Hausemwi ila huu ndio Ukweli mchungu nyuma ya Mapinduzi ya Zanzibar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 519

  • @ibrahimnoordin3420
    @ibrahimnoordin3420 4 หลายเดือนก่อน +13

    Shukran sana Bw. Mohamed Said. haya mambo watu wanayo vifuani. but now you're put it out black and white.. calling a spade, a spade, not a big fork. Kudos

  • @stonetown578
    @stonetown578 4 หลายเดือนก่อน +19

    Ahsante Bw. Mohammed Said

  • @hassanshame5385
    @hassanshame5385 4 หลายเดือนก่อน +22

    Hapo kwenye suala la UDINI ni ukweli mtupu ameongea mzee wangu..
    Hasbiya allah waniimal wakiil..

  • @FakiFaki-w3e
    @FakiFaki-w3e 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ahsante sana Bw.Mohammed Said

  • @feisalally8912
    @feisalally8912 4 หลายเดือนก่อน +29

    Muendelezo tafadhali. Mzee hachoshi kumsikiliza ana kila kitu. Lafudhi nzuri, sauti maridhawa, lugha nyororo, maneno ya ukweli, ushahidi lukuki.

  • @a.856
    @a.856 4 หลายเดือนก่อน +12

    Jazakallah khayran

  • @ManusuraWalumona
    @ManusuraWalumona 4 หลายเดือนก่อน +15

    Ahsante kwa ukweli ulofichwa mzee wetu tuletee muendelezo zaidi

  • @alisharia6831
    @alisharia6831 17 วันที่ผ่านมา +1

    ShenI lile laanana za mwenyezi mungu zimshukie huko aliko na adhabu Kali juuu yake

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 4 หลายเดือนก่อน +2

    Inaumiza sana kusikia habari hii na hatuna uwezo wa kuchukua hatua. Inaumiza sana. Tumedhurumiwa haki yetu

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hii ni Swadakatul jaariya❤❤❤

  • @mwinyihamisi3369
    @mwinyihamisi3369 4 หลายเดือนก่อน +9

    Mbinu HIYO ya kuwapeleka mamluki kupiga kura Zanzibar halikuishia halo hats miaka ya Leo wanawapeleka ili CCM ishinde

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 4 หลายเดือนก่อน +18

    Ukweli haufichiki ata waufiche vip

  • @salyali7807
    @salyali7807 4 หลายเดือนก่อน +23

    Hasbiyallah waneemal wakeel

  • @TheAlman
    @TheAlman 4 หลายเดือนก่อน +15

    Naomba sana Muungano wa Tanzania tuuvunje mm Mtanganyika ila siutaki muungano na hicho kisiwa

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 4 หลายเดือนก่อน +10

      Wazanzibar hawautaki %💯

    • @maisarirajab4846
      @maisarirajab4846 4 หลายเดือนก่อน +9

      Hakuna mzanzibar anaetaka muungano

    • @TheAlman
      @TheAlman 4 หลายเดือนก่อน

      @@maisarirajab4846 sahihi pia ndio maana nimesema uvunjwe tu

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@maisarirajab4846kila mtu aludi kwake

    • @TwalibKwelii
      @TwalibKwelii 4 หลายเดือนก่อน +3

      Umefahamu wewe mtanfanyika auu

  • @nassorally8139
    @nassorally8139 4 หลายเดือนก่อน +10

    Naomba link ya muendelezo wa interview

  • @fallykhan2383
    @fallykhan2383 4 หลายเดือนก่อน +9

    Naomba na historia ya kukua kwa uislam kwenye dola ya kilwa. Hii nayo imefichwa sana ❤❤

    • @wamburasungura6812
      @wamburasungura6812 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani uislam ulikuwa ukombozi ama ni dini? Badirikeni basi

    • @fallykhan2383
      @fallykhan2383 3 หลายเดือนก่อน

      @@wamburasungura6812 kasome historia ya ukombozi wa Tanganyika na chama cha tanu alafu utaelew
      Kisha wewe ndo ubadilike.

  • @rashidkapile
    @rashidkapile 4 หลายเดือนก่อน +1

    Story mzuli Sana shekhe umenizinduwa ubongo wangu

  • @swagger_donofficial1613
    @swagger_donofficial1613 7 วันที่ผ่านมา

    اللهم انصر المسلمين في كل مكان 🙏🏼

  • @salimnassir8367
    @salimnassir8367 2 หลายเดือนก่อน

    Unafiki malipo yake ni hapa duniani na kesho kwake unasubiriwa pia. Mwenyezi Mungu hana sifa ya kusema uongo!

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 หลายเดือนก่อน +1

    Naam uko sahih nyererre hakuupenda uislam ila meenyezi mungu azidi kumnyosha kwa marungu ya moto

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 4 หลายเดือนก่อน +6

    Na hata Leo kisonge wana mabango yao ya kuukana uislam, mnalikumbuka bango lililoandikwa "hatuna uchungu na uislam tunauchungu na ccm hatumpi maalim serikali tukimpa ccm itakufa"

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 4 หลายเดือนก่อน

    Ukweli umenifanya nijue kuwa
    Uhuru wa tanganyika umeletwa na uislamu ahsante maalim Said kwa history

  • @mohamedmohamud9691
    @mohamedmohamud9691 4 หลายเดือนก่อน +4

    Munaafiq Nyerere na wanafiq wa kristo ndo walipanga uvamizi wa Zanzibar na kutawanya au kukomesha uislamu katika kisiwa hicho. Lakini hebu tafakari vile alivyoishia na mauti yenye uchungu Sana.

    • @ernestsinje9700
      @ernestsinje9700 4 หลายเดือนก่อน

      Mwafrika kufikiri ukristooo uislamuuu ni Utumwa wewe ni mweusi huna asilibya ukristo wala uislamu isipokuwa ni tamaduni za watu mmetohowa isiwabague

    • @ShadowScreamStudio
      @ShadowScreamStudio 4 หลายเดือนก่อน +2

      We msenge sana
      We utakufa unachekaa
      Mungu ndiye anayehukumu
      Wa-Afrika mmegawanywa na udini ndio maana maendeleo mnayaona ulaya tu

    • @HusseinMustafaParmar
      @HusseinMustafaParmar 8 วันที่ผ่านมา

      Mbakaji muuaji Kafiri Julius Nyerere mlezi na Baba wa Taifa wa Serikali ya Tanzania ya kishenzi mkatoliki mkristo mchamungu Mtakatifu na Baba wa Taifa wa Serikali ya Tanzania na mlezi wa kiroho wa intelijensia na Serikali ya Tanzania na majasusi wake kama yule Mzee akinifuatilia mpelelezi na wale vijana katika chipsi walitaka wanitegee kunikamata kuna walokole wakristo hatari katika wao pale mskiti wa makonde mbele karibu na zita na hapo akaongea na mtu kuwa mimi Shoga wakristo wakatoliki na walokole na humo wenye siasa kali hatari wakichukia mashoga na kuwakamata wakiona wawatie adabu kama uhalifu mkubwa ndio wanajaribu kuficha hilo ili kuendelee kutapeli na kuchukua hela za wazungu na mataifa ya ulaya na benki ya dunia waendelee kuajiri wapelelezi kama hao kukamata mashoga kama mimi ambao wana hulka za kike na ulemavu na wengine tumebakwa tukiwa mayatima na kunyanyaswa majumbani mwetu na tumezaliwa tuna ulemavu tukadhalilishwa na kunyanyaswa

    • @HusseinMustafaParmar
      @HusseinMustafaParmar 8 วันที่ผ่านมา

      Dhulma ina mwisho

    • @ericmutale178
      @ericmutale178 7 วันที่ผ่านมา

      Bla bla bla....UONGO mtupu,WOTE nyie mmetoka BARA

  • @workmantiktok
    @workmantiktok 4 หลายเดือนก่อน +10

    ukweli ni kwamba tanganyika inainyonya zanzibar na tanzania inangamizwa na catholic

    • @bwiremgonya07
      @bwiremgonya07 4 หลายเดือนก่อน

      😭😭😭😭

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nyerere atahisabiwa na historia

    • @DonTwaha
      @DonTwaha 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu ata mlipa la kumlipa maana kachukua masheikh na kuwa ua

  • @IssaRwechungura
    @IssaRwechungura 4 หลายเดือนก่อน +3

    Njama dhidi ya Uislamu ni ya kimataifa kuanzia Vita vya Msalaba huko Ulaya kuanzia Karne ya 10 kwa miaka 175 ambapo takriban Waislamu million 50 walichinjwa. Aidha hapa kwetu kuwadhulumu waislamu itabakia laana ya mile, inauma sana kuwatendea maovu waliojitoa mhanga kuleta UHURU. Maelezo yako juu ya East African Muslim Welfare Society ni ukweli mtupu na msiba wa milele kwa Waislamu. SHUKRAN.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 4 หลายเดือนก่อน

      Dini nyingine wanachinjwa na waislamu hadi leo. Lebanon,Syria,Iraq,Armenia,Nigeria,DRC. Uislamu hadi vitabu vyenu vinaeleza muwachinje watu wengine wanaokataa kufuata ubatili wenu,shenzi kabisa.

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 4 หลายเดือนก่อน

      Utajijua . Ukweli mchungu eee!. Hapa inazungumziwa Zanzibar sio huko kwengine​.@@Joe-tr2vk

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Joe-tr2vk😂😂😂ume panic sana iyo dini yetu ulisoma au ulikaririshwa

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 4 หลายเดือนก่อน

      @@MohamedAhmada-ie7ke Taarifa siku hizi ni bure kabisa,kasome historia za nchi za kiarabu uone jinsi wanavyowatesa watu wa dini nyingine. ISIS walichinja watu wengi wakiwemo WaYazidi na Wakristo walipoteka na kuanzisha caliphate eneo la Iraq na Syria kabla hawajafurushwa,Boko haram wanachinja watu wasiokubali uongo wa mtume wao hadi leo ninapoandika. DRC kuna kundi linajiita ADF ni waislam hao wanachinja watu kwa jina la mtume wao kila uchao kule mashariki. Hauhitaji nguvu yoyote kwa sasa kupata taarifa labda uamue mwenyewe kuwa gizani.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mauaji ya Zanzibar kumbe ilikuwa hatari😢😢

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hayo mambo ilitakiwa uyaongelee hadharani ili wale waliolishwa rangi ya kijani waelewe

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe unaijua hii nchi?

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee Wangu nakuonea huruma Sana Ukwli umeusema lkn hawa watu hawataki ukwli ,tunahofia usalam wako baada ya Ukwli huo kuutoa hadharani

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 4 หลายเดือนก่อน

      Hawawezi huyo ni muislamu ingekuwa kipindi cha Magu....

  • @mohamedfarah9184
    @mohamedfarah9184 3 หลายเดือนก่อน

    Until the lion learns to write, every story will glorify the hunter.” Asante Faza kwa historia🫡

  • @IddrisIsco
    @IddrisIsco 4 หลายเดือนก่อน +7

    Allah atakulipa kwa ufumbuz inshaa Allah...

  • @HammyBrown
    @HammyBrown 27 วันที่ผ่านมา

    Nampenda

  • @hafihajumoneworld7884
    @hafihajumoneworld7884 4 หลายเดือนก่อน +2

    Zanzibar 😢

  • @songombingo108
    @songombingo108 4 หลายเดือนก่อน +16

    Zanzibar ilikufa rasmi baada ya Mapinduzi na ikazikwa rasmi kwenye Muungano.

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 2 หลายเดือนก่อน

      Na blanda ya mwisho ya zanzibar ni kuunganisha vyama hapo ulw uhuru wa kuchagua kiongozi wao zanzibar ukafia Dodoma kwisha habari sasa hivi wanajipapatua wakati walishatekwa 1977 Afroshirazi ilipokufa.

  • @yustusmalende9263
    @yustusmalende9263 4 หลายเดือนก่อน +1

    Najaribu kuelewa lakini bado..So maisha kabla ya mapinduzi yalikuwa mazuri sana.daaah na wakti kulikuwa na ubaguzi mkubwa wa rangi huyu Mzee embu watafute wazee walioishi maisha ya kubaguliwa alafu ndo uje hapa kaaah..

    • @AhmedCalling
      @AhmedCalling 4 หลายเดือนก่อน

      unabishana na wazee waliokuwepo

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 4 หลายเดือนก่อน +5

    Nimeisikiliza sana historia hii shukrani. Matatizo ya Tanganyika na Zanzibar yalianza muda huo. Kuna udini na utanganyika na uzanzibari toka mwanzo. Nimeyaelewa masikitiko ya Zanzibar kwani wanavyojielezea ni kama Tanganyika ililazimisha mapinduzi Zanzibar. Na ınsine kana Wazi Zanzibar ilipenda bado iwe himaye ya waarabu.Na huu mkanganyiko ndio unaotugawa mpaka sasa.
    Kwa watanganyika kurudi kwa waarabu kiuchumi hawapendezewi. Wazanzibari bado wanapenda uhusiano mkubwa wa kibiashara na Waarabu. Kwani kuna waarabu waliokimbia ambao wana mahusiano ya kindugu na waarabu. Kwa hiyo malalamiko yote ya bandari, Serengeti na ngorongoro na madini, kwa wazanzibari wengi wao wanao a ni poa tu. Ni ndugu. Kwa watanganyika, wana wains waarabu utumwa, mauaji na sasa wamerudi. Huu ndio mgongano mkuu wa kısımda tulionao.
    Je utaishaje.

    • @CarlMagi
      @CarlMagi 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa sasa Tanganyika imekosa mtetesi. Imegeuzwa shamba la bibi na Wazanzibar, wanavuna watakavyo. Halafu sasa wameleta Waarabu..

    • @kassimmohd
      @kassimmohd 24 วันที่ผ่านมา

      Untaka kupelekwa tu! ila jiulize Nani kakabidhiwa uhuru Wa Zanzibar , wapi je ni Muarabu, Hapna Bali ni Mpemba baba na Mama Muhammad shamte ambae alikua ni Waziri mkuu wa Kwnza wa Zanzibar . Wtangnyk kuongelea Waarabu ni Propaganda ambazo wmeptiwa na mkoloni Alaziendeleza mkatoliki NYERERE.

  • @ericmutale178
    @ericmutale178 7 วันที่ผ่านมา

    Waafrika kwao SIO Oman,waarabu kwao sio Afrika
    UONGO UONGO MTUPU...

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli kabisa mwl nyerere ndiye aliyeipindua Zanzíbar 👍

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ukweli utabakia kua ukweli tu,sisi tunaelewa nyerere alitumwa kupindua uislam ili kueneza ukristo Zanzibar,

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 หลายเดือนก่อน

      Uislam na ukristo izi dini zililetwa kwetu,,,ukiangalia historia uislam umekuja MWAKA Gani na kwanini bara ni wakristo na Zanzibar ni waislam NDIO utajua,,,,Mimi na wewe tuamini tuu

    • @dakxirdakxir5897
      @dakxirdakxir5897 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephwilliam5813 bala waislam ni wengi kuliko wakristo...wakristo wengi mbeya. arusha .moshi

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephwilliam5813Kama kubeba imani ya Ukristo basi Zanzibar wangekua ndio wa kwanza kua na imani hiyo, ila hawakuona ni imani ya maana, ukristo ulianzia Zanzibar, wazee waliukataa, ulipofika Tanganyika ndio wakaona wamepata tena.

    • @saadmuhandosaad6231
      @saadmuhandosaad6231 4 หลายเดือนก่อน

      Acah uongo hata bara ni waislam wakiristo mmetokea vijiini ​@@josephwilliam5813

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 หลายเดือนก่อน +1

    MOHAMED saidi endelea kuwafunguwa watanganyika na wazanzibar historia ya ukweli na madhali yaliyowapata watu wengi ktk historia hiyo!!

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ukweli utakuacha HURU❤
    Zanzibar ilikuwa Nchi HURU tangu Desemba 1963

  • @SaidZavallah
    @SaidZavallah 4 หลายเดือนก่อน +3

    Lala salama magufuli hahahaha daaaah huyu mzee ni hatar kwa muungano katumwa huyu mungu shaidi daaaaah

    • @khamishaji5265
      @khamishaji5265 4 หลายเดือนก่อน +1

      Akili zako finyu. Na uvivu wa kufikiri, jitoe kwenye utumwa wa kiakili. Hujitambui, ila nadhani wewe asili yako ni Tanganyika halafu wewe ni mkiristo, sikulaumu.

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 4 หลายเดือนก่อน

      Yatima wa kambare iloo

    • @abdulazizitwalib5859
      @abdulazizitwalib5859 4 หลายเดือนก่อน

      Laaana iwe juu yao wote walihusika na hujuma dhidi ya Zanzibar na Uislamu InshaAllah

  • @abdullkilawi5504
    @abdullkilawi5504 4 หลายเดือนก่อน +2

    Moja kati ya maelezo adhimu kabisa katika historia ya visiwani na Tanganyika

  • @Num3er38
    @Num3er38 3 หลายเดือนก่อน

    Wa"zanzibar ubinafsi utawatafuna mpaka mkute sehemu wameandika 'The End' Poleni sana, na hulka iyo ni urithi toka kwa waarabu.

  • @DumishaTanzania
    @DumishaTanzania 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekusikiliza uzuri, sioni shida na hayo yaliyofanyika. Nafikiri yalikuwa bora zaidi kuliko yale ungetamani. Ni masuala ya kimtazamo zaidi ya uhalisia.

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 4 หลายเดือนก่อน

      Inshaalla kama mazuri yalotokea unayaona siku moja wende kwako uwakute wazee wako watoto wako mkeo wote weshauliwa halafu uone si tatizo ni mtizamo tu

    • @DumishaTanzania
      @DumishaTanzania 4 หลายเดือนก่อน

      @@AhmedZahor Kuuwa watu ni tatizo tena kubwa. Haiwezi kuwa sawa.

    • @FarhanahannanaHassanah
      @FarhanahannanaHassanah 4 หลายเดือนก่อน

      Alouwa mleteni nimuuwe
      Ili amani iendelee

  • @Znz-news
    @Znz-news 4 หลายเดือนก่อน +24

    Huu ndio ukweli wa hayo mavamizi sio mapinduzi ila kwa wale wenye chuki na nchi yetu Zanzibar wataona ni uongo tu

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 4 หลายเดือนก่อน +4

      😂😂nani mwenye chuki kama sio nyinyi wenyewe

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 4 หลายเดือนก่อน

      Machogo nyiyee washenzi mtakufa na chuki zenu kama nyerere na mkapa​@@ProsperUlungi

    • @kizomontana5918
      @kizomontana5918 4 หลายเดือนก่อน +1

      Em nisaidie KUELEWA...Kwahyo hizo Neema zilizokuwa Zanzibar ZIMEONDOLEWA NA MAPINDUZI?....Kwahyo KARUME NI MBAYA?...na Mwarabu ndo Aliineemesha Zanzibar?

    • @zaeexplore
      @zaeexplore 4 หลายเดือนก่อน

      @@kizomontana5918 ndio au ulisikia zanzibar kama vile stone stone beit al ajab umeme hebu nenda google andika when zanzibar got electricity ndio utajua kwamba mapinduzi yameiua zanzibar

    • @alfamody6286
      @alfamody6286 4 หลายเดือนก่อน

      @@kizomontana5918 ndio

  • @ismailsaidsalim296
    @ismailsaidsalim296 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe ujinga wa Waislamu ulianzia zamani hivi, sikua nikijua kwakweli. 😅🤣😂

  • @CashKassim
    @CashKassim 4 หลายเดือนก่อน

    Ni maneno ya uchungu sana yanauma sana Hila hazijawahi kumuacha mtuu salama

  • @rashidalbalushi8355
    @rashidalbalushi8355 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli ndo huu kumtoa ldd Amin Uganda na kusaidia wapinzani Nigeria ( Biafra) ni wazi wa chuki ya Nyerere kwa uislaam

    • @HasnuuMakame
      @HasnuuMakame 4 หลายเดือนก่อน

      Sahihi kabisa

  • @MaulidKhalfan-kx8gw
    @MaulidKhalfan-kx8gw 4 หลายเดือนก่อน

    Huu wakat wa sasa si uleeeee mzeee sema kila ki2

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kongole kwa Babu yangu Oscar Kambona. ✌️

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna Mzee namjua yupo Mbeya Kwa sasa alikuwa mwanajeshi enzi izo natena karibu kabisa na karume anajua Kila kitu kuhusu mauwaji ya karume

  • @salyali7807
    @salyali7807 4 หลายเดือนก่อน +12

    Wameanza zamani kumbe kuleta watu wa bara kupiga kura. Hivi sasa ni uendelezo tu

    • @matm.s
      @matm.s 4 หลายเดือนก่อน

      Wazee wako na Babu zako wa Kwanza walikuwa watumwa waliuzwa kutoka bars. Acheni nyodo, chimbuko lenu wote nyie ni bara. Uislam mmeukuta kwa waraabu walitawala na kufanya biashara ya utumwa, mababu watumwa walilazimishwa kuchukua dini ya watawala wao!

    • @HasnuuMakame
      @HasnuuMakame 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@matm.sBiashara ya utumwa ilifanywa na wazungu na sio waarabu na ndio maana huko ulaya na America wakachukua watu weusi na wahindi weusi kila kona ya dunia na kupeleka nchini mwao huko ulaya na Amerika, waarabu wametumika km watumishi tu wa wazungu kwenye hiyo biashara

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@matm.sKwaiyo awo warabu biashara ya utumwa wakaifanya kanisani ss kama wa islam kwa nini wasifanye mskitn lakin history ya utumwa zanzibar ipo kanisani

  • @muddylikwena128
    @muddylikwena128 4 หลายเดือนก่อน

    Tunahitaji kubwa la kutaka kujua NCHI yetu ilipotokea..MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI MZEE..tupe madini

  • @sanaf8367
    @sanaf8367 4 หลายเดือนก่อน +6

    Watasema wapi na wao wapo ktk kutia chuki na kupandikiza mambo ya uwongo tu.

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika itafika mda nyeusi itakua nyeusi

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba uiweke hii historia full hapa ni yakusisimua ni Kenya lkn nieipenda sana

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nyerer arikua anaumwa nakutumia mnafiki yule mungu anamuadhibu kutoa roho zawatu kisa dini sijui tuliwafanyia nini waisilamu Jaman 😢😢

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 4 หลายเดือนก่อน +1

      Lengo la Nyerere ni kuwatoa warabu Tanganyika na Zanzibar ili tuwe huru aliondisha utumwa sio uislaam

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 2 หลายเดือนก่อน

      @@Nailaty564 Unaota wewe. Lengo la nyerere ni kuukandamiza Uislamu

  • @MwasamaniGunda
    @MwasamaniGunda 4 หลายเดือนก่อน

    Umeeleweka vema sana, na hiki ndo kitabu cha kweli.

  • @karmelibob
    @karmelibob 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi vitabu nawezaje kuvipata kuvisoma?

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 4 หลายเดือนก่อน +4

    Agakhan japo ni shia khoja lakini kawasaidia waisilamu sana msikiti wa ijumaa malindi znz kuna msaada wake mwingi alitoa

    • @hamynas
      @hamynas 4 หลายเดือนก่อน +3

      sasa shia mbaya lakini msaada wake mtamu?hapo waislamu ndipo tulipotawaliwa na akili za kikoloni na kinyererenyerere hadi leo tupo makundi na tumekua dhaifu kabisa na wanyonge na wapumbavu

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 4 หลายเดือนก่อน +1

      Agakhan si shia

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu 4 หลายเดือนก่อน

      @@oopsm3574ni kina nani sasa?

    • @Worldunite
      @Worldunite 4 หลายเดือนก่อน +2

      Aga Khan ni SHIA ISMAILIA

    • @mamlomamlo9064
      @mamlomamlo9064 4 หลายเดือนก่อน

      Pia ni jamii za wahindi waislam sehem nyingi wameacha asari ikiwemo kilwa na znz

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 4 หลายเดือนก่อน +12

    Nyerere anazambi kubwa xna na ccm

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 หลายเดือนก่อน

      Nyerere Anadhambi? Ulimshuhudia akitenda dhambi

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 4 หลายเดือนก่อน

      @@josephwilliam5813 muuwaji wa watu wa zanzibar na yeye ndio aliepanga kumuuwa karume kisa muungano

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 4 หลายเดือนก่อน

      @@josephwilliam5813 kabisa muuwaji aduwi wa uislam

    • @abdulijuma3969
      @abdulijuma3969 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephwilliam5813ko bado huamini? 😂😂😂

  • @RashidiMbena
    @RashidiMbena หลายเดือนก่อน

    Kumbe Hanga alipata mshahara wa unafiki wake umauti MUNGU mkubwa

  • @OmarSaidy-i1m
    @OmarSaidy-i1m 29 วันที่ผ่านมา

    Nyerere lana za allha ziwe juu yakeee

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mohammed said, msimuliaji mahiri sana, ana kipaji sana.
    Asemayo ni ya kweli na kweli tupu Mungu ndio Anajua lkn anatoa msaada mkubwa wa mawazo kinzani kuhusu Historia ya Mapinduzi Zanzibar ambayo mashuhuda wa kweli wa jambo hilo wengi wametangulia mbele ya haki.
    Wasiwasi wangu ni kana kwamba Zanzibar ilivyoumbwa TU hakukuwa na dini tofauti za wenyeji ila uislamu TU na sio dini zingine.
    Haya ni makovu ya kutawaliwa na wazungu na warabu.
    Zetu duua

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nimeishi Zanzibar kwa muda fulani. Hiyo hali mimi pia imenishangaza kuona waafrika weusi kama wewe na mimi wanasema asili ya Zanzibar ni uislam na wengi hawana majina ya kiafrika kabisa na wanajivunia kuwa hivyo.

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 4 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@Joe-tr2vksisi tunaa akili zetu tunajua kupambanua tofauti na nyie wagalatia

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 4 หลายเดือนก่อน +2

      Jibu hoja za Joe,bwana Omar bila Munkari Wala matusi,hakuna aliye na umiliki wa akili katika jambo lolote Lile iwe ktk kupambana, kupigania au la na haijalishi huyu au wewe ni mpagani,mgalatia au Tip Tip.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@omarissamashaallahpresiden2920 Ukweli ni kinyume chake. Nyinyi waarabu wamekutoeni akili,mpo tayari kumuua mwafrika mwenzenu ati kwa sababu hakubali uongo wa waarabu na ukatili wao. Mnaua watu kila leo Nigeria,Burkina Fasso,Mali. Nyinyi na Boko Haram si mnatumia kitabu kimoja? Bado mnajiita mnajua kupambanua? Hovyo kabisa

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 หลายเดือนก่อน

      UO uislam uliletwa. Na nani HAPO Zanzibar na msikiti WA kwanza ni upi?

  • @funnysmile8666
    @funnysmile8666 4 หลายเดือนก่อน +3

    mabunju hawato pendaa kusikia ukwelii kama huu

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 4 หลายเดือนก่อน

    Mbn unalenga sana waislam kwa hiyo ulipenda Zanzibar iwe islamic state huo ni upotoshaji

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mkataa kwao mtumwa huo ndo ukweli kuhusu zanzibar yetu

  • @saidmakombeni5155
    @saidmakombeni5155 4 หลายเดือนก่อน

    Umefadhiliwa na muungwana hukuwa na budi bali nikulipa fadhila za watu.
    Wiki moja Oman kwa umahiri wako tulidhani bei hiyo ni ya kutupa.

  • @Ibrahim-b9x2q
    @Ibrahim-b9x2q 4 หลายเดือนก่อน

    Such a sad story 😢

  • @ahmadahassan-cx5fz
    @ahmadahassan-cx5fz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli utabakia kuwa ukweli tu ata mukatae vipi.uhalifu alooufanya mr × ni mkubwa sana kwa wazanzibar mungu azidi kumchomaa huko aliko ishaaalah

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 หลายเดือนก่อน +1

      MUNGU anajua nani alie wake usingundishe MUNGU KAZI ya kuhukum,,,LKN unaaminije tuhuma BILA kumsikiliza mtuhumiwa?

    • @abdulijuma3969
      @abdulijuma3969 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephwilliam5813angekua hai angesema?

  • @Husseinmohammed-b8q
    @Husseinmohammed-b8q 4 หลายเดือนก่อน

    Sisi hatutaki muungano na wanyamwez bhan hatuna jinxi t😢

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 4 หลายเดือนก่อน +1

    Inawezekana ni kweli hapa ukiangalia kuna maaazo ya aina mbili moja ya wasomi wa kiarabu mbili kwa wasiosoma waafrika ambao ni ASP sasa hapa inatuchanya zipo hadirhi zinasema kuwa waarabu waliwagawa waswahili kwa hio inahitajika busara sana kwenye hili jambo

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 4 หลายเดือนก่อน

      Waraabu waliwagawa waswahili kivipi, hebu tueleze? Halafu nakuuliza suali unajuwa warabu walikuja tokea lini Zanzibar? Na east africa? Nawalitokea wapi? Na kwanini wakaja? Km kweli unajuwa history nitakujuwa k mm you are educated

    • @patrickkazinja4435
      @patrickkazinja4435 4 หลายเดือนก่อน +1

      Umenena vyema kabisa, ukiangalia maelezo ya huyu mzee anaelezea historia kwa kuwa na maelezo ya upande mmoja, yaani hao hao waarabu wamwalike huko Mascat ndio wamwelezee ukweli halisi?, kweli yeye pekee ndio kakutana na watu sahihi na wamweleze ukweli halisi?, weusi wa Zanzibar mpaka kesho wanakumbuka mateso waliyopitia chini ya uongozi wa kiarabu, inafikirisha kutuaminisha kwamba weusi wa Zanzibar wangekuwa na maisha bora chini ya waarabu, tuangalie hata nchi nyingine za Africa ambapo waarabu wametawala, je weusi wa maeneo hayo wamekuwa na maisha bora?, mzee anafanya propaganda.

  • @saidhemed6360
    @saidhemed6360 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli mtupuuu ambao wengi hawapendi kuusikia

  • @ShadowScreamStudio
    @ShadowScreamStudio 4 หลายเดือนก่อน

    Udini ni tatizo mnoo Africa.
    Kwenye udini ni chuki tu..

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 4 หลายเดือนก่อน

    Dah innaah lillaahi wainnaah ilaihi raajiuun

  • @karmelibob
    @karmelibob 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi vitabu ni tunu, natamani kuvisoma!

  • @sleyumalgheithy3268
    @sleyumalgheithy3268 4 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani sheikh macomrede wamishiriki mapinduzi baadhi yao na wameua watu wamewaona uko ushahidi

  • @ramadhanomar8346
    @ramadhanomar8346 4 หลายเดือนก่อน

    Muandishi upo vizuri ila umekosea uliposem hakuna kitabu kinachoelez kam kun watu walifunga kambi na kwenda ZANZIBAR kwa ajili ya mapinduzi, hemu kasome kitabu cha Jonh Martial Okelo , ameeleza kila kitu hajaacha kitu.

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi kila cku nasema wazanzabar wakaye kwao wakija bara waje na passport kelele kila cku wakati tnaenda kulala sehemu size ya mabega 😏

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 4 หลายเดือนก่อน

      Siku Moja ingieni bara barani semeni wazanzibari warudishwe kwao ndio tutaflai wasemavyo wa bara

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@omarissamashaallahpresiden2920wabara hatuna IZO kama unasubiri wabara tuandamane basi sahau

  • @Khamis_Waya
    @Khamis_Waya 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mapinduzi Matukifu ya Zanzibar hayakuwa ya haki kabisa. Kwavile ni miaka 60 tangia Mapinduzi Matukufu hivyo bas tunaweza kupata ukweli kwa wale waliokuepo kipindi kile. Tunapotshwa sana kwenye historia

    • @Znz-news
      @Znz-news 4 หลายเดือนก่อน +4

      Ila kw ushauri wangu haya paswi kuitwa haya mapinduzi kua ni ntukufu kw sababu yale ni mauwaji ndugu

    • @fahadbabuy
      @fahadbabuy 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa hii neno “matukufu” ndio ina maana gani ikiwa unachukia?

    • @lwakainaza
      @lwakainaza 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ni matukifu kwani yalituto kwenye minyororo ya Waarabu.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 4 หลายเดือนก่อน

      MAPINDUZI MATUKUFU✝️
      ​@@fahadbabuyMaana ya Matukufu (Holy) ni yenye Utukufu wa Kikatoliki.
      Matukufu ni Crusade (Vita Vya Msalaba), Mauwaji ya Waislam Kupinga Uislam.
      Nembo ya Bendera ya Chama Cha Mapinduzi
      ni kutekeleza ILANI ya Mapinduzi Matukufu.

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 4 หลายเดือนก่อน +1

      Unamuogapa bwana wako muingereza ndio aliofanya hayo na ushahidi picha zipo "still picture" zipo

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 4 หลายเดือนก่อน

    Mpaka Leo ndio hayo hayo

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Waislamu ndio waliopigania Uhuru na sio Watanzania! 😂😅🤣
    Hongereni!
    😂🤣 😂

  • @AllySule-t9g
    @AllySule-t9g 4 หลายเดือนก่อน

    Ikisha kunawaisilamu waznz utasikia mapinduzi nyokooooo

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 4 หลายเดือนก่อน +4

    Msema ukweli ni mpenzi wa Allah

  • @AdaedDeroon
    @AdaedDeroon 4 หลายเดือนก่อน

    Hasbu haanallahu wanimal wakuli

  • @alimau7939
    @alimau7939 4 หลายเดือนก่อน

    Ipo siku inshaallah haki itarudi

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee mdini muongo na mpandikizi wa chuki kati ya jamii ya Kitanzania. Kibaraka wa mwarabu

    • @wedmoosa3503
      @wedmoosa3503 4 หลายเดือนก่อน

      Ukweli wee hutaki sababu moyoni una lako

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 4 หลายเดือนก่อน

      @@wedmoosa3503 ukweli upi?! Huyo anatumika na waarabu kugawa Watanzania kwa misingi ya dini.

    • @arafatali1327
      @arafatali1327 4 หลายเดือนก่อน

      Ni ukweli mtupu na ukweli unuchungu

  • @abudulahiali9676
    @abudulahiali9676 หลายเดือนก่อน

    Kutangulia sikufika

  • @Binmabruk273
    @Binmabruk273 4 หลายเดือนก่อน

    Nipashe Really store

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 4 หลายเดือนก่อน

    Uhuru wa Tanganyika uliletwa na Watanganyika hebu tuache kukubali utumwa pasipokujitambua.
    Nani anayedhani dini ni bora kuliko taifa letu?

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 4 หลายเดือนก่อน +4

    Muuaji nae Huuliwa, ndo mana karume wakaamuua

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 4 หลายเดือนก่อน

      Na wewe utakufa hata bila kuuliwa...RIP Karume

  • @sunganyerembe6943
    @sunganyerembe6943 4 หลายเดือนก่อน

    ilikuwa ni serikali ya weusi?

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wasomi wengi wameegemea kwa waarabu hakina msomi anaezungumzia waafrika wa wakati huo ni kweli kuwa mapinduzi yalihusiswa na watu wa bara ila busara inahitajika sana kuhusu jambo hili

    • @alfamody6286
      @alfamody6286 4 หลายเดือนก่อน +1

      ni kwasababu mapinduzi yalibeba siri ya kuuoindua uislam katika mashariki yote, na Zanzibar ilikuwa ndo kiini9 nkwa wakati huo

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kama wewe hapo unataka itumike busara gapi? The history is the past, wacha aeleze yote yaliyotokea ili watu wajue na yeye sio ea mwanzo kueleza, wapo wengi waloeleza,wacha watu wajuwe waendelee kujuwa ukweli

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 4 หลายเดือนก่อน

      @@alfamody6286uislam umepinduliwa kivipi Zbar wakati wakazi wake zaidi ya asilimia 99 ni waislam na wanauishi huo uislam

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@alfamody6286kwaio HATA kumuondoa mzungu Africa ilikua harakati za kuufuta ukristo si NDIO maana YAKO?

  • @abdulosman1941
    @abdulosman1941 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani zanzibar haiwezi kurudi kama zamani ikiwa wazanzibari wenyewe wata amua kwa dhati na kwa umoja wenye nia moja

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 4 หลายเดือนก่อน +1

      Inaweza km itaondoka ccm

  • @abdallahkimbute1255
    @abdallahkimbute1255 4 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wengi hatuna utaratibu wa kusoma vitabu(historia)

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 4 หลายเดือนก่อน

    Take it with a grain of salt

  • @AbdulRahim-f4g7y
    @AbdulRahim-f4g7y 4 หลายเดือนก่อน

    Chawa wa ccm uyu mbn huongei mauwaji ya watu wasiokuwa na hatia

  • @ayubutewele5241
    @ayubutewele5241 4 หลายเดือนก่อน +1

    Joke walikuwa waarabu au wazanzibar 🤣🤣🤣🤣🤣?

  • @rwabu
    @rwabu 4 หลายเดือนก่อน

    Treni kutoka wapi kwenda wapi?!?

    • @AlyAly-n8r
      @AlyAly-n8r 3 หลายเดือนก่อน

      Mjini hadi bububu

  • @philipjoseph5931
    @philipjoseph5931 4 หลายเดือนก่อน

    Usiseme Waislamu walipambana kuleta uhuru wa Tanganyika. Sema Watanzania Walipambana. Kwa hiyo kwako wewe kuna Waislamu na Kuna Watanganyika. Kiufupi mzee unakosea sana kuleta siasa za chuki baina ya Wakristo na Waislamu. kwa nini usiwe positive tu kuhubiri umoja na mshikamano wa Watanzania wote? Mimi ninamshukuru sana Mungu kwa kutupatia zawadi ya Mwalimu Nyerere. Maono yake yalikuwa makubwa. Alijua uhuru wa Tanganyika usingekuwa kamili bila zanziba kuwa huru, na si Zanzibar tu lakini bara zima la Afrika. TULIWAKATAA WAARABU KAMA VILE TULIVYOWAKATAA WAZUNGU NA MAKABURI WA S.A.