Poleni sana marafiki zetu wa Tanzania🇹🇿 nzima. Hapa Kenya 🇰🇪 pia tumepata pigo kubwa kuwachwa na ndugu yetu Marco. Pole kwa familia. Tuko pamoja wakati huu mgumu🙏
Poleni sana kwa kuondokewa na ndugu Marco Joseph Bukuru. Tunayo matumaini kuwa ijapo amepumzika, tutaweza kuonana tena kwenye ujio wa pili wa ukombozi.
Makiwa ndugu zetu kutoka Tanzania, tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa kipindi kifupi tumejaliwa kuwa na Ndugu Marco Duniani. Kwa mazuri na mabaya tumuishie Maulana. Safiri Salama Marco
@@Esther-t3j2r Hata huko Tz kuna madaktari mashuhuri. Lakini kutoka Kisumu kwa barabara hadi Tz katikati kupandishwa ndege mpaka Dar, mda ilipotezwa. Kisumu-Nairobi ni karibu, pengine Maisha ingeogolewa.
Pole sana, tena sana mjane na watoto wa Marco, nduguze na wana Zabron singers. Nina jambo nanyi pia, hata nyie, kwanini hamkumpekeka Aga Khan hospitali kisumu baada kujuzwa ana ugonjwa wa moyo....ila huko kuna wataalamu wa moyo???? Hiyo safari yooote😭😭😭😭 Mungu awasamehe tuuu
Poleni sana kwa yaliyotokea pia mimi nina uchungu mwingi sana kwa kumpoteza mcha Mungu kama huyo lakini tunaomba mungu atutie nguvu na atutulize juu imekuwa ngumu kuamini haya,,,,mungu awatie nguvu zaidi familia yake😭
Poleni sana ndugu na jamaa za Marco,,,,kusimulia kisa chungu kama hiki kinahitaji ujasiri mkuu,,, Mungu azidi kukutia nguvu kaka,awafariji katika wakati huu mgumu.
Hata Mimi limeniumiza sana. Poleni sana Zabron singer, pole kwa bibi yake na watoto, pole kwa familia na jamaa wote. Kenya tunawapa pole zetu watanzania
Mbona wakamrudisha all the way to Tanzania?..if he was already in Kenya' why didnt they rush him to Kenyatta national hospital or even nairobi hospital? this brother could have survived' the people who were with him failed!..may God rest his soul in peace
Poleni sana ndg zetu wana familia ya Zabroni singers kwa kumpoteza mpendwa wetu Marco Mungu wa mbinguni awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.R.I.P Marco
Poleni sana family na wanakwaya wenzake Zabron Singers Mungu awatie nguvu sana kwani Marco ameniuma 😭😭sana Mungu amyie nguvu mke wake na watoto. Bwana alitoa na Bwana ametia jina lake lihimidiwe🙏
Poleni sana Zabron Singers naomba Mungu azidi kuwafunulia tu najua kuna mapungufu mliyoyafanya katika kazi ya Mungu. Mungu wetu ametupatia SDA kazi ya kuipeleka nyakati hizi za mwisho kupitia ujumbe wa malaika watatu. Hivyo kuna mambo aliyotuonyesha ya kufanya katika maisha hasa ulaji na unywaji na pia kaonyesha mimea ya kutumia kama Tiba za asili. Tafuteni kitabu cha Selected message Vol. 2 cha dada Ellen.G.White mkisome mtaona alichokisema.
Bora wangempeleka nairobi kuliko kurudi tz Dah kifo kinanguvu Ni mapema mno kibinadamu Ila Mungu amekupenda zaidi Zabron hukumfikiria mkeo na watto wako ukainuka tena 😢😢😢😢
Nimefuatilia safari ya ugonjwa na mauti ya Marco. Binafsi nilimpenda sana. Kwanza Mungu alimhifadhi na akaishi na shinda kubwa ya moyo hata akatumika miaka kadhaa. Pili, nawashuku hao matabibu waliozuia asipelekwe India. Walitaka credit kama wangefaulu kutibu mtu maarufu. Garama sio shinda yao. Tungechanga Africa mashariki pamoja na Rais wa Kenya. Sote tuwe pole😢😢😢
Mi naona awo jakaya wanafanya majalibio ktk maisha ya watu... ...😢😢😢 Ila Mungu ndio ajuaye yote awo ni watu maarufu je wale wasio julikana ni wengi sana wanakufa
Nenda salama kijana wetu Mungu akupokee ktk waja wake watakatifu. Na akusamehe dhambi zako zote. Kwa sababu tunajua Kuwa ss wanadamu tukisema kwamba hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe hivyo kz yetu kubwa ni kuomba toba tu. Poleni zabron singers hakika Mungu mnayemtumikia hatawaacha pweke. Alituahidi.
Poleni sana kwa msiba. Ila watu wanaongea saaaana kuhusu kifo cha mpendwa huyu. Mimi nasihi kwa kuwa kila mtu anaongea anavyojua au kutaka ni vema tuache maana yanazua na kuzaa mengi ambayo hayana lolote la kubadili hali halisi iliyopo. Kipindi hiki kitumiwe kufariji wafiwa hususan mkewe na watoto. Basi! Watizedi ni watu wa story zisizoisha.
Poleni familia nzima ya zabron kwa kuondokewa kwa mpendwa mwanakwaya. Nahisi kuwa madaktari walikosea mahali katika upasuaji wa ndugu yetu. Lakini Mungu anajua yote haya. Rip mpendwa..kutoka kenya..
I wish he was treated in kenya,devil is a liar,aliwafumba macho.May God comfort you .To zabron family,be close to the widow.May God comfort you all and gives you strength
Mungu anampango wa kila mmoja wetu nikidhani mungu alitaka impate akiwa nyumbani maana wangempeleka hospitali nzuri hapa kenya na wakenya wangejitolea kuchanga lakini nae mungu alikuwa na mipango yake
Kaka marco angechangiwa tu hata km hayo yangetokea huko kwenye ndege huyo kaka ni kipenzi cha wengi karibia nchi nzima na nje ya nchi wanamjua wasingemuachaa aabike 😭😭
Umeambiwa asingeweza kukaa kwa ndege kwa masaaa 9 embu tuheshimu professional za watu pia muelewe Madr ili asafirishwe nje inabidi waandaliwe report wataonekana vipi
Hata wasio wahi kumfahamu marco baada ya mauti wamemfahamu mungu azidi kukuangazia nuru huko ulipo marco naamin miongoni mwa wanao roho ya marco imepandwa na mungu ndani yake na itaendeleza pale alipoishia marco aaaamein
Nmeumizwa sana sana ila Sina Cha kufanya pole kwa wote MUNGU atupe faraja ktk kipindi hiki kigumu Cha majonzi.Tumwombee pumziko la heri na la milele MUNGU ampumzishe mpendwa wetu mahala pema peponi Amina.
I wish they could have done second chance akunywe dawa kwanza they monitor him kwanza 😢Am still in shock that he no anymore na tulikuwa na yeye TikTok the other day.Rip poleni kwa family
Poleni sana mungu awape nguvu. Mungu ndie anaejua siku ya kufa ya kila mmoja wetu. Ni uzuni sana but we thank God for the gift of his life. May his soul rest in peace
Hao ndio walifanya makosa coz mulikwa kenya mbona mulimurudisha tanzania na ken na kenya kuna Nairobi hospital,kenyatta hospital,aghakan hospital and are the best....mulifanya kosa saana 😢😢😢😢😢😢😢
Huyu kaka kweli imeniuma sana wala asingepotea kiasi hicho kama mngeushikilia ukweli mkaachana na mambo ya ulimwengu mkapeleka ujumbe kama alivyoagiza Mungu. Hebu rejeeni katika maandiko ya ujumbe wa malaika watatu mjifunze ulaji, unywaji na mimea ya asili. Hizo figo zilizomsumbua hapo awali kulikuwa hakuna haja ya kutumia madawa ya vidonge pia. Mungu awafunulie
Million 17 mmetoa na bado haikuweza kusaidia kuokoa maisha yake, hivi kama msingekuwa na hiyo 17M hii operation isingefanyika? Najaribu kuwaza tu kama binadamu, hivi kwa wale wa maisha ya chini masikini ahueni yao inatoka wapi?? mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi sana aisee Mungu atuhurumie Sana maisha haya
Wasingemfanyia na huenda asingekufa mapema hivyo,,Sema walifanya haraka Kwa sababu pesa ipo,,wangempumzisha mgonjwa alichoka sana safari zote hizo duh ata hivyo Mungu Bado alikuwa upande wake Sana,,nawaza mengi ila yanachanganya,,Apumzike tu Kwa Amani.
@@magrethdaniel95daniel61 hii operation hata Agakhan ya Nairobi ingeweza kufanyika tena very successful, hiyo bleeding tunayoambiwa ilisababishwa na nn sasa kama kila kitu kilikuwa intact.. why bleeding??
Poleni sana marafiki zetu wa Tanzania🇹🇿 nzima. Hapa Kenya 🇰🇪 pia tumepata pigo kubwa kuwachwa na ndugu yetu Marco. Pole kwa familia. Tuko pamoja wakati huu mgumu🙏
Poleni. Mungu na awafariji
qqqqqq
Nani amekutuma
Poleni sana kwa kuondokewa na ndugu Marco Joseph Bukuru. Tunayo matumaini kuwa ijapo amepumzika, tutaweza kuonana tena kwenye ujio wa pili wa ukombozi.
Amen
😢
Poleni sana familia ya Marko, Waimbaji, Kanisa Tz na walio Kenya na waTanzania. Wacha Marko apumzike, tutaonana tena Yesu arudipo.
Huyu baba jamani amekuwa jasiri sana. Ameonesha ukomavu na ulezi kwa kweli. Mungu akutunze Director, umeonesha ukomavu na imani kuu.
Hosptal ya Jakaya irudshe hzo mil17 zkamsaidie mjane kwan hawakuweza kuokoa uhai wa marco,..hvyo warudshe hizo hela za gharama waalizoa toa
Kabisaa maana hawana maana kabisaaa wamepelekee mjane akatumie
Hata ivo 17M kwa hosp. Ya serikali mbona ni kubwa sana
Kabisaaa
@@FreeGod368 upasuaji wa moyo ni gharama, hatahuko India gharama ni kubws zaidi
Warudishe izo pesa bongo matibabu ya moyo bado sana
Pole sana family na Watanzania wote kwa kuondokewa na mpendwa wetu.Madaktari wanatibu Mungu ndo anayepona.Mungu aliyemtoa ndiye alimchukua
Poleni sana.Vita amevipiga, Imani ameilinda na mwendo amemaliza.Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yake
Amen
Vita gan hivyo?
@@willenmtafungwa1920vya duniani
Ni usemi katika biblia. @@willenmtafungwa1920
@@willenmtafungwa1920 Maisha ni vita hadi mwisho.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪tumeomboleza nanyi Sanaa ...mungu ailaze roho yake mahali pema palipo na wema
Makiwa ndugu zetu kutoka Tanzania, tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa kipindi kifupi tumejaliwa kuwa na Ndugu Marco Duniani. Kwa mazuri na mabaya tumuishie Maulana. Safiri Salama Marco
Wangemfanya wangempa dakika waone kama ataaga
Kaka amejibu maswali kwa hekima ya Mungu asante kaka poleni sana wapendwa Mungu awape nguvu katika kipindi hichi kigumu amina
Poleni Sana,Kaka umeongea kwa hekima ya ki Mungu. Mungu azidi kuwatia nguvu.
Poleni sana jamaa katika Christo, Kundi la Zabroni inanibariki sana maishani, Kaka Marco kwenda Salama na umepiga vita vizuri. Toka South africa
Am from Kenya wish he was treated in Kenya,,,we have special surgeon to perform operation. Those doctors God is watching u😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Yes even mater heart hospital.
@@Esther-t3j2r Hata huko Tz kuna madaktari mashuhuri. Lakini kutoka Kisumu kwa barabara hadi Tz katikati kupandishwa ndege mpaka Dar, mda ilipotezwa. Kisumu-Nairobi ni karibu, pengine Maisha ingeogolewa.
Pole sana, tena sana mjane na watoto wa Marco, nduguze na wana Zabron singers. Nina jambo nanyi pia, hata nyie, kwanini hamkumpekeka Aga Khan hospitali kisumu baada kujuzwa ana ugonjwa wa moyo....ila huko kuna wataalamu wa moyo???? Hiyo safari yooote😭😭😭😭 Mungu awasamehe tuuu
I feel you aki, but imagine mipango ya Mola aipangavyo hakuna binadamu anaweza elewa
Agha khan ndo nini ikiwa jakaya wapo vzr na pia siku zake ziliisha za kukaa ktk hii dunia
Poleni Sana 😭😭😭😭 mungu anajua sababu🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️😭😭😭😭😭😭 shine on your way Marco Joseph ulimwengu kote wanalia Sana 😢😢😢😢
Poleni sana watumishi wa Mungu msijai Mungu endelee kawapa uvum
Poleni kwa kumpoteza ndugu yetu lakini poleni sana madactari wote mliotoa ushirikiano tunajua mungu nimkubwa zaid akipenda amependa
Bwana atufundishe kuhesabu siku zetu #kifo ni fumbo 😭😭😭till we meet again Marco, tuonane Asubuhi ile iliyo njema kaka pumnzika 💔💔
Poleni sana kwa yaliyotokea pia mimi nina uchungu mwingi sana kwa kumpoteza mcha Mungu kama huyo lakini tunaomba mungu atutie nguvu na atutulize juu imekuwa ngumu kuamini haya,,,,mungu awatie nguvu zaidi familia yake😭
Poleni sana Zablon sngers kwa kuondokewa na mpendwa wenu, Mungu awafariji, tuta mmiss sana. Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
Poleni sana familia na kwaya pia. Mungu awafariji.
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa kuondokewa na Marco zabron singers kwa kwel ni pengo kubwa kwa zabron singers
Poleni sana wenzetu kwa kufiwa ,mungu awatie nguvu na awafariji.😂😂😂😂
Poleni sana, huku Kenya tuko na huzuni...
Poleni sana ndugu na jamaa za Marco,,,,kusimulia kisa chungu kama hiki kinahitaji ujasiri mkuu,,, Mungu azidi kukutia nguvu kaka,awafariji katika wakati huu mgumu.
Zabron family take heart,till we meet with Marco again.
Hata Mimi limeniumiza sana. Poleni sana Zabron singer, pole kwa bibi yake na watoto, pole kwa familia na jamaa wote. Kenya tunawapa pole zetu watanzania
Poleni saana familia ya zabron, MUNGU awatie nguvu
Poleni sana Mungu mwema Kwa kipindi hiki kigumu tulimpenda sana na nyimbo zai zilitukosha sana mtu ukitulia zinafariji Mungu awape uvumilivu
Mbona wakamrudisha all the way to Tanzania?..if he was already in Kenya' why didnt they rush him to Kenyatta national hospital or even nairobi hospital? this brother could have survived' the people who were with him failed!..may God rest his soul in peace
Exactly my thoughts. Maybe they could have saved his life. RIP Marco
Poleni Sana Zabron Singer's n Family. Mungu awafariji
Poleni sana.
Mbona amgekumbaliani atibiwe hapa kenya.
Imeniuma sana
Mungu awape nguvu
Poleni Sana familia ya Marco. Mungu awape ujasiri Kwa wakati huu mgumu. Asubuhi yajaa ,tutaona tena
Poleni sana ndg zetu wana familia ya Zabroni singers kwa kumpoteza mpendwa wetu Marco Mungu wa mbinguni awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.R.I.P Marco
Poleni sana family na wanakwaya wenzake Zabron Singers Mungu awatie nguvu sana kwani Marco ameniuma 😭😭sana Mungu amyie nguvu mke wake na watoto. Bwana alitoa na Bwana ametia jina lake lihimidiwe🙏
Poleni sana Zabron Singers naomba Mungu azidi kuwafunulia tu najua kuna mapungufu mliyoyafanya katika kazi ya Mungu. Mungu wetu ametupatia SDA kazi ya kuipeleka nyakati hizi za mwisho kupitia ujumbe wa malaika watatu. Hivyo kuna mambo aliyotuonyesha ya kufanya katika maisha hasa ulaji na unywaji na pia kaonyesha mimea ya kutumia kama Tiba za asili. Tafuteni kitabu cha Selected message Vol. 2 cha dada Ellen.G.White mkisome mtaona alichokisema.
Malaika umeanza kujudge maswala ya watu . Wenzio wako kwenye majonzi we umeanza mahubiri
Usihukumu, usijeukahukumiwa
Mapungufu gani mbona mnakula majani na mnakufa lol baada ya kuwapa pole unaanza kuongea vitu ambavyo wakati wake si sahihi
Mh! Hivi mtu akila hivyo hafi?
Ni uchungu sana,pole zangu kwa watanzania n zabron singers at large, May Marco's soul rip 💔😭
pole kwa familia ya Tanzania wote sisi ni familia moja faraja ya Mungu itufariji wote
Poleni msiba umegusa sana hisia za watu wengi.
Serikal Inapaswa Kuweka Msaada Kwa ajir ya Watu weny Magonjwa ya hivo Maana upotez M17 Na Mtu wako pia, Inauma Sana 😭😭
Haswaaaaa
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa Amani,Amina 🙏
Bora wangempeleka nairobi kuliko kurudi tz
Dah kifo kinanguvu
Ni mapema mno kibinadamu
Ila Mungu amekupenda zaidi
Zabron hukumfikiria mkeo na watto wako ukainuka tena 😢😢😢😢
Nimefuatilia safari ya ugonjwa na mauti ya Marco. Binafsi nilimpenda sana. Kwanza Mungu alimhifadhi na akaishi na shinda kubwa ya moyo hata akatumika miaka kadhaa. Pili, nawashuku hao matabibu waliozuia asipelekwe India. Walitaka credit kama wangefaulu kutibu mtu maarufu. Garama sio shinda yao. Tungechanga Africa mashariki pamoja na Rais wa Kenya. Sote tuwe pole😢😢😢
Poleni sana jamaa na marafiki qwa kupoteza shujaa wetu🇰🇪🇰🇪🇸🇦 ,mungu airehemu roho yake, family mungu akawafute machozi
Ila mwanaume atabaki kua mwanaume tu angekua mwanamke asingeweza kuelezea bira kutoa machozi😭😭😭 basi wangerudisha pesa japo nusu iwasaidie kwa msiba😭
Poleni sana, may God comfort you all, Rosemary from Kenya.
Poleni sana familia ya macro mwenyezi mungu awape nguvu ya kukabiliana na huzuni mulio Nayo na pia ailaze roho ya kaka yetu Marco pema peponi
Mi naona awo jakaya wanafanya majalibio ktk maisha ya watu... ...😢😢😢 Ila Mungu ndio ajuaye yote awo ni watu maarufu je wale wasio julikana ni wengi sana wanakufa
Huu msiba jmn umeniumiza sauti ya marco hatutaisikia tena😭😭😭😭😭
Pole sna ak mungu ailinde familia yke ak pole
Poleni sana Mungu awatie nguvu wakati huu mgum Mungu awape faraja yake
Nenda salama kijana wetu Mungu akupokee ktk waja wake watakatifu. Na akusamehe dhambi zako zote. Kwa sababu tunajua Kuwa ss wanadamu tukisema kwamba hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe hivyo kz yetu kubwa ni kuomba toba tu. Poleni zabron singers hakika Mungu mnayemtumikia hatawaacha pweke. Alituahidi.
Poleni sana dada zangu na madugu kw kumpoteza mwensenyu ni ujungu sn na mm nataka kuwatumanishia kidogo ninajo na Niko kenya tatuma vipi
Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake mahala pema mbinguni 🙏😭
Makiwa😭😭😭😭😭jackyline from. Kenya
Poleni sana kwa msiba. Ila watu wanaongea saaaana kuhusu kifo cha mpendwa huyu. Mimi nasihi kwa kuwa kila mtu anaongea anavyojua au kutaka ni vema tuache maana yanazua na kuzaa mengi ambayo hayana lolote la kubadili hali halisi iliyopo. Kipindi hiki kitumiwe kufariji wafiwa hususan mkewe na watoto. Basi! Watizedi ni watu wa story zisizoisha.
Poleni sana wanaZabron singers family Mungu awape moyo wa mkuu.
Poleni familia nzima ya zabron kwa kuondokewa kwa mpendwa mwanakwaya.
Nahisi kuwa madaktari walikosea mahali katika upasuaji wa ndugu yetu. Lakini Mungu anajua yote haya. Rip mpendwa..kutoka kenya..
I wish he was treated in kenya,devil is a liar,aliwafumba macho.May God comfort you .To zabron family,be close to the widow.May God comfort you all and gives you strength
Na me ndio nashangaaa. Kwanini hakutibiwa Kenya jameni. Wangempeleka Nairobi
Seems like alipata cardiac arrest
Mungu ampe pumziko la milele mpendwa wetu 😢😢🙏
poleni sana familiya ya zabron singes kwa kuondokewa na ndgu yetu marco mngu ayilaze loho yake mahili pema peponi daima tuta mkumbuk😂😂😂😂🙏🙏🙏
Still young jaman marco wety😢 pumzika kwa Aman kaka marco
Pole sana familia. May God grant you sufficient grace during this difficult time.
Mungu anampango wa kila mmoja wetu nikidhani mungu alitaka impate akiwa nyumbani maana wangempeleka hospitali nzuri hapa kenya na wakenya wangejitolea kuchanga lakini nae mungu alikuwa na mipango yake
Polen Sana wanazablon nawatumishi wa Mungu,tumeumka wengi yaan CD yenu ninayo mmmh,nimipango ya Mungu 🙏
pole sana wana family mungu awatie nguvu nipengo ambalo hatutolisahau daima amin
Poleni sana wanafamilia, Mungu awatie nguvu na ujasiri ktk kipindi hiki kigum
Na ashukuliwe Mwenyezi Mungu.✌️
I wish mgepita Mombasa kwa pastor Ezekiel 🙏🙏
poleni sana Mungu wa mbinguni awape nguvu katika kipindi hiki kigumu mnachopitia
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Kaka marco angechangiwa tu hata km hayo yangetokea huko kwenye ndege huyo kaka ni kipenzi cha wengi karibia nchi nzima na nje ya nchi wanamjua wasingemuachaa aabike 😭😭
Umeambiwa asingeweza kukaa kwa ndege kwa masaaa 9 embu tuheshimu professional za watu pia muelewe Madr ili asafirishwe nje inabidi waandaliwe report wataonekana vipi
@@faustinombilinyi9809utawaweza watu
Kama ilikua pressure hangeweza kupanda ndege😭😭..Mungu alikubali haya machozi yametosha acha tukubuli😊
Pole kubwa kwa wanafamilia wa Zabron.mungu awafariji tu sana.naitwa Sammy kutoka kenya
Polee sana jamani munguu akutiee nguvuu😢😢😢😢
Poleni familia na marafiki kwa ujumla, kwa kumpoteza mpendwa wa watu wote duniani. Makiweni familia kwa kipindi hiki kigumu .
Hata wasio wahi kumfahamu marco baada ya mauti wamemfahamu mungu azidi kukuangazia nuru huko ulipo marco naamin miongoni mwa wanao roho ya marco imepandwa na mungu ndani yake na itaendeleza pale alipoishia marco aaaamein
Mungu awatie nguvu familia ya singer
Nmeumizwa sana sana ila Sina Cha kufanya pole kwa wote MUNGU atupe faraja ktk kipindi hiki kigumu Cha majonzi.Tumwombee pumziko la heri na la milele MUNGU ampumzishe mpendwa wetu mahala pema peponi Amina.
IRP Marco wa Zabron,, Mungu awape faraja ndg wote wa marehem kwa kpnd hik kigumu kwenu
Poleni sana waimbaji wa Zabloni. Mungu awape faraja iliyo kuu.
I wish they could have done second chance akunywe dawa kwanza they monitor him kwanza 😢Am still in shock that he no anymore na tulikuwa na yeye TikTok the other day.Rip poleni kwa family
Poleni sana Familia ya Marco, mke,, watoto na wote walioguswa na kifo chake. Mungu Atutie nguvu na kutufariji.
❤🇰🇪❤sending love and prayers
Poleni sana familia yote,mungu awatie nguvu
Wote tu wasafiri, hatujui kuwa tutaondokaje hapa duniani. Mungu ni mwaminifu wa kila jambo ameamua Marco apumzike. Pumzika kwa amani.
Poleni sana mungu awape nguvu. Mungu ndie anaejua siku ya kufa ya kila mmoja wetu. Ni uzuni sana but we thank God for the gift of his life. May his soul rest in peace
Tumwachie Mungu maana yeye ndiye anayejua yote,,naye ndio Hakimu wa haki,,,atatenda kwa wakati.
BWANA AMETOA,,BWANA AMETWAA,,,JINA LA BWANA LIIMIDIWE🙏
Hao ndio walifanya makosa coz mulikwa kenya mbona mulimurudisha tanzania na ken na kenya kuna Nairobi hospital,kenyatta hospital,aghakan hospital and are the best....mulifanya kosa saana 😢😢😢😢😢😢😢
Polen sana wapemdwa wa MUNGU Kwa kuondokewa na MTUMISHI wa MUNGU Marco Joseph bukuru apumzike Kwa amani
Mungu ampokee mtumishi wake tulimpenda na yeye ndo kampenda zaidi kwa kweli inauma ila haina budi kulizika na kumwombea kwa mungu
Huyu kaka kweli imeniuma sana wala asingepotea kiasi hicho kama mngeushikilia ukweli mkaachana na mambo ya ulimwengu mkapeleka ujumbe kama alivyoagiza Mungu. Hebu rejeeni katika maandiko ya ujumbe wa malaika watatu mjifunze ulaji, unywaji na mimea ya asili. Hizo figo zilizomsumbua hapo awali kulikuwa hakuna haja ya kutumia madawa ya vidonge pia. Mungu awafunulie
Poleni sana wapendwa Mungu ampumzishe mwanae amina mimi nawapenda sana
Congo tunaliya mwimbaji Marco amerudi munguamupokeye Magali ambapo analazwa.
Kweli kuna majini Tanzania kaka zangu tuombeni mwenyezi mungu😭😭😭
Poleni sana wazazi,familia,ndugu na marafiki wa ndani na nje.Mungu ndiye ajuaye yote.Hakika tumeumia,hii ni premature death.
Million 17 mmetoa na bado haikuweza kusaidia kuokoa maisha yake, hivi kama msingekuwa na hiyo 17M hii operation isingefanyika? Najaribu kuwaza tu kama binadamu, hivi kwa wale wa maisha ya chini masikini ahueni yao inatoka wapi?? mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi sana aisee Mungu atuhurumie Sana maisha haya
Wasingemfanyia na huenda asingekufa mapema hivyo,,Sema walifanya haraka Kwa sababu pesa ipo,,wangempumzisha mgonjwa alichoka sana safari zote hizo duh ata hivyo Mungu Bado alikuwa upande wake Sana,,nawaza mengi ila yanachanganya,,Apumzike tu Kwa Amani.
kweli, hiyo opareshen ndio imemmaluza
@@magrethdaniel95daniel61 hii operation hata Agakhan ya Nairobi ingeweza kufanyika tena very successful, hiyo bleeding tunayoambiwa ilisababishwa na nn sasa kama kila kitu kilikuwa intact.. why bleeding??
@@GetruderMfinangauhai ni WA Mungu ikifika mda sayansi haitibu
Hapa duniani sio kwetu kwetu mbinguni polen@@magrethdaniel95daniel61
Mimi kifo chake kimenigusa nkalia, nahofia familia sasa wako aje,mungu awape nguvu poleni ndugu
Poleni sana wanafamilia na ndugu kwa ujumla safari ni yetu sote,mungu akailaze mahali pema peponi mpendwa wetu
Madactar mmeshugulika mungu awazidishie uwezo hayupo anae zuia tarhe ya mungu aliyo ipanga siku za kuishi za mwanadamu
Poleni sana ndugu zangu . Mungu awape faraja yake kuu
Poleni sana familia na marafiki.