@@sofiyabakari9730 kabisa ndio ahadi yake hiyo maana hata kama angekuwa haishi India na amepangiwa akafie huko angeenda tuu mda mchache kabla ya kifo chake huyo ndie Allah
Poleni napia Dada nakupongeza kwa jitihada zako namna ulivyo jitoa hadi kufanikisha mwili wa marehemu mdogo wako kufika tanzania, Mungu awatie nguvu ktk hiki kipindi kigumu
Ninachoona mm kifo popote kitakufwata msimlaunu marehem alienda kwaajili yautaftaji na mungu ameamua kumchukua akiwa huko mipango yamungu haina makosa R I P mrembo 😭🙌
Jamani msimlaum huyu dada Dominica..mnayajua maisha ya India au mnaongea tu..kifo kipo ni garrentee..but tumepewa akili tuitumie kimaisha..anaposema maisha yapo hapa nyumbani anamaanisha kitu kikubwa ..hongera Dominica na poleni sana..Allah awape subra..sisi sote ni wa Molla na kwake tutarejea
Jamani wanaomlaumu Dominica, keshasema mdogo wake aliondoka bila idhini ya familia, na hakusema kabisa anaenda India kufanya kazi gani na nini na akawa amekata mawasiliano na famlia!
Kiboko wasojali Mabalozi wa Oman na Tanzania alooo acha yaan hawawasaidii watanzania walokuwa Oman kwa lolote labda afe kam hivyo lkn kunyanyasika hawana msaada kabisa
Chakwanza nikumshukuru mungu kwanza kufanikisha kuupata mwili wa marehemu kishauwashukuru wa tz halafu ukumbuke maisha nipopote pale popote ulipo dunia hii kifo hakikwepeki dunia hii yote hayo ni mungu ndoapangae ahadi ikifika hakikwepeki nikumuombea maisha ya safari yake ya milele nikumuombea kwa mungu 🙏🤲niseme innalilah wainnailah rajiuon kazi ya mungu haina makosa rest in paradise shamona we miss u😢🤲🙏🙏
May her beautiful soul Rest In Peace 🙏🙏 ni wakati wa majonzi ila pongezi nyingi sana kwa dada wa marehemu! Amejitahidi sanaa.❤❤ Mungu wetu wa haki akawae faraja Kuu🙏
Dada MWENYEZI MUNGU Akutunze na akupe moyo huohuo,umepigwa mawe umeyaokota na ukayajenga ,walitaka usitoe kwenye mitandao ingewezekenaje? MWENYEZI MUNGU AKUFARIJI,Biloxi wa Tanzania nchini India, MUNGU ibariki Tanzania 🇹🇿
Poleni sana, it's not easy. Proud of my government for this, yeyote aliyefuatilia mwili wa Furaha kurejea just before uchomwe moto Mungu akuzidishie ulipo pungukiwa. That's how people do, tunasaidiana wakati wa shida na kwamba kwetu mwili wa marehemu ni lazima upumzishwe mahali salama, that's the only closure wapendwa wetu wanapofariki.
Umejitahidi sana dada angu pongezi kwako mwili umefika Congratulations dear. Hongera sana pia dada Marehem wetu ulienda kutafuta hukwenda kucheza India ulienda kutafutia watoto My
Hao waliofia ziwa Victoria wamefia wapi sio Tanzania kifo ni popote kikubwa tumche mwenyezi mungu angefanikiwa pia usingesema yote hayo tz nani atanipa mshahara was laki Saba elim yangu yenyew la Saba muombee Dua mzuri nauwalee watt Kwa upendo sote tunapitia Allah akutie nguvu inshallah
Kweli best kifo ni popote elimu yangu la Saba nitatoa wapi ajira mitaji yenyewe shida Kama nimeandikiwa kufua mbali sawa maana ajuae aridhi nitakayo zikwa ni ALLAH pekee
Poleni ndugu zetu tunajua munapitiya magumu kipindi hichi lakini hakuna ane jua kesho yake mungu awatiye nguvu piya amsamehe marehemu pale alipo koseya
Kupamba kupo. Tz. Hakusomeki. Njaa. Tupu ukikaa. Bilaya kitembeamijiyawatu. .. Mtihani maisha kwetu magumu ilatu tuende ki halali Bas kifo popote pale Allah alipokupangia kikubwa kuomba mwishomwema🤲
Pole sana jambo la kushukuru Mungu mwili umefika mpuzisheni marehemu haya mangine ni mipango ya Mungu maa all yeye ndo anajua utaenda kufia wapi kikubwa uzima na umri mrefu allha atulinde wote tulio kuwa mbali na family zetu lnshallha
Sawa Maisha yapo lakin nikuulize dada huyu ndugu amesafili siku nyingi hadi mlipokea mahali na mkaridhia aolewe huko sasa kwanini unalaum kusafili kwake. Maisha ni popote dada na kifo kipo sehem yoyote tu.Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon. Ni wakati wa kumuombea sio wakati wakulaum kwasababu kama Ulipata taarifa kwamba yupo kwenye matatizo ungepaza sauti kitambo sana ili arudishwe.
Aliondoka bila hata kuaga baadae ndo aliwasiliana nao akiwa huko tayari na wakamwambia arudi akagoma na hapo alikuwa amewaacha watoto tanzania ambao alikuwa ameshawazaa. Kupokea mahari ilibidi tu maana alikuwa ni mtu mzima mwisho wa siku huwezi kumpangia lakini kimsingi inaonekana hawakufurahishwa na maamuzi ya kwenda huko kuanzia mwanzo. Nadhani umeelewa
Mlie mkimshukuru Mungu ,mmeliweza lililokuwa gumu nimeumia kweli na vilio vyenu poleni wapenzi ndio mipango ya Mungu ,na Mungu Huwa hakosea Kila kitu kina Mwisho basi tumshukuru Mungu 🤲
Wamwangalie huenda wamemtoa figo mana figo ya mwafrica ni nzuri mno nasikia,,, mungu tusaidie turudi makwetu tukiwa waxima tumekuja kutafuta tuu maisja,,mungu nisaidie mimi na wengine team strong
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Inaumiza Sana jamani yaallaah tunakuomba utupe mwisho mwema amiin lnshaallaah
Poleni Sana
May Her soul rest n peace
Poleni Sana Ndugu Zangu😭😭
@@zuhurakaho1553 p0
Mi nahitaji kujuwa alikuwa kielim au kimaisha tu
Watanzani Wana umoja sana jaman Mungu ATUBARIKI 🙏🇹🇿
Huyu dada kichwa... Mungu awape faraja dada!! Ujumbe huo kwasisi mabinti maisha hata hapa Tanzania yapo tusiluke luke hovyoo
Kifo kipo popote
Ajali ngap zinatokea hapo tanzania mbona hamuachi kupanda magar?
@@sofiyabakari9730 true na zake akua zimefika
@@sofiyabakari9730 kabisa ndio ahadi yake hiyo maana hata kama angekuwa haishi India na amepangiwa akafie huko angeenda tuu mda mchache kabla ya kifo chake huyo ndie Allah
@@muhammadadam4769 naaam
Wamebaki kulaum serikali utazan ndo imeua
@@sofiyabakari9730 na angetaka pia angezikwa huko huko India hajatak tuu
Poleni napia Dada nakupongeza kwa jitihada zako namna ulivyo jitoa hadi kufanikisha mwili wa marehemu mdogo wako kufika tanzania, Mungu awatie nguvu ktk hiki kipindi kigumu
Ninachoona mm kifo popote kitakufwata msimlaunu marehem alienda kwaajili yautaftaji na mungu ameamua kumchukua akiwa huko mipango yamungu haina makosa R I P mrembo 😭🙌
Jamani msimlaum huyu dada Dominica..mnayajua maisha ya India au mnaongea tu..kifo kipo ni garrentee..but tumepewa akili tuitumie kimaisha..anaposema maisha yapo hapa nyumbani anamaanisha kitu kikubwa ..hongera Dominica na poleni sana..Allah awape subra..sisi sote ni wa Molla na kwake tutarejea
ana manisha kitu kikubwa gani? kitu gani hicho?
@@sleeprelaxation8431 asinge weza sem kumbuka huy mdg wake ulitak asem alafu mngesem anamdhalilisha
Jamani wanaomlaumu Dominica, keshasema mdogo wake aliondoka bila idhini ya familia, na hakusema kabisa anaenda India kufanya kazi gani na nini na akawa amekata mawasiliano na famlia!
Balozi wetu wa India ni kiongozi bora sana,
Kiboko wasojali Mabalozi wa Oman na Tanzania alooo acha yaan hawawasaidii watanzania walokuwa Oman kwa lolote labda afe kam hivyo lkn kunyanyasika hawana msaada kabisa
Chakwanza nikumshukuru mungu kwanza kufanikisha kuupata mwili wa marehemu kishauwashukuru wa tz halafu ukumbuke maisha nipopote pale popote ulipo dunia hii kifo hakikwepeki dunia hii yote hayo ni mungu ndoapangae ahadi ikifika hakikwepeki nikumuombea maisha ya safari yake ya milele nikumuombea kwa mungu 🙏🤲niseme innalilah wainnailah rajiuon kazi ya mungu haina makosa rest in paradise shamona we miss u😢🤲🙏🙏
Yaan huyu dada anajielewa sana tena sana Mungu afanyie wepec kwenye life yake.
Nakubal global mpo in time kutup hbr
Pole sana Dada yangu kifo ni fumbo
Kifo popote unakufa Kikubwa kumuombea Dua Mungu amuhifadhi Mahali pema peponi
Nikwel my
Aamin
May her beautiful soul Rest In Peace 🙏🙏 ni wakati wa majonzi ila pongezi nyingi sana kwa dada wa marehemu! Amejitahidi sanaa.❤❤ Mungu wetu wa haki akawae faraja Kuu🙏
Dada MWENYEZI MUNGU Akutunze na akupe moyo huohuo,umepigwa mawe umeyaokota na ukayajenga ,walitaka usitoe kwenye mitandao ingewezekenaje? MWENYEZI MUNGU AKUFARIJI,Biloxi wa Tanzania nchini India, MUNGU ibariki Tanzania 🇹🇿
Dah pole sana dadaangu mwenyezi mungu akutie nguvu pia nakupongeza kwakufanya jitihada ya kupigania mdoako mpaka umempata bwana akutie nguvu sana
Inaumiza sana rip mdada pia tujifunze vijana jamani pole wafiwa dada hongera umefanya kazi kubwa mweznyezi mungu akubariki 😢😢😢😢
Mja wa mwenyezi mungu popote umauti unaweza kumkuta hata angekuwa Tanzania tuamini siku yake ilifika Allah aiweke roho yake mahali pema in shallah
Tena wengine wanakufa hapo tanzania na wanazikwa bila familia zao kujua ni kuomba Mungu tu
Poleni sn
Poleni sana, it's not easy. Proud of my government for this, yeyote aliyefuatilia mwili wa Furaha kurejea just before uchomwe moto Mungu akuzidishie ulipo pungukiwa. That's how people do, tunasaidiana wakati wa shida na kwamba kwetu mwili wa marehemu ni lazima upumzishwe mahali salama, that's the only closure wapendwa wetu wanapofariki.
Pole sn dada yangu kipenzi, pia hongera kwakujuwa moyo wa mama uumavyo kwa mwana.
Waliweza kufanya kwa msaada mkubwa wa Mwenyezi MUNGU,,, mkatoe sadaka ya shukrani kwa hilo dada
Pole sana dada nyuma yako tupo pamoja mungu akutangulie
Daah😢😢😢😢😢😢 kaongea point sana 😢😢😢😢😢😢😮😮
Umejitahidi sana dada angu pongezi kwako mwili umefika Congratulations dear. Hongera sana pia dada Marehem wetu ulienda kutafuta hukwenda kucheza India ulienda kutafutia watoto My
Poleni ndugu zangu.mbele yake nyuma yetu.
Dada nimekupenda umongea maneo mazuri sana
Pole dada mwenyezi mungu azidi kuwatia nguvu
Asante dada umeongeya mambo ya muhimu sanaa Tena pole sanaa
Sihaba mwili umeletwa hilo.lakushukuru sana mtanzania mwenzetu kafika
Dada ana kipaj cha kuongea Mashallah
Poleni sana wapendwa Mungu awatie nguvu
Hao waliofia ziwa Victoria wamefia wapi sio Tanzania kifo ni popote kikubwa tumche mwenyezi mungu angefanikiwa pia usingesema yote hayo tz nani atanipa mshahara was laki Saba elim yangu yenyew la Saba muombee Dua mzuri nauwalee watt Kwa upendo sote tunapitia Allah akutie nguvu inshallah
😀😀😀😀Uko wapi ndugu mimi mwenyewe nakosha vyombo kwa mwarabu😄😄
@@suzansuzanei1143 all the best traveler may God guide you
@@michaelkungwi1835 😜😜👌
Hahaha 😂😂
Kweli best kifo ni popote elimu yangu la Saba nitatoa wapi ajira mitaji yenyewe shida Kama nimeandikiwa kufua mbali sawa maana ajuae aridhi nitakayo zikwa ni ALLAH pekee
Pole sana umewezaje ni Mungu amekumekuwezesha
Poleni Sanaa kumpoteza shamona
Pore dada don.mungu.akutie nguvu
Pole Dada maisha hat nyumbn yapo na kifo hat nyumbn kipo kikubwa tuombe Mungu ndug yetu apumzike kwa aman 🙏🙏😭😥
Yes kifo hata nyumbani kipo lakini dada anaongeakutokana nagarama walizo pata kuuleta mwili
Poleni Sanaa,, wafiwa mungu azidi kuwapa nguvu katika kipindi hiki kigumu,, 😭😭
inalilahi wainailah rajiun 😭 poleni sana wafiwa mungu awape nguvu amen 🙏.
Mungu ampe pumziko la milele .Amina
Nanyi wafiwa Mungu awatie nguvu na ujasiri zaidi.
Dada hongera kwa jitihada zako
Mungu nimwema sana
Domi ana sauti nzuri kuwa mtangazaji
Kumbe umeona Hilo yaan kama muandishi wahabari
Poleni jamani' Ila dada yake Shamona unasauti nzuri dada Mashaallah' napenda sana' unavyoongea dada
Yaan angekuwa mtangazaji ingekuwa ppa
Una shidaa dada na we looh
@@mwanaherhussani7425 shida ipi tena?!' kwa hiyo nishindwe kumsifia mwanamke mwenzangu Kisa nini?' lazima niseme kweli amejaaliwa sauti nzuri Mashaallah
@@rhodafredy2671 umeona ee
Poleni ndugu zetu tunajua munapitiya magumu kipindi hichi lakini hakuna ane jua kesho yake mungu awatiye nguvu piya amsamehe marehemu pale alipo koseya
Poleni sana wafiwa, M. Mungu awatie nguvu. Ameen
Mwanga wa milele umwangazie ee bwana apumzike kwa amani.
Poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Apumzike kwa amani amina 🕊️
Poleni sana wanafamilia wote dada kweli umeongea pont maisha hata Tanzania yapo ni kweli kabisa japo kifo kipo popote ila maisha tz
Dada upo vzr,pole kwa msiba
Je amefaliki kwa mapenzi ya mungu au amepatwa na tatizo gani huko
Amefalik Kwa marazhi
@@OmanOman-bx5du sababu naona Dada yake anasema rizki zipo nyumbani kwann tunaenda nchi za watu kutafuta nikajua labda kapigwa au kauliwa
Hata kifo popote ipo
@@OmanOman-bx5du aliondoka nyumbani bila ya kushirikisha ndugu Wala kuaga mtu yoyote ndio maana dada anasema hivyo
@@hawarajabuinalilahwainaila1895 nikweli ilana unawajua wadada wa mjini wewe,huwa tunadharau hadi wazazi yakitukuta ndo tunawapa wazazi preshaa
Kupamba kupo. Tz. Hakusomeki. Njaa. Tupu ukikaa. Bilaya kitembeamijiyawatu. .. Mtihani maisha kwetu magumu ilatu tuende ki halali Bas kifo popote pale Allah alipokupangia kikubwa kuomba mwishomwema🤲
Very smart sister. Blessings my dear ❤️❤️
pole sana jamn
Mungu awatienguvu .
Pole sana...dada umeongea point sana mungu awatie nguvu
Shukuru Mungu sana umepokea mwili kuhusu Maisha we tuache cc wenyewe tunajuwa tunapambana vp bhnaaa acha kunena ukamara
Kabisaaaaaaaaaaa asinene akamara ,maana kila kitu kinaenda kwa kuandikwa
kifo kipo popote sema ashukuru mungu ndugu yake kafika uku, kwan angekua uku asingekufa
jaman polen sana ndugu zetu! mungu awatie nguvu
Duu huyu dada nimempenda bule kichwa sanaa aisee daa
Dada anajua kuongea kujieleza Sana Sana ongera sana
Mungu hashindwi na chochote. Poleni Sanaa. Mungu akawe mfariji wetu sote.
Pole sana dada
Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu kwenu, na pia marehemu akapumzike kwa amani huko aendako. 13,11,22.
Amina
Hakika
Vijana msiende mbali huko
Hata hapa nyumbani Tanzania kuna maisha pia
Poleni sana wanafamilia rip
asante Mungu kwa kufanya wepesi mwili wa shomona kufika tanzania 🙏💖
Pole sana duuu ukubwa jalala
Pole Sana kabisa
Pole my umeongeyaa kweli
Ahsante nyingi Kwa watanzania
Pole Sana dada,na pia umeongea point mnooo.mungu awatie nguvu.
Mungu awape nguvu kwa kipindi ichi kwa Sasa poleni wote
Mungu ni mwema sana
Poleni Sana wanafamilia 🥲🥲🙏
Poleni kwa msiba nyote muliofiliwa
Grobal ipo vizur.uyo dada yupo vizuri
Pole sana jambo la kushukuru Mungu mwili umefika mpuzisheni marehemu haya mangine ni mipango ya Mungu maa all yeye ndo anajua utaenda kufia wapi kikubwa uzima na umri mrefu allha atulinde wote tulio kuwa mbali na family zetu lnshallha
Amin rabby Amin 🤲🙏
Poleni sana
Dada ameongea kweli huyuu,daaah mwenye masikio amesikia
Pole San dg wa marehem
Mungu amlaze pema peponi ampunguzie azabu za kaburi
Pole Sana dada mwenyez MUNGU akutie nguvu mpenzi 😭😭😭🙏🙏
Innalillah wainna illahy rajiun poleni sana dada mungu awape subra
Alhamdulillah jmn nilikuwa nalia mimi 😭😭
Poleni sana,sasa watoto mhindi hawatoi ,hii ndoo hasara ya kuishi na mtu mnajuana wawilituu
Watoto wame baki na mnaigeria
Sawa Maisha yapo lakin nikuulize dada huyu ndugu amesafili siku nyingi hadi mlipokea mahali na mkaridhia aolewe huko sasa kwanini unalaum kusafili kwake. Maisha ni popote dada na kifo kipo sehem yoyote tu.Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon. Ni wakati wa kumuombea sio wakati wakulaum kwasababu kama Ulipata taarifa kwamba yupo kwenye matatizo ungepaza sauti kitambo sana ili arudishwe.
Kumbe alienda sababu ya kuolewa nikajiuliza mbona dada mtu kam analaumu sasa kumbe anajua sababu daaa apumzike kwa amani
Kasikilize tena vizuri interview yake utaelewa anachokimaanisha
Aliondoka bila hata kuaga baadae ndo aliwasiliana nao akiwa huko tayari na wakamwambia arudi akagoma na hapo alikuwa amewaacha watoto tanzania ambao alikuwa ameshawazaa. Kupokea mahari ilibidi tu maana alikuwa ni mtu mzima mwisho wa siku huwezi kumpangia lakini kimsingi inaonekana hawakufurahishwa na maamuzi ya kwenda huko kuanzia mwanzo. Nadhani umeelewa
Dada shukuru ndugu yko utashuhudia maziko yke
Mlie mkimshukuru Mungu ,mmeliweza lililokuwa gumu nimeumia kweli na vilio vyenu poleni wapenzi ndio mipango ya Mungu ,na Mungu Huwa hakosea Kila kitu kina Mwisho basi tumshukuru Mungu 🤲
Dada unaongea vizuri
Wamwangalie huenda wamemtoa figo mana figo ya mwafrica ni nzuri mno nasikia,,, mungu tusaidie turudi makwetu tukiwa waxima tumekuja kutafuta tuu maisja,,mungu nisaidie mimi na wengine team strong
Aamin upo wapi ndugu yangu
Amina ishaallah
Poreni sana 😭😭😭😭😭famiria
Dominika wewe ni shujaa, pole Na hongera. Nimekupenda jinsi ambavyo una Uwezo mkubwa sana Wa kujieleza.
Nimeona pia hicho ulichokiona...huyo dada ana uwezo mkubwa sana
@@silverdavid6200 Asante sana
Duh kumbe uyu dada kafa jmn duh 😭😭😭😭😭😭😭😭pumzka kwa Aman
Poleni sana wapendwa
Mungu awatiiiie nguvu
Polle sana mungu Awe pamoja nanyi
Pole sn dada ila nimekupenda unaongea vizuri sana allah awape nguvu katika kipindi hiki kigumu inshallah 😭😭😭
Mungu awatie nguvu
Poleeenii
Alafu dada ana nidhamu adi raha anavyoongea mungu akutie nguvu uhangalie watoto wa Mdogo wako dada angu
Alihamdulillah mungu ni mwema maisha popote jamani kifo kipo Kila sehemu shida nyumban ajira hakuna
Dominica your one hell of a fighter! Your unstoppable God bless you and comfort you dear.
Mungu awatiye nguvu😭😭
Thank you
Poleni sana 😭
Hakuna anaye penda kuishi mbali na familia yake na kifo ni popote pole kikubwa umeupata mwili wa mdog wako mshukuru mungu basi
Usiongee sana dear kifo ni popote chaweza kukuta na zake akua zimefika, poleni sana
Pole sana wanafamily mungu awatie nguvu katka kipindi hiki kigumu