WAZIRI SILAA AMREJESHEA MAMA KIWANJA CHAKE ALICHOHANGAIKIA MIAKA 40 -''UMPE KODI YAKE ya KUPANGA''..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • WAZIRI SILAA AMREJESHEA MAMA KIWANJA CHAKE ALICHOHANGAIKIA MIAKA 40 -''UMPE KODI YAKE ya KUPANGA''..
    Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemrejeshea mama kiwanja chake maeneo ya Tegeta kilichovamiwa kwa miaka 40 sasa....
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 263

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน +13

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 3 หลายเดือนก่อน +22

    Mama samia km wasoma hiz comment plz muache jery hapohapo kwenye uwazir anatenda haki wallah mungu ampe maisha marefu inshallah 🤲🤲

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 3 หลายเดือนก่อน +17

    Daah.Slaa slaaaa umetishaaaa.Safi sana tungepata mawaziri kama 5 wa hivi Tanzania ingetisha ulimwenguni.

    • @ayshasaid1547
      @ayshasaid1547 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu amsimamie kwa kaxi ya mikono yake kwa kutetea wanyonge❤

  • @RestutaLeo-xq7rf
    @RestutaLeo-xq7rf 3 หลายเดือนก่อน +10

    Kwa hio miaka yote hio hawakuwepo viongoz wengine wa kumusaidia huyu mama mpk silaa jmn,,waziri wetu mungu akuweke miaka mingi jmn.

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 3 หลายเดือนก่อน

      Ye ndo ataje aliokuwa anahangaika nao kuwepo hapo na kwa nn hana hati ,alikuwa anadanganywa

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 3 หลายเดือนก่อน +51

    Mama muache huyu waziri kwenye hii wizara anaweza sana

    • @msafirimaulidi5054
      @msafirimaulidi5054 3 หลายเดือนก่อน +4

      Uyu ni mwana Sheria kwaiyo anajua vizuli Sheria inavyo wa favor matajili

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@msafirimaulidi5054SIYO TU SHERIA NI MZALENDO NA NIMPENDA HAKI.MAANA UNAWEZAJUA SHERIA NA BADO UKACHEZESHA HASIYE NA HAKI AKAPATA HAKI.LAKINI HUYU ANA HOFU YA MUNGU.

    • @ShortyShorty-mr3jb
      @ShortyShorty-mr3jb 3 หลายเดือนก่อน +3

      Ni kweli kabisa ndg yangu wallah

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 3 หลายเดือนก่อน +4

      Kabisaaaaa, yaani hadanganyiki na ni msikilizaji mzuri, ndio strength yake. Hapapariki, na kwa akili zake zilivyo nyingi, ndipo anapo wakamata. Kumbukeni kuwa Mheshimiwa Waziri ni mwanasheria pia. Yaani hilo pele la Ardhi, limepata mtusuaji 😅

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 3 หลายเดือนก่อน

      Kazi ngumunkaka tunakuombea waziri wetu mpedwa mnoo Mungu akutunze

  • @bigbossnkuba8632
    @bigbossnkuba8632 3 หลายเดือนก่อน +23

    Good job bro Jerry vijana tunapaswa kusimama hivyo💪🏿

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 3 หลายเดือนก่อน +12

    Sema mzee nimemuelewa sana anacheza na saikology hataki kuonesha kupanic kashaajua anamakosa na anajua hawez kubishana na mamlaka

    • @SwaleheSaad
      @SwaleheSaad 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo ni mstaafu wa serikali anajua vyema Sheria na taratibu

  • @SaidKarama-m1w
    @SaidKarama-m1w 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mama samia hapa umepata waziri uhakika

  • @taifaonlinetv.3670
    @taifaonlinetv.3670 3 หลายเดือนก่อน +13

    Aseee kumbe Ardhi yetu imekaliwa na watu wababe wenye nguvu za pesa zao. Waziri Slaa safi sana.

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisaaaaa, yaani hadanganyiki na ni msikilizaji mzuri, ndio strength yake. Hapapariki, na kwa akili zake zilivyo nyingi, ndipo anapo wakamata. Kumbukeni kuwa Mheshimiwa Waziri ni mwanasheria pia. Yaani hilo pele la Ardhi, limepata mtusuaji 😅

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 หลายเดือนก่อน

      Wakati mwingine sio ubabe bali maafisa wa Ardhi hufanya makosa eneo lako wanalichukua na kumpa mtu mwingine bila ya kukujulisha je hapo utaitwa mbabe na unakaa kwa mabavu.

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli wababe wapo ila kwa huyu mzee ukimsikiliza vizuri watu wa Ardhi wamemtenda

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 3 หลายเดือนก่อน +8

    Safi sana waziri wangu Jerry slaa hoyee

  • @kayombotv9758
    @kayombotv9758 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mh. Silaa sijui tukupe nini Mungu akutunze

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani huyu ni kiboko.
      Na hadanganyiki na pia ni msikilizaji mzuri, ndio strength yake. Hapapariki, na kwa akili zake zilivyo nyingi, ndipo anapo wakamata. Kumbukeni kuwa Mheshimiwa Waziri ni mwanasheria pia. Yaani hilo pele la Ardhi, limepata mtusuaji 😅

  • @kiberakishimba9691
    @kiberakishimba9691 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mheshimiwa Waziri mungu akuongoze.

  • @MdAr-q7i
    @MdAr-q7i 3 หลายเดือนก่อน +3

    fanyakazi baba mie nimeipenda watu wanazulumu wenzio sana sio haki mungu awabariki kwa mvavyo saidia watu

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 3 หลายเดือนก่อน +5

    Muheshimiwa ongera sana. Weka number zako wazi ili upigiwe wapo ambao Hawana uwezo wakukufikia.

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 3 หลายเดือนก่อน +20

    Wapige Za usoo Mweheshimuwa😂😂😂 Muache Adondoke tu😂😂😂😂

  • @KuyaNkalango
    @KuyaNkalango 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mh.wazili kazi nzuri mungu akutangulie ,imekuwa mfano wa kwanza katika wizara ya ardhi ,

  • @issashunda444
    @issashunda444 3 หลายเดือนก่อน

    This Guy is great. He has a diplomacy answers and street answers too. Hongera Mhe great job

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwigulu nenda upate semina kwa Jerry slaa jinsi ya kuwa kiongoz kuwatumikia WATANZANIA maama mwigulu unadharau sn watu wako waliokuweka madarakani slaa anahekima sn mwigulu badilika

  • @Kidotii
    @Kidotii 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mh.Silaa anatupa knowledge kubwa sana! Aisee

  • @ullymwaipopo398
    @ullymwaipopo398 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watching this Guy Jerry inasisimua. Mtu wa maana kabisa.

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani uteuzi wa waziri slaa nibora zaidi kama usajili wa chama kuja yanga mungu akupe afya njema wazie

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kula yangu haikuenda bure.Piga kazi Waziri

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 3 หลายเดือนก่อน +7

    Sijui ni lini utakuwa Raisi.Unafaa kuwa juu..Mungu atakuinua!!!!!!

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 3 หลายเดือนก่อน +1

    WAZIRI MSOMI MZEE LINACHEKACHEKA TU WAZULUMAJI MJINI

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu akusimamie waziri wetu Jerry.

  • @HassanMfaume-oh2zf
    @HassanMfaume-oh2zf 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtanisamehe ila Wachaga wanapend San Migogoro y Ardhi

  • @VikavuOG
    @VikavuOG 3 หลายเดือนก่อน

    Jerry silaaa ni nomaaaaa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @FestoKalenga
    @FestoKalenga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wazir Mimi nakuelewa

  • @MoshiOmary-p7x
    @MoshiOmary-p7x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mpishi huyo mama Wachaga wengi matapeli .naumlipe kodi yake

  • @HassanAbdallah-f6o
    @HassanAbdallah-f6o 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyo mzee sio mchaga kweli?

    • @SleepyBarn-le6qd
      @SleepyBarn-le6qd 3 หลายเดือนก่อน

      Mchaga si ushasikia jina mtui

    • @jamesjahasa3348
      @jamesjahasa3348 3 หลายเดือนก่อน

      Mchaga ndio wezi wa ardhi

  • @yusufyusuf-br5qk
    @yusufyusuf-br5qk 3 หลายเดือนก่อน

    Kwann viongozi wakenya hawaigi kama tanzania kusikiza vilio waninchi wachini door to door...big up xana kwakel mnafanyq kitu kikubwa mno

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ndio wanaotafutwa na samia watu kama hawa majambazi wa masikini wanyonge Ndio hawa😂😂😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 หลายเดือนก่อน

      Ushamba tu umeuziwa bandari husemi

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jerry,Jerry unapepo yako nakiti chako cha enz mdogo wangu

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 3 หลายเดือนก่อน

    VIVA MH. WAZIRI SILAA.

  • @Damian-tt8fv
    @Damian-tt8fv 3 หลายเดือนก่อน

    Hawapoi hawaboi huku Makonda anapiga spana kule Silaa ananyoosha rula mpaka waseme.
    Nchi bado ina vijana smart

  • @GodfreyMwaipasi
    @GodfreyMwaipasi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Slaa Unafaa kuwa raisi
    Wa tanzania

  • @michaeljpm5597
    @michaeljpm5597 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee haamini et

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 3 หลายเดือนก่อน

    Aweso,slaa,makonda, ali hapy, bashe, mama tunawaelewa sana sana wapokee maua yao umechagua great thinkers

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kote uko sawa ila kwa bashe ahaaaa hapana kabla hajawa wazir alikua sahihi saivi mpigaji hakuna wizara imeoza km waizara ya kilimo ndgu yang wea acha tu nenda kwenye vyama vya ushirika utaona

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jinga kbsa,nunua Kwa halali

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 หลายเดือนก่อน

    40 yrs🙌
    Hii ni dhulima kubwa sn

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 3 หลายเดือนก่อน +1

    Miongoni mwa mawaziri wenye upeo mkubwa sana ni huyu kwa mara ya kwanza hii wizara inaaminika

  • @GomwoMisago
    @GomwoMisago 3 หลายเดือนก่อน

    Waziri slaa na Makonda Mkuu wa Mkoa Arusha na Mkuu Mkuu wa Mkoa Dar -es-salaam mmetetea haki za wanyonge tunaomba wakuu wa mikoa mingine huo ni mfano kama hamuwezi acheeni ngazi hizo wenye uwezo wakutetea wanyonge chini ya mheshimiwa Rais wetu Samia Hassan Suruhu kwa Sababu wakuu wa mikoa wengine wana ndugu zao walio zurumu walala hoi ndo maana midomo yao ni kama imepigwa super gr😢😢

  • @luciamaduga4208
    @luciamaduga4208 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana wazili

  • @geetv3890
    @geetv3890 3 หลายเดือนก่อน

    Sometimes these mistakes are really made by gvt itself letting someone live on area illegally no follow up, nobody cares imagine more than 40 years and now you've been told to leave, so sad. minister jelly is so brave anyway you teach us a lot, congrats minister Jelly..!

  • @MariaGrass-k1k
    @MariaGrass-k1k 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mwaka 88 tegeta kulikuwa mapoli angepata viwanja vingi tuu vya barabarani na hata angenunua Kwa bei chee akaamua kushinda mahakani

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 3 หลายเดือนก่อน +1

      Aliye zoea kudhurumu kazoea tu wanapenda short kati Madhara yake ndo haya sasa

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 3 หลายเดือนก่อน

    Silaa nakupenda sana

  • @nakolyhatson8297
    @nakolyhatson8297 3 หลายเดือนก่อน

    Aache tamaa amuachie mama wawatu hakiyake

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ndio wale wazee wajanja wajanja, bila kukutana na mjanja mwenzao wangemzungusha sana. Miaka 40 dah!

  • @FaridaKaduguda
    @FaridaKaduguda 2 หลายเดือนก่อน

    Na sisi kaka yetu anatudhulumu .muheshimiwa nakupataje?

  • @PatrickPazza-kr3vm
    @PatrickPazza-kr3vm 3 หลายเดือนก่อน

    Wizara ya ardhi imepata msomi wa sheria mwenyewe sasa

  • @kizitokalumunacharles
    @kizitokalumunacharles 3 หลายเดือนก่อน

    Ohoooh ametetea bandari wamempa uwaziri kama zawadi, iyo zawadi sasa anashughulika na mapapa na vigogo wa ardhi anawanyosha adi burudani

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wachaga kwa arthi du tunatisha

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu atusamehe Kwa keeli

  • @drbalagomwatvonline4937
    @drbalagomwatvonline4937 3 หลายเดือนก่อน

    Yani Raisi Samia amteue Ally Happy ampe mkoa hapa tutakuwa na majembe 3, Jerr slaa, Poul makonda na Ally Happy maana Happy nae ni kiongozi mzuri yuko siriasi kusikiliza kero za wanachi

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 3 หลายเดือนก่อน

    Ila uyo mzee mnaenda kumuuwa akii tena dar

  • @fabianclato3101
    @fabianclato3101 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wachaga wengi wezi

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hasa kwenye swala zima la ardhi uwe makin nao ukipakana nao

  • @allymnyenye8109
    @allymnyenye8109 3 หลายเดือนก่อน

    Najiuliza hawa mawaziri na wakuu wa mikoa wenye mamlaka ya kutenda haki hawawaoni Mheshimiwa Slaa na Mkuu wa mkoa Arusha Makonda ?

  • @abubacarsobo8981
    @abubacarsobo8981 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo mchaga mwizi anataka kumzurumu mama huyo

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 3 หลายเดือนก่อน

    Halafu wadhulumaji wengi wa viwanja ni wachaga,kwa nini?😂😂😂

  • @lovegodmunisi1006
    @lovegodmunisi1006 3 หลายเดือนก่อน

    Hili eneo sio la huyo mama ni la mtui. Huyu mama alikua anafanya kaz manispaa, amefoj hat. Hao wazeee ndio wamiliki

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 3 หลายเดือนก่อน

    Tunataka silaa aendelee asihamishwe jaman tutalia sana

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna mawaziri wanakula mishahara kwahaki kabisa pongezi slaa MUNGU akulinde

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anacheka kama aamin vile ndio imetoka hivyo,

    • @TumainiAkyoo
      @TumainiAkyoo 3 หลายเดือนก่อน

      Hicho no kichelo Cha kuchanganyikiwa hivoo

  • @stevenemwakasimba-pt8er
    @stevenemwakasimba-pt8er 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo kubwa la Tanzania wanaomshauri rais ndio wapigaji sasa huyu dogo anafanya kazi Vizuri ila inawagusa hao wapambe wa rais ndio wanampelekea ujinga rais ni magufuri peke yake aliekua hataki kumwamini mpambe yeyote na mjinga yeyote lakini huyu mama yenu sina uhakika kama huyu kijana atachiwa hiyo wizara aendelee nayo!!😂😂😂😂

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 3 หลายเดือนก่อน

    Haki ya mtu ni mfano wa dhahabu hata ikicheleweshwa au kupita katika moto itazidi kung'aa tuu hata mbele ya Giza.

  • @magariabdallah8066
    @magariabdallah8066 3 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏 silaa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @saeedpazzi1767
    @saeedpazzi1767 3 หลายเดือนก่อน

    ATI Mzee Mtui anatoshia kudondoka 😅😅

  • @deograsiassteven9262
    @deograsiassteven9262 3 หลายเดือนก่อน

    Mkuu njoo na huku Lindi wilaya ya Nachingwea kuna uozo mkubwa tumetapeliwa ardhi yetu ekari 5 naomba uje kila kitu tuanacho mkononi..

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola 3 หลายเดือนก่อน

    Dah huyu mzee atapata pressure hapo napajua ni eneo moto kwa biashara .

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 3 หลายเดือนก่อน

    Pasua tumbo!!!!!!!

  • @amour8802
    @amour8802 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee wa mashati meupe

  • @RehemaMustafa-x6o
    @RehemaMustafa-x6o 3 หลายเดือนก่อน

    Mama msamehe huyo mzee

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi kina mabura hawakumujua p, moshi????

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo tapeli alijivunia pesa Sasa pesa mwisho na Bado haelewi

  • @SaidZavallah
    @SaidZavallah 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hahaha alipe kodi asilete wizi

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 3 หลายเดือนก่อน

    Namkubali huyu Jerry mana ankuoiga za uso Huku anacheka alafu anakupa na elimu hapohapo na jesh la police ingekuwa hivibkungekuwa hakuna wezi n matapel

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 3 หลายเดือนก่อน

    Ndo mumuoji kwenye mabango ya banki

  • @charlesigogojr5539
    @charlesigogojr5539 3 หลายเดือนก่อน

    Wachaga mtafute njia nyingine ya utapeli😂 Mtui,Mushi😂

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 3 หลายเดือนก่อน

    Atakae mtoa huyu waziri kwenye hiwizara amazake amazangu

  • @johnsonmtui8613
    @johnsonmtui8613 3 หลายเดือนก่อน

    Ingetumika busara mtuu kakaamiaka 40 Mnamuondoaje kwa nini Uyo Mama asilipwe pesa ya hicho kiwanja na kimilikishwe kiwe cha huyo alie kaa mda mrefu??

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 3 หลายเดือนก่อน

    Bila ya kuweka mfumo imara changamoto za ardhi haziwez kuisha

  • @maulidi8479
    @maulidi8479 3 หลายเดือนก่อน

    Waziri aliyepita alikua anafanya nini 😢😢😢

  • @sadikingonyani8124
    @sadikingonyani8124 3 หลายเดือนก่อน

    VIONGOZI wote wangekuwa kama huyu mh, NCHI yetu ingekuwa mbali sana kimaendeleo

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 3 หลายเดือนก่อน

    Wakati wa mungu ni sahihi na haki yako aitopotea miaka 46 aisee mama wawatu alikua na maumivu mzee kapata maumivu siku moja mwenzie kapona yeye anaanza upya Sasa kesho analazwa 😅😅😅

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 3 หลายเดือนก่อน

    Kwann wachaga tu ndio mnaonekana wazulumati

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 3 หลายเดือนก่อน

    Hizi ni kick za mitandao.nchi ingekuwa na utawala wa sheria kuanzia ngazi ya mtaa haya yasingekuwepo.
    Ccm ndiyo iliyotengeneza haya mambo ili iyatatue wapate sifa.
    Itoshe tu kusema tuwatoe madarakani

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa hati kuchelewa sio makosa ya mteja mimi binafsi nimeanza kufuatilia hati yangu toka 2015 mpaka leo sijapata nazungushwa tu!

    • @mteulemnyama7858
      @mteulemnyama7858 3 หลายเดือนก่อน

      Usije kuta hata hicho siyo kiwanja chako na ndio maana unazungushwa.... Ngoja maparajudi tupitie hapo tujuw ukweli wa mali hiyo

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 3 หลายเดือนก่อน

      @@mteulemnyama7858 mwenzangu labda wewe sasa ndo unataka kunitapeli mwenzako na offer ninayo wewe nenda kanijengee tu slaa atakutimua uniachie nyumba manake uwezo wa kujenga sina 🤣🤣🤣

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 3 หลายเดือนก่อน

      @@mteulemnyama7858 nenda kanijengee tu manake mimi sina uwezo wa kujenga akija Slaa akutimue uniwachie nyumba na kiwanja changu 😂😂😂

  • @KenMolloimet-fl6rd
    @KenMolloimet-fl6rd 3 หลายเดือนก่อน

    Wachaga hao

  • @Lidyakagondi-h9b
    @Lidyakagondi-h9b 3 หลายเดือนก่อน

    Hekima na busara zimemtawala jerry

  • @zaudolutambi9895
    @zaudolutambi9895 3 หลายเดือนก่อน

    Sa anajichekesha nn c alie tyu tujue analia

  • @BoniventureRiwa-fs2py
    @BoniventureRiwa-fs2py 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani miaka 40 wasimamizi wa ardhi hawakuwepo?

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 3 หลายเดือนก่อน

      waliokuwepo ni vilaza tu kukaa tu ofisini na kutunisha mitumbi yao

  • @josephnderu8033
    @josephnderu8033 3 หลายเดือนก่อน

    Hio ndio hasala ya selekari ya UJAMAA

  • @kevinmwapongo7529
    @kevinmwapongo7529 3 หลายเดือนก่อน

    Ila to be honest and fair, hawa jamaa wa kaskazini ni majambazi na zulmati sana when it comes to ardhi. Maana kila tapeli na mwonezi wa viwanja ni wao.

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 3 หลายเดือนก่อน

    Aisee hizj aridhi zitatuua

  • @HelmanKomba-k9o
    @HelmanKomba-k9o 3 หลายเดือนก่อน

    Talifa usajili simba

  • @AlmasiSebarua-ed9gi
    @AlmasiSebarua-ed9gi 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee kaliwa kichwa

  • @ahazinelson6351
    @ahazinelson6351 3 หลายเดือนก่อน

    Waowane.

  • @hamimumlindwa3244
    @hamimumlindwa3244 3 หลายเดือนก่อน

    ila wachaga kwa ardhi hatari

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 3 หลายเดือนก่อน

    Ilikuwa bora liende, mimi posho na mshahara uko. Palepale

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 หลายเดือนก่อน

    Ignorance of law has no excuse

  • @charlesmtesigwa2923
    @charlesmtesigwa2923 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ili suala ni controversial

    • @msowamhokole7714
      @msowamhokole7714 3 หลายเดือนก่อน

      Mdogo wake mushi

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 3 หลายเดือนก่อน

      Controversy iko wapi hapo?

    • @charlesmtesigwa2923
      @charlesmtesigwa2923 3 หลายเดือนก่อน

      Mi sijaona kama huyo mzee kamdhulumu huyo mama kiwanja hicho maana hata wazir kakili docs za mzee ni sahihi sasa hapo kinachotakiwa wakapitie uhalali wa hicho kiwanja kutoka kwa mzee kwenda serikalini

    • @PapaMobimba-xr4gs
      @PapaMobimba-xr4gs 3 หลายเดือนก่อน

      Kasikilize vizuri tena palipimwa 88 ye akaja kuchonga karatasi ya kuwepo hapo miaka mingi

    • @davidf.j.m6284
      @davidf.j.m6284 3 หลายเดือนก่อน

      acha kujizima data