Sana wangu, kwa kweli tunawahitaji viongozi kama huyu, si kijana bado, anatembea kukagua hata kwenye matope, wazee wakichaguliwa mapresha na sukari, nahamia Arusha nione mtu anidai rushwa 😂😂
wanaarusha mwombeeni sana makonda haki huwa unapigwa vita mno makonda wanamtafuta wengi ila Mungu atamlinda Piga kazi taifa litainika nakuhakikishia mama samia arusha itang'ara hutaamini umefanya vema mno kumpa kazi makonda asante sana mama
Afande anajua kuhoji ila kuhojiwa na makonda kabaki aaa mh aaa afande OCD kawa mdogo kama pirton,usiombe kukutana na maswali ya ana kwa ana na mh makonda utaimba haleluya
Kwani Hawa wakuu wa mikoa wengine ni watu wa nchi gani mbona wamekuwa hivyo kiasi hiki Yani makonda ndio anatakiwa kuwa mkuu wa mkoa Kila sehemu kwa nyakati tofauti tofauti Hawa viongozi wengine wa mikoa ni bovyo
Hlf wanasema makonda mtu mbaya kama alikua na mapungufu zamani now yuko sawa anakimbiza tena anamsaidia mama na waziri wa ardhi doctor silaaa hivi ni vichwa hakuna kuogopa mtu wanafanya watu wanakua na maisha magumu sana ilihali kiongozi inatakiwa asimamie haki za wananchi
Huyu Dada ni mdogo sana mpeni kazi nyingine ataonewa tu hapo masikini Huu mkoa unatakiwa watu maalum Wa kufanya kazi hapa undugu mwingii ukabila mwingii
Makonda kwa namna unavyo chapa kazi unastahili ungekuwa na kazi ya kutumikia watu nchi nzima na siyo mkoa tu ili usaidie wengi maana changamoto ni nyingi Kila sehemu
Dah mungu akuepushie na Kila baraha Nakupenda sana Baba mungu akupe maisha marefu yenye baraka tere Afya njema na Amani 🎁🌹🎁🌹 pokea zawadi yako na maua yako
Mmi mwenyewe sipendi kusikiliza viongozi mara nyingi kupitia mheshimiwa Makonda nimekipenda chama Cha CCM na nikaamua chukua kadi kabisa kumbe chama sio tatizo,tatizo ni viongozi.
Hongera kwa spana Mh. Makonda.Naomba Mh. Rais akuongezee cheo kikubwa. Usimamie kupiga rushwa nchi nzima.Pengine utarudisha heshima ya Serikali na Chama.
Makonda nimesimama kawaida ila moyoni mwangu mikono juu kwa utendaji wako. Wewe nijembe . Viongoziwengine igeni mfano na si kumuonea kijicho huyu mkuu ktk utendaji wake. Shukrani kwa Mama Samia kwa kumleta MAKONDA ARUSHA
Ndugu Paul Makonda una kazi kubwa ya kufanya wanyoroshe wote waliolala. Natazama na kusikiliza nikwa Saudi Arabia RIYADH CITY ila natoka Kenya. Nataka Africa Mashariki iwe na viongozi wakuona na kutetea wananchi kama Muheshimiwa Paul Makonda Mkuu wa Mkoa Wa Arusha. Hachezi na kazi yake kabisa. Wewe ni Raisi wa miaka michache ijayo.nTanzania Juu. Nakuombea MUNGU akupe maisha marefu. Maana watumishi wengi na wataalamu hatakupenda kwa kazi unayoifanya na wakurugenzi na watemdaji bali endelea kuifanya kazi ya wananchi. MUNGU Akubariki sana. Mama Dr. Samia Suluhu Hassan. Hapo uko na Jembe la ajabu sio mchezo. Paul Makonda juu zaidi. Muache qinyoroshe Arusha kisha umpelekee kwengine nako akawayie adabu wataalamu wengine.
Watu wana ajiriwaje hawa jamani??kujibu tu swala lepesi hivi ,kusema mtu anasimamishwa kwanza kazi ndio anachunguzwa. Mhesimiwa kipekee nakupongeza kwa ujasiri Mungu also kupa. Mungu akutangulie
Sipendi kusikiliza viongozi lakin kwa makonda ananifanya niunge bando Kila siku 👏👏👏👏👏👏👏
Kwasiku unatumia bando rashingapi jiri ya makonda
Unajua sana makonda Yuko vizur kwenye uwongozi wake
🎉Kumbe tupo wengi jamaa katushika
Sana wangu, kwa kweli tunawahitaji viongozi kama huyu, si kijana bado, anatembea kukagua hata kwenye matope, wazee wakichaguliwa mapresha na sukari, nahamia Arusha nione mtu anidai rushwa 😂😂
Kwakweli mh makonda mungu arujalie tusije kupoteza kama mzee magufuli nitakupenda hadi nakufa , love u much
❤❤❤❤ sana tu
😢
Atauliwa naye
Makonda mungu akulinde,,ur strong leader,be blessed 🙏🙏
Mungu/MUNGU sio mungu
wanaarusha mwombeeni sana makonda haki huwa unapigwa vita mno makonda wanamtafuta wengi ila Mungu atamlinda Piga kazi taifa litainika nakuhakikishia mama samia arusha itang'ara hutaamini umefanya vema mno kumpa kazi makonda asante sana mama
Arusha DC sio pouwa wanapiga hela sio kawaida
Mh Makonda jeshi la mtu mmoja nguvu kazi piga spana 🔧🔧
💯✔️
Wakuu wa mikoa wengine nchini wako wapiiiii waone kazikazi wananchi wanaonewa sana Rais Samia toa neno mama waliolala maofisini waamke
Hongera mh. Makonda kwa kazi nzuri…Mwenyez Mungu akulinde daima…🙏🏻
Makonda majaliwa jerry silaa raisi waziri mkuu na sipika wa bunge
Makonda tunakuombea sana unafanya kazi kubwa sana kwenye hili taifa. Unafaa kuwa Waziri Mkuu ajae
🎉hii nchi si mumpe jmn uyu au Kasim majaliwa mmoja Kati yao apewe nchi
Wakinani wamupe nchi
Mkuu wa mkoa Arusha, wewe ndie ulikuwa unastaili kuwa kiongozi wetu Tanzania
Ni mtu akikutwa mwizi aache kazi na arudishe ela wajue mtaan palivo pagumu
Afande anajua kuhoji ila kuhojiwa na makonda kabaki aaa mh aaa afande OCD kawa mdogo kama pirton,usiombe kukutana na maswali ya ana kwa ana na mh makonda utaimba haleluya
Saizi hata Panadol hospital hakuna wezi kibao
Mungu atuhurumie Baba piga kazi
Tatizo hili lipo ktk Halmashauri karibu zote Tz
Wakuu wa mikoa wengine fanyeni angalau muige mfano huu .
Big up Mwanawane👏👏
Mama Samia, watumishi wako wanakula sana hela.Naomba utoe mwongozo wabadhirifu washughulikie.
Kwani Hawa wakuu wa mikoa wengine ni watu wa nchi gani mbona wamekuwa hivyo kiasi hiki Yani makonda ndio anatakiwa kuwa mkuu wa mkoa Kila sehemu kwa nyakati tofauti tofauti Hawa viongozi wengine wa mikoa ni bovyo
Hlf wanasema makonda mtu mbaya kama alikua na mapungufu zamani now yuko sawa anakimbiza tena anamsaidia mama na waziri wa ardhi doctor silaaa hivi ni vichwa hakuna kuogopa mtu wanafanya watu wanakua na maisha magumu sana ilihali kiongozi inatakiwa asimamie haki za wananchi
Hatua zilishachuliwa na Polisi kuna haja gani ya kupiga kelele hapo kwa wananchi, hizo ni siasa tu
@@PeterJohn-sg4oevichwa maji kama ninyi ndio sababu ya wajinga na wezi kuendelea kuwepo
@@PeterJohn-sg4oezero brain, unasuport ujinga au nawe ni mhusika?
@@PeterJohn-sg4oeWee itakuwa ndo familia ya alietoroka na hayo ma million🤔🤔
Asante Mungu
Huyu Dada ni mdogo sana mpeni kazi nyingine ataonewa tu hapo masikini Huu mkoa unatakiwa watu maalum Wa kufanya kazi hapa undugu mwingii ukabila mwingii
Hamna ataharibu kwingine
we bwana tuaangalia uwezo sio umri
Kabisa
Mkoa unahitaji watu wa system
@@kwzjkwz3532 Yes clearly under standing big up Sana
Namkumbuka Magufuli kupitia utendaji wako Mh Paul Makonda.
Makonda kwa namna unavyo chapa kazi unastahili ungekuwa na kazi ya kutumikia watu nchi nzima na siyo mkoa tu ili usaidie wengi maana changamoto ni nyingi Kila sehemu
Hivi nchi nzima ni shilingi ngapi inapotea kwa uzembe wa viongozi wasio wajibika?
Mungu akusaidie makonda nataman upite mikoa yotee
mimi napenda kumpa makonda zawadi yake kwa kazi nzuri anaofanya je nitampaje
Nipe Mimi km ni pesa ntamfikishia ni rafiki yangu wa karibu Sana zitafika😂😂😂
😂😂😂
Hahaha 😅😅@@taurehassan7399
HAo wanabebana ukichunguza hapo hzo pesa wote hao wanahuska wote wezi hao
Moto wa mh Makonda umewaibua wakatngeneza uchunguzi!!!!
Anafikiri, huyo Haji tambui nini anacho kifanya,lakini kuna papa litasimama kwenye majukwa kusema ana dharirishwa. Washindwe na WA muogope Mungu.
Nchi hii tunahitaji viongozi like you Rc Makonda ,
Hawa polisi wanaweza kuwafuatilia raia wakikosea lakin watumishi wanawaacha
Tunataka kiongozi wa aina Gani?
Tunataka Nini watanzania,,
Hongera SANA MWAMBA makonda unajua kaka.
Na kuna siku watajua unajua
Dah mungu akuepushie na Kila baraha Nakupenda sana Baba mungu akupe maisha marefu yenye baraka tere Afya njema na Amani 🎁🌹🎁🌹 pokea zawadi yako na maua yako
Congratulation muheshimiwa
Muheshiwa Makonda mungu akubarik sana unaongea ukweri
Mmi mwenyewe sipendi kusikiliza viongozi mara nyingi kupitia mheshimiwa Makonda nimekipenda chama Cha CCM na nikaamua chukua kadi kabisa kumbe chama sio tatizo,tatizo ni viongozi.
God bless Mr Makonda ,good job
Huyu baba anakiti chake mbinguni..... Wanyoshe tulale wote njaa
Kabisa biashara hazitoki mambo ni magumu mno hela zipo kwa watu wachache na familia zao wanapokezana vyeo safisha wote
Mie nlkuwa nashabkia upizana ila makonda akigombea anakura yangu
Makonda ni kiongozi thabiti sana. Nakukubali sana mkuu natamani nifanye kazi karibu na wewe🎉🎉🎉🎉
Mungu baba akupe maisha marefu makonda ili uendelee kusaidia wanyonge
Kila mahali anapoenda Makonda watumishi wanaosimama ni kina mama ivi ile 50%/50% mbona kama imefika 90%🤔
Sasa hivi 💯 😂😂😂
Wanaume mpooooo
Mh
😂😂😂😂😂😂
Hiyo staili ni kutimia Kwa alichokiona Socrates!! Tunajikwamisha wenyewe. Muhimu ni uwezo wa mtu Kwa nafasi aliyopo.
Makonda mungu akulinde utarudisha faraja ya Tanzania
Mrith wa baba maguful ❤❤❤❤
Daaaah!huwa Namuomba mungu makonda uje kuiyongoza hii nchi afu pia huwa Namuomba mungu uje kuwa kiongozi ktk mkoa wetu wa shinyanga.
Hongera kwa spana Mh. Makonda.Naomba Mh. Rais akuongezee cheo kikubwa. Usimamie kupiga rushwa nchi nzima.Pengine utarudisha heshima ya Serikali na Chama.
Kwel ni aibu sana mama kuwa mkali ktk pesa zako mamamama watoto wa masikini hawana kazi
Makonda umenifany nipende kkusikiliza kila siku ❤❤❤
IBRAHIM LA CAPTAIN TRAULE
Huyu jamaa awe raisi basi❤❤❤
PIGAA SPANAA MKUU🔧🔧⛓️🛠️💉💊
Huyo hajuwi majukumu yake ye ye ndio alitakiwa awasaidie police
Wacha tu Makonda hongera ukiwa mwaminifu hutakiwi utauawa watu wote wanakuchukia tunakuombea udumu kazi Yako ni nzuri untetetea haki
Hongera sana mh Makonda kwa kazi unayoifanya yan unafanya kaz kama mwamba. Magufuli
Kaka unapambana sana
I wish all other government officials wangetenda kazi kama Makonda.... We pray for you mheshimiwa
Mh. Makonda Mungu akulinde sana tunakuombea sana uje kuwa kiongozi wa Taifa letu.
Makonda nimesimama kawaida ila moyoni mwangu mikono juu kwa utendaji wako. Wewe nijembe . Viongoziwengine igeni mfano na si kumuonea kijicho huyu mkuu ktk utendaji wake. Shukrani kwa Mama Samia kwa kumleta MAKONDA ARUSHA
Mungu akulinde Mh Makonda
Nimegundua watu wa Kanda ya ziwa vichwa sana
Kuanzia Leo nakuombea Mungu akulinde nenda na kijinini kwetu olturumet Arusha
Uongozi sasa unakufa kutuongoza baraka zangu nakupa kiongozi
Piga nyundo hao majizi makubwa
Ndugu Paul Makonda una kazi kubwa ya kufanya wanyoroshe wote waliolala. Natazama na kusikiliza nikwa Saudi Arabia RIYADH CITY ila natoka Kenya. Nataka Africa Mashariki iwe na viongozi wakuona na kutetea wananchi kama Muheshimiwa Paul Makonda Mkuu wa Mkoa Wa Arusha. Hachezi na kazi yake kabisa. Wewe ni Raisi wa miaka michache ijayo.nTanzania Juu. Nakuombea MUNGU akupe maisha marefu. Maana watumishi wengi na wataalamu hatakupenda kwa kazi unayoifanya na wakurugenzi na watemdaji bali endelea kuifanya kazi ya wananchi. MUNGU Akubariki sana. Mama Dr. Samia Suluhu Hassan. Hapo uko na Jembe la ajabu sio mchezo. Paul Makonda juu zaidi. Muache qinyoroshe Arusha kisha umpelekee kwengine nako akawayie adabu wataalamu wengine.
Mungu akubariki
Mkuu mungu akubariki Sana kwakutea wananch
Jaman mungu ni mwem yan makonda hana tofauti na magufuli asante mungu kutupatia chombo bora
Bab tunaomba uje kuwa hais watu matumbo moto wew ni hatari ya majambazi
munguakulinde
Africa ndio maana maendeleo yanasuasua sana viongozi muogopeni mungu watu wanateseka hospital nyie mnakula hera daaah Africa 😢
Hakika kazi IPO, BW Makondo unaye kazi. Watahama Mkoa, mapapa wanao walinda walisema watakufa Kwa pressure. Na hata aibu hawaoni.
Arusha imeozaa kwa rushwaaaaaaaaaaa. Makonda pigaaa spanaaaaaaaaaaaaaaaa baba.🔧🔧🔨🛠
Makonda anafaa kuungwa mkono kwa kazi kubwa anayoifanya,
I am actually being interesting with Paul Makonda for his ways to deal with leaders who are not trustful.
Makonda nimekukubali janja janja ilikuwa imeota mizizi mkoa was arusha hebu wanyooshe wapigaji wote
Wanapigwa spana 😂😂😂
Viongozi mnaponzwa nakitu kidogo,anapotua Mh,Makonda anakuja akielewa kila kitu Sasa wao wanaingia 18 zake
Mheshimiwa makonda big up sana kaza spanaaaaaaaaah!
Habari ndio hiyo asante mama kwa makonda mitano tena
Baba tunakuelewa kweli una dhamira yakweli yakusaidia ukandanizaji Kwa wananchi
muheshimiwa makonda siku akigombea urais kama Mwenyezi Mungu atatuweka kura yangu ni yake
Makonda spana zikichakaa niite nakununulia tools box mpya box spana rings spana combination spana full na nyundo na tindo tindua wrote hawo
Hawajitibu na hizo hela kwa maana tayari wana kadi za bure za NHIF. Ziko tumboni kwao
Makonda Mungu akulinde maana
Mh uko vizuri tunaimani nawewe mama chagua wakuu wamikoa kama mh makonda kazi yuko vizuri kiburi kwenye office zauma
Mungu siku moja atakusaidia
Kuogoza watu kama hawa yataka moyo yaan mtu kaiba pesa bado umemueka hapo kwenye ofisi kama makonda hajaenda hapo wananchi wangekula majani
Mungu yupamoja nawe
Safi Sana
2namshukuru sana mama anaupiga mwingi
Umetisha mkuu makonda wanaokupinga wakanye mavi
Watu wana ajiriwaje hawa jamani??kujibu tu swala lepesi hivi ,kusema mtu anasimamishwa kwanza kazi ndio anachunguzwa.
Mhesimiwa kipekee nakupongeza kwa ujasiri Mungu also kupa.
Mungu akutangulie
Iko siku Makonda atakuwa Rais wa nchi hii, na wezi watahama nchi
Dahhhhhh yaani hii Nchi ni ya ajabu sana mijitu inaiba hlf bado inaendelea na kazi 😢😮
Nchi ina ishia kwenye mifuko na Yao na mapapa wao wanaokufa Kwa pressure.
Sasa huyu dada mlaini namna hii ataweza kweli kupambana na mala rushwa , mtoto laini kabisa
haha😂😂😂😂😂nimecheka mno
MUNGU akubaliki sana makonda
Piga KAZI makonda Mpk waelewe tena Tumia spaner Ile ya baiskeli ambayo mult purpose kila kona kaza
Pigakazikaka hawawanaokuchokonoa nasisitutawachokonoa wanatukerasana mungu awalaaniwote wanaokuchukia
Hela hapa haziliwi na mtu mmoja no cheni refuuu hii ndo Arusha
daah huyu ndio raisi wangu wa awamu ya saba huna BAYA makonda
Ww jamaa mungu akupe maisha maref sana akulinde damu ys baba ww magu