HD VIDEO: RC ALLY HAPI AFOKA, TAZAMA ALIVYOAGIZA POLISI WAMCHUKUE MENEJA WA BENKI NA MWANASHERIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 มี.ค. 2019

ความคิดเห็น • 825

  • @abdallahhadaika2131
    @abdallahhadaika2131 5 ปีที่แล้ว +24

    Kazi nzuri nakukubali mzee baba kazi kazini kazi na vitendo bana kama umekubali gonga like twende sawa

  • @godblessmwangilla168
    @godblessmwangilla168 5 ปีที่แล้ว +32

    Aliegundua Yunusi ni Boyfriend mjanja anae kwenda na wakati Gonga like twende sawa.

  • @watuwawili5168
    @watuwawili5168 5 ปีที่แล้ว +7

    He was very smart.
    Mungu akubariki brother

  • @amanihare21
    @amanihare21 2 ปีที่แล้ว +5

    Hapo sawa kabisa nakubali kazi yako hongera!!Mungu akupe nguvu na ujasiri katika kazi yako🙏🙏

  • @saadakigalu7211
    @saadakigalu7211 5 ปีที่แล้ว +11

    Safi mkuu wa mkoa I love it ....wanyonge wanaonewa mno

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +4

    👏👏👏👏👏👏 Episode 2 naomba,Mungu akueke Muheshimiwa Uzidi Kuokoa Wanyonge.

  • @msomisongoma9715
    @msomisongoma9715 5 ปีที่แล้ว +8

    mungu akutangulie kazi njema sana kwa wananchi

  • @didahassanhassan687
    @didahassanhassan687 5 ปีที่แล้ว +44

    Mkuu wa mkoa. Kwa hili. Nakupa kura yangu. Love you.tena mwaaahhhh. From Kenya mombasa

    • @garamabe6891
      @garamabe6891 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 uko na kiu sana

    • @hababisamade7283
      @hababisamade7283 4 ปีที่แล้ว

      Safi sana
      Mkuu wa mkoa

    • @bethkamau6037
      @bethkamau6037 4 ปีที่แล้ว +1

      Aki huyu mku wa mkoa so akuje afunze wakwetu kusimama na ukweli

    • @aminasaleh6134
      @aminasaleh6134 4 ปีที่แล้ว

      mkuu wa mkoa upo sw nakukubal mung akupe umri mrefu

  • @idrisahussein3869
    @idrisahussein3869 5 ปีที่แล้ว +6

    Hongera saña tunahitaji watu kama hawa kwa maslahi ya nchi,hili ni moja lakini yapo mengi sana dhulma nje nje kwa wanyonge wa nchi hii.Ubarikiwe Hapi,nakukubali.

  • @mbeyauwsa5848
    @mbeyauwsa5848 5 ปีที่แล้ว +15

    Mwanasheria wa Bank huhuuuuuu.
    gonga like twende sawa

  • @niccolomachiavelli6057
    @niccolomachiavelli6057 5 ปีที่แล้ว +122

    Aliyecheka Kama Mimi baada ya kugundua kuwa na Yunus yupo kwenye mkutano gonga like 😂

    • @jamessyria6649
      @jamessyria6649 5 ปีที่แล้ว +2

      Serikali ya sasa mambo mazuri kweli nampongeza sana RC wa iringa kwa kupigania haki ya wanyonge mungu akutie nguvu

    • @poureenkunambi6413
      @poureenkunambi6413 5 ปีที่แล้ว +3

      Edsson Nzingo nmecheka saaaana

    • @niccolomachiavelli6057
      @niccolomachiavelli6057 5 ปีที่แล้ว +1

      Kunambi,mimi nilicheka sana siku hiyo kwa sababu Before nilijua aliyechukua mkopo Alisha sepa zamani

    • @poureenkunambi6413
      @poureenkunambi6413 5 ปีที่แล้ว +1

      Edsson Nzingo namie nmecheka hpa baada ya kumuona yunuc akiibuka ndan ya ukumbi aaaaakhaaaaa

    • @happyfiverickaldo4662
      @happyfiverickaldo4662 5 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @tunuagriproducts9649
    @tunuagriproducts9649 4 ปีที่แล้ว +39

    Kama unasubiri part 2 ya hapa gonga like hapa

    • @denicymichael6284
      @denicymichael6284 4 ปีที่แล้ว

      Tunu Agriproducts natamani uo mwendelezo

  • @fatumahirbotuke1663
    @fatumahirbotuke1663 4 ปีที่แล้ว +2

    Ma shaa Allah mkuu wa mkoa Allah akuzidishie kila la kheri..kweli wanyonge watapata haki kwa kazi yako nzuri may almighty Allah bless you from +254

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +26

    Magufuli kachagua kweli. Yani hakuna mbabaishaji ktk uongozi wake. Big up Mr PC

  • @paulbruno9817
    @paulbruno9817 5 ปีที่แล้ว +17

    I admire you Mr.Rc Happy
    I love your job!

    • @herculesthepower1544
      @herculesthepower1544 ปีที่แล้ว

      Don't believe what you see and what you hear. This politicians are very clever. This is organised group of actors including Hapi himself. Once case is at the court it is not allowed to be discussed publicly and he Hapi himself knows that,but since there is no case at the court he knows he wouldn't be charged cos they are just acting. The mama Asian guy(I believe asian kinda forced into this matter)to act lawyer, bank, manager. If you noticed you will see the lawyer played dumb bank manager too. This act to raise his popularity and people to believe he is on their side. This is politic my friend.

  • @adammwakosya4325
    @adammwakosya4325 5 ปีที่แล้ว +41

    Well done RC happy we need such kind of leadership.

    • @khamisseif636
      @khamisseif636 2 ปีที่แล้ว

      ....

    • @jacksonnyange701
      @jacksonnyange701 2 ปีที่แล้ว

      Ùùùùuuùù

    • @muddah7559
      @muddah7559 2 ปีที่แล้ว +2

      Exactly! But, upumbafu, rushua, udjinga wa sisi wa Africa, huyu Kiongozi watamucukia na kumushusha. Thank u RC Happy angalao Mimi ni Mkongo(DRC). Nafirahi sana kwasababu Pombe Magufuli ameeee Yani Magufulification is still spreading.

    • @thegreatsource2953
      @thegreatsource2953 ปีที่แล้ว

      Huyo RC ni hamnazo, anajifanya kujua wakati hajui kuwa hajui😏

    • @hashimbakari4670
      @hashimbakari4670 ปีที่แล้ว

      @@khamisseif636 llllll

  • @francinesimirra4202
    @francinesimirra4202 5 ปีที่แล้ว +4

    WOW wow Amazing Mungu akuongezeye ekima kama ya sulemani wewe ni msaada kwa taifa lako 👏👏👏👏👏👏👏👍

    • @sajubwax9335
      @sajubwax9335 5 ปีที่แล้ว

      Francine Simirra ska

    • @anosisyemwaipopo466
      @anosisyemwaipopo466 4 ปีที่แล้ว

      Watanzania wanafiki sana, wanachoshangilia nn sasa? Wanapoenda kukopa wapo radhi hata wahonge ila kuripa sasa chenga nyingi, mikopo wanahonga, wanapeleka kusiko malengo...tabu sana

  • @isayangonyani2678
    @isayangonyani2678 2 ปีที่แล้ว +1

    Aise Alli Hapy. safi kazi nzuri sana

  • @patrickfulano5282
    @patrickfulano5282 ปีที่แล้ว +1

    Good , mkuu wa mkoa kazi Nzuri Sana big up

  • @albertmwinde487
    @albertmwinde487 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana may Ally Happy New kazi nzuri God bless you

  • @aspaslove113
    @aspaslove113 5 ปีที่แล้ว +32

    Kama unaomba part2 kama Mimi gonga like tujuane hhhhh

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 5 ปีที่แล้ว +2

    Long long life ally happy maisha marefu.

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 5 ปีที่แล้ว +10

    Wale wote wanaosema hawa vijana wanafanya kazi kwa mihemko ni wezi, hii hari ya kazi walionayo hawa vijana imewasaidia wengi sana hasa watu wa chini maana vipindi vilivyo tungempata wapi mkuu wa mkoa tungemuona wapi mkuu wa wilaya, wacha wafanye kazi

  • @dandeenndandeen3047
    @dandeenndandeen3047 5 ปีที่แล้ว +6

    Yaa Allah 🙌🙌🙌🙆

  • @Ntambwe4040
    @Ntambwe4040 4 ปีที่แล้ว +1

    ☆☆☆ after Magufuli this guy need to take it over ☆☆☆ Tanzania itaendelea kusonga mbele. Love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @fatmazenafzena917
    @fatmazenafzena917 5 ปีที่แล้ว +4

    Daaa wanyonge wengi masikini ....Alhamdulillah tumepata watetezi... Allah awalinde zaidi na zaidi

  • @hawaabubakar2619
    @hawaabubakar2619 4 ปีที่แล้ว +4

    Swadakta safi naomba sehemu ya pili ln Sha Allah ilinione vpwali waclisha viyeti safi i salute u Bro from saudi

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 5 ปีที่แล้ว +6

    Nakukubari kijana Hapy, Kazi njemaaa mungu akuinue zaidi hiii ndio tz ninayo hitaji, magu hakufanya makosaaa, nakuombea upate uwaziriii wa nje hiii ndi tim work

    • @lugayilajohn6269
      @lugayilajohn6269 5 ปีที่แล้ว

      Ninoooma Mbaba hapa kazi tuu kaka Upo sawa

    • @lugayilajohn6269
      @lugayilajohn6269 5 ปีที่แล้ว

      Jaman magufuli mwangalie kwa macho mawili hapy anafaaa tena Sana uwe unamhamisha hamisha ili aendeleee kunyoosha hawa wapuuzi wanaodhulumu wananchi da iringa mnamtu mhimu sana hapy Upo poooa sana tena Sana ingekuwa inawezekana mikoa yote ungezunguka kuinyoosha inchi

  • @janethjustin5256
    @janethjustin5256 5 ปีที่แล้ว +3

    wanyooshe baba safiiiii👏👏👏👏👏👏👏well done Happi.

  • @jkjonathanlabel4498
    @jkjonathanlabel4498 5 ปีที่แล้ว +39

    Hivi ndivyo mungu atakavyo hukumu siku za mwisho tena itakuwa zaidi ya hapo

  • @taifocuscompany9246
    @taifocuscompany9246 5 ปีที่แล้ว +13

    Huyu RC anaugusa moyo wa MUNGU moja kwa moja.

  • @johndismas2562
    @johndismas2562 ปีที่แล้ว

    Very good,,I appreciate RC Mungu akubariki sana

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 ปีที่แล้ว +26

    Yunusi karika futi mia kuwa dhaman si nyumba😂😂😂

  • @fredytarimo9107
    @fredytarimo9107 5 ปีที่แล้ว +23

    Hao jamaa bank wapumbavu kweli,hongera sana mkuu wa mkoa kumsaidia mwanamke mmoja ni sawa na kusaidia wanaume mia 100.

    • @oscartatrino1714
      @oscartatrino1714 4 ปีที่แล้ว

      Magufuli rais wangu piga kazi baba piga kazi, unajua wakati mwingine binadamu unashindwa useme nini kwa kuwa pa kusemea unakuwa huna,ivi watanzania wenzangu tukiacha utawala baba yetu wa Taifa aliyeliongoza taifa hili kwa dhiki na shida pamoja na kuwa alikuwa na madini ya kila aina, lakini aliangalia mbele,ambae hii leo mimi namfananisha na baba mwenye familia kubwa aliyelima shamba akapata chakula akakiweka akiba ya baadae wakati wa njaa ili watoto wasije kufa na njaa,ambayo ndo leo madini aliyotutunzia baba yetu tunafaidi, ivi tukiacha utawala ule wa baba wa Taifa hapa katikati tawala zilizopita mpaka hii leo hapa kwa baba JPM, matukio kama haya tunayoyashuhudia watu kama hawa tena na wanasheria wakiwepo ni wangapi wamedhurumika haki zao kwa tawala zilizopita ukiacha kipindi cha mwalimu? Hatukuwahi kusikia habari njema kama hizi tunazoziona leo kwenye jeshi la magufuli, hata na kuna utawala wa wakati fulani ulitangaza mpaka kikosi cha mwavuli lakini hatukuyaona tunayoyaona hii leo, ebu watanzania wenzangu naomba niulize kaswali kangu kadogo tu, ivi kwa kazi hii aliyoifanya mdogo wangu Hapi kwa hawa watu yaani kwa meneja na ,mwanasheria wa benk NMB ni ya kujimwambafai mwambafai? Ivi unaweza ukasema Hapi amejimwambafai hapo? Hapi nae ametumia nafasi yake wala hajaiingilia mahakama,mahakama nayo ina nafasi yake, ebu cheki waangalie wapiga dili walivyobanwa maswali yaani dhahiri shahiri hata asiyejua kusoma ameng'amua kuwa issue nzima hapo kuanzia meneja mpaka mwanasjeria walipiga dili,na kumtishia huyo mama wa watu kumpeleka mahakamani,na wanajua watanzania tuliowengi tunashindwa kesi nyingi zikiwa mahakamani kwa kutojua sheria,au kwa kutishiwa kuwa kesi yako ni mpaka wakili ili ushindwe pesa za kumlipa, ndg Hapi kwa issue kama hiyo ivi mahakamani huyo mwanasheria alienda kufungua kesi gani? Ikiwa mkopaja kajikatalia kata kata kwamba yeye dhamana ya nyumba haitambui,yeye dhamana yake ni aseti zake,sasa huyo meneja na mwanasheria walipata wapi hati tena coppy? Tumwulize na huyo meneja alisomea wapi umeneja wake wa coppy kukopea mikopo? Na huyo mwanasheria achunguzwe vizuri uanasheria wake alisomea wapi? Huenda ndo wale wenye vyeti feki hao, kwanza mwanasheria gani wa benk tena benk kubwa kama NMB mwansheria wake unavaa tirshit tena ya round coler,halafu unathubutu kusimama mbele ya kadamnasi eti unajitutumua mimi ni mwanasheria wa NMB ivi hujaona aibu, ivi na nyie NMB mekosa kabisa watu wenye sifa za kufit hapo? Ona sasa mnavyoumbuka, watanzania ivi mnataka mniambie je kwa tawala zilizopita wababaishaji kama hawa wapiga dili hawakuwepo? Mbona hatukuwahi kuwasikia? Kama ndivyo ni wangapi kwa style hii wanyonge tumedhulumika haki zetu? Hapi kamata hao weka ndani hata wakisema na wewe unajimwambafai mwambafai poa tu.

    • @japhydejerry2908
      @japhydejerry2908 3 ปีที่แล้ว

      Fredy Tarimo nakuona boss wanguu😆😆😆 kahama tuko pamoja

    • @neema-ee6qm
      @neema-ee6qm 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @ifruitx2096
    @ifruitx2096 5 ปีที่แล้ว +23

    Sawa sawa mkuu wa mkoa hivi ndio kazi inafanywa bwana hata mungu anaona unachokifanya😁😁

  • @akilikarama3331
    @akilikarama3331 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana awamu ya5. Hingekua zamani wanyoge wanazulumiwa.

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 5 ปีที่แล้ว +27

    Muheshimiwa hao.niwaizi hao.mungu akupe afya njemaa mkuu wamkoa

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 4 ปีที่แล้ว +2

    Enzi za magu si za kuleta ujinga ujinga!!!!! Congratulation RC Hapy

  • @ibrahimmawazo7165
    @ibrahimmawazo7165 5 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana mkuu huyu wa mkoa.. yaani ana hoji FACT tupu.. Mungu akulinde na kila shari...

  • @FausitnePonera-fq9pj
    @FausitnePonera-fq9pj 4 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuri ana vijana wazuri sana ukimwangalia happy kama makonda

  • @ellyemily4234
    @ellyemily4234 5 ปีที่แล้ว +4

    Kaka hapii Mungu akubarikii

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 5 ปีที่แล้ว +13

    Nimegundua Tanzania tunaibiwa sana haki zetu kwakutojua sheria.jamani kusomea kitu siompaka uje ukifanyie kazi vingine kwajili yakutusaidia wenyewe.

  • @user-ok9mi5uq6y
    @user-ok9mi5uq6y 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kazi mzuri. Mkuu wa mkoa

  • @goldendaisy187
    @goldendaisy187 5 ปีที่แล้ว +4

    Mbona Tanzania kutamu jameni,I love this mkuu wa mkoa

  • @skinnygypsy8629
    @skinnygypsy8629 ปีที่แล้ว +1

    Yeah huyu sasa safi sana kama rais magufuli

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d ปีที่แล้ว +4

    Leo nimeipitia hi kuangalia mala mbili siku niliposikia kaondolewa niliumia kama na mfahamu kuna hii na ile ya baba aliyelazimishwa kuhama na kubomolewa nyumba ya ile harambee ya kucahngiwa kwenye mkutano namkubali sana. Ally Happy mwenyeezi mungu atakujalia huenda rizki yako imeisha ila ina imani kwa uwezo wa Allah kuna kheri kubwa inakuja mbele yako

    • @aishasarumujuma1606
      @aishasarumujuma1606 ปีที่แล้ว

      Hapi haikutakiwa aondoke iringa mungu mjalie hapi jaman

  • @f.a6043
    @f.a6043 2 ปีที่แล้ว +2

    Tumeimiss sana hii mikutano big up Ali hapi!

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว +17

    Hao tia ndani waongo wanamuonea huyo mama.
    Mimi yalishanikuta nilipata nyumba yangu.dill hilo lina watu nyuma yake.

  • @johnyusuph3221
    @johnyusuph3221 5 ปีที่แล้ว +2

    Ally Appi wew ni zaid upo vizuri safi san

  • @charlesmzugy1538
    @charlesmzugy1538 4 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri sana

  • @quentinsylvia3877
    @quentinsylvia3877 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Kwa kazi na msimamo uliouonyesha hapo .m.mungu akusimamie inshallah

  • @hellenj270
    @hellenj270 4 ปีที่แล้ว +1

    Tungekuwa na viongozi kama Hawa Tanzania ingenyooka 😍😍😍

  • @roubmaywilly9231
    @roubmaywilly9231 4 ปีที่แล้ว +2

    Sukuma ndani

  • @fatemafatema4780
    @fatemafatema4780 หลายเดือนก่อน

    Ahsante muheshimiwa kura yangu kwako haina mjadala..hongera sana

  • @stewartmagiri472
    @stewartmagiri472 5 ปีที่แล้ว +9

    Ally hapy wewe ni mwanaume👏👏👏👏👏

  • @user-oh8bn3vg2w
    @user-oh8bn3vg2w 5 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akutangulie mkuu hiyo kazi ninzuri sana

  • @stellaevanceomarydamasy3763
    @stellaevanceomarydamasy3763 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda

  • @salmaobed2708
    @salmaobed2708 5 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏👏👏safiiiii 👍👍

  • @hamadiathumani5018
    @hamadiathumani5018 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sanaaa baba kweli wananchi wanaumia sana.

  • @farajakigullah8571
    @farajakigullah8571 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sanaaa mkuu wa mkoa wetu oyeeeeeee

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว +3

    Wanyemakosa hao maafisa ata sis tumevunjwa nyumba mpk leo wazazi wangu wanahangaika na hatuna msaada

  • @clintonaward7580
    @clintonaward7580 ปีที่แล้ว +3

    Imeniuma sana 😭😭😭yani tunatoa viongozi Bora kwa visa na visasi vya wapumbavu wachache ila kuna Siku hawa wanaojiona ni wenye giningi Watakuja kusaga meno!!!!! Kaka hapi kuwa na amani wewe ni reserve wa mfumo ujao, si wao wamekukataah usikate tamaa, wao Wanataka viongozi wa kuteteah uovu na si viongozi wa kuteteah haki za wananchii

  • @reachthegoal7624
    @reachthegoal7624 5 ปีที่แล้ว +2

    Hapi Hapi Hapi well done! Wakati mwingine mambo hadharani inasaidia kila mtu kubeba msalaba wake. Msaidizi wa ishu hapa lazima aimbe yarabi nafsi yangu, zama lwako, mimi simo! Hapa hakuna kuchukuliana misalaba. Safi ukweli unajulikana.

  • @kasimpongwa5178
    @kasimpongwa5178 5 ปีที่แล้ว +1

    kaka HAPI ongera kwa kutenda haki mwenyezi mungu akubaliki sana katika kazi yako ,

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 3 หลายเดือนก่อน

    Super Mkuu wa Mkoa maamusi ya Kibinadamu hongera sana katika haki unazotumia kwa Wananchi

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 5 ปีที่แล้ว +2

    Big up RC Happv

  • @tegemeareuben7618
    @tegemeareuben7618 5 ปีที่แล้ว +3

    Mafuli's generation hapa sio mchezo MUNGU acha atumie viongozi hawa vizuri

  • @sabinashabani9742
    @sabinashabani9742 5 ปีที่แล้ว +9

    Benki sikuhizi wanaibia sana watu na huu yamekuwa mchezo wao mkuu tusaidie kwahilo

  • @jumamgema3356
    @jumamgema3356 5 ปีที่แล้ว +1

    Happy nakuelewa kaka

  • @saidyahmad3985
    @saidyahmad3985 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mkuu wa Mkoa uko vzr Sana Kwa utetezi mungu akulipe

  • @blessingmossthegreat9725
    @blessingmossthegreat9725 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana

  • @prospermosha3410
    @prospermosha3410 2 หลายเดือนก่อน

    umetisha mzee baba

  • @nyambelewinfrida9074
    @nyambelewinfrida9074 5 ปีที่แล้ว

    Hapi omba asikuguse nampenda kwa sababu hashoboki na kunadi siasa kwa maneno anatete na kusaidia raia wake kwa haki na vitendo Mungu akupe maisha marefu nataman kukuona kwa wema.

  • @nehemiambughi6731
    @nehemiambughi6731 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu wa mkoa we noma sana!

  • @piusrweyemamu3900
    @piusrweyemamu3900 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri RC

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Happy !

  • @sistimasawe5936
    @sistimasawe5936 5 ปีที่แล้ว +17

    Kama na wew umegundua benk wanatoa mkopo kwa hati ya photocop gonga like twende zetu

  • @fatumamukete6839
    @fatumamukete6839 5 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa Happy. Mungu akubariki. Uko juu

  • @aishaail4455
    @aishaail4455 5 ปีที่แล้ว +4

    Watu wa bank ,wezi wanapotoa mikopo huwa hawalengi kumsaidia mkopaji bali ni kumkandamiza na kujinufaisha wao.

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 5 ปีที่แล้ว +3

    Kuna legal procedures hazikufuatwa ktk Banking laws lakini bado Administrative and constutional laws must be respected.Ila wakili ulikuwa na haja gani kudanganya jina ndani ya letter of offer au/na collateral iliyotumika mpaka utofautiane na meneja.....????

  • @mosesotieno9893
    @mosesotieno9893 4 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Kenya

    • @jeremymakokha4797
      @jeremymakokha4797 4 ปีที่แล้ว

      Mugufuli generation leaders are serious...natamani tuwe nao Kenya

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu utusaidie. Viongozi kama hawa wanagusa moja kwa moja mioyo ya watu. Wanaitenda kazi ya mungu kwa vitendo nina imani Mungu amefurahishwa na kazi za aina hii na lazima atapenda mijuiza yake kwenye nchi yetu. Mungu wetu utusaidie waja wako

  • @jacksonrwechungula9479
    @jacksonrwechungula9479 4 ปีที่แล้ว

    Daaah mungu akuongezee nguvu kiongozi we ni mtetezi

  • @alexmarungu2235
    @alexmarungu2235 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde popote your strong leader nyayo za Mr president.

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 ปีที่แล้ว +1

    Wazurumaji Wa Aina hii niwengi sanaaa wanatapeli Sana wamama wajane
    Hongera Sana Happi
    Watu walikupenda sanaa

  • @enoshmhemakapaya
    @enoshmhemakapaya 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakuu wamikoa wakiwahiv wote dahhhhh!!!!

  • @user-pt4uf3he7d
    @user-pt4uf3he7d 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde sana na ukuweke akika.unatenda Hali kwa mungu na wanamchi pia unastaili mauwa Yako kwa muumba wetu

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 5 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa baba baba baba ongera mungu akupe maisha marefu baba

  • @dosidamas4140
    @dosidamas4140 5 ปีที่แล้ว +4

    Mkuu wa mkoa nakukubali sana

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว

    Alli ni MCHAPA kazi sana na anamfano Mungu tu anajua na atakulipa. Mengi sana umewasaidia wana Hilinga. Mwachie MUNGU ATSKUSIMAMIA

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 ปีที่แล้ว +1

    Good Ally happy

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Mungu kwa viongozi wenye maono

  • @aminahussein5418
    @aminahussein5418 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamie kwenye uwongozi wako wa haki

  • @abdishukrisheyhow2251
    @abdishukrisheyhow2251 2 หลายเดือนก่อน

    Ah Tanzania is the best country in East Africa.

  • @user-dd8oc6yw9n
    @user-dd8oc6yw9n 4 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka❤

  • @tshirima8886
    @tshirima8886 4 ปีที่แล้ว +1

    Waazibiwe

  • @mmasymery391
    @mmasymery391 4 ปีที่แล้ว

    Jaman Asante sana mweshimiwa wengine wamezoeya kuonea watu

  • @rehemakulaba923
    @rehemakulaba923 5 ปีที่แล้ว

    Dah umenifurahisha sanaaa nawatumbuliwe haw

  • @hudsonongala6572
    @hudsonongala6572 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana All Happy