Polisi waliisha wahi kumkamata huyu yesu kesi imeunguruma mahakamani wumini wakashinda kwa kitu KIDOGO tu ,wakaambiwa Kama huyu sio Yesu mleteni yesu mnaye mjua ninyi kwamba ndo yesu wa kweli basi akaachiwa 😂😂😂😂
Huyu mungu WA Kenya ufie huko sababu SI mumbaji ni mungu WA watu Fulani! Ndanha he is a great teacher anafundisha ukweli WA bibilia, dacha uongo utatoweka na ukweli utabakia hiyo andiko uko nalo na unamushinda shetani kwa Hilo; uinuliwe zaidi.
Alhamdulillah kwa Uisilamu. Dini ya haki na ya ukweli. Uisilamu ndio dini ya manabii wote. Ibrahim, Nuhu, Musa, Yesu, Muhammad, Adam, na manabii wengine wote walikuwa waisilamu. Nawaombea nyote wasiokuwa waisilamu Allah awajalie kuwa waisilamu. Ameen yaa Raab 🙏
Dah..... Binadamu tulipofika sio poa natamani kucheka lakini ni habar za kusikitisha kwa kweli... Yaaaani huyu Yesu wa Kenya mkavu wala haogopi anayoongea 😂😂😂😂 Dunia imevamiwa
Yesu Bado hajaludi juu dalili za kunja kwake Bado zijatimia zote. Kwa hivyo mtu anaye dai kuwa ni yesu ni mwongo. Bali twajuwa wale walio amini yesu ni mungu ni Wana wa mungu halisi.
1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. 16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; '2 Timotheo 3:1-16'
Alaf wafuasi wa yesu wote ni wanawake kwan hawana mabwana hawa 😢 hao mabwana zao wana dini gan alaf hawa wanawake wana hasira kwel duuh mungu awaongoze
Ndacha in africa you are number one kujua bible nakuoba siku moja ukuje kabati kitui naututagazie ukikuja watu wakuje kwa wigi
Bangi ni kitu Moja mbaya
Hao ni waigizaji comedy 😊😊😊😊😊😊 wana chekesha ila nimefurah wanajua kuchekesh ayse😊😊😊😊😊
Yao ni matumizi mabaya ya mihadarati eti yeye ni yesu aki upuzi wenye uko hii Kenya.😂😂😂
Polisi waliisha wahi kumkamata huyu yesu kesi imeunguruma mahakamani wumini wakashinda kwa kitu KIDOGO tu ,wakaambiwa Kama huyu sio Yesu mleteni yesu mnaye mjua ninyi kwamba ndo yesu wa kweli basi akaachiwa 😂😂😂😂
lakin Si Ndacha aise
Takbir🕌PROUD TO BE A MUSLIM
Get lost
@@Husseinmohammad446 ALLAHU AKBAR
ALLAHU AKBAR
Allahu akbar❤❤
Allah akbar
Tutamjua Yesu kwa alama za misumari, awaonyeshe alama za misumari mikononi, simple kabisa.
Huyu wakimuweka chini tu vizuri na wamuweke viboko atasema kweli😂😂😂 tena hizo bangi zitamuondokea
P❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤@@sadickmirimo1645
Pole sana,Bora ungekuwa mwizi tu,kuliko kujipa jambo kubwa
😅😅😅😅 kabisa
😂😂😂
Amechagua hukumu kubwa
😂😂😂😂😂
Subhana allah nishida kweli mwenyezi mungu atusamehe kweli, izi njaaa izi!!
💔🤣🤣
Kwer ukristo umevamiwa ee Mungu wangu tusaidid😢😢
Hawa watu ni comedian, wanashinda kina Dj Shit mbali sana, watu wangu nimecheka mpaka naumia mbavu, Nimeachia hapo kuwatch.
😂😂😂😂😂Daaah khatari sana
Hana Tress yeye ameridhika yuko na yesu....😂😂😂 Ndacha anadhani mama yesu ako Namimba
😅😅😅😅😅😅😅yesuu wa tongoreni anaongea na wanafunzi wk mmmh congratulations yesuu😅😅😅
Mungu atunusuru wallah
Uyo yesu anakazana kbs hajui adhabu ya mwenyezi mungu
Eti nabii nuuhu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Alafu ni mwanamke 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hawa wamechanganyikiwa kiakili
Kama ilivyo😊😊😊
😂😂😂
😂😂😂😂
Aisee na nuhu yupo hapo kumbe 😂😂😂😂😂
Njaaa Mbaya
😂😂😂eti njaa mbaya
Sheikh Ramadhan mungu akuzidishie umri
Bibi ya yesu Ako na hasira😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
💔🤣🤣🤣🤣
Amesema anakuzwaguzwa😂😂
🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 ajabu
Thank you sana Ndacha nimegoja hii sana😂😂😂😂
Uyo yesu siye yesu ame shindwa majibu niwale yesu alisema kwamba wengi watakuja kwajina langue na wata wadanganya wengi
Huyu mungu WA Kenya ufie huko sababu SI mumbaji ni mungu WA watu Fulani! Ndanha he is a great teacher anafundisha ukweli WA bibilia, dacha uongo utatoweka na ukweli utabakia hiyo andiko uko nalo na unamushinda shetani kwa Hilo; uinuliwe zaidi.
Wacha upuzi, amesema yeye ni mungu wa kenya?
Shetani si rika letu ako na mbinu za kila namna za kumpoteza mwanada. Mungu atusaidie.
Aliongeya ki congo😂😂😂😂😂😂😂
Huyu ni Yesu wa tongareni sijui kwanini watu wanamusumbua na kila mtu anamjua vizuri tu kwamba ndiye Yesu wa tongaren
Mwal.Ndaca Yesu Kristo azidi kukubriki na kukurinda na ninafuata hiki kipindi kwa kweli duniya kwisha
Amen 🙏 groly to God
🤣🤣🤣🤣🤣Ee Mungu anasoma Bibilia ,
Yesubangi kwani hamuelewi 😂😂
Alhamdhullilah..Kwa Uwislamu ☝️ Mungu mmoja tu (Allah) hana mtoto wala Mshirika 🤲
AllahuAkbaruSahihi
😂😂😂😂😂😂😂😢😅😅Mungu wangu,mnastahili kujua matengenezo halisi.
Daaah uyu yesu mwenye mke n yesu gan tena khaaa!
Mimi ni mkenya na huyu sio Yesu wangu 😂😂😂
Umeshakuwa Petro Umemkana Yesu wako😂😂😂😂
@Maymuna-wc8lz can you imagine 😅😕
Matayo 24:1-----------, katika nyakati za mwisho kutatokeya manabii wa uongo.
😂😂😂😂😂Wakenya mmevurugwa mna Yesu wenu
Alhamdulillah kwa Uisilamu. Dini ya haki na ya ukweli. Uisilamu ndio dini ya manabii wote.
Ibrahim, Nuhu, Musa, Yesu, Muhammad, Adam, na manabii wengine wote walikuwa waisilamu.
Nawaombea nyote wasiokuwa waisilamu Allah awajalie kuwa waisilamu. Ameen yaa Raab 🙏
Unachekesha kweli..kati ya hao hakuna hata mmoja alikua muislam
@@PascalMabeyo Walikuwa dini gani basi kama sio waisilamu? Toa andiko kudhibitisha dini yao. Hapa ni maandiko sio story za jaba.
Qur'an 42:13 wote walikuwa waisilamu.
@@ibruzah001yesu alikua muislamu kweli?
Uislamu ulianzishwa na Muhammad, Islam ni dini ya Muhammad.
😂😂😂😂😂😂hii info nzuri
Nimefulaiswal na uyo mzee jirani ameshema yesu wa ntongeleni ni maoni yake kujita yesu😂😂😂
Anakwambia usifiwe yesu ...... nayeye anaitikia Aminaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
Dah..... Binadamu tulipofika sio poa natamani kucheka lakini ni habar za kusikitisha kwa kweli... Yaaaani huyu Yesu wa Kenya mkavu wala haogopi anayoongea 😂😂😂😂 Dunia imevamiwa
Kkkkkkk😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂komedi hiiii kweli
Pole sana mwalimu ndacha
Nimejifunza mungu in mwema bado anvumilia hao I'll hao waokolewe
Thanks Allah for being a Muslim
Utajua hujuwi
@@miltonjohn9779
Nishajua kupitia 1:1-7 QURAN.
Alhamdulillah 🙏
@miltonjohn9779 Na Yesu pia ni Muisilamu. Alhamdulillah.
@@ibruzah001which sura is that please ,saying jesus was a muslim?
Kwanza alikua Jehovah wanyonyi Sasa ni Yesu wa tongaren😂😂😂
Yani naona mungu anajuta kumuumba mwanadamu kwaku kufulu huku
MUNGU hawezijuta ndugu
Yesu Bado hajaludi juu dalili za kunja kwake Bado zijatimia zote. Kwa hivyo mtu anaye dai kuwa ni yesu ni mwongo. Bali twajuwa wale walio amini yesu ni mungu ni Wana wa mungu halisi.
Waache kutuchezea wakristo
😅😅😅😅
Izo ni njaaaa
Watakufa vibaya hao.
Ndacha mnyenyekevu
Ndacha amemuona yesu ndio mna nimpole hpa
Namshukuru mungu kuumbwa mwislaam anijaalie nife nikiwa mwislaam
Dini haitakupeleka kwa Mungu Yesu ndiye njia . Yohana 3:36
Asifiwe Yesu Aminaah😊
Nawapenda sana walimu wote kwa mashwali
Jamani Wkristo wa Kenya mnazinguaaaa😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂mmhhh dunia simama nishuke yesu huyu Mimi simwamini hata sikumoja
😂😂😂 waah hapa kazi ipo
Nawahurumia sana waisilamu Kwa sababu pia mtume wao sio mtume wa Mungu,
toa andiko
Ww huna akili Mungu akusaidie...kama ungekuwa unaakili ungesoma vizuri vitabu then ungetoa andiko ..
th-cam.com/video/X83K3nWdbZ8/w-d-xo.htmlsi=NcgncX5kMID9_vhy
Kanisa limewaka moto
Mpendwa fuatilia kisa hiki
Sasa wewe na yesu watongaleni mnatafauti Gani ?
Bila shaka ww ni mfuas wa huyo yesu wa tongaren
Bangi haziwezi kukuacha salama,,,yesu mwenyew alijitabiria mwisho wake mwambie yeye aseme kesho kitamkuta nn laana sumaka.
😂😂😂😂😂😂😂 krsto amenza kufundishwa na wa krsto mpeni majiiii
Yesu anakaa kati mkono wa kuume wa Mungu
Yesu na wanafunzi wake wachinjwe😂😂😂😂😂😂
Wait mungu samea.
Naipenda sana dini yangu ya kiislamu
Umepotea
Hawa watu ubongo mbovu
😂😂😂 yesu wa mchongo
😂😂😂😂😂Acha bangi mzee kachukue jembe ukalime wew yesu wa wapi
Anapoteza watu huyu anafaa achomwee😁😂😂
Mbna mwasahau kumuuliza kama ana kitambulisho😂😂😂
Hakì kweli poo😊😊😅😅
Hv Yesu ,dunia smama nshukee
😂😂😂natamani nicheke kidogo mimi
😂😂😂 shida sana
1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.
16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
'2 Timotheo 3:1-16'
Waaah !!!!! Sisemi kitu.
Mungu alisema au wewe Mungu unasema😂
😂😂😂😂
Asanteni. Kwa wote tafuteni. USO. Wa mungu wenu. Hata. Kwa. Kupapasa
humzeee nimatako😂😂sana
Mungu tuhurumie😭😭
Amina
Huyu achinjwe December... Anyway n siku za mwisho mjipange watu wangu
Yesu wa tongaren mjanja mjanja
Msimjaribu Yesu wa Tongareni
Mungu okoa kenya kwa wakora wenye wanajita mungu 😢😢😢😢
😂😂😂 dah aya bhana
Mumepotesa wakati mwingi sana heri mungeungana muede injili ya toba
Mungu afananiswi na kitu chochote acha kupoteza watu
Mmmhhh jamani acheni kutuda ganganya 😢😢😢😢😢😢
Pasta ndacha usimuache uyu yesu ya Kenya mwondoke nae uende ukafundicha nyumbani shiekh😊
Ndacha mwalimu wangu
Nugu mjenga safina ni advocate wa yesu😂😂😂😂😂
Napenda yesu vile anajibu... umenena 😅😅
Malaika mgonjwa 😢😢
Huyo nabii ISSA amerudi, na Si Yesu
Wee omba magh'ufira haraka sana😂
Mbona ndacha Leo kawa mpole sana au anamuogopa yes wa kenya
Baba ni mkuu kuliko mwana,sasa wacha kulasimisha yesu aseme yeye ni Mungu,jua yeye ni mwana.
Nacheka kam mazur Mungu tusaidie kwenye nyakati hizi za mwisho
Huyu sio yesu na hawezi kuwa yesu milele na milele Amina .
Mpokonyeni mmea huyo 😂😂😂😂
Mungu atuhuurumie wakristo
Iyi comedy kabisa , munapoteza muda
Moto unakuhusu yesu,
Alaf wafuasi wa yesu wote ni wanawake kwan hawana mabwana hawa 😢 hao mabwana zao wana dini gan alaf hawa wanawake wana hasira kwel duuh mungu awaongoze
😂😂.. Jaman Yesu na yeye anapata shind kila mtu anamzingishia
Huyu mzee ana bangi tu.
Hamna Yesu hapo.
Topeli toka paleeee,mbuzi!
Yesu Gani wkt alisema akirudi watu wote watamuona kwaiyo amekuja Kenya tu
Alikucha akapata wake
Uyu Jesu wa msongo Ana la kusema Ana danganya waluya wa kijiji maana awajui sosote ni wasamba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂....ukweli hasemie.. kabisa..
😢😢😢😢😅😅😅..ni moto sana