Watanzania niwaambieni huyu kijana wetu makonda ni zaidi ya hakimu nawaambieni angalieni maamuzi yake huyu ni mungu amjalie azidi kuwasaidia waonewaji ameni
Kama kila mtendaji kila wizara serikalini wangefanya kazi zao fair and square. Makonda hangekua anasumbuliwa na wananchi wenye matatizo. Hii inaonyesha kwamba watendaji wamefail kwa kiwango kikubwa. Ni mungu na viongozi wenye kumwogopa mungu kama kina makonda ndiyo watakaowasaidia wananchi hawa
Inamaana kapun ya matreckta ilichujua mkopo mkubwa wa matrakta kupitia viwanja vya watu masikini uwiiiiii kwahiyo TIB walimpatia huyo huyo Hujeee pesa nyingi kupitia hati za wanachama wa sacos jamani hii inch😢😢😢😢😢😢😢
Kikubwa nikufunga TAWI hakuna watalamu wanaojua kazi hiyo. Naa pia wazee warudishwe haki zao. Hawo watalamu wanafanya biashara Hela za watu kwa riba kwa watu wengine kwa mkataba wa miaka kazaa.
Hongera sana Makonda kazi yako si bure, neno linasema " HERI WALIO WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU" Pambana baba Tunaiuimbea sana
Makonda nakuombea Sana Bwana Yesu Akufunike kwa dam yake Majangili wasikuone
Munguakujarie
Makonda
Amin
Mabaria
Wasahuziafrika
Tunapijasaruti
Munguakuweke
Duniani
Amin🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️☝🏿☝🏿🤘🤘🤘🇿🇦🤘🇹🇿🙏🙏🙏☝🏿
😂😂😂😂 kama kuna mtu hakuelewa mapema hii comment kama mimi, aseme tu ukweli😅
My mentor. Mungu nipee nafasi niweze ku deal na watu wa aina hii
Uko vzr,hakika yesu hata uacha mguu wako unaswe atakulinda kila uendako
Elimu ina umuhimu mzeee yupo vizuri sana . Ukishindwa kujieleza nchii hii haki inapoteaa shwaaaa
Mungu ibarik tanzania, mungu ibarik afrika, mungu mbariki makonda
❤Nakupnda ❤❤ makonda!! Chukua Fomu ya Urais
Makonda mungu akurehem sana katika huongoz 25:02
Naomba siku moja uwe mkuu wa inchi turudishe heshima tena Duniani
Watanzania niwaambieni huyu kijana wetu makonda ni zaidi ya hakimu nawaambieni angalieni maamuzi yake huyu ni mungu amjalie azidi kuwasaidia waonewaji ameni
Hivi mkuu wa mkoa wa dodoma yupooooo jamman mbona dododma twadhukumiwatuuu lakin kimyaaaaaaaaa
acha tukupe utetezi wawa nyonge 😭😭😭😭👏
Dah! Makonda unajua kuwanyosha ❤❤❤
Makonda asante sana kwa kusimamia haki za watu vizuri.
Makonda mungu akubariki chapa kazi tuko nawe
Jpm hongera san
Makonda mungu akubariki
Kweli Uongozi Ni Wito Huu Ndo Wito Sasa.
Pambana Kiongoz MUNGU Yu Upande Wako.
Mungu akubariki Kaka yangu Makonda
Kama kila mtendaji kila wizara serikalini wangefanya kazi zao fair and square. Makonda hangekua anasumbuliwa na wananchi wenye matatizo. Hii inaonyesha kwamba watendaji wamefail kwa kiwango kikubwa. Ni mungu na viongozi wenye kumwogopa mungu kama kina makonda ndiyo watakaowasaidia wananchi hawa
Kazikazin tumepata mtu,Asante Mungu
Makonda MUNGU akuweke miaka mingi mno nimempenda huyu baba kuongea san tn kwa ujasili mno
Huyu makonda ni nikama marehemu magifuli kabisa anafanya vizuri
Iyo uwa inakuja najina ya kampuni halafu ww ndo unabadilisha
nonsense, mna mute nini sasa hiyo sauti
Daah asee 😢😢 kusema kweli ina sikitisha 😢
Sana
Ongereni mkoa wa Arusha kwa kumpata kiongozi bora
RC pole kaza Buti uko vzuri dah ungewekwa wakati ule makamo ungekua rais dah nafasi Bado ipo
Mheshimiwa Makonda huwo ni Wizi wa Fedha kutoka kwa Wananchi wanyonge asante
Mtetezi wa haki za wanyonge Mungu akutunze.
Mheshimiwa makonda pole ila wengi wanaumiuzwa sana
Mzee mngu akujalie umri mrefuu zaidi nimekupnda bure
Inamaana kapun ya matreckta ilichujua mkopo mkubwa wa matrakta kupitia viwanja vya watu masikini uwiiiiii kwahiyo TIB walimpatia huyo huyo Hujeee pesa nyingi kupitia hati za wanachama wa sacos jamani hii inch😢😢😢😢😢😢😢
T.i.b.amkamate sacos .wazee hawana kesi
Data zangu zote zinaishia kwa makonda from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
Tatizo makonda uwezikuwa rais mabebero watakuuwa maana hawampendi mtu kama wew
Wazee wa hivo ukienda nawo mahakmani wanakuacha ndani 😂
Natamani makonda Aje morogoro
Kaka Mimi nakupenda san mungu akupe maisha marefu kaka makonda mungu akulidee
Veepee tena hiyoo sautii wasafii mnaficha nn
Bando letu cjuiii yapojeeee haya
Mama huyu mtu apewe uwazili tu
Wasaf mnazingua saut vp wazeee mnatunyima raha
Bando mi sitakubali kuishiwa kwa kumsikiliza makonda
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Piga kazi mkuu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Makoda oyeeeee
Afisa ushirika yuko vyema,Anajiamini
Huyo dada anacheka tu
🤔🤔🤔🤔🤔
Naona chawa wa makonda yupo pembeni
makonda chapa kazi
Wewe unasitahili kuwa raisi waici
Makonda ndoo mangufuri wa piri anawanyoosha wajanjawajanja
Blood hell 😅😅😅
Mheshimiwa rais wa mkoa Fanya mambo watu wakanyagane si wameona yesu
Roho mbaya tuu kwani wewe inakuhusu nn?
Maana ya rc kwa kefu nini
Regional Commissioner
Kikubwa nikufunga TAWI hakuna watalamu wanaojua kazi hiyo. Naa pia wazee warudishwe haki zao. Hawo watalamu wanafanya biashara Hela za watu kwa riba kwa watu wengine kwa mkataba wa miaka kazaa.
Wasafi nyie ni wajinga yaan mnakata badhii ya maneno!