Jerry Silaa Kuhusu Wenyekiti Wa Mitaa Kuuza Ardhi | Aeleza Mwenye Haki ya Kurithi Ardhi | Clouds360

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwenye #Clouds360 kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu umiliki na migogo ya ardhi

ความคิดเห็น • 15

  • @joelyngomuo7441
    @joelyngomuo7441 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli kabisa Kesi za Ardhi zinatakiwa kuundiwa mahakama yake maalum tofauti kabisa na mahakama za kawaida na ziundwe kwa mfumo ambao hauwezi kutumika kwa hizo janja janja za kisheria. Mabaraza mengi ni chanzo cha migogoro yamejaa watu wasiojua sheria hongera sana kaka Jerry .Mungu akulinde daima

  • @johnluis35
    @johnluis35 11 วันที่ผ่านมา

    Mama akistaafu upewe Kijiti uendeleze kazi.. Uko vizuri jamaa Mh waziri chapa kazi 👍

  • @mohamedkitemwe3569
    @mohamedkitemwe3569 18 วันที่ผ่านมา

    Asante Sana Mh Jerry Silaa kwa kazi mzuri unayo fanya

  • @user-vt9pl1bz6x
    @user-vt9pl1bz6x 17 วันที่ผ่านมา +1

    Balua azijibiwi katika ofisi Yako waziri kwa wakati shugulikia ilotatizo watuwengi wanalalamika sana

  • @MisMona-oo6zk
    @MisMona-oo6zk 20 วันที่ผ่านมา

    Msg nzuri sana😊

  • @patricialiveti3520
    @patricialiveti3520 20 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa.

  • @user-qd1fc4mq6o
    @user-qd1fc4mq6o 16 วันที่ผ่านมา

    Mh waziri MUNGU hame kufunulia hili mawaziri wengi wa ardhi wali feli kujua hili sababu hawakuwa wafutiliaji migogoro ya ardhi kuhipeleka mahakamani sio kutatua tatizo Bali kuhongeza matatizo maana wao Wana hangalia vie lelezo bila hata ya kufika site vielelezo vinagushiwa mashahidi wa kununuliwa. Humeshindwa kujieleza hata kama haki ni Yako hunakosa. Mahakama zipe kipa humbele mashahidi wanao zunguka eneo la mgogoro Kwa kwenda. Kuliko hushahidi wa makaratasi watu wanagushi. Hayo mahoni yangu

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nikirudi bongo yule mzee wa kichaga lazima abomoe nyumba yake kwani amejenga kwe kiwanja chetu .

  • @msebishimwinyi4121
    @msebishimwinyi4121 20 วันที่ผ่านมา

    Mchapa kazi

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 17 วันที่ผ่านมา

    Nashauri utengezwe mfumo unaosimamiwa na wizara ya ardhi wa maauziano ya ardhi rasmi na isiyo rasmi ili kuondoa double sales. Nadhan itaondoa kabisa hili tatizo.

  • @romastasenterprises4447
    @romastasenterprises4447 17 วันที่ผ่านมา

    Ardhi Temeke ni wasumbufu haijawahi kutokea. Ukifuatilia hatipale utajua hujui. Kwa ujumla watendaji wa Ardhi hasa mkoa wa Dar es salaam ni Miungu watu.

  • @suhaadhamed7084
    @suhaadhamed7084 20 วันที่ผ่านมา

    Yote unayo ongea mbona hukutenda haki km ulivyo kula kiapo kwa mh Raic na Wana nchi kuwatendea haki
    Ila pale MTAA WA manyema no4 kariakoo kwenye nyumba ya wasia na waqfu kile ndio kiapo chako, watu kudhulumiwa naww hufanyi kitu, ss serikali na mwenye pesa nguvu anayo Nani, fanya kazi yko kwa uadilifu ili mama wa nchi ajivunie ww insh

    • @zainab8251
      @zainab8251 17 วันที่ผ่านมา

      Kwani wewe una mgogoro wa halisi jamani mbona mbona anafanya kazi nzuri

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 20 วันที่ผ่านมา

    Jerry nakuombea dua mama asikuondoe ardhi

  • @msebishimwinyi4121
    @msebishimwinyi4121 20 วันที่ผ่านมา

    Mchapa kazi