MAKONDA AWAKUSANYA MABOSI wa KILA IDARA na KUMUULIZA MKURUGENZI - ''KATI ya HAWA NANI HAUMTAKI?''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • MAKONDA AWAKUSANYA MABOSI wa KILA IDARA na KUMUULIZA MKURUGENZI - ''KATI ya HAWA NANI HAUMTAKI?''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 52

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 หลายเดือนก่อน +2

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @user-wq8rd4zp5d
    @user-wq8rd4zp5d 2 หลายเดือนก่อน +10

    Makonda unaakili Sana nakuombea mungu sikumoja noone unaapishwa kubwa rais wa Tanzania nayata timia haya maneno yangu

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 2 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda uko vzr una baraka za Mungu na Rais mama yetu piga kz

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 2 หลายเดือนก่อน +6

    The future president

  • @rajabumuyumbu4586
    @rajabumuyumbu4586 2 หลายเดือนก่อน +11

    sasa hivi bando linaisha kwaajili ya makonda kinamboe hawasikiki piga kazi mkuu tunakuombea wala usiogope unyonge dhambi na huruma sio malezi

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mh Rais wangu na mama yangu ,anajitahid sana kupambana na kupeleka pesa kila sekta ila mijitu imekaa tuu bila kuzifanyia kaz ili watu waone serikali haifuatiliii malalamiko ya wananchi

  • @isaackusupa9635
    @isaackusupa9635 2 หลายเดือนก่อน +4

    Duuuuu hayo majitu ya jiji ni majizi sana Mungu awahukumu sana Makonda yafukuze hayo mamtu

  • @abdallahkiliaki3744
    @abdallahkiliaki3744 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kuanzia sasa, kipimo cha utendaji kazi kw Watumishi wa Umma kiitwe "MAKONDAMETER", kikiwa na jumla ya alama 10 (1-10). Wale watakaopata chini ya alama 5 wasipandishwe vyeo au wapumzishwe.

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 2 หลายเดือนก่อน +7

    Inchi hii inahitaji kiongonzi wa namuna hii ili vitu viende..

  • @MenelusCzar
    @MenelusCzar 2 หลายเดือนก่อน +2

    KIPO CHEO KIMOJA TUU CHAKUMPA MAKONDA KAMA MH RAIS ATAPENDA
    AWE PRESDENT OFFICE TASK FORCE🚨

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana Makonda

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo system niyakupata faida kwakuweka pesa benki kwenye FDR Fixed deposit alafu watu wanafaidika tu

  • @michaelmwaiteleke9488
    @michaelmwaiteleke9488 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tandika spana brother wazembe hao

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 หลายเดือนก่อน +7

    SASA CĤANGANYA SUPANA NA NYUNDO WAKOME WIZI WAKIKUMBAVU😂😂😂

  • @thomsanga7956
    @thomsanga7956 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hii kweli spana kwelikweli 😁

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huko kuna uozo kweli kweli spana inawafaa😅

  • @nesalerorian9161
    @nesalerorian9161 2 หลายเดือนก่อน

    Hata wasipokuombea
    Sis wanyonge tunakuombea. Na Mungu wetu anasikia kilio cha wanyonge. Atakulinda na mabaya yote.

  • @abbymdee8920
    @abbymdee8920 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mh. Makonda ni Kijana wa Magufuli Anachapakazi. MWENYEZI MUNGU AKULINDE.

    • @froma3732
      @froma3732 2 หลายเดือนก่อน

      Kijana wa Magufuli lkn alikuwa hafanyi haya Kwa kuwa Kongozi alikuwa hajali na Wananchi wake Sasa ndio kapata Kiongozi

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaweka hela fix deposit wanakula interest

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ni kielelezo ya nchi hii ilivyo, kila pahali ni uchafu, hadi kwenye vyama vya siasa ambao tunawategemea. Nawashangaa Watanganyika kushughulika na Muungano ambako nako kwenyewe wanaidhulumu sana Zanzibar.

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 หลายเดือนก่อน

      Khatari

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 2 หลายเดือนก่อน

      Huko kwenu zanzibar Ndo kumeozaaaaaa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน

      @@barbarasara4033 Zanzibar hali sio mbaya kiasi hicho pia huku hata viongozi wa upinzani ni sehemu ya Serikali.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi jamani hii nchi kweli inatatizo la Katiba? Hapa kazi ya Katiba ilikuwa ifanye nini?

    • @fredrickkagwa8853
      @fredrickkagwa8853 2 หลายเดือนก่อน

      Mh. Makonda ucheleshwaji wote mpaka mwaka unapita wakati pesa walizitenga, nenda benki uenda watu wamekula interest ya FDR

  • @SaidiKatanga-jf3ou
    @SaidiKatanga-jf3ou 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mkuu was mkoa wanachelewa Ili mwaka ukiisha wagawane serikali inapigwa kweli

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee 2 หลายเดือนก่อน +3

    Duh

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 2 หลายเดือนก่อน +5

    Duuh jamaa sio kwa nyomi hiyo

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duhhh hii mashine noma

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama umesikia saut ya mam kuwa watukopeshe gonga like😅

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo makonda pia anasaidia ku restructure hii serkali hapo mwanasheria wa serkali ajifunze kwa makonda ili ashauri serkali

  • @kelvinkahonga5349
    @kelvinkahonga5349 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amewaaga na kuwashukuru kwa kushiriki mashindano☹️

  • @mabwetebrown5432
    @mabwetebrown5432 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mkurugenzi nime muelewa sana

  • @user-vp1zu3fb5w
    @user-vp1zu3fb5w 2 หลายเดือนก่อน +3

    HII STILE WAKUU WOTE WA MIKOA MUIGE HII

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe Rais yukovizuri watumishi ndio chanzo

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 2 หลายเดือนก่อน

      Huku Chini Ndo kumeoza

  • @Kitundu_ndevumbili
    @Kitundu_ndevumbili 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wamepigwa spana kweli kweli

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 2 หลายเดือนก่อน +3

    CHI HII HAITAKUWA NA UFANISI MPAKA MFUMO WA ELIMU UBADILISHWA.

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hilo nyomi sasa

  • @SophiaSaidy-cb4xq
    @SophiaSaidy-cb4xq 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanangumungu amekuchuwa baadae atakuvusha use raisi ishallaa

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 2 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda niite nije huko nifanye kaz hizo za ujenzi jamani

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 หลายเดือนก่อน

    Yamejenga majumba kwa rushwa na kukaa tu pasipo kufanya maendeleo ya Arusha

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 2 หลายเดือนก่อน +1

    😅 hii nchi

  • @user-lm5fu5tu5z
    @user-lm5fu5tu5z 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 jamani chadema wanajiuliza pa kuanzia maana mpango uliopo ni kwenda kuivuruga hii ngome ya chadema irudi nyumbani chama tawala😂😂😂

  • @froma3732
    @froma3732 2 หลายเดือนก่อน

    Hata yeye Engineering aende

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 2 หลายเดือนก่อน

    Hahahaaaaa!..piga spana!!!..spana!

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 2 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @SophiaSaidy-cb4xq
    @SophiaSaidy-cb4xq 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda kaza buti mwanangu wamezoeya kupata utajiri jasho

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 2 หลายเดือนก่อน +2

    CHI HII HAITAKUWA NA UFANISI MPAKA MFUMO WA ELIMU UBADILISHWA.