Makonda katika Jicho la 3 nakuona ni Raisi wa Tanzania mwaka 2055... KUWA NA SUBIRA VITA YAKO NI KUBWA SANA KUFIKIA KIWANGO CHA UONGOZI HUO MKUBWA NCHINI, MPENDE SANA MUNGU NA KUWA KARIBU NAYE YEYE NI MWAMINIFU ATAKUWEZESHA KATIKA VITA KUBWA ILIYO MBELE YAKO HAKIKA UTASHINDA...... I like your consistency, smartness and capability in leadership.... In short the real meaning of leadership described by Dc Paul makonda.🎉🎉🎉🎉
Laana ya dhuluma, unyang'anyi, rushwa, ndiyo inayoididimiza nchi na kitu ambacho ulimwengu haujui ni kwamba pesa ya dhuluma hata ungefanyaje kamwe huwezi kufanikiwa. Asante mtumishi wa BWANA katika kazi yote ya kutetea haki ya wanyonge. hakika inasikitisha sana na inahudhunisha sana! Ashukuliwe MUNGU wa mbinguni kwa kuweka kaburi ambalo ni mwisho wa kila mwanadamu mwenye jeuri
Hongera mkuu wa mkoa. Ila Acha niseme kitu,wewe unaependa kunyanyasa watu,kujiinua kwa kuwa una mabawa,hakika yupo Mungu anayerudisha vyote vilivyoibiwa. Kama ulimnynyasa mtu au kumdhulumu mtu kwa njia yeyote,lazima utalipa tu.Asante Mungu usiyelala. Mungu ibariki nchi yetu Tanzania Mungu ibariki Africa yetu
Mh Raisi Daktari Samia nakusifusana kwamaono mazurisana kumteua Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Paulo Makonda Tangu aanzekufanyakazi yupo vema Tanzania safiii kazi iendelee
Muheshimiwa uko vizuri kuongea na wananchi kusikiliza shida zao kongole,,, jamani wengine muige huu mfano kusikiliza kero za wananchi inafaa watu kero nyingi unafaaa kuwa rais
Kuna sehemu makonda anakosea, mtu hawezi kuhifadhi kichwan taarifa zote zinazoendelea katika kijiji, ndo mana zinahifadhiwa so anavosema baadhi ya taarifa zpo ofisini anatakiwa amuelewe.
rait hii nchi ingekuwa na system kama hii,hata ambao wanawania nafasi za ngazi za kijiji na kata wasingewania(gombea) nafasi hizi, Asante Mh. Makonda kwa kutuamsha
Ubarikiwe makonda nakuombea uje kua rahis wa tanzania kama magufuri mambo yako, mtetezi wawanyonge makonda uwe na afya njema nakufatiliaga sana ukiwa haupo sawa naumia sana
Unajuwa kazi anayo ifanya huyu bwana kazi njema sana na inatufanya sisi kuwa jasiri katika kutambua haki zetu na Mungu akutunze sana pia tunakuitaji kigoma
Tupate wapi tena mtu kama Makonda? Ambae Mungu amekaa ndani yake! Mungu wambinguni akuchunge kwaajili yangu papa Makonda, ipo siku ndoto yangu itatimia tu.
Dah! Yaani kwenye ukuu Kuna mipaka ya mikoa. Angebaki kule kule kwenye uenezi. Kule alikuwa anatumbua Kila mtu kasolo wazili mkuu tuu na raisi. Sijui kwanini katolewa kule
Tungepata wakuu wa mikoa yote tugeheshimiana Sana tukupe nini makonda kiufupi Bwana Akuweke uwe rais wetu wewe. Mwabukusi dotto biteko mwana sheria Awe lisi maoni yangu Bwana Anaweza kufanya hivyo Mimi sitaki tofauti zenu nimeangalia uwezo wenu wa kuajibika❤❤ love wote❤❤❤
Makonda katika Jicho la 3 nakuona ni Raisi wa Tanzania mwaka 2055...
KUWA NA SUBIRA VITA YAKO NI KUBWA SANA KUFIKIA KIWANGO CHA UONGOZI HUO MKUBWA NCHINI, MPENDE SANA MUNGU NA KUWA KARIBU NAYE YEYE NI MWAMINIFU ATAKUWEZESHA KATIKA VITA KUBWA ILIYO MBELE YAKO HAKIKA UTASHINDA......
I like your consistency, smartness and capability in leadership.... In short the real meaning of leadership described by Dc Paul makonda.🎉🎉🎉🎉
Laana ya dhuluma, unyang'anyi, rushwa, ndiyo inayoididimiza nchi na kitu ambacho ulimwengu haujui ni kwamba pesa ya dhuluma hata ungefanyaje kamwe huwezi kufanikiwa.
Asante mtumishi wa BWANA katika kazi yote ya kutetea haki ya wanyonge. hakika inasikitisha sana na inahudhunisha sana! Ashukuliwe MUNGU wa mbinguni kwa kuweka kaburi ambalo ni mwisho wa kila mwanadamu mwenye jeuri
MUNGU akutunze daima Kwa kazi nzuri unayoifanya mheshimia makonda
Hongera makonda Kwa kazi nzur
Hongera mkuu wa mkoa. Ila Acha niseme kitu,wewe unaependa kunyanyasa watu,kujiinua kwa kuwa una mabawa,hakika yupo Mungu anayerudisha vyote vilivyoibiwa. Kama ulimnynyasa mtu au kumdhulumu mtu kwa njia yeyote,lazima utalipa tu.Asante Mungu usiyelala. Mungu ibariki nchi yetu Tanzania Mungu ibariki Africa yetu
Acha kuongea ujinga kwa makonda unachuki kwa huyu mkuu
Amina
ww nae ni mpumbavu
Big up makonda Arusha Kun shida mungu akusimakie na kukusaidia kutafuta kero z awananchi Kuna dhuluna n ubabaishaji
Mh Raisi Daktari Samia nakusifusana kwamaono mazurisana kumteua Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Paulo Makonda Tangu aanzekufanyakazi yupo vema Tanzania safiii kazi iendelee
Upo sahihi kabisa. Hii hazina ni kama ilifichwa
Live from Uganda Paul makonda pole kazi nzuri
kweli kabisa
Ibada hii ni nzuri sana ,hongera sana mtumishi wa MUNGU BABA Makonda ,ubarikiwe kwa kazi nzuri
Mungu ni mwema Safi sana
😊q
Unazingua
Muheshimiwa uko vizuri kuongea na wananchi kusikiliza shida zao kongole,,, jamani wengine muige huu mfano kusikiliza kero za wananchi inafaa watu kero nyingi unafaaa kuwa rais
Upo sahihi mkuu,kaziyako ipo vizuri
Jasho la mnyonge linalipwaa na Mungu baba hakika kazi yako ni nzuri sana God bless 🙌
Mkuu makonda utendaji wako unanikumbusha uncle magu hongera baba Mungu akulinde kwa huu utendaji wako
BEST ADVICE from Paul MAKONDA. I have never seen
Hongera sanaa mkuu wa mkoa Arusha Kwa kazi nzuri 😢
Mheshimiwa Mkuu wa mkoa Paul Makonda, unafanya kazi nzuri sana.Endelea kutenda haki kwa wananchi na Mungu atakubariki!
Kweli😭😭 kajifunz vitu Ving lakn kwa maguful
Natamani ungekuja kuwa Raisi baada ya Mama Samia uwe mfano was marehemu Magufuli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri japo kuwa nchi nzima migogoro ni mingi mmno haina mtatuzi, big up.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤makonda kazi iendeleee baba
Ubarikiwe sana baba mungu akulinde makonda juu
Leadership ni utatuzi wa matatizo ya unaowaongoza na kuweka mazingira sawa kwaajili ya shunguli zingine! Hongera sana Makonda👏👏👏
Best kind of leadershirp i prefer, bravo Regional commisinor Makonda🙌🙌💥
Kabisa
Ongera sana makonda kwa kazi nzuli bila wew Mzee dio Alisha zurumiwa mungu akubalik makonda
Kuna sehemu makonda anakosea, mtu hawezi kuhifadhi kichwan taarifa zote zinazoendelea katika kijiji, ndo mana zinahifadhiwa so anavosema baadhi ya taarifa zpo ofisini anatakiwa amuelewe.
Mh Makonda unaakili sana Mungu akulinde.Mungu ibariki Tanzania Linda viongozi wetu wenye moyo wa kusaidia wananchi
Arusha mtanyooshwatu😂😂😂😂
Huyo ndio makonda bwaaanaa
Mungu akulinde na akuhifadhi siku zote umtetezi wa wanyonge
rait hii nchi ingekuwa na system kama hii,hata ambao wanawania nafasi za ngazi za kijiji na kata wasingewania(gombea) nafasi hizi,
Asante Mh. Makonda kwa kutuamsha
Daaah! Mungu akulinde na akusimamie Mh Po Makonda,,,mi mweyewe nilinyangh'anywa eneo ambao ni shamba la wazazi wangu
Mtoto unae tembea kwenye kivuli cha mh.magufuli..hongera mheshmiwa
Mungu akulinde Mh Makonda
Hongera sana Makonda👏👏, Hongera sana Makonda👏👏, Hongera sana Makonda👏👏, Mwenyezi mungu akulinde 🤲
this mzee magufuri legacy
Mungu tu akubariki kaka makonda kwa unayo yafanya mungu akuongezee siku za kuishi kwakweli
Nampenda r c makonda❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Makonda you are too much, safi sana Mkuu wa Mkoa Mungu atakulipa
Upo vzr mungu akubariki sana kwa kaz nzur unayoifanya......
Big up sana Mheshimiwa kwa kazi nzuri kwa kutenda haki.
Mr. Makonda is a best leader in the world! I love Makonda.
Ubarikiwe makonda nakuombea uje kua rahis wa tanzania kama magufuri mambo yako, mtetezi wawanyonge makonda uwe na afya njema nakufatiliaga sana ukiwa haupo sawa naumia sana
Makonda ¡!!kazi iendelee mzee maguu anakuona na kukufurahiaaa
Nakupenda bure makonda Mungu akulinde sana
Mwenyezi mungu akulinde makonda
Ameen 🙏🙏
Yani mungu akupe maisha malefu mokonda uje kua laisi wetu❤
Makonda unafanya kazi nzuri, tuna viongozi walio jisahau kuwajibika kwa wananchi
😂😂😂😂😂I love the show I wish ningekua mtanzania
Iyo supana ninoma mkuu watasema tu kaz nzuri mungu akusimamie
Viongozi mnapaswa kufanya kazi mlizo aminiwa, Mungu akulinde mh. Makonda
Daah kazi mzuri mweshimiwa mkuu wa mkoa makonda Mungu akubariki sana sana sana
😅0
Makonda udumu zaidi mungu akulinde siku zote za maisha Yako na ukuzidishie hekima zaid ya hapo tuna kutegemea zaid👏👏👏👏👏
Watu wa Arusha mnapo muomba MUNGU kwa ajiri ya Afya zenu msimsahau na makonda ni wazo tu
sawa❤
Safiii
Amina
😂😢 4:05 @@REGNARDkiswagachimbo
❤
Asante Makonda kwa Kazi nzuri Mungu akubariki. Yani nikikuona Makonda namuona Magufuli hakuna Tofauti kabisaa ❤❤❤
HAKIKA
Rais mama Samia kusema kweli kkayangu makonda afanya kazi Mzuri Sana Allah ambariki na akubariki wewe inshaallah.
mzee makonda hongera sana baba unatenda kazi nzuri Allah akufanyie wepesi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu azidi kukubariki makonda kwa Kaz nzuri
Makonda anafanya kazi mzuri sana
Makonda mkuu wa mkoa yuko vizuri sana sana tunampenda
Hongera Kwa usimamizi mzr kaka mungu akupe maisha 39:57 marefu Kwa wanyonge.
Mungu akutunze mheshimiwa Makonda
Mr Makonda Mungu akulinde
Watanzania sio wajinga, muda wa kuwadharau na kuwaona ati ni mbumbumbu umeshapita! Makonda kudos! I see maturity in leadership here. congrats Makonda.
Hongera sana Makonda! Mungu akutunze.
Duh! Jamani Mimi siwezi kusema ila huyu makonda jeshi la malaika wamzunguke pande zote ulinzi kamili
K
Hongera makonda mungu akulinde nipo mbeya mjin.
Hongera makonda kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge mungu akulinde
Amina❤❤❤
Natamani uwe Raisi wetu tz napenda sana kazi zako❤
P. Makonda Allah Akutangulie
Am very proud to having leader like makonda
Huu ndiyo uhalisia wa mambo vijijini, Hongera Makondo kwa kazi hii nzuri
Sio Makondo ni Makonda
😂😂😂😂😂😂@@DianaHyera
Kbs
I appreciate you rc makonda ur the best
Unajuwa kazi anayo ifanya huyu bwana kazi njema sana na inatufanya sisi kuwa jasiri katika kutambua haki zetu na Mungu akutunze sana pia tunakuitaji kigoma
Kweli kabisa
From Zambia makonda keep it up
From Burundi Makonda you ar like the last president john pombe magufuri😊😊😢
5r BB-
Uko vizuri mweshimiwa
Makonda Mungu akusimamie
Tupate wapi tena mtu kama Makonda? Ambae Mungu amekaa ndani yake! Mungu wambinguni akuchunge kwaajili yangu papa Makonda, ipo siku ndoto yangu itatimia tu.
Viongozi hao ndo wanatakiwa mkuu wa mkoa mungu akupe uhayi❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿
Makonda natamani ungekuwa mkuu wa mkoo wa morogoro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dah! Yaani kwenye ukuu Kuna mipaka ya mikoa. Angebaki kule kule kwenye uenezi. Kule alikuwa anatumbua Kila mtu kasolo wazili mkuu tuu na raisi. Sijui kwanini katolewa kule
Seriously no 1 like our makonda in tanzania , God bless you Samia suruhu Hassan for voting makond
Makonda, makonda, makonda, endelea kuwasaidia wananchi. Mungu atakulipa aise. Kwenye nchi hii madudu ni mengi sana.
Kweli kaka uko vizuri makonda ❤❤
Makonda na Magufuli tofauti ni sura tu... lakini Akili wanafanana, Hekooooo Kaka Makonda
🤣🤣👍👍👍👍👍👍👍👍👍🏃
Hpn magu kiakili alikua juu ila makonda anajitahidi kufata nyayo zake
HONGERA MWEHESHIWA MAKONDA MUNGU AKUBARIKI AMEEN ❤
Chapa kazi jembe makonda una jambo jema kwa mkoa wetu wa Arusha siku zote wasiojali watasema wewe ni mwonevu lakini wewe ni mtetezi 💪💪💪🇹🇿💪🇹🇿🇹🇿🎉
Mwenyezi mungu Ahsante Kwa kutuletea Mh mkuu wa Mkoa huyu mtu wa mungu🙌🙏
Ipo siku utakuwa kiongoz katika nchi hii bro makonda .....uko vizuri
Mkuu wamkowa hongela sana naomba ujekigamboni ugombee ubuge 🎉
Shule inadarasa moja na chumba kimoja cha walimu ,Raisi anabeba wasanii kwenda Korea nchi hii Mungu atunusuru tu 🙌
Hahahaha
Huo sasa wivu bhn
Jiulize Wasanii wanatoa bilioni ngapi kodi za mauzo
Ako ka mama kameanza kuruka ngoma uzeeni, anafikilia kuwa msanii wa taalabu ndio maana yupo kaliibu sana na wasanii.
Acha ujinga wewe, kwani wewe hauoni?? Nchi ina migogoro bado yeye anaruka nyoka.
Mheshimiwa makonda mwenyezi mungu akupe umri mrefu maana ww ni mtetez wa wanyonge da!! Tunakupenda sana
😢Makonda unafanya kazi nzuri Mungu akubariki sana
safi sana
I see magufuli face in this man
Nakubali kaziyako🎉🎉🎉🎉
Raisi wa mkoa hoyeeeeeeeeee😅😅😅😅❤❤❤
Hoyeeeeeee
Tungepata wakuu wa mikoa yote tugeheshimiana Sana tukupe nini makonda kiufupi Bwana Akuweke uwe rais wetu wewe. Mwabukusi dotto biteko mwana sheria Awe lisi maoni yangu Bwana Anaweza kufanya hivyo Mimi sitaki tofauti zenu nimeangalia uwezo wenu wa kuajibika❤❤ love wote❤❤❤
Mh makonda mungu akulinde san na akupe maalifa zaid
Hongera sana mkuu wa mkoa arusha
tunakupa uliz wa mungu makonda wetu
"Sikusikia swali vizuri" 😂😂😂 uyo mtendaji wa kata ameyatimba n kuyakanyaga🤣🤣🤣
Hongera sana makonda kwa kutetea haki za wanyonge Mungu akulinde daima.
Nakubar sana bro makonda unatenda had gombea urais tukupe maamuz Yako kama chuma lrp magufur bless sana nakukubar
P makonda Mungu akutangulie Baba
🤲🏻Tunakuombea poul makonda na makonda ni ☝🏾tuu 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Kazi nzuri,na tunasubiria kata yetu ya Musa
Muheshimiwa Makonda Mungu wa mbinguni akulinde ❤
Kazini kwa makonda kuna kazi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mtangulize mungu mbele kwa kila jambo upate wepesi kwa hizi changamoto
Pole na hongera sana mzee Makonda,unakutana/pambana na mambo mazito.Mungu akutilie wepesi!.Aamin.