Siku ya Jumamosi wiki iliyopita; ktk mazungumzo niliyobahatisha kukakaa naye pale Rabinisia, alisema MUNGU ANGEMPA NEEMA YA KURUDIWA NA AFYA YAKE; ANGETEMBELEA KATIKA MAENEO 4 AMBAYO NI MLALO, LUSHOTO, KOROGWE NA TANGA. Japo amelala naamini watakao simama siku moja "MPE MNG'AZI" ATAWAPA KUSEMA ALICHOTOKA KUSEMA KWA MARA YA MWISHO.
Mwenyenzi Mungu ailaze Roho yako mahali pema peponi. Tunakukumbuka Baba yetu
Excellent
Pumzika kwa amani baba Askofu mzee wetu tutakukumbuka kwa upendo,ucheshi na ukarimu wako bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen
Mungu akutunze sana mtumishi wa mungu, ulipambana sana, kuinjilisha, hakika mwendo umeumaliza, RIP. Gona mpeho Tate,woshe tiwantambo
Wazee wetu waliuogopa wajibu na wajibu ukawafuata. Very inspiring!
Mungu akupumzishe kwa amani
Baba,mazungumzo yako yamesheheni hekima ya Mungu.Si wote wenye umri Huo kwa na mtiririko nzuri wa maneno mwanzo mwisho.R.I.P.
R.i.p Mzee wetu tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi
Watumishi wa Mungu kama hawa ni wachache Sanaa! Kaburi la huyu Baba linastahili kujengwa vizuri kwa mfano wa pekee! Iwe ushuhuda kwa wengine!