Asanteni Sana Katoliki online Moshi TV na uongozi mzima wa Parokia na Jimbo letu Katoliki Moshi kwa kuthamini Hija yetu na kuhakikisha tunafanikiwa Walezi wetu Mungu awabariki na kuwainua kwa viwango vya juu zaidi. Mbarikiwe Sana wote
Nampenda sana marehemu mwalimu Nyerere. Yeye alikua kiongozi wa kipekee aliyependa Tanzania na watu wa Tanzania. Aliunganisha taifa na akamaliza ukabila. Pia alikataa na kupinga utajiri wa haramu na alikataa kuzitumia nguvu zake za kiserikali ili kuwanyonya Watanzania wenzake. Mungu amuweke mahali pema. Atazidi kukumbukwa na kujeshimiwa milele na milele.
Namkubali mno Baba wa Taifa, kwa ujasri wake mkuu wa kuamua kuacha kazi ya Ualimu na kuanza pilika za Siasa kpindi cha Ukoloni c mchezo, matokeo akawa Rais japo mwenyewe alimependa kuitwa mwl na c mtu wa kujikweza.
Nakupenda Sana Baba YETU kipenzi. Pumzika kwa Amani MBINGUNI. Ombea Taifa letu pendwa Tanzania. Waombee Viongozi wa nchi YETU waendeleze uzalendo uliotuachia Baba yetu mpendwa.Amina
Nampenda saana baba wetu wa taifa retu yaani kutoka kwa baba mungu katupa raisi mwema ambae ni baba jonh pombe magufuli Hawa ndio walibeba dhamana yetu kwakuwa mungu nimwingi waneema nakuomba uwabariki milele Amina mwalimu bado tunakupenda saana
" RIP! RIP ! GALLANT SON OF AFRICA! YOU GAVE MORE AND TOOK LESS! VIONGOZI WA AFRICA NZIMA HASA KENYA; IGIZENI/ CHUKUENI MFANO WA UTU NA UONGOZI, SIO KUJITAJIRISHA KWA MALI/ KODI ZA UMMA! ACHENI ULAFI KWANI PESA NA MALI MNAZOMILIKI ZINA DAMU NA NIHARAMU!!! LONG LIVE TANZANIA!!
Mwalimu was a true patriot. His Socialist ideology will be missed . Apart from him Kwame Nkurma, Nelson Mandela Kenneth Kaunda Samora Machel Oginga Odinga Jomo Kenyatta were indeed pan Africanists .
Ni kweli kabisa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni BABA WA AFRICA, na wala si kwa ndugu zetu wa Tanzania peke yao. Hata na sisi tunajivunia sera na uongozi safi alioachia bara nzima la Africa. Mungu airehemu roho mahali pema peponi.
Hakika Mungu anatupenda Sana wa Africa .hyo ni mwafirika kweli na mzaledo kweli . Ndugu mmoja kutoka Kenya asante Sana kwa huo moyo wa wanawaafrica. Inatambua kweli tunu za kwetu..asante Mungu kwa zawadi ya julius Nyerere mwana wa Africa na mtanzania kweli. Daima nashindwa kusema maisha yake na Hali inayo tunzunguka Sasa watu wa Africa. waliyokuwa uzalendo hawapo tena zaidi tumekuwa makapi tu. Wapo wengine pia tuombe Mungu.
Nimefarijika sana na kumbukumbu mlizotunza kwa ajili ya maisha ya baba wa Taifa.Nakumbuka kuwa alipostaafu wananchi walimpa vitu vingi alipokuwa anawaaga kila mkoa. Pamoja na zawadi alizopewa na Jeshi baada ya kushinda vita ya kumng'oa nduli Idd Amin, inathibitisha kuwa hakujilimbikizia mali za raia wengine kwake na familia yake.Alikuwa na heshima sana kwa kila mtu.Mimi binafsi,nilipata kuwa moja ya watumishi wa umma niliyepata kumtembelea mara kwa mara na kusafiri naye kwenhe ndege yake,ninashuhudia upendo aliokuwa nao kwa ajili ya kila mtu aliyekuwa mwema.
RIP jk nyerere japo umeiacha family yako gizani pia tunajua.haukufa bado upo uwasalimie wazee wetu huko na mtulinde kwa mabaya japo ulipingana na asili yako ila najua ulifanya hivyo kwa sababu ya kimamlaka ya hapa duniani tunakuombea uwe mtakatifu wa Afrika yetu tunaimani huta fanya kosa.amen
Baba pumzika kwa amani ulikuwa jembe kwelilweli ukatuletea uhuru bila damu kumwagika. Afrika tutakukumbuka sana lala upumzike salama baba ndani ya nchi yako.Amina!!
Acha usenge tumshukuru Nyerere makabila zaidi ya 100tunaongea lugha moja hakuna kubaguwana nenda Nigeria ukaone watu wanavyobagua na nchi za jilani sitaki kuzitaja so next time usifungue domo lako
Asant Mungu kwa kutupa nyerere asnt kuwa mzawa wa Tanzania na Mara.. ila sasa kaone stend ya mara km zizi la ng'ombe au kaulize stend ya Butiama km ipo.. Nzega, Igunga, Manyoni, Tarime, serengeti, Bunda, na baazi ya wilaya ndogo kuna stendi nzuri ila Butiama na makao makuu ya mkoa ni kituko... Nenda simiu mkoa mpya una stendi nzuri aibuuuuu
Pumzka Kwa amani, mwenye kheri, Mwalimu J. K Nyerere. Mungu Baba atamkumbuka mtumishi wake katika patakatifu pake. Amina.
Asante Sana Dada uko vizuri big up Sana.
mzee Nyerere sii baba wa watanzania peke yenye ni baba wa afrika, mimi ni mkenya lakini naheshimu viongozi wa Tanzania sana.
Karibu Tanzania
Rip
Umenena vyema
Safi sana karibu sana Tanzania 🇹🇿 inaonekana wewe ni mzalendo sana hongera
Karibu sana
Umeelezea vzr dada chukua mauayako🎉🎉🎉
😂😂😂
Uko sahihi ameelezea vizuri sana,anastahili kupewa maua
❤❤🎉🎉 barikiwa sana
Tunashukuru sana katoliki moshi online TV kwa uenjilishaji wenu mwema Mungu awabariki
Asanteni Sana Katoliki online Moshi TV na uongozi mzima wa Parokia na Jimbo letu Katoliki Moshi kwa kuthamini Hija yetu na kuhakikisha tunafanikiwa Walezi wetu Mungu awabariki na kuwainua kwa viwango vya juu zaidi. Mbarikiwe Sana wote
Hongereni sana Katoliki Moshi Katoliki Online kwa habari na historia nzuri tena huyu dada is very smart anahaditha vizuri mno
Hongera kwa katoliki on line TV kurusha matangazo ya kumbukizi ya mwalimu Julius kambarage Nyerere
RIP JK Nyerere hukuwa na makuu na wala hukujilimbikizia mali kama hawa chawa wa sasa. Mungu akupe pumziko la milele
Kabisa
Ahxante dad Kwa maelekezo Yako historia ni nzr mungu ampumzixhe Baba ye2 wa Taifa mahali pema pepon amina
Baba wa uwongozi wa hekima na uwazi. Hukuwaibia watu wako wala kuruhusu familia yako waibe. Pumzika Kwa Amani Baba.
Nampenda sana marehemu mwalimu Nyerere. Yeye alikua kiongozi wa kipekee aliyependa Tanzania na watu wa Tanzania. Aliunganisha taifa na akamaliza ukabila. Pia alikataa na kupinga utajiri wa haramu na alikataa kuzitumia nguvu zake za kiserikali ili kuwanyonya Watanzania wenzake. Mungu amuweke mahali pema. Atazidi kukumbukwa na kujeshimiwa milele na milele.
Namkubali mno Baba wa Taifa, kwa ujasri wake mkuu wa kuamua kuacha kazi ya Ualimu na kuanza pilika za Siasa kpindi cha Ukoloni c mchezo, matokeo akawa Rais japo mwenyewe alimependa kuitwa mwl na c mtu wa kujikweza.
Safii sanaaa mungu awabarii wotee mnaozidi kuendelez utamaduni wetuu
hongera sana kwa tv yetu pendwa ya jimbo la moshi...
Ahsanteni sana sikuwa nafahamu yote hayo 😢 mbarikiwe katoliki moshi online tv 🎉🎉🎉
Amina
Ahsante Mwl Nyerere.
.oh;
Kazi nzuri kwa baba wa bara la Africa kwa ujumla,kweli alikuwa na utu wa watu wake,pongezi pia dada kwa umakini na uwelezaji wako wa umakini sana
Mwenyezi mungu awalaze pahala pema peponi marehemu wote waliotangulia mbele ya haki, Ameen
From Kenya & I'm enjoying the history thank you
Asanteni sana kwa kutufamisha hayo ya kumhusu hayati wetu tumuombeee ili mchakato ufanikiwe.
Mungu ibariki afrika,umpokee mwalimu Nyerere ktk makao yako mbinguni. Amina
In Africa only two legends Mwalimu Nyerere Tanzania and Nelson Mandela South Africa
Yeah true
If you don't mention Kwame Nkrumah I may say you are biased. He too falls in that list.
Add Kwame Nkrumah, Samora Machel, Emperor Haille Sellasie,
Don't forget sedar senghor of Senegal
In Kenya things are really different 😢
Baba wa Taifa letu tutakukumbuka daima uliacha alama isiyofutika katika Nchi yetu ya Tanzania na Dunia yote kwa ujumla.
Asante tuli kuwa hatuyajui haya yote Mungu awabariki sana
Julius Nyerere a living legend of Africa
Very clean and very close to Tanzania, you seem to be very patriotic, congratulations
Hongeraa sana dada kwa maelezo yako mazuri, Nimekupenda sana
kabisa utazani alikuwepo anavyosimulia vizuri
Nakupenda Sana Baba YETU kipenzi. Pumzika kwa Amani MBINGUNI. Ombea Taifa letu pendwa Tanzania. Waombee Viongozi wa nchi YETU waendeleze uzalendo uliotuachia Baba yetu mpendwa.Amina
Hongera dada upo vizuri sana
Dada yupo vizuri sana Kwa kweli
Ahsante Kwa kuendelea kudumisha utamaduni wetu mungu awabariki sana
Wao nimefurahi kumuona Gaudensia tumecheza wote utotoni
Asante you tube kutuletea moja ya tunu za kiafrika na ulimwengu kwa ujumla
Tutambue kuwa Tanzania ndiyo bustani ya Eden penginepo ni uzushi tu
Nampenda saana baba wetu wa taifa retu yaani kutoka kwa baba mungu katupa raisi mwema ambae ni baba jonh pombe magufuli Hawa ndio walibeba dhamana yetu kwakuwa mungu nimwingi waneema nakuomba uwabariki milele Amina mwalimu bado tunakupenda saana
Yani one of the best presidents from Africa
Ana mke mmoja 0,+0 hakuna tena chifu
❤❤Mwl JK Nyerere utakumbukwa daima, wewe ulikuwa Baba wa Taifa letu la Tanzania. Starehe kwa Amani 💪💪💪🙏
Amina ❤❤❤
@@adelinelyaruu3036😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Alogudanganya ana starehe ni nani😂😂😂
Hana starehe hata moja
Aise umeelezea vizuri jamani❤❤
Yeeess Asante sana ddke
Nafulahi sana kuona na kuskia story ya baba yetu afrca ,j.k .nyerere .asante sana mungu akubalki ukouliko
Yeah he was the great leader,,I named my son Nyerere as respect for kambarage Nyerere.
Kweli????
" RIP! RIP ! GALLANT SON OF AFRICA! YOU GAVE MORE AND TOOK LESS! VIONGOZI WA AFRICA NZIMA HASA KENYA; IGIZENI/ CHUKUENI MFANO WA UTU NA UONGOZI, SIO KUJITAJIRISHA KWA MALI/ KODI ZA UMMA! ACHENI ULAFI KWANI PESA NA MALI MNAZOMILIKI ZINA DAMU NA NIHARAMU!!! LONG LIVE TANZANIA!!
Baraka za mungu baba mwenyezi ziwe nawe. Za baba mwana na roho mtakatifu, ziwe nawe baba mtumishi wa mungu;utuombee.Tyk na mbm..
Amina
Mwalimu was a true patriot. His Socialist ideology will be missed . Apart from him Kwame Nkurma, Nelson Mandela Kenneth Kaunda Samora Machel Oginga Odinga Jomo Kenyatta were indeed pan Africanists .
Pongezi Sana kwako dada,kifurushi kiliisha nikaamua kwenda kununua vocha,umeinjilisha vizur
Ni kweli kabisa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni BABA WA AFRICA, na wala si kwa ndugu zetu wa Tanzania peke yao. Hata na sisi tunajivunia sera na uongozi safi alioachia bara nzima la Africa. Mungu airehemu roho mahali pema peponi.
Kweli ni baba yetu
Huyu dada anatunza kumbukumbu nyingi big up my sister
Asante kwa history
Hongeren kwa kutufahamisha mengi kutoka kwenye familia ya baba yetu kigogo
Kabisa tumejua tuliokuwa hatuyajui
Hongera Sana Bint umetupa maelezo mazuri na kwa ufasaha mkubwa
Nyerere alikua anaishi maisha ya kawaida
Uko vizuri nakupa honger🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera kwa video timaam, love from Nairobi, ke
Hakika Mungu anatupenda Sana wa Africa .hyo ni mwafirika kweli na mzaledo kweli . Ndugu mmoja kutoka Kenya asante Sana kwa huo moyo wa wanawaafrica. Inatambua kweli tunu za kwetu..asante Mungu kwa zawadi ya julius Nyerere mwana wa Africa na mtanzania kweli. Daima nashindwa kusema maisha yake na Hali inayo tunzunguka Sasa watu wa Africa. waliyokuwa uzalendo hawapo tena zaidi tumekuwa makapi tu. Wapo wengine pia tuombe Mungu.
Hongera sana dada ujakosea napajua vizzuli sana
Asante kwa kumbukumbu hii .
😁😁😁eti Siku moja moja unampisha mwenzako,kazi nzuri dada.Mungu amlaze mahala pema baba nyerere.
Amina kama Amina
...Hujawahi kuniangusha
yaan unazagamliwa Kisha unapisha daah Raha kinomaa
Nimefarijika sana na kumbukumbu mlizotunza kwa ajili ya maisha ya baba wa Taifa.Nakumbuka kuwa alipostaafu wananchi walimpa vitu vingi alipokuwa anawaaga kila mkoa. Pamoja na zawadi alizopewa na Jeshi baada ya kushinda vita ya kumng'oa nduli Idd Amin, inathibitisha kuwa hakujilimbikizia mali za raia wengine kwake na familia yake.Alikuwa na heshima sana kwa kila mtu.Mimi binafsi,nilipata kuwa moja ya watumishi wa umma niliyepata kumtembelea mara kwa mara na kusafiri naye kwenhe ndege yake,ninashuhudia upendo aliokuwa nao kwa ajili ya kila mtu aliyekuwa mwema.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini lala salama babayetu wa taifa letu
Mungu awenaye Daima
Nilikuwa mwitongo 2022,nilitembezwa mahali hapa na huyu dada,Ndio eneo sahihi la kuona maisha ya kawaida sana kizalendo ya Jk Nyerere.
Asante kwa ujumbe
Dah Rest In peace Mwalimu! Hukujilimbikizia mali kweli....
From Kenya, listen the kiswahili sanifu
Karibu sana
Tumefurahia historia ya Mwl
Baba. Wa. Tarifa. Mungu. Amkumbuke. Sana. Amina
Napenda watazania
Dada upo vizuri mno❤❤
Namkumbuka sana nyerere
RIP jk nyerere japo umeiacha family yako gizani pia tunajua.haukufa bado upo uwasalimie wazee wetu huko na mtulinde kwa mabaya japo ulipingana na asili yako ila najua ulifanya hivyo kwa sababu ya kimamlaka ya hapa duniani tunakuombea uwe mtakatifu wa Afrika yetu tunaimani huta fanya kosa.amen
Acheni ushamba,utakatifu hauji baada yakufa biblia gani mliyo Soma kwamba utakatifu wa mtu huonekana akifa?mmelishwa matangopori,Soma,zaburi 16:3
Mungu akuweke pema peponi
Julius K Nyerere a true Catholic faithful.
Hakika kweli huyu alikua ni mcha mungu
Asante Kwa historia
Tutakukumbuka daima milele
Umetisha
Baba pumzika kwa amani ulikuwa jembe kwelilweli ukatuletea uhuru bila damu kumwagika. Afrika tutakukumbuka sana lala upumzike salama baba ndani ya nchi yako.Amina!!
Amina 🎉🎉🎉
Baba yetu Nyerere daima utaishi kweny mioyo yetu. Pumzik kwa aman Baba 🙏
Nyerere aliwapenda sana watanzania hukupora Mali
Dada umeelezea vzr sana hongera sana
Amina
Baba yetu Nyerere , , tunakukumbuka kabisa hasa ktk wakati huu tupo ktk Moto mkali, hekima yako inaishi na itaishi, rip Nyerere
Asante tutalitambelea kabuli la baba wa taif
Uk vzr dada hongera sanaa🎉
Tunashukuru Kwa kumbukumbu ya baba wa taifa na tunamuombea siku moja awe mtakatifu wa wote Amina
Ww ndio ulitupenda watanganyika hakuna Rais ambaye anaweza vaa viatu vyako Baba your the best
Mungu awalinde sana nyerere nawengine wote 😢😢😢
Apumzike Kwa Aman
Asanteni sana 🥰🥰🥰
Ubarikiwe kaka, kazi nzuri.
Salaam kutoka Zanzibar.
Mdada mpole pia anasauti nzuri
Huyu Dada anastahili kuwa hata mtangazaji huyu ndio mwanafamilia bora kwakweli anawajua watoto wote tena kwa usahihi
Wewe noma dada unaelezea hadi raha
Hasnte sana kwa hiyo Historia fupi ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Shujaa wa Ukombozi wa AFRIKA..
Sema kweli mm mwalim nyelele japo kuwa sjamkuta ila raisi ambae nafatilia sana istoria yake
Nisome kama mispeles nipo pande hizi huku za chato
Legends of Africa Julius nyerere. Kwame nkrumah, Nelson Mandela, jomo kenyatta🇰🇪. Without forgetting JPM.
Pumzika salama mwalimu nyerere
Uyo Nyerere aliwabagua sana waislamu
Acha usenge tumshukuru Nyerere makabila zaidi ya 100tunaongea lugha moja hakuna kubaguwana nenda Nigeria ukaone watu wanavyobagua na nchi za jilani sitaki kuzitaja so next time usifungue domo lako
Historya nzuri
Asant Mungu kwa kutupa nyerere asnt kuwa mzawa wa Tanzania na Mara.. ila sasa kaone stend ya mara km zizi la ng'ombe au kaulize stend ya Butiama km ipo..
Nzega, Igunga, Manyoni, Tarime, serengeti, Bunda, na baazi ya wilaya ndogo kuna stendi nzuri ila Butiama na makao makuu ya mkoa ni kituko... Nenda simiu mkoa mpya una stendi nzuri aibuuuuu
Ameeen
Nashukuru kujui hiyo
Good 👍
Dada kaelezea vzr kuliko mwandishi
🎉🎉🎉 Aminaa