Nakumbuka mchungaji Moses kulola alipokuwa anakuja temeke kwenye mkutano miaka ya tisini kipindi hicho nilikuwa mdogo kweli alikuwa mtumishi wa MUNGU alie hai
Kama hujaokoka fanya hivo kaka,Kama tayari bas muombe Mungu kupitia Roho Mtakatifu akufundishe Cha kufanya ila kwa wakati hup kaa chini ya mtumishi wako ujifunze mengi
Mtumishi unaweka vipande vifupi mno tuna shauku kubwa, wengine tumezaliwa kipind hiki ambacho injili ishachakachuliwa, Hivyo unatukawiza WAISHA WAISHA TUJIFUNZE Mtumishi, maana tumeskiaga tu Sasa ni wakati wetu KUSIKIA ushuhuda huu mzito utusaidie wengi
Amen kweli mtumishi Moses alikuwa ameitwa na BWANA na alikuwa anamtii BWANA.
Ila wahubiri wa zamani walikuwa na misimamo (IMANI) kali sana. Akisema moja ni moja tu hamna michanganyo
Yaani nmejifunza kitu kikubwa sana, asante Mungu
Amen mbarikiwe sanaa watumishi wa Mungu kwa ushuhuda huu nilikua nikiutafuta sanaa
Ubalikiwe juliana
Amen,..nataka kwenda Israel,..after war with philistine,.. please connect me with the man of God
Mungu awabarik watumishi
Nmeelewa sana na nmejifunza sana
Ushuhuda mzur sana twendelee
Mama anayeenda mbinguni wiki mbili, anarudi, haaaa woyee domitila Mungu amtie nguvu,
🙏 Amen Powerful testimony
Kweli baba ushuhuda unajenga sana
Huyu alikuwa mtumishi wa Mungu wa kweli ila sasa hv mmmh Mungu atusaidie
Amazing thank God❤❤❤
Amen
Amen Imani yangu inaimarika mno
Mungu awabariki san kwa ushuhuda
Aminaaaa
Amen Mtumishi samaan Chanika je liko kanisa
Hapana
Dah mtumishi yuko paradiso jaman dah ,
Amen asante
Kulola muasisi wa injiri ya kweli tz mfano wa mitume wa enzi zile,,
Kweli tunajifunza mengi
KRISTO asifiwe sana watumishi wamungu
Muulize Wiley please Kuna watumishi walikuja dar es salaam kabla ajapona mguu pamoja na Hebron Wilson kisamo je ni ukweli ndio tuanzie hapo
Shuhuda za kwel mbarikiwe Sana
Ameeen
Part 3 please
Amen, tuna jifunza mengi.
Amen mchungaji
Nakumbuka mchungaji Moses kulola alipokuwa anakuja temeke kwenye mkutano miaka ya tisini kipindi hicho nilikuwa mdogo kweli alikuwa mtumishi wa MUNGU alie hai
Heri nyie mliye muona mtumishi huyo
Yaani mimi Natamani saana ningemuona maskin dah! Ila Mungu ni mwema
Nifanyeje ?ilinamimi nim2mikie mungu aliye.
Kama hujaokoka fanya hivo kaka,Kama tayari bas muombe Mungu kupitia Roho Mtakatifu akufundishe Cha kufanya ila kwa wakati hup kaa chini ya mtumishi wako ujifunze mengi
NIKWELI ALIKUA MTUMISHI WA MUNGU
Mtumishi unaweka vipande vifupi mno tuna shauku kubwa, wengine tumezaliwa kipind hiki ambacho injili ishachakachuliwa, Hivyo unatukawiza WAISHA WAISHA TUJIFUNZE Mtumishi, maana tumeskiaga tu Sasa ni wakati wetu KUSIKIA ushuhuda huu mzito utusaidie wengi
Amen
Amen
Amen
Amen
Amina Amina Sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu