Ubarikiwe sana ndugu yangu masanja kwa kutulisha neno la Mungu.lakini itapendeza sana uende na Masimbwe ukawape neno la Mungu live.hakika utabarikiwa sana.
Kwili kabisa mchungaji Massanja God bless you so much it's just the Matter of time but every one will reach his/her end we have to have the powerful Jesus in our lives bless you. Buddy
Daah Mungu akubariki sana Pastor, ulitutia moyo sana kwenye huu mziba wa uncle wangu Eng. Timothy Kayani kiukweli tulijikuta tunacheka. Huyo mama aliyeko hapo nyuma amevaa nguo ya Pink alikuwa mchungaji naye ameshafariki, kweli kifo ni fumbo.
Yani umafanya wafiwa wamesahau kama wako na huzuni kwakwel barikiwa sana mtumishi mimi ni muislam lakini siku zote napenda kusikiliza na nyimbo za kristo na ata maombi yangu ni kwa jila la yesu ipo siku nitafata njia ya yesu naona yesu amenitawala barikiwa mtumishi
Ubarikiwe sana ndugu yangu masanja kwa kutulisha neno la Mungu.lakini itapendeza sana uende na Masimbwe ukawape neno la Mungu live.hakika utabarikiwa sana.
Jmn Masanja barikiwa mnooo Mungu aendeleee kukupa ufunuoo
Paster uko vizuri maneno uliyo Nena yamegusa xana watu wengi maana maneno ya mungu Kila yanenwapo inakuwa mpya
Kila ninapokuwa na mawazo na majonzi huwa narudi kusikiliza hapa Mungu akuinue zaidi masanja ❤
Kwer masanja umegusa pazur mpk wafiwanwanaflah wanasahu kam wako msiban🎉
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Masanja! Nakupenda sana na mahibiri yako yanajenga sana
masanja mungu akubaliki maubiliyako Yana fundisha
Kupitia mm Masanja vijana Mungu awasaidie❤
Hongera kwa huduma mungu azidi kukuinuwa katika huduma yako mtumishi
Aiseeh! Yani sijaaamini Kumbe masanja mkandamizaji Uko vuzuri kuhubiri hongera sana bro
Amina mtumishi
Amen Amen barikiwa mtumishi wa
Bwana
Ameen mtumishi nimekuelewa sana Mungu akubariki sana
daaah masanjaaa miaka 3 imani na matendo umetisha sana barikiwa.
Mwenyekipaji anakipaji tuuuu,Masanja yupo vizuri
😃😃mpaka maskofu wananikaribishaa unafikiri mchezo😃mnaniangalia kimasanja masanja tuu
🦸💃🙏🙏🙏 ahsante Mungu akutendee mema sana pasto Masanja, piga injili watu waende makaoni juu
Mdogo Wangu Masanja endelea kukandamiza Injili safi sana watu waokoke
Nimekupenda mtumishi wa Mungu! Bariiwa. Umebadilisha upepo msibani
Amen and amen baba mungu akuzidichiye hekima na malifa nimebalikiwa sana
@@macknesmhone5883 "ln A pqp
th-cam.com/video/Vvy5XzIPfZo/w-d-xo.html
Maneno matamu ya kuchekesha
Barikiwa sana mtumishi wa mungu nimekuelewa vizuri sana baba mtumishi
Barikiwaaaa Mr masanja
Kumbee MCH Emmanuel mgaya Yuko vizuri Sanaa. Kumbee barikiwa Baba
Kaka Mkubwa ungekua karibu ningekupa 5!
GODBLESS YOU!
Kwili kabisa mchungaji Massanja God bless you so much it's just the Matter of time but every one will reach his/her end we have to have the powerful Jesus in our lives bless you. Buddy
masanja nimekuelewa kandamiza neno la Mungu 👱
9:46😂😂😂 kunalisapa mapangala..Love how u bring the word to normal life..asiye elewa namshangaa..much love ♥️ my pastor 🇰🇪🇶🇦
Gaudenciar Edwin Thank you my Daughter 🙏🏾
@@Feelfreechurch nakubali Sana masanjaa mugaya much love
th-cam.com/video/Vvy5XzIPfZo/w-d-xo.html
Maneno matamu ya kuchekesha
Mungu aendelee kukupa maalifa zaid swahiba pastor emmanuel mgaya a.ka. masanja
Amen barikiwa mtumishi
Masanja bana eti bro inuka nipe tano alafu uendelee na safar
Asante kwa maneno ya faraja Mungu zaidi kukutia nguvu
Really, I am very blessed by this service, I wish I could be there, but more than that, the Lord is Ebenezer👈👈👈👈💯💯?
Hahahahaa hahahahaa ngoja nikupigie makofi marehemu 👏👏👏👏👏👏👏
Asante Kwa neno zuri pastor massanja nimefrah Sana kuskia neno lako
Amen kweli umefanya kazi nzuri.
Barikiwa mtumishi mungu akuimalishe usinge mbele
Ndugu yangu una kipaji kabisa! Mungu atukuzwe!
Vince Joyn Amen Vince. Tuko pamoja sanaaa
@@Feelfreechurch nakuaminia sanaaa kaka b blexd
AMEN SANA MTUMISHI WA MUNGU... UBARIKIWE SANAAA
Amen pastor
From Lusaka Zambia
Barikiwa sana karibu tanzania
Barikiwa mtumishi
Yesu asifiwe Asante Sana naomba munipe naomba ya MCUngaji masanjya Asante
You are blessed my brother, man of God.
Mungu aendelee kukuweka katika viwango vya juu zaidi kaka
Kweli mtumishi
Halleluya JINA LA YESU NA YESU MWENYEWE NDIO MSHINDI WA KIFO. AMEN. NIMEBARIKIWA.
Kweli mchungaji
Emanuel Yesu akubariki,ndo maana umeokoka,umeongea maneno mazuri
Mungu akubariki sana mchungaji Masanja
Wewe unajua sana mungu akuzidishie umenionesha njia
Hakika pastor masanja nakukubalisana na unanishawishi sana kuokoka
Okoka ndg yangu
mtumishi wabwana mwanawane mungu akubarki sana mwanawane
Jana nilikiwepo msibani hongera sana mtumishi wa Mungu unahubiri vizuri sana aiseeh
Pamela Mboma Nilikuona
@@japhetkilangi6682 oooh jamani tungesalimiana
Ulikuwa Mbali Kidogo My Dear!
Amen pastor barikiwa sana
Amina mtumishi wa MUNGU, nimekuelewa sana barikiwa sana,
Aminaaaaa mtumishi masanja ponya watu wa MUNGU kwa kweli nabarikiwa
sadaka yangu ni neno . ubarikiwe sana
Daah Mungu akubariki sana Pastor, ulitutia moyo sana kwenye huu mziba wa uncle wangu Eng. Timothy Kayani kiukweli tulijikuta tunacheka.
Huyo mama aliyeko hapo nyuma amevaa nguo ya Pink alikuwa mchungaji naye ameshafariki, kweli kifo ni fumbo.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Masanja akuzidishie hekima na ufunuo
Ubarikiwe sana mtumishi nabarikiwa sana na utumishi wako
'
Dunia inapotikiswa ni wakati wa kuomba zaidi na zaidi na Bwana atafanya njia pasipo na njia.
Barikiwa sanaaaa pastor masanja
Mtumishi wamungu masanja mungu amubaliki kwakutuhudhumia neno hili!!
Masanja upo vizuri sana.
Ameen barikiwa sana masanja
Lovely God bless you brother nice msg
Be blessed Mch Masanja
Pastor Emmanuel Mgaya be blessed in the name of Jesus
Kama umemuona mchina na camera man hawajafumba macho gonga like tusonge
Barikiwa mtumishi neno limeeleweka kabisa yaani
Ooo haleluya ubarikiwe sana mtumishi
Bwana akibariki sana mtumishi
Masanja mungu alijua ndo maana kakuteuwa ukalitangaze jina lake bwana! Hakika unaweza
amen amen ubarikiwe Kwa neno Zur sana la kutuandaa tutengeneze na yesu
Ameeen barikiwa saaaana kwaupako.❤
Ubarikiwe sana pastor
Mtumishi wa mugu umeufanya moyo wangu kuzidi kumupeda mungu nami naiidi mbele za mungu kuwa mm ni waana mpotevu nami naludiii yumbani kwa bwana
Nimebarikiwa sana Mungu akubark
daaaaah hili jamaa linaongea point sanaaaaa
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu hakika Ameeeen
Barikiwa sana pastar masanja
Mungu akubariki sana mchungaji massanja nimekuelewa
Amen mtumishi hongera sana
Nimecheka kwa nguvu masanja amina sana
Amina baba sijajuaa upo sehem gan kanisan kwako
Ubarikiwe brother
Nakubaliii kaka nimekuelewa
Mungu akubaliki sana mtumishi
Amen 🙏 barikiwa kaka
Mungu akubariki sana mtumishi masanja🙏
Yani umafanya wafiwa wamesahau kama wako na huzuni kwakwel barikiwa sana mtumishi mimi ni muislam lakini siku zote napenda kusikiliza na nyimbo za kristo na ata maombi yangu ni kwa jila la yesu ipo siku nitafata njia ya yesu naona yesu amenitawala barikiwa mtumishi
@Humphrey Msengi amen
YESU akutunze Zak yahaya akupe neema ya kumjua zaidi
Amen 👏 Text saf Mungu Akubariki na Zaidi Umjue ,#YESU, #Zak🤝🤝🤝🤝🤝
Karbu
Barakiwa san zak yahy Mungu akulinde na akutetee...na pia chukuwa hatua kupokea Yesu
Ubarikiwe Sana kamanda
Munguakubariki.mtumishiwabwana
Masanja umetisha Mungu akusaidie
Masanja upo safi sana❤
Amen pastor be blessed
Mungu akubariki sana nataman sana kuwa ivo
Barikiwaaaa sana ikumbulu la Kristo
Mungu akubarikii sana kaka
Praise God Bro Masanja.
Amen Amen Amen Amen Halelujaaaah
Ubarikiwe My Pastor
Amen mtumishi nimekupata na kukuelewa
Ubarikiwe sana tumejifunza kitu
Pasta Mungu akupe maisha marefu.
Ubarikiwe sana kaka
Appreciate you preacher
Ubarikiwe mtumishi wabwana
Masanja MUNGU akuinue juu zaidi
Be blessed my brother in the name of Jesus!!!!!
Nimecheka kwa sauti ...kaaaa masanja we kibokooooo
A real Evangelist.... Masanja
Nakufulahia sana mtumishi