Nina Maono kuwa Baba Askofu Dr.Mbilu anafaa kupokea mikoba ya Mkuu wa Kanisa la KKKT baada ya Askofu Malasusa kumaliza Muda wake! Kiti kirudi kwenye Jimbo la Marehemu Sebastian Kolowa Mkuu wa pili wa KKKT baada ya Askofu wa Kwanza marehemu Stephano Moshi. Naomba Mungu Abariki Maono yangu!!!Amina.
Mungu akutunze sana mtumishi, kuna wakati wa kulia kucheka na kuomboleza, ndio maisha yetu, hapa hatuna mji udumuo, (zab 119-19)
Mungu akupumzishe baba
Oooooh pole sana baba askofu
Hongera Sanaa Baba Askofu Dr.Mbilu. Mungu akutie Nguvu, Wewe ni Mcha Mungu wa Kweli. Mkono wa Bwana Uende nawe popote daima,AMEN.
Poleni kwa msiba Kanisa ndugu na jamani Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe😢😢
Nina Maono kuwa Baba Askofu Dr.Mbilu anafaa kupokea mikoba ya Mkuu wa Kanisa la KKKT baada ya Askofu Malasusa kumaliza Muda wake! Kiti kirudi kwenye Jimbo la Marehemu Sebastian Kolowa Mkuu wa pili wa KKKT baada ya Askofu wa Kwanza marehemu Stephano Moshi. Naomba Mungu Abariki Maono yangu!!!Amina.
@@humphreymushi .yaa anafaa si kidogo ni sana.amen
MUNGU ATUTIE NGUVU KWA KUONDOKEWA NA BABU YETU MPENDWA