Muhtasari: Ufunuo 12-22
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
- Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Ufunuo 12-22, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Ufunuo, maono ya Yohana yanafunua kuwa Yesu ameshinda uovu kwa kifo chake na kufufuka kwake, na siku moja atarudi kama mfalme wa kweli wa ulimwengu.
#BibleProject #Biblia #Ufunuo
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus na Eternal Entertainment
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA
Nimeelewa kwa kina, kumbe ni Rahisi Kuulewa ufunuo hasa kwa lugha ya picha