Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Asante Mungu. Mpe nguvu mama Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri y Muungano wa Tanzania,Apate Maono ya Kuwateuwa Wateule Wake,wakaongeze Nguvu ya Utendaji wa nguvu wakaungane na Wachapa kazi hawa wanaosimamia Haki. Asante Serikali yetu. Mungu Watangulie.
Mushi ni Papa mla watu kweli, loh, aliweka serikali zote mfukoni. Mzee Lukuvi hakuyaona hayo? Hongera Waziri, sasa matapeli wataogopa, mungu akupe maisha marefu.
mwenyezi mungu amuweke uyu waziri haki haki inatendeka izi huyu mama msomi na kahangaika hivi je mjane asienda shule inakuaje mungu katuletea mtetezi mpya mama anajua
@@KaburuKimath-eu5nf Cmahakama zote my dear ila kwa mimi nilichopitia nilopokuwa nafatilia ,miradhi ya babangnilu mama aliambiwa ela ikitoka tuwape laki saba nakakubali haikuchelewa na nikaweza kurudi shule kama hela ipo u una hela ucwe na mkono mfupi
waziri Silaa na Makonda Big up KUBWAA. Narudia kusema mama Mh Rais wangu hawa vijana wanapiga kazi bila kupepesa Macho , Ninakuombea sana mama yangu na hawa vijana wako Makonda na Jerry Silaa. Mungu wangu awailinde na kuwasimamia😂 kwa kaz nzuri mnayofanya kwa kweli. Mama bi up kaz iendelee.
Kabisa mimi binafsi namuomba mama amrudishe Ali Happy ampe mkoa maana naye pia ni kiongozi bora sana ambaye hapendi rushwa na tutakuwa na majembe watatu hata viongozi wengine wataanza kuona aibu
Waziri,huyo mtu hakuwa pekee yake.Ana mfumo ndani ya wizara yako.Awataje wote ili waondolewe wizarani.Kuna watu wengi wameteseka sana ardhi.Kuna kesi ya 30yrs imezunguka mahakamani
Salaam Mheshimu Waziri wa ardhi Ee Mwenye Mungu akulinde na akutunze Kwa kutenda Haki Kwa Mtumishi wa serekali . Je vipi huko wananchi hitakuwaje kwenye kazungushwa mahakamani Kwa miaka? Ee Mwenye Mungu unisaidie. Mheshimu Silaa Ndio Jembe na Nyundo Kwa Kujenga Taifa ❤ TZ
Yaan Rais wangu wachapakazi kama hawa usiwatoe sehem zao waache wachape kazi:silaa:makonda: sendega:chalamila:ali hapi tena huyu sio wa kuwekwa ccm huyu serikalini apewe mkoa awe Rc. Kama wenzake hapo iuu.❤❤❤🙏🙏🙏👍👍👍
Well done Mh Jerry Slaa, Mungu atakulinda nasi tunakuombea afya na uzima , huyu Mushi ameumiza watu wengi sana , ilitakiwa awekwe ndani na kunyang'anywa maeneo yote
Aisee swali hili limenifanya nitafakari sana. Mama yuko kwenye system toka enzi za Mwalimu kadhulumiwa, wenzangu na mie maelfu kwa maelfu mpk wengine watakuwa wameshatangulia mbele za haki walidhulumiwa
Mama yetu kuna mawaziri umewateuwa kama silaha wa aridhi na bashe wa kilimo wallahi mama yetu hukukosea hata kidogo kua nao karibu mana wanakuwakikisha Kwa wananchi jinsi inavo takikana Ni wadilifu tukipata kama hao ishirini nchi yetu itafika mbali mama we Ni raisi usie angalia sura unangalia utendaji mzuri wa ulie mpa dhamana ya kile atakcho enda kukisimamia BG up mama bila ya kumsahau deo ndejembi nae namfatilia Ni jembe mchapa kazi mzuri sana hongera mama Kwa kuwapa vijana nafasi
Mama yetu SSH mungu akupe umri mrefu na afya tuletee vijana kama hawa kwenye wizara nyengine kuna madudu mengi tumechoka kuona watendaji wanakusifia sifia tu lakini hawafanyi kazi mama.. Teua majembe mama Usiogope serikali inayosikiliza wananchi ndio serikali.. Nawasilisha
Maskini ukizurumia aridhi na huna pa kukaa ,lazima umtafute aliekuzurumu ili kwa gharama yoyote ili kezi akaamue mwenyezi mungu mbinguni sio wa kuwachelewesha watu kama hao
SLAA NA MAKONDA VIJANA TAJIRI WA NYOYO NA KINAYA NA PESA ZA THULUMA WAMCHAO MOLLAH WAO MUHUMBA MALIPO YENU MWENYEZI MUNGU ATAWALIPA HAPA HAPA DUNIYANI INSHAALLAH !
"Sheliya" ni mdudu gani sasa. Jifunze Kiswahili la svyo achana na mitandao. Unayeharibu Kiswahili huna tofauti na anayedhulumu haki za wengine. Sheria inapaswa na wewe kukushughulikia
Narudia tena kuuliza hili Swali hivi haya si ya Zamani..? LUKUVI alikuwa anafanya Kazi gani..?..huyu JERY SLAA akae kwenye hii WIZARA hadi umauti..Big up sana Mama.
Sanaa ni watu wa ajabu hawatosheki wanajifanya wanaijuwa pesa na mali saana lkn mwisho wa siku maiti wanasafirisha kuzika makwao tu.muogopeni mungu vitu vya kupita r
Mama Samia hongera Jerry Slaa muekee naibu wake Paul Makonda awe naibu wake wa ardhi vilio vitaisha ndani ya siku 100 haki zote za waliodhulumiwa wazipata
Jamila wewe una umri gani unaandika Kiswahili kama mtoto wa chekechea? " uyu" "uyo" "iyo " " dhurma" ni vitu gani sasa! Huyu, huyo, dhulma ndio sahihi. Acha kuvuruga lugha yetu. Kama huwezi kuandika lugha sahihi achana na kiherehere cha mitandao. Hii lugha si ya mama yako uchezee tu unavyotaka 😢
@@Brunn-mh2bq pwenti yng nikwamba muheshimiwa slaa anajuwa Sana kusimamia haki za watu Yan Jeri siraha ni kiongoz mzur Sana..anajuwa kazi yake.. na mama Samia pia anajuwa Sana kuongoza nnchi.kwamana uongozi wa urais sio kitu chepes na haswa ukiwa unataka kutenda haki na kufuatilia vitu in details..unajuwa mim ninakero Sana kuhusu Kes za madai Yani mtu unafanya nae biashara kwania njema tu alafu mtu anakudhurumu Kwa makusudi alafu kumbe ukienda mbele unazinguliwa unaambiwa iyo kesi ya madai madai mtu hufungwi kwel iyo ni haki...ndomana matepel ni wengi Sana tena mtu anakudhurumu Kwa makusudi alafu anajuwa huna pakumpeleka nawakati unavyovizibiti lakin unasumbiliwa ndomana nilisema vile..napia yule mama anajielewa kujielezea Kwa dhurma aliyofanyiwa...kiufupi raise wetu katuletea jembe letu Jeri silaha..namkubal Sana mwamba wng..mungu amuweke miaka mianane
Huyu Mama miaka ya 1980's alikuwa akiishi oysterbay-mtwara cresent....miaka mingi yupo nje ya nchi.......watendaji wa ardhi wameanza upuuzi huu miaka mingi kuvizia viwanja vya wenyewe walio nje na kuviuza
yaani..kuna baba moja anitwa david mshiu alikuwa balozi na anashamba bagamoyo. alivorudi nchi shamaba lake lilivamiwa akazungushwa mwisho akafa na pressure juu ya hili swala..kazi kweli
Katika viongozi wachapa kazi serikali yetu hii hawa watu namba moja Waziri Slaa na mkuu wa mkoa Makonda mama naomba sana hii miamba uilinde ili kazi iendelee
Machozi yananidondoka siamini Kama haya yanatendeka kipindi hiki Cha mama daah inchi ilikua mbaya hii Allah awahifadhi viongozi waadilifu Hawa na rais wetu mwema amiin
Nakupongeza Waziri. Nimefurahi ulivyo li-handle hili na kusisitiza utawala wa sheria. Kuna sehemu wananchi tunanyanyaswa na watendaji wetu wanaoziweka sheria pembeni na kutumia akili zao finyu.
Huyu ni waziri mchapakazi sana, swali la kujiuliza ni watumishi wa aridhi na matapeli mahali pengine wataendelea kushikilia madudu kusubiri mheshimiwa aje afumbue (jambo ambalo ni vigumu kutokea ) au wataanza kufanya kazi kwakufuata mfano.
Hakuna kitu kinachoitwa"aridhi" ndugu. Neno sahihi ni "ardhi". Acha kuharibu lugha. Tumia kamusi ujiridhishe kwanza kabla kukurupuka kuandika vitu usivyovijua. Muda si mrefu tutatunga sheria kuwashughulikia watu kama wewe. Sio utani mnakera sana.
Ndugu Viongozi wa Serikali, kama wananchi wenye uwezo wa kuwa na Wanasheria binafsi wanaweza kudhurumiwa, je, kwa wengine ambao hawana uwezo huo, hali ikoje? Ndugu Waziri, kwa kipindi hiki ulichopo madarakani, jitahidi sana utembelee na kwenye maeneo ya miji midogo na vijijini. Huko, watu wanalia na hawana pa kupeleka kilio chao, wala hawana uwezo wa kukufikia mahali ulipo. Anayeijua kesho yako ni mwenyezi Mungu, sisi tunaijua leo yako tu.
Muhemiwa Jerry sheliya iende bungeni ibadilishwe tunateswa na mahakama mama samiya afute mahakimu na majaji kesi miaka 30 hao wafutwe na wafungwe kesi myaka siwafutwe wasomi wa sheliya wapo au
HII VITA NI NGUMU SANA UNAYOPIGANA JERRY HATA KAMA UNAMUAMINI MUNGU ULINZI KWAKO NI MUHIMU KWA MANUFAA YA TAIFA HAO WATU UNAODILI NAO NI MA GANGSTER BADO TUNAKUHITAJI
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Asante Mungu. Mpe nguvu mama Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri y Muungano wa Tanzania,Apate Maono ya Kuwateuwa Wateule Wake,wakaongeze Nguvu ya Utendaji wa nguvu wakaungane na Wachapa kazi hawa wanaosimamia Haki. Asante Serikali yetu. Mungu Watangulie.
Samia ameuza bandari zetu bahati uwanja wa kia ngorongoro tena apewe ngumu!! Nsiatatuuza na sisi hivi kwà nini waisilamu mnakoswa akili!!! 😭😭😭
@MACHOYATAI-jk6fu umeongea vyote ukiwa unamzungumzia Rais ila mwishon umeingiza udini shida ni nini nyie ndugu zetu lkn,dini imeingiaje hapo
Mushi ni Papa mla watu kweli, loh, aliweka serikali zote mfukoni. Mzee Lukuvi hakuyaona hayo? Hongera Waziri, sasa matapeli wataogopa, mungu akupe maisha marefu.
Mwisho wake umefika
Lukuvi hana ya sheria kama silaa
Lukuvi hana elimu ya sheria kama slaaa
mwenyezi mungu amuweke uyu waziri haki haki inatendeka izi huyu mama msomi na kahangaika hivi je mjane asienda shule inakuaje mungu katuletea mtetezi mpya mama anajua
Na anajuana na watu wakubwa tu wa inchi,aissee umewaza mbali sana
Kwa Hali hii basi mtu mdogo kupata haki ad umwone waziri huzika jeep ni wangapi tunahuo uwezoo Mimi ushauri wangu naona mahakama zetu hazitendi haki
@@KaburuKimath-eu5nf Cmahakama zote my dear ila kwa mimi nilichopitia nilopokuwa nafatilia ,miradhi ya babangnilu mama aliambiwa ela ikitoka tuwape laki saba nakakubali haikuchelewa na nikaweza kurudi shule kama hela ipo
u una hela ucwe na mkono mfupi
@@KaburuKimath-eu5nf kingine cku zote kama umempeleka mahakamani mtu mzito kifedha au anawatu nyuma yake wazito sahau mambo ya haki
@@zenawahindi2425unamaanisha kuhinga ama sijaelewa hapo
Huyu mama Anajua kujielezea, big Up kwa Mh. Slaa Waziri wa Ardhi kijana smart sana, ataweka alama kwa vizazi vyake hata kwa 100 ijayo.
Ni msomi huyo na mwanasiasa kamwe hawezi shindwa kujieleza
@@stanleynombwe4865si kila msomi au anaejua kujieleza ni mwanasiasa
Mama mwenyewe msomi
Huyu Mama duh..!? Ananyoosha Maneno Hatari
BRAVO MH. WAZIRI SILAA....MUSHI NI TAPELI ALIYEKUBUHU....MH. WAZIRI SAFISHA WIZARA YAKO.
Kazi nzuri sana. Wachaga wananyooka. Hawa kina mushi matapeli sana
Ukisikia mtu anaitwa Mushi, Masawe, na Shirima..Ogopa hawa hayo Majina kwa UTAPELI hawafai...ni noma
Kwenye maombi yetu tuwaombee sana waziri slaa na bwana makonda.. hii ni tunu Mungu ametupatia
Waziri hao waliotoà hati bandia kwani wasishughulikiwe
Hakika huyu Slaa Makonda na Biteko ni kuwaombea sana
Mnamuacha waziri wa kilimo H.Bashe
waziri Silaa na Makonda Big up KUBWAA. Narudia kusema mama Mh Rais wangu hawa vijana wanapiga kazi bila kupepesa Macho , Ninakuombea sana mama yangu na hawa vijana wako Makonda na Jerry Silaa. Mungu wangu awailinde na kuwasimamia😂 kwa kaz nzuri mnayofanya kwa kweli. Mama bi up kaz iendelee.
Kabisa mimi binafsi namuomba mama amrudishe Ali Happy ampe mkoa maana naye pia ni kiongozi bora sana ambaye hapendi rushwa na tutakuwa na majembe watatu hata viongozi wengine wataanza kuona aibu
Nakukubali sana kiongozi silaa, hakika wewe ni mjumbe wa mungu duniani katika kutetea haki za wanyonge wa tanzania
Waziri,huyo mtu hakuwa pekee yake.Ana mfumo ndani ya wizara yako.Awataje wote ili waondolewe wizarani.Kuna watu wengi wameteseka sana ardhi.Kuna kesi ya 30yrs imezunguka mahakamani
Lila na Fila havitangamani. Hongera sana Madame kwa kupata hali yako. Good job Mheshimiwa Silaa.
Mungu atuletee watu kama Jerry Slaa wanaofuata haki na kumtanguliza Mungu.Big up Mh.Jerry Slaa.
Hongera mh mstaafu zahra nuru kwa kupata haki yako.mungu mkubwa atawafichua kila madhalim kwa wakati wao inshaallah.
Watu wangu wa maana kbc silaa na makonda ❤❤
Salaam Mheshimu Waziri wa ardhi Ee Mwenye Mungu akulinde na akutunze Kwa kutenda Haki Kwa Mtumishi wa serekali . Je vipi huko wananchi hitakuwaje kwenye kazungushwa mahakamani Kwa miaka? Ee Mwenye Mungu unisaidie. Mheshimu Silaa Ndio Jembe na Nyundo Kwa Kujenga Taifa ❤ TZ
A true leader ..wish you were in Kenya
Yaan Rais wangu wachapakazi kama hawa usiwatoe sehem zao waache wachape kazi:silaa:makonda: sendega:chalamila:ali hapi tena huyu sio wa kuwekwa ccm huyu serikalini apewe mkoa awe Rc. Kama wenzake hapo iuu.❤❤❤🙏🙏🙏👍👍👍
Well done Mh Jerry Slaa, Mungu atakulinda nasi tunakuombea afya na uzima , huyu Mushi ameumiza watu wengi sana , ilitakiwa awekwe ndani na kunyang'anywa maeneo yote
Huyo Mushi ni yule aliyesema anasikia njaa hajala tangu asubuhi?
Slaa wewe ni baraka sanaaa
hongera waziri wa ardhi kazi njema
Hawa vijana Mama samia waangalie kwa macho matatu wasitoke kwenye hizo kazi plz.
Hakika mm namuombea waziri wetu unaponya mioyo yete..Mungu akupe afya njema mafanikio yenye manufaa pole pia damu ya yesu ikulinde
Waziri Jery slaa mungu akupe maisha marefu . Naamin nami nitapata haki yangu ya ardhi kupitia wewe.
This is a great fair Government officer🤝🏿
Hivi ndani ya nchi hii, kama Viongozi wananyanyaswa inakuwaje raia wa kawaida
Swali hili gumu sana
Aisee swali hili limenifanya nitafakari sana. Mama yuko kwenye system toka enzi za Mwalimu kadhulumiwa, wenzangu na mie maelfu kwa maelfu mpk wengine watakuwa wameshatangulia mbele za haki walidhulumiwa
@@digitalworld5577 Tena katibu mkuuuuu😅😅😅😅😅😅😅
Kwelii kabisa unakuta mtu kaitumikia serikali ila bado anadhulumiwa na ma papa
Huyu waziri mungu ambariki sana
YESU Awabariki sana Kwa kusimamia haki
Uyu mzee moshi tapeli hatari kabobeya haswa
Kila kiongozi kwenye eneo lake akifanya kazi kama Jerry, serikali itapendwa Sana na wananchi.
Waziri jery slaa mungu akupe maisha malefu haki uinua taiga balikiwa
M mungu akulinde baba na kila shari akuondolee na mahasidi
Hongera waziri na mbunge wangu,tumechoka na matepeli wa ardhi
Mama yetu kuna mawaziri umewateuwa kama silaha wa aridhi na bashe wa kilimo wallahi mama yetu hukukosea hata kidogo kua nao karibu mana wanakuwakikisha Kwa wananchi jinsi inavo takikana Ni wadilifu tukipata kama hao ishirini nchi yetu itafika mbali mama we Ni raisi usie angalia sura unangalia utendaji mzuri wa ulie mpa dhamana ya kile atakcho enda kukisimamia BG up mama bila ya kumsahau deo ndejembi nae namfatilia Ni jembe mchapa kazi mzuri sana hongera mama Kwa kuwapa vijana nafasi
Mama yetu SSH mungu akupe umri mrefu na afya tuletee vijana kama hawa kwenye wizara nyengine kuna madudu mengi tumechoka kuona watendaji wanakusifia sifia tu lakini hawafanyi kazi mama.. Teua majembe mama
Usiogope serikali inayosikiliza wananchi ndio serikali.. Nawasilisha
Asnt Silaa Mungu akubariki
Mungu Akubariki tena na tena Jerry, Ambariki na RAIS SAMIA , Ambariki na Makonda. Mungu ana mpango na nyie kazi yetu ni Moja kuwaombea.
Marget, bado umemsahau BASHE
safi sana wakubwa nao wameanza kudhulumiwa na kuibiwa labda sasa mtasikia vilio vya wanyonge
Hongera sana waziri unafanya kazi nzuri sana.
Aisee baba yangu mushi anakufa masikini Mungu wangu
Anyongwe
Mwizi
mama msomi halafu ana pesa lakini kakosa haki yake je masikini sindio hapati kabx dah kweli pesa Noma sana ukijua kuizungusha kwa watoa haki
Maskini ukizurumia aridhi na huna pa kukaa ,lazima umtafute aliekuzurumu ili kwa gharama yoyote ili kezi akaamue mwenyezi mungu mbinguni sio wa kuwachelewesha watu kama hao
Huyu Jamaa Mushi Mhhh mbona Amekuwa Moshi unavuka, hahahhahaha, Ongera Jemedali Jerry Silaha
Huyo kstibu nayeye alitenda mema au mema kwawengine....TZ🎉🎉🎉🎉🎉
SLAA NA MAKONDA VIJANA TAJIRI WA NYOYO NA KINAYA NA PESA ZA THULUMA WAMCHAO MOLLAH WAO MUHUMBA MALIPO YENU MWENYEZI MUNGU ATAWALIPA HAPA HAPA DUNIYANI INSHAALLAH !
Asante sana wazirikumshikilia mungu tunajifunza
Kwanini kesi zichukue mwaka nao mahakimu majaji nao watungiwe sheliya wakikiuka nao wapoteze haki waone na familia zao wote
"Sheliya" ni mdudu gani sasa. Jifunze Kiswahili la svyo achana na mitandao. Unayeharibu Kiswahili huna tofauti na anayedhulumu haki za wengine. Sheria inapaswa na wewe kukushughulikia
Wanaogopa
@@Brunn-mh2bq😂😂 wanakurupuka tu
Kila kona owned by Mr Mushi😊😊😊😊
Kwani huyu Mzee mushi nimkubwa kuriko serikali?🙏
Narudia tena kuuliza hili Swali hivi haya si ya Zamani..? LUKUVI alikuwa anafanya Kazi gani..?..huyu JERY SLAA akae kwenye hii WIZARA hadi umauti..Big up sana Mama.
Wachaga wengi ni madhalimu wamedhulumu nyumba na viwanja vingi sana hapa mjini,
Sanaa ni watu wa ajabu hawatosheki wanajifanya wanaijuwa pesa na mali saana lkn mwisho wa siku maiti wanasafirisha kuzika makwao tu.muogopeni mungu vitu vya kupita r
Sure. Wezi
Matapeli
Makonda Jeli Bashe Biteko Aweso kwenye nchii Wenda wakatuvusha 🇹🇿
Mwenyezi Mungu awapatie ulinzi kwa kufuta machozi ya wengi
Raisi ampe ulinzi Waziri asiogope hao papa wala watu.
Mama Samia hongera Jerry Slaa muekee naibu wake Paul Makonda awe naibu wake wa ardhi vilio vitaisha ndani ya siku 100 haki zote za waliodhulumiwa wazipata
Mungu akuweke
Tatizo la mama ni kwamba yuaongea sana 😮😮😮badala ya kumzikiza waziri awaoneshe haki sitahiki 😮
Daaah hii inch kumbe bado tupo nyuma sana
Uyu mama anajielewa sana...na anajuwa sana..iyo ni haki ya uyo mama..hii inchi bwana ina dhurma sana
Jamila wewe una umri gani unaandika Kiswahili kama mtoto wa chekechea? " uyu"
"uyo" "iyo " " dhurma" ni vitu gani sasa! Huyu, huyo, dhulma ndio sahihi. Acha kuvuruga lugha yetu. Kama huwezi kuandika lugha sahihi achana na kiherehere cha mitandao. Hii lugha si ya mama yako uchezee tu unavyotaka 😢
@@Brunn-mh2bq pwenti yng nikwamba muheshimiwa slaa anajuwa Sana kusimamia haki za watu Yan Jeri siraha ni kiongoz mzur Sana..anajuwa kazi yake.. na mama Samia pia anajuwa Sana kuongoza nnchi.kwamana uongozi wa urais sio kitu chepes na haswa ukiwa unataka kutenda haki na kufuatilia vitu in details..unajuwa mim ninakero Sana kuhusu Kes za madai Yani mtu unafanya nae biashara kwania njema tu alafu mtu anakudhurumu Kwa makusudi alafu kumbe ukienda mbele unazinguliwa unaambiwa iyo kesi ya madai madai mtu hufungwi kwel iyo ni haki...ndomana matepel ni wengi Sana tena mtu anakudhurumu Kwa makusudi alafu anajuwa huna pakumpeleka nawakati unavyovizibiti lakin unasumbiliwa ndomana nilisema vile..napia yule mama anajielewa kujielezea Kwa dhurma aliyofanyiwa...kiufupi raise wetu katuletea jembe letu Jeri silaha..namkubal Sana mwamba wng..mungu amuweke miaka mianane
@@Brunn-mh2bq by the way mim ninaumri kama uupendao wewe ukitaka kuniweka popote nakaa kaka ...mim ni chekechea kama wewe kaka
@@jamilaathumani5481usife moyo hatufanani elimu dada ang, lakini Kila mtu anahaki yake hata aliyeishia shule ya msingi
Daha huyu jamaa anajua sana mambo ya ardhi kama lukuvi
Mmh kwa kweli Mushi ni kiboko kila kona
Huyo mushi hata lukuvi alimshidwa huyo bonge la tapeli. Mawazili wengi alikua kawashika
Mmh Wachaga oyeee!
Jembe la wizara ya ardhi mtu wa mungu hii ndio heshima ya serekali moja baada ya moja wala kelele hamna kimya kimya span tu hongereni
Waziri ni very intelligent
Mzee mushi mwizi balaaa
Good job Mh
Daaa huyu mushi ana nini lakin
Mushi ni jambazi sugu, hapo amepatikana 40 zake zimefika.
Huyu Mama miaka ya 1980's alikuwa akiishi oysterbay-mtwara cresent....miaka mingi yupo nje ya nchi.......watendaji wa ardhi wameanza upuuzi huu miaka mingi kuvizia viwanja vya wenyewe walio nje na kuviuza
yaani..kuna baba moja anitwa david mshiu alikuwa balozi na anashamba bagamoyo. alivorudi nchi shamaba lake lilivamiwa akazungushwa mwisho akafa na pressure juu ya hili swala..kazi kweli
Huyo alikuwa kiongoz mkubwa kazulumiwa jee sisi wanyonge wachaga wengi matapeli.
Stay blessed Mh. Jerry Slaa
Aminaaaa
Huyu Mushi ni nani mbona kila Kona anatuhumiwa kwa ardhi..,.. hmmm
Katika viongozi wachapa kazi serikali yetu hii hawa watu namba moja Waziri Slaa na mkuu wa mkoa Makonda mama naomba sana hii miamba uilinde ili kazi iendelee
Mama Samia hoyeee!! 👍👍💪
HAYA, MAMA TOKA ENZI YA BABA YETU KAMBARAGE ANZULUMIWA JE, SS RAIYA MASIKINI TUTAULIWA TU,
Shida si mzee Mushi,shida baadhi ya watendaji wa ardhi ni watu waovu mno!!
Sasa Mushi mbona umekuwa tapeli sana .itakuwa amewapiga wengi wengine wamekufa. Sukuma ndani uyu mushi
Mueshimiwa laisi Alha akujalie afya Njema na ma wazili wako
Wafanyekazi salama
Indio tanzania yenye upendo
Waziri Silaa ameamua leo Kero za Ardhi kwa Wananchi wanyonge na kupitia haki kama alivyotumwa na Rais Samia Suluhu Hassan asante Waziri na Rais
Mzee mushi kaisha Kila Kona Yuko hoi
ni kesi zaidi ya tano namsikia huyo mzee akitajwa
@@chefr3020duuuu ni hatari Ila pia hatali kwake zaidi
Huyo mush mi naona bora apotezwe na wasiojulikana maana kapitezea watu muda
Kongole Waziri Slaa
Mashallah Mama Zahra mwana Nuru Jumbe
Hv huyu ni Zara tours au
Wachaga matapeli sana
Mama ako
Acheni kujumlisha watu wote
Kila kabila lina wahuni na matapeli
Machozi yananidondoka siamini Kama haya yanatendeka kipindi hiki Cha mama daah inchi ilikua mbaya hii Allah awahifadhi viongozi waadilifu Hawa na rais wetu mwema amiin
Nakupongeza Waziri. Nimefurahi ulivyo li-handle hili na kusisitiza utawala wa sheria.
Kuna sehemu wananchi tunanyanyaswa na watendaji wetu wanaoziweka sheria pembeni na kutumia akili zao finyu.
Mushi bana daah
Uyu mushi mbona changamoto
Huyu ni waziri mchapakazi sana, swali la kujiuliza ni watumishi wa aridhi na matapeli mahali pengine wataendelea kushikilia madudu kusubiri mheshimiwa aje afumbue (jambo ambalo ni vigumu kutokea ) au wataanza kufanya kazi kwakufuata mfano.
Hawa watumishi Wana shingo ngumu Wala hawaogopi
Hakuna kitu kinachoitwa"aridhi" ndugu. Neno sahihi ni "ardhi". Acha kuharibu lugha. Tumia kamusi ujiridhishe kwanza kabla kukurupuka kuandika vitu usivyovijua. Muda si mrefu tutatunga sheria kuwashughulikia watu kama wewe. Sio utani mnakera sana.
Ina Mana na magufuli aliwashindwa
@@kainimlowe9646 TATIZO ILIKUWA KWA WAZIR I AMBAYE ALIKUWEPO WAKATI HUO
@@Brunn-mh2bqMwalimu wa kiswahili
Ndugu Viongozi wa Serikali, kama wananchi wenye uwezo wa kuwa na Wanasheria binafsi wanaweza kudhurumiwa, je, kwa wengine ambao hawana uwezo huo, hali ikoje? Ndugu Waziri, kwa kipindi hiki ulichopo madarakani, jitahidi sana utembelee na kwenye maeneo ya miji midogo na vijijini. Huko, watu wanalia na hawana pa kupeleka kilio chao, wala hawana uwezo wa kukufikia mahali ulipo. Anayeijua kesho yako ni mwenyezi Mungu, sisi tunaijua leo yako tu.
Kwani huyu mushi jamani mchaga wa aina gani? Anaharibu jina la wchaga jamani
Wachaga ndio zenu kupora ardhi na Mali za watu kesi nyingi mnazo nenda arusha na moshi mnavyouana kisa ardhi
Wachaga wezi hawo wamezoeha kwako kuzurumu Aridhi
Sema nawezaaa nisinunuee ardhi aseeh maaan sasa njia laic ni ipiii mbn sielewiii
Huyu waziri aongezewe ulinzi, Akina Mushi ni wengi nchi hii na wananguvu sanaaa
Ukiwa na hela huzeeki
Mushi kiboko hii arthi anafikiri akifa ataondoka nayo
Huyu mushi ni hatari sana
Huyo mushi basi tatizo
Mushi achomoki yani kila mahali kadhulumu kiwanja
Intro nyingi bwana
Kwahakika sisi watanzania tulio wengi tunaona ya kwamba ni watu wawili tu ndio wanawatetea watanzania,ni Makonda na Slaa tu.
Kabisa sioni wengine wanachofanya ila Hawa wawili Mungu awabariki sana
Muhemiwa Jerry sheliya iende bungeni ibadilishwe tunateswa na mahakama mama samiya afute mahakimu na majaji kesi miaka 30 hao wafutwe na wafungwe kesi myaka siwafutwe wasomi wa sheliya wapo au
Majaji wasomi wengi matapeli
NYUMA YA MUSHI KUNA LUKUVI achunguzwe huyo mtu n kiumbe hatari zaidi duniani
HII VITA NI NGUMU SANA UNAYOPIGANA JERRY HATA KAMA UNAMUAMINI MUNGU ULINZI KWAKO NI MUHIMU KWA MANUFAA YA TAIFA HAO WATU UNAODILI NAO NI MA GANGSTER BADO TUNAKUHITAJI