Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mungu akusimamie mh Makonda kuna madudu mengi sana kwenye hizi almashahuri nchi imeharibiwa na watu wasio kua na hutu majizi yaliyo ajiriwa ndani ya serekali
Mimi kama Mkenya nimeguswa na naionea wivu Tanzania kwa mwelekeo wanaochukua kupiga vita ufisadi. heko kwenu mtafika mbali na kuwa vigogo kiuchumi katika Afrika mashariki
Jamani naomba muhifadhi maneno yangu, kunasiku mtaamini huyu makonda atakuja kuwa kiongoz wa hii nchi Tena ataongoza vzur na Tanzania tutazungumziwa Sana na Dunia nzima nasio kwa mabaya ni mambo ambayo yakuushangaza ulimwengu Tena mazuri mno... One day yes❤️🔥
Jamaa anaongea very smart lakini inauma sana watanzania wenzangu daaah Kwann lakini ...? Tunakosa vya kusema ila mh Paul apewe ukuu wa mkoa Kila mkoa mwaka mmoja mmoja tu afu awe anazunguka kama circle Yan
Wale watumishi wa Serikali wanaodhani vyeo vinaongeza akili wajifunze kwa Mr. Chambulo kuwa wanapaswa kujua wanaongoza watu wenye uelewa mkubwa pengine kuliko wao!
Mueshimiwa uliebalikiwa na muumba mbingu na alizi endelea kuchapa kazi yako ili chama kiendelee kua imala nami nakuombea dua kila kukicha ili uwe na maisha malefu ili utende haki kwa wanyonge ❤❤❤❤❤
Big up Mr chambulo umesema ukweli nchi hii inawapigaji wengine ahsante director wangu ulinipa Kaz kule Mara Mara na kubukubu uko vizuri Mungu akubariki
🙏🙏🙏🙏 hata kuwa rais babaang Kwan unatenda mema ukikuta mtanzania anakuchukia jua ni mpgaji na pia hajitambui. Nakukubali sana tangia ukiw dar. Mm naitwa Adam ramadhan shemzigwa nipo arusha yetu endelea kujenga na mung atakuw pamoja nawe babaang.dah? Wakat mwingine mpakaachoz ananitoka kwa upendo unaowafanyia waliozulumiwa Hali zao. Sijui ata nikupe zawad gan baba Kwan siez ata kukulipa ela mm ni mtu wa chin sana. Bali malipo yangu ni Dua kwa mung nakuombea sana baba Yan ungejua ninavoomba kwaajili yako babaang. Ni mm na mung wangu tu ndo anajua ninachokuombea kwa Kaz ngum na kubwa unayoifanya mung atakulipa kwa mema.
Mh Mkuu wa Mkoa-Arusha tunaomba ktk shuguhuli za kutetea haki siku moja basi nendaga magerezani ukakutane na wafungwa na kesi zao kiongozi wangu. Asante
Wezi kama hawa kule China hupigwa risasi. Ilipofikia Tanzania inabidi kuiga sheria hiyo. Watendaji wamefikia kiwango kikubwa sana cha kudharau serikali na sheria.
Hapana kula pesa ya Mtu. Good job. Tusaidieni Nchi yetu isonge mbele. Lila na Fila havitangamabi! Wafanyabiashara wakilipa kodi zao zifike sehemu husika. Wapigaji enough is enough.
Acha kuleta habari za CCM, mtu ukikosa hoja nyamaza ukiongelea mambo ya kula pesa sio CCM ni mambo ya mtu binafsi, Makonda ni CCM Mbona anafanya kazi nzuri ana machungu je huyo sio CCM, ndo shida ya vyama vya upinzani mtu akiamka yeye ni CCM CCM, badala aongelee mhusika, kuna watu CCM wako smart sana, mbona huko upinzani kwenye ufisadi upo
Watanzania watanzania, watanzania , Mungu anatupenda ssna ila sisi hatujipendi kwa madudu tunayofanyiana na tunayoyafanya mbele ya uso wa Mungu. Kweli itabaki kuwa kweli na uongo ni uongo tu. Dhambi ya kufanya uovu na kutetea uovu utatutafuna kizazi na iizazi hasa tunaposhindwa kuwatunza na kuwalinda watu wakweli na wanaotaka kusimamia ukweli. Watu kama hawa wako kwenye utendaji kila mahali. Mimi nimetaka kupata shida ya akili kwa kukopeshwa vifaa vibovu na mzigo kutwishwa sisi consumers shauri liko bungeni, uchambuzi kupitia kamati ya bunge imefanyika hadi ukaguzi wa hayo matrekta umefanyika ila tamko ndilo hadi leo halijatoka. Tunaomba kweli iwe na nguvu ulaghai ubatilike.
Tuendelee kusaidia nchi yetu kwa kuondoa wale wasio na uzalendo na mapenzi ya nchi yetu. Nchi yetu ina utajiri mwingi sana na ni dhambi kubwa sana kuendelea kuishi kifukara wakati majambazi yanafaidika yenyewe, magenge yao na familia zao. Hongera kaka kwa kufichua haya madudu.
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
U
Ppl
L
❤Jkk@@owenwaane5285
😢
Willy huna tabia ya wizi. Nakufahamu tangu kibo huna baya na mtu na huna konakona kwrnye kazi zako.
Big Up Willy!! Just keep on going
Nimempenda huyu Baba anajua kujielezea,ni kichwa Masha Allah
Na ni bilionea
❤
Pesa inaongeza confidence
100% @@salymkitumbika8644
Sanaaaa @@salymkitumbika8644
Bravo brother.
Hii nchi itakombolewa na wenye uthubutu kama wako.
Wametumaliza hawa.
Uthubutu changanya na uwezo wa kifedha na uzoefu wa miaka mingi
Huyu mwamba inaonyesha hata wafanyakazi wake wanainjoy sana.nikipata chance kwake aiseee nitajifunza mengi.willy big up bro
Dah
Mzee anakwenda na Facts kali I see👌👍
Dah mzee uko vizuri umesaidia upelelezi kwa kweli.
Kwa wanvyobebana ushahid ipo waz hakitakua na hatua yoyote
Duuh RC Makonda, pole sana naona kiasi gani unavyobeba mizigo mizito ya malalamiko, ulaghai, nk Mungu akutie nguvu na akupe afya njema
The demeanour of his speaking is an evidence of his integrity, wits and intelligence.
Makonda mungu akulinde na majitu yenye Roho mbaya na wewe,
Chambulo is something else, So transparent, direct and to the point, (Akili kubwa hii)👏👏👏👏🏋️🏋️
Daaah alivosema "Tunapigika usiku na mchana" n kweli hayo ndo maisha ya mfanyabiashara.
Huyu mtu kama sio ubize wake,angeweza hata kuwa waziri wa maliasili na utalii, anaujua utalii nje ndani.
Mungu azidi kumlinda.
Kabisa
Mtu kawekeza bilioni 6 unategemea atakua na mbambamba
One of the Best Administrator ever..!!!
Mungu akusimamie mh Makonda kuna madudu mengi sana kwenye hizi almashahuri nchi imeharibiwa na watu wasio kua na hutu majizi yaliyo ajiriwa ndani ya serekali
Makonda nikimsikia namkumbuka magufuli wangu mungu namuomba akupe maisha marefu ili uje uwe rais natamani sana roho yamagufuli iko pamoja na ww
Aamiin
Mimi kama Mkenya nimeguswa na naionea wivu Tanzania kwa mwelekeo wanaochukua kupiga vita ufisadi. heko kwenu mtafika mbali na kuwa vigogo kiuchumi katika Afrika mashariki
Kitendo cha mh Makonda kumpa muda huyu bwana mkubwa kuongea mwanzo mpk mwisho ni utume tosha na kesho mbinguni MUNGU ATAMLIPA KWA WEMA HUU WA LEO❤🙏
Sasa ulitaka ampige makofi bilionea? Kenge kweli ww
Kwa baba si msanii ni msema kweli nikija kunulia bia kwa kweli mkweli Mungu hakulinde wewe na family
Jamaa Ana mzigo na documents zimenyooka mtamwambia nn😂😂
Hatar jamaa amenyooka sana
Hahahahha
Kanyoooka😢 walahi pesa ipo pia akili kubwa
😅😅 Daah, kweli ana Mzigo!!
huo ni mfano wa jambo 1 ila nchi nzima kuna ugwadu sana
Private Sector Iko Smart Sana Mf Ni Huyu Ndugu Chambulo.
Maafisa wawajibikaji, Inatakiwa hawa uwaendee polepole, private sectors wapo vizuri ktk itifaki, sheria, kanuni na taratibu za mawasiliano serikalini.
@@davidlyamboko7477 Locally Government Kuna Mambo Ya Ajabu Sana Watendaji Hawapogi Serious Kabisa Yale Mavilaza Kabisa Ndiyo Huudumu.
I proud of you mkuu upo vizuri
Jamani naomba muhifadhi maneno yangu, kunasiku mtaamini huyu makonda atakuja kuwa kiongoz wa hii nchi Tena ataongoza vzur na Tanzania tutazungumziwa Sana na Dunia nzima nasio kwa mabaya ni mambo ambayo yakuushangaza ulimwengu Tena mazuri mno... One day yes❤️🔥
Kabisa tena muda si mrefu
Amen
Watamuua hii nchi washeni wanawapiga vita watu wema
Tumuombeeni asiuliwe tu jamani
@@RoseJohn-js7kb tumuombee Sana kwaajili ya kizazi chetu anakitu huyu mtu Tena kikubwa sana
Namkubali sana Makonda na mungu akusaidie akuepushe na njama zote
i like huyu jamaa yupo very transparent, Mkurugenzi hana pa kutokea hapo
Jamaa anaongea very smart lakini inauma sana watanzania wenzangu daaah Kwann lakini ...? Tunakosa vya kusema ila mh Paul apewe ukuu wa mkoa Kila mkoa mwaka mmoja mmoja tu afu awe anazunguka kama circle Yan
Kweli kabisa, azunguke Kila mkoa. Hata Kama itakuwa miezi 2. Atatusaidia saana.
Makonda uko vizuri. The feature president
Apitishwe na chama kipi?
@@danielmarwa5122 MCC
@@danielmarwa5122yaaani 😢😢
matako yako wewe eti president 😂😂😂
@@danielmarwa5122ya mama yako
Hakika makonda mungu akutetee na akupiganie kwa kazi ngumu unayoifanya huwezi pendwa kweli
Hongera sana mzee
Mwanaume akitoa sumu namna hii anaongeza siku za kuishi safi sana mimi nimemuelewa.Chambulo. asitoke kwenye hicho kiti
Wale watumishi wa Serikali wanaodhani vyeo vinaongeza akili wajifunze kwa Mr. Chambulo kuwa wanapaswa kujua wanaongoza watu wenye uelewa mkubwa pengine kuliko wao!
Ahsante sana ndugu yangu❤
Hiki ndio kinacho fanya watu wanakwepa Kodi
Kiongozi Bora huonekana akiwasikiliza watu wake 🎉🎉🎉makonda Mungu akupe umri mrefu uje uikomboe tanzania❤
Mueshimiwa uliebalikiwa na muumba mbingu na alizi endelea kuchapa kazi yako ili chama kiendelee kua imala nami nakuombea dua kila kukicha ili uwe na maisha malefu ili utende haki kwa wanyonge ❤❤❤❤❤
Huyu nafanyabiashara yuko vizuri sana mashaallah
Nlitaman makonda atoe kauli ya kusema..."RPC huyu jamaa apewe ulinzi"
Huyu Mr.chambulo awe ulizi ?unamjua vinzuri huyu siyo wale wafanyabiasha wakarikao
Ana ulinzi mkali sana huyo mzungu chambulo wala hakuna Fala wa kumgusaa
Haya ni maujanja ya kimahesabu ya kihasibu, makonda hapo anatakiwa asaidiwe na wataalam
huyu mzee very bright aisee🔥
Big up Mr chambulo umesema ukweli nchi hii inawapigaji wengine ahsante director wangu ulinipa Kaz kule Mara Mara na kubukubu uko vizuri Mungu akubariki
Kiboko yao Makonda!
Unavyo wakatiliza watu kutumbua majipu, kumbe kuna mda wakusikiliza dakika hizi zote???!❤ Nakuoenda bure mzee wangu Makonda. 🇨🇩 🇨🇩
🙏🙏🙏🙏 hata kuwa rais babaang Kwan unatenda mema ukikuta mtanzania anakuchukia jua ni mpgaji na pia hajitambui. Nakukubali sana tangia ukiw dar. Mm naitwa Adam ramadhan shemzigwa nipo arusha yetu endelea kujenga na mung atakuw pamoja nawe babaang.dah? Wakat mwingine mpakaachoz ananitoka kwa upendo unaowafanyia waliozulumiwa Hali zao. Sijui ata nikupe zawad gan baba Kwan siez ata kukulipa ela mm ni mtu wa chin sana. Bali malipo yangu ni Dua kwa mung nakuombea sana baba Yan ungejua ninavoomba kwaajili yako babaang. Ni mm na mung wangu tu ndo anajua ninachokuombea kwa Kaz ngum na kubwa unayoifanya mung atakulipa kwa mema.
Tanzania nzima na haswa Arusha😢 RUSHWA imekithiri inanuka SANA
He is so serious and smart guy..
Ñimeanza kumwelewa Makonda na kumpenda bure Hongeraa sana na heri ya tumbo lilokuzaaaaa🙏
Komaa ukweli ukidhihiri uongo utajitenga ndugu ❤
Mungu akulinde mr. Chambulo akupe miaka mengii ya furaha na amani bwana akutunze🙏🙏
Huyu mfanyabiashara yuko makini sana tena zaidi ya sana ❤
AKILI KUBWA CHAMBULO❤
Watu wanaumizwa na uongozi wa namna hii haswa Arusha 🙌🏼🙌🏼 ,Mh. Makonda anakazi kubwa kubwa kubwa
Respect Mkuu. Makonda ...do something 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Na huu ndio umuhimu wa good records keeping
Mh! Kweli
Aaanh kabisa kaka 😂
Proud of you mkuu wa Mkoa Mh.Makonda
Huyu mfanyabiashara Ana akili sana
Kuna majitu yako na akili mingi na hayana muda wa kukodolea macho kazi za serikali😂😂😂...CHAMBULO MY HERO...MQKONDA TULIIIIII😅😅
Kumbe kuna watu wataingia mbinguni bila maswali mbele za mungu godbless you mr chambulo your faith man totaly
Mashalah mungu akulinde
4.2 bilion na mtu ametulia yan dah,Mama Samia njooo umteue huyu ana kipaji super
Hongereni Global kwa taarifa kama hizi
Nimependa RC Makonda alivyo mtulivu. Big up Willy. Ukweli utaponya Taifa.
Mh Mkuu wa Mkoa-Arusha tunaomba ktk shuguhuli za kutetea haki siku moja basi nendaga magerezani ukakutane na wafungwa na kesi zao kiongozi wangu. Asante
hii nchi ni balaa,mzee kaongea very smart and clear
Mungu akulinde mh. Paul Makonda👏👏
Huyu jamaa yukogo smart sana.
Jamaa uko vizurii mnooo mambo yatakaa sawaaa kwenye ishu ya biashara umeshika namba
Mpaka mama kamrudishia bilioni 4.2 tangu 2022 inaonyesha amenyooka hana mbambamba kwenye kulipa kodi
Makonda Mungu azidi kukutangulia....
Wezi kama hawa kule China hupigwa risasi. Ilipofikia Tanzania inabidi kuiga sheria hiyo. Watendaji wamefikia kiwango kikubwa sana cha kudharau serikali na sheria.
Duh hapa kazi ipo
For sure, he is speaking on behalf kila siku penalty zisizojulikana
Asante mzee wangu
Hapana kula pesa ya Mtu. Good job. Tusaidieni Nchi yetu isonge mbele. Lila na Fila havitangamabi! Wafanyabiashara wakilipa kodi zao zifike sehemu husika. Wapigaji enough is enough.
Mmmm!! Inauma sana lakini hawo Ccm wengine hawajitambuwi zaidi ni kusema hatujinyongi hatunyi sumu inauma sana
Acha kuleta habari za CCM, mtu ukikosa hoja nyamaza ukiongelea mambo ya kula pesa sio CCM ni mambo ya mtu binafsi, Makonda ni CCM Mbona anafanya kazi nzuri ana machungu je huyo sio CCM, ndo shida ya vyama vya upinzani mtu akiamka yeye ni CCM CCM, badala aongelee mhusika, kuna watu CCM wako smart sana, mbona huko upinzani kwenye ufisadi upo
😂😂😂😂😂😂😂huo wimbo unanikelaga Sanaa aiseee!!!
Chambulo ni genius
Hongera kwa kusimamia haki yako
Makonda mungu akulinde nauwe rais siku moja
Huyu mzee yupo vizuri wengi tunakwama kwa sababu hatuna uwezo wa kujieleza.
Dis man nataman mumpe nafasi nzuri nadhan akisimamia kwa uangalizi kila kitu kitaenda vzr
Awa jamaa wa Almashauri awakujua kama mama SSH kumtuma Mh Makonda Arusha ana maana gani sasa wameingia chakike baba mzee baba
Watanzania watanzania, watanzania , Mungu anatupenda ssna ila sisi hatujipendi kwa madudu tunayofanyiana na tunayoyafanya mbele ya uso wa Mungu.
Kweli itabaki kuwa kweli na uongo ni uongo tu. Dhambi ya kufanya uovu na kutetea uovu utatutafuna kizazi na iizazi hasa tunaposhindwa kuwatunza na kuwalinda watu wakweli na wanaotaka kusimamia ukweli.
Watu kama hawa wako kwenye utendaji kila mahali. Mimi nimetaka kupata shida ya akili kwa kukopeshwa vifaa vibovu na mzigo kutwishwa sisi consumers shauri liko bungeni, uchambuzi kupitia kamati ya bunge imefanyika hadi ukaguzi wa hayo matrekta umefanyika ila tamko ndilo hadi leo halijatoka.
Tunaomba kweli iwe na nguvu ulaghai ubatilike.
Tuendelee kusaidia nchi yetu kwa kuondoa wale wasio na uzalendo na mapenzi ya nchi yetu. Nchi yetu ina utajiri mwingi sana na ni dhambi kubwa sana kuendelea kuishi kifukara wakati majambazi yanafaidika yenyewe, magenge yao na familia zao. Hongera kaka kwa kufichua haya madudu.
Huyu father anazungumza vzr sana
Nimeipenda sana hii
Mnatubana wananchi kumbe majizi mnayafunga wenyewe
Inaumiza Sana Roho Serekali Inakusanya Kodi Halafu Inaziiba Tena So Sad.
Bravo Sana Mr Chambulo🙏🙏🙏
Mm naona apewe nchi tu ,, 🔥🔥
Jamani makonda Ao wezi wa Arimashauri muwafunge wametuchosha
😂😂😂 heti mwanaume mwenzangu unakulàje hela yangu
This is Tanzania bhna dah!!ninamonea sana huruma mama SSH wangu Mzalendo wangu dah maumivu
Usimuonee huruma huyo mamako yeye ndo aliowaruhusu hao majizi
@@George-jz3jgMWEHU WEWE WACHA KUROPOKA ROPOKA
Asante mzee kwa kumlaisishia kazi makonda
God bless Mrs Chambulo ameonyesha Matatisu
Ni Mr. sio Mrs
Mrs? Bora ungenyamaza 😅😅😅
@@tintatz5109😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Makonda Mungu akulinde
Tunashukulu father wetu san
Daah MAKONDA MUNGU akulinde sana maana kwenye nchi zetu hizi AFRICA watu kama wew bila uwezo wa MUNGU ni ngumu mnooo
Amejieleza ad nimefurah
Mhh Mungu atusaie sana.
Naomba Mungu amlinde pia huyu baba anayejielezea wasije kumfanyia mabaya kwa kuanika madudu yao.
Haya Kumekucha.
Jamaa mwenye kofia, ananifurahisha sana anavyosikitika ki-MAULIDI KITENGE
😂😂😂😂😂
Huwez kula hela mwanaume mwenzio kizembe😅😅😅😅
Umenyoooka. Sana mzee
Ukweli uwekwe wazi ☄️🔥
Barikiwa