulola aliacha mtoto wake wa kiroho ambaye anafundisha na kuonya sawasawa na Neno la Mungu... Mchungaji Abiud Misholi
Mungu nimweme sana siku zote🙏🙏🙏
Asante sana mungu akubariki😢
Kipawa chake kilibaki na mchungaji Abiud Misholi
Amen pastor
Ibada nzuri sana somo zuri sana MUNGU atusaidie walokole tunapotubu na kujutia basi tusiyaridie tena maana kama neno linavyosema Toba ya kweli ni kutubu na kuacha kabisa pia MUNGU atusaidie kuishi maisha ya utakatifu wa kweli na sio kusindikiza wengine maana MUNGU hafichwai na kitu na siku hiyo hakika kila kitu kitakuwa wazi, tutetemeke mbele za BWANA YESU siku zote sio siku moja baada ya kusikia somo Kali ,siku zote tuyaishi mapenzi ya MUNGU hatujui siku Wala saa ajayo mwana wa ADAMU