KKKT DKMS Online TV
KKKT DKMS Online TV
  • 441
  • 680 836
Kauli ya Askofu Dkt Mbilu Kuelekea uchanguzi wa Serikali za Mitaa
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza rasmi ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka 2024, ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa alitoa tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambapo alieleza kuwa tangazo hilo limetolewa chini ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za mwaka 2024 pamoja na matangazo ya Serikali namba 571, 572, 573 na 574 ya mwaka 2024.
มุมมอง: 73

วีดีโอ

Mchungaji Neema Kamendu kuhusu Sikukuu ya Watoto na Mikaeli
มุมมอง 11921 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ibada ya Jumapili ambayo pia ni Sikukuu ya Watoto na Mikaeli ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Ibada iliyofanyika katika Jimbo la Kusini, Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto. Ibada iliongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ambapo pamoja na mambo mengine amewataka wazazi na walezi kuwalea Watoto wao katika misingi ya kumjua Mungu ili waweze kuepuka na kukataa matendo maovu...
Askofu Dkt Mbilu atoa Rai kwa wazazi na walezi juu ya malezi bora ya Watoto
มุมมอง 26521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ibada ya Jumapili ambayo pia ni Sikukuu ya Watoto na Mikaeli ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Ibada iliyofanyika katika Jimbo la Kusini, Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto. Ibada iliongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ambapo pamoja na mambo mengine amewataka wazazi na walezi kuwalea Watoto wao katika misingi ya kumjua Mungu ili waweze kuepuka na kukataa matendo maovu...
Shairi Kutoka kwa Watoto wa Shule ya Jumapili wa Kanisa Kuu Lushoto
มุมมอง 25321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ibada ya Jumapili ambayo pia ni Siku Kuu ya Watoto na Mikaeli ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Ibada iliyofanyika katika Jimbo la Kusini, Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto. Ibada iliongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ambapo pamoja na mambo mengine amewataka wazazi na walezi kuwalea Watoto wao katika misingi ya kumjua Mungu ili waweze kuepuka na kukataa matendo maov...
SEHEMU YA MAHUBIRI YA BABA ASKOFU DKT MSAFIRI MBILU KWENYE IBADA YA KUSTAAFU MCH EZEKIELI MWARABU
มุมมอง 5082 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MCHUNGAJI EZEKIELI MWARABU alibarikiwa kuwa Mchungaji na Askofu Dkt. Erasto Kweka wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini, Aprili 25, 1993 katika Usharika wa Kana. Hadi kustaafu kwake Mchungaji Ezekieli Mwarabu amekuwa mtumishi wa Dayosisi hii kwa miaka 29, Ibada hii iliongozwa na Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt. Msafiri Joseph Mbilu.
Ibada ya Jumapili Siku ya Bwana ya 17 baada ya Utatu Usharika wa Korogwe
มุมมอง 35814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ibada hii iliambatana na maadhimisho ya miaka 40 tangu kuanzishwa kwa kwaya ya Msamalia ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Jimbo la Tambarare Usharika wa Korogwe
Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu,juu ya Uzinduzi wa Jimbo jipya la Diaspora UINGEREZA
มุมมอง 44416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ibada ya Uzinduzi wa Jimbo jipya la Diaspora Uingereza litakalo simamia, Uingereza, Ulaya na Marekani. Katika Ibada hii iliyofanyika Jumapili ya tarehe 22/09/2024, katika Usharika wa IMANI READING UINGEREZA, Mch.Tumaini Kallaghe, aliingizwa kazini kuliongoza Jimbo hilo.
Mch.Tumaini Kallaghe aingizwa kazini kuwa Mkuu wa Jimbo la Diaspora
มุมมอง 1.4K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ibada ya Uzinduzi wa Jimbo jipya la Diaspora Uingereza litakalo simamia, Uingereza, Ulaya na Marekani. Katika Ibada hii iliyofanyika Jumapili ya tarehe 22/09/2024, katika Usharika wa IMANI READING UINGEREZA, Mch.Tumaini Kallaghe, aliingizwa kazini kuliongoza Jimbo hilo.
Mhe Dkt Doto Mashaka Biteko akitoa salamu za Serikali kwenye mazishi ya Askofu Chediel Sendoro
มุมมอง 2.4Kวันที่ผ่านมา
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali ipo tayari kushirikiana na viongozi wa dini ili kuwawezesha kutimiza majukumu yao ya kitume kwa maendeleo ya Watanzania. Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 17, 2024 katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mwanga, Kanisa Kuu lililopo Mkoani Kilimanjaro wakati akitoa salamu za Serikali kwa niaba ya Rais w...
Salamu za Mkuu wa KKKT Dkt Alex Gehaz Malasusa kwenye mazishi ya Askofu Chediel Elinaza Sendoro
มุมมอง 1.9Kวันที่ผ่านมา
Ibada ya mazishi ya Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Mwanga Askofu Chediel Elinaza Sendoro, aliyefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Kisangiro-Kilimanjaro tarehe 09/09/2024, mwili wake unapumzishwa katika eneo la viwanja vya Kanisa Kuu Mwanga leo tarehe 17/09/2024. Askofu Chediel Elinaza Sendoro alizaliwa tarehe 01/05/1970 akiwa Mtoto wa 4 wa Askofu Mstaafu Elinaza Sendoro aliyewahi kua Askofu wa ...
Dayosisi 28 za KKKT kuliombea Taifa
มุมมอง 373วันที่ผ่านมา
Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, ametoa wito kwa Dayosisi zote za KKKT kuliombea Taifa wakati akitoa salamu zake kwenye Ibada ya mazishi ya Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Mwanga Askofu Chediel Elinaza Sendoro, aliyefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Kisangiro-Kilimanjaro tarehe 09/09/2024, mwili wake unapumzishwa katika eneo la viwanja vya Kanisa Kuu Mwanga leo tarehe 17/09/2024. Chedie...
Mahubiri ya Baba Dean Michael Mlondakweli Kanju
มุมมอง 19714 วันที่ผ่านมา
Mahubiri ya Baba Dean Michael Mlondakweli Kanju
Dean Michael Kanju akitoa salamu kwenye Ibada ya Jumapili Usharika wa Handeni
มุมมอง 60214 วันที่ผ่านมา
Dean Michael Kanju akitoa salamu kwenye Ibada ya Jumapili Usharika wa Handeni
Mahubiri ya Askofu Dkt. Msafiri Mbilu, aliyoyatoa kwenye Ibada ya Jumapili ya Tarehe: 09/09/2024
มุมมอง 67128 วันที่ผ่านมา
Mahubiri ya Askofu Dkt. Msafiri Mbilu, aliyoyatoa kwenye Ibada ya Jumapili ya Tarehe: 09/09/2024
Sehemu ya Salamu za Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, alizozitoa Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto.
มุมมอง 707หลายเดือนก่อน
Sehemu ya Salamu za Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, alizozitoa Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto.
Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, akisoma wasifu wa Marehemu Askofu Mstaafu Joseph Mathayo Jali.
มุมมอง 1Kหลายเดือนก่อน
Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, akisoma wasifu wa Marehemu Askofu Mstaafu Joseph Mathayo Jali.
Sehemu ya Mahubiri ya Askofu Jackson Mshendwa kwenye Ibada ya Mazishi ya Marehemu Askofu Jali.
มุมมอง 2.6Kหลายเดือนก่อน
Sehemu ya Mahubiri ya Askofu Jackson Mshendwa kwenye Ibada ya Mazishi ya Marehemu Askofu Jali.
Mkuu wa KKKT awasilisha Salamu za pole kutoka kwa Mzee Makamba kwenye msiba wa Askofu Mstaafu Jali
มุมมอง 1Kหลายเดือนก่อน
Mkuu wa KKKT awasilisha Salamu za pole kutoka kwa Mzee Makamba kwenye msiba wa Askofu Mstaafu Jali
Salamu za faraja kutoka kwa Dean Amasia Mweta
มุมมอง 2.2Kหลายเดือนก่อน
Salamu za faraja kutoka kwa Dean Amasia Mweta
Salamu za pole kutoka kwa baadhi ya Washarika wa Kanisa Kuu Lushoto
มุมมอง 455หลายเดือนก่อน
Salamu za pole kutoka kwa baadhi ya Washarika wa Kanisa Kuu Lushoto
Taarifa kutoka kwa Askofu Dkt Mbilu Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
Taarifa kutoka kwa Askofu Dkt Mbilu Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki
Moja ya mazungumzo tuliyowahi kufanya na Askofu Mzee Joseph Jali enzi za Uhai wake
มุมมอง 2.2Kหลายเดือนก่อน
Moja ya mazungumzo tuliyowahi kufanya na Askofu Mzee Joseph Jali enzi za Uhai wake
Mkuu wa Jimbo la Tambarare Mch. John Ndimbo juu ya msiba wa Askofuu Mstaafu Jali.
มุมมอง 850หลายเดือนก่อน
Mkuu wa Jimbo la Tambarare Mch. John Ndimbo juu ya msiba wa Askofuu Mstaafu Jali.
Askofu Mstaafu Joseph Jali, wakati wa uhai wake akihimiza Wakristo juu ya umuhimu wa kuomba.
มุมมอง 585หลายเดือนก่อน
Askofu Mstaafu Joseph Jali, wakati wa uhai wake akihimiza Wakristo juu ya umuhimu wa kuomba.
Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa atoapole msiba wa Askofu Mstaafu Mzee Jali.
มุมมอง 1.8Kหลายเดือนก่อน
Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa atoapole msiba wa Askofu Mstaafu Mzee Jali.
KWAHERI ASKOFU MSTAAFU MZEE JALI (1936-2024)
มุมมอง 2.5Kหลายเดือนก่อน
KWAHERI ASKOFU MSTAAFU MZEE JALI (1936-2024)
Salamu za pole kutoka kwa Askofu Dkt. Shoo kufuatia msiba wa Askofu Jali
มุมมอง 724หลายเดือนก่อน
Salamu za pole kutoka kwa Askofu Dkt. Shoo kufuatia msiba wa Askofu Jali
Sehemu ya Ibada ya Jumapili Usharika wa Nywelo.
มุมมอง 344หลายเดือนก่อน
Sehemu ya Ibada ya Jumapili Usharika wa Nywelo.
Sehemu ya mahubiri ya Baba Askofu Dkt Msafiri Mbilu Usharika wa Nywelo
มุมมอง 248หลายเดือนก่อน
Sehemu ya mahubiri ya Baba Askofu Dkt Msafiri Mbilu Usharika wa Nywelo
Salamu za Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu Usharika wa Mnazi
มุมมอง 464หลายเดือนก่อน
Salamu za Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu Usharika wa Mnazi

ความคิดเห็น

  • @MariaJulius-k1p
    @MariaJulius-k1p 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen Sana Mchungaji🎉

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante kwa ujumbe Baba Askofu 👏👏👏

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongereni sana watoto wazuri Amina ❤

  • @PaulineSalehe
    @PaulineSalehe 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mlee mtoto katika njia impasayo😊🙏

  • @BerthaMwarabu-m7w
    @BerthaMwarabu-m7w วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mchungaji Ezekiel Mwarabu Mungu akutunze

  • @emmanuelrutaihwa6545
    @emmanuelrutaihwa6545 6 วันที่ผ่านมา

    Mimi kijana wangu anaishi canada je naye anahusika

  • @EmmanuelShelukindo
    @EmmanuelShelukindo 6 วันที่ผ่านมา

    Hakika mungu unaweza kuniwezesha niweze kuliishi neno

  • @WilliamKiligo
    @WilliamKiligo 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu anisaidie niwe na uchaguzi mwema

  • @SophiaMjema-z3p
    @SophiaMjema-z3p 8 วันที่ผ่านมา

    Ameen

  • @humphreymushi
    @humphreymushi 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu Baba Dean Mstaafu Amasia Mweta anastahili kupewa Nishani Iliyotukuka.

  • @FELIXSHEKUMKAI
    @FELIXSHEKUMKAI 10 วันที่ผ่านมา

    Kaonge kwaya ya moyo korongwe

  • @VedastusKanyettor
    @VedastusKanyettor 11 วันที่ผ่านมา

    Hekima zako zidumu na ubarikiwe sana

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 11 วันที่ผ่านมา

    Mbona dotto hujajibu asikofu ameongea?

  • @AloyceCharlesSebaiya
    @AloyceCharlesSebaiya 11 วันที่ผ่านมา

    Mama ake bro ben

  • @AloyceCharlesSebaiya
    @AloyceCharlesSebaiya 11 วันที่ผ่านมา

    Kanisa langu

  • @mamaakyoo2137
    @mamaakyoo2137 12 วันที่ผ่านมา

    Kijana amejaa hekima sana.huyu.. Mungu amtunze.

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 11 วันที่ผ่านมา

      Analelewa kiroho na kanisa la TAG huyu dogo BITEKO

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 13 วันที่ผ่านมา

    MUNGU MWNYENZI AWE MFARIJI KWA KANISA LAKE

  • @doraholotu7794
    @doraholotu7794 13 วันที่ผ่านมา

    Pumzika kwa Ameni Askofu C Sendoro

  • @alexmaula7308
    @alexmaula7308 13 วันที่ผ่านมา

    Poleni Sana wapendwa

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 13 วันที่ผ่านมา

    MUNGU azidi kumbariki mh Dean kiongozi tunakupenda xn

  • @eliasemson6690
    @eliasemson6690 13 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢

  • @JulianaKiboha
    @JulianaKiboha 14 วันที่ผ่านมา

    KKKT sihamiiii

  • @MariamFilipo-b3w
    @MariamFilipo-b3w 22 วันที่ผ่านมา

    Hongereni wadogozangu

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 23 วันที่ผ่านมา

    Exactly Dean, thanks foy your reality.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 23 วันที่ผ่านมา

    Kwanini kama huna uniform unaimba?viongozisimamieni maadili ya kwaya, wachungaji simamieni kwaya zisizona utayari, kwa kuokoa muda na kutunza uchaji wa ibada, askofu mbilu uko sahihi sana.hata mimi nimekereka. AMEN

  • @humphreymushi
    @humphreymushi 24 วันที่ผ่านมา

    Watumishi wa Mungu kama hawa ni wachache Sanaa! Kaburi la huyu Baba linastahili kujengwa vizuri kwa mfano wa pekee! Iwe ushuhuda kwa wengine!

  • @OkulijohnmeenaMeena
    @OkulijohnmeenaMeena 27 วันที่ผ่านมา

    Nafurahi sana kumwona mchungaji Ndimbo ktk huduma hiyo. Namkumbuka tulishafanya nae huduma miaka mingi kupita ktk usharika wa Sekei Arusha. Mungu akutangulie

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 28 วันที่ผ่านมา

    Nawiwa kuongea zaidi hapa, kupitia mahubiri ya baba askofu kwa uelewa wangu, kumbe watumishi wetu wakifanya maandalizi mazuri wanaweza kuzuia wimbi la wamama wengi na wengine wanaokimbilia VISHOKA WA INJILI Amen.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 28 วันที่ผ่านมา

    Walawi gospel group arusha Tanzania 🇹🇿 Tunashukuru baba tunajifunza nasi umetugusa hapa walawi, kuna jambo hapa la sisi kujifunza hapa kama watumishi, lazima tufanye jambo kwa wahitaji japo kwakweli huwa tunafanya, tusidharau wito wa kuwasaidia wenye uhitaji ili watu wakiulizwa waseme ni sisi tumefanya, tufanye competition na yule msamaria mwema.Amen

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 28 วันที่ผ่านมา

    Among the one bishop, Among those with higher Technical in.preaching, napenda huwa anatoa.mifano hai, maandalizi katika kutoa neno.lazima tufanye maandalizi mazuri, ndio mahubiri yetu yakubalike.Amen

  • @DavidNashanda
    @DavidNashanda 28 วันที่ผ่านมา

    Nimemuona baba yangu kipenzi Mchungaji Mozes shemweta mungu ampe maisha marefu

  • @faithmangesho2081
    @faithmangesho2081 28 วันที่ผ่านมา

    AMEN Mtumishi wa Mungu

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 28 วันที่ผ่านมา

    Mungu awatunze sanasana, watumishi wa mungu, kazi ya mungu inahitaji watu waliojitoa kwa.moyo,Rev;Ndimbo nakufahamu sana,mungu amekupa wito mkuu wa. Kitume na unautendea haki, nimekufahamu tangu makorola, msaidie baba askofu atimize maono yake kikamilifu katika jimbo hilo.Amen

  • @SIMONMBILU
    @SIMONMBILU หลายเดือนก่อน

    Katika maneno hayo naamini watu wamepata somo la uwaminifu ipasanywo Mungu aku tangulie kaka

  • @ForcusRutaba-uw5xu
    @ForcusRutaba-uw5xu หลายเดือนก่อน

    Ninafurahi kukuona Bishop Mwalimu wangu katika Kozi ya 2014

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน

    Nakupongeza sana sana,bsp mbilu kwa kualikwa kwenye kikao hicho kikubwa cha watendaji wa kanisa,mungu akutunze sana,ni heshima kubwa kwako na.kanisa hususani dayosisi hii,wewe ni.mtu makini. Amen

  • @michaelambangile3632
    @michaelambangile3632 หลายเดือนก่อน

    Wazee wetu waliuogopa wajibu na wajibu ukawafuata. Very inspiring!

  • @jeremiamsuya1820
    @jeremiamsuya1820 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur sana mungu awabarik

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน

    This is wonderfully speech provoking me to crying. This is wonderfully speech.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน

    Retired Rev;mweta,mchungaji anayefanana sanasana hulka.na Tabia zake na.mqrehemu bsp;Joseph jali,kanisa limedumu.kwa.uchaji kwa ajili yao,Nina ujasiri wa kuongea haya, kama ni wokovu hawa.wameokoka,wana zaidi ya wokovu,siri wachungqji wa sana, hebu tutumie fursa hii tuguswe na wito wao.mwema.Amen.TATE UGONE MPEHO.

  • @SylviaSomi
    @SylviaSomi หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki Baba Askofu Nina Imani Sasa Deni litakwisha Nasi wenye Dayosisi yetu Tukaze msuli Sasa

  • @CharlesMaghembe
    @CharlesMaghembe หลายเดือนก่อน

    Mwenyenzi Mungu ailaze Roho yako mahali pema peponi. Tunakukumbuka Baba yetu

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน

    Wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni.

  • @SylviaSomi
    @SylviaSomi หลายเดือนก่อน

    Shalom ibada njema

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 หลายเดือนก่อน

    wao Mch Mushi karibu Lushoto

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 หลายเดือนก่อน

    Sauti iko chini sana

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AZIDI KUIMARISHA DAYOSISI YETU

  • @SungiMahumbi-s8h
    @SungiMahumbi-s8h หลายเดือนก่อน

    Wewe Mbiaji acha unyaturu Kristu ni njia kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwa njia yangu

  • @humphreymushi
    @humphreymushi หลายเดือนก่อน

    Wito wangu Baba yetu Askofu Mhe.Dr.Msafiri Mbilu Msomi na Mchamungu wa kweli! Nakuona huku kwenye mitandao pia Una historia kubwa kwenye Kanisa! Japo hatujawahi kuonana uso kwa uso! Mimi nakufahamu kwa macho ya kiroho! Mtunze Sanaa huyo Mzee! Ni Hazina yako ya Hekima! Na Utafika Mbali kwenye utumishi wako,Hapa Duniani na Zaidi ya Yote kwenye Ufalme wa MUNGU.

    • @annasengenge4285
      @annasengenge4285 หลายเดือนก่อน

      Genius

    • @MichaelKingazi-wm7xj
      @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน

      Holy spirit speech.

    • @MichaelKingazi-wm7xj
      @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน

      Jali in shambala. Means (respect)alijali alitoa vyake kwa ajiliya.kondoo, mtu wa.mshahara si mchungaji aonapo mbwa mwitu hukimbia na.kuacha kondoo,BSP;JALI akasema na.kondoo wengine ninao ambao si wa zizi hili kabisa nao nawajua.Amen