Msimhukumu huyu binti. Yeye ni binadamu amekubali kakosea. Mungu wake anasamehe nyie ni nani hata mhukumu wenzenu?. Hao wanaohukumu wana usafi gani kwani.
mashaAllah Tanzania kuna watu wenyewe roho nzuri Sana wallah roho nzuri Tanzania zinapatikana tupo masikini Sana Ila tunasaidiana na Hali zetu hizo hizo alhamdulillah
Ila wewe Dada suzi mungu atakulipia kwakweli umejitoa sana Dada hogera sana mungu ww ni zaidi ya binadamu❤ tusijadili alichokifanya tumsaidie arudi Tz hogera sana suzi wewe ni mfano mdugo wangu mungu akubaliki sana🤲👏🙏🏿
Pole sana recho mungu akufanyie wepesi urudi Tanzania salama ondowa hofu mwamini mungu tu suzi mungu akubariki kwa moyo mzuri na upendo ulinawo wa kumsaidia recho mungu atakulipa kwa wema wako
And unaweza kuangalia online Overstay one day ni Shingapi then ujumlishe siku ulizo but kuna penati which sijui watachaji vipi coz inategemea na Country
Ukome kufakamia maisha usiyoyajua. Ulifikiri kule ni kama utaishi hewani au? Tafuta kwa jasho lako. Mwanamke umeumbwa kwa thamani na mfano wa Mungu. Jitunze na uheshimu mwili wako. Utahmini mwili wako na heshima yako
Huyo mtu mpumbavu kama Anahaja ya kumsaidia sio kuwafamisha watu wote wasimsaidia bora kuludisha mzima kuliko corgo bei mala nane yake mungu Atabariki Ameen🤲🤲
Hii inshu hata sijui kama huyu dada kafanikiwa kuindoka huko Malaysia kuhusu overstay Malaysia ni malay 1000 sawa na dollar 250 sasa kutaka kujua kuhusu kujua ni rahisi kwenda migration au kuna site ya Malaysia migration kujua bei halisi ya kulipa
Uyo dada muongo jaman alikua anajiuza India nakaleta watoto wawatu 30 leo kawa mchumgaji Na shepherd alitengeneza 😀😀ila Tanzania shikamoo pretty kind acha uongo au toka ukivyong’atwa sikio akil zimeruka😂
Maninaa asaaa daaaaah mnaenda uzaa nyuchi yashafikaa ss ndo haya hebu muoneni anaongea na ilive yupo yupo tu.. over stay nendaa immigration utajua bill yk ulo over stay.. Mungu akusaidie kwa niaba ya Bibi yetu apo
Sasa huo ushauri unampatia nani? Mbona ulishindwa kuutafakari kabla hujaenda huko kujiuza? Kuaibishana tu, mnashindwa kufanya kazi mnataka maisha yaraha aiseee
Sasa SI huyu dada anakubali kua anajiuzaa Sasa nchi ya WATU utaenda vip kuuza tomato Kwa mji mgeni hujui yoyote Wala Huna familia,KAZI mbovuu ndio malipo hayooo
Mbona tunasafiri issue niwew unaenda kufanya ninn hizo nitamaa zimekuponza acheni maisha ya short cat asee mbona huku Gulf tupo safi tunajifanyia kazi mshahara tunapata tena mkubwa tuu hivi ukilipwa laki 8au laki9 au laki 5laki 6 jmn nindogo?? Kwabint jmn ee lkn wenzetu hawataki jasho liwatoke wanataka kitonga tuu pole sikuingine usirudie
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Mimi sitoita mtoto wa mtu malaya, katu, maisha ni mtihani, ni kila mtu ana dhambi hapa duniani, hakuna mkamilifu
Kweli kabisa
Upo sahihi
Kweli kabisa Mimi huwa simuhukumu mtu hatakama Yuko vipi ndo slogan ya maisha yangu
Upo sahihi sana
upo sahihi
Msimhukumu huyu binti. Yeye ni binadamu amekubali kakosea. Mungu wake anasamehe nyie ni nani hata mhukumu wenzenu?. Hao wanaohukumu wana usafi gani kwani.
Pumbavu zao 😒
Nakuunga mkono🎉🎉🎉
mashaAllah Tanzania kuna watu wenyewe roho nzuri Sana wallah roho nzuri Tanzania zinapatikana tupo masikini Sana Ila tunasaidiana na Hali zetu hizo hizo alhamdulillah
Alhamdulilah
Amina kaka
Amin ndgu
Kabisa Allah amubariki saaaaan
@@siporajemes773 nipo dada sio Kaka Mie mdada dear
Kweli kabisaaa Dada mtu yupo radhi amsaidie mtu akiwa kafaa akiwa Hai hawez kumsaidia
Token hapa wadangaji nyie fanyen kazi dada zangu msipende maisha ya juuu kisa umbo ukwel usemwe fanyen kaz uza hata nyanya
Pole dada mwenyezi mungu atakufanyia wepesi utapata msaada hamuna mkafilifu
Wanainchi wanamsaidia huyu binti tkt lkn ubalozi unashindwa kumsaidia mwananchi wake kumlipia over stay. Aibu hii
Balozi za Tz ni hovyo ukiwa huko nje asikwambie mtu
Kabisa yaani
Just imagine!!!
Hii ndio nchi ya ginimbi
@@timotimo5501 Wapo huko kula bata nje huko
Ila wewe Dada suzi mungu atakulipia kwakweli umejitoa sana Dada hogera sana mungu
ww ni zaidi ya binadamu❤ tusijadili alichokifanya tumsaidie arudi Tz hogera sana suzi wewe ni mfano mdugo wangu mungu akubaliki sana🤲👏🙏🏿
Siyo wa kumshukuru sana suzi watu wanatengeneza pesa kwa Mikasa hii. Watanzania wangapi wamelusha pesa. Ungesema nawashukuru watanzania sio suzi
Usiseme zaidi ya binaadam tafadhari 🙏🙏🙏
Suzy nayy siyalimkuta ha you hayo ya kudanga ndio maana ameona amsaidie tena Suzy alizalilishwa vibaya Sana Hadi pc za uchi
Amena bibi mungu awabariki wote wariyo msaidiya 🙏🙏🙏🙏
MY SISTER MY GOD WILL HELP YOU INSHALLAH 🙏 ❤️ 💓 ♥️
Mungu simama na hy mtt arudi salama dua zetu
Ebu acheni ujinga huyu ni muuuza madawa ya kulevya……analeta madawa ambayo yanauwa watu…..hana huruma na watu wengine…..mimi sina huruma nae
Mungu akufanyie wepesi..naimani Kila kitu kitakaa sawa..na Jumamosi Watanzania Tutakupokea Mwana Mpotevu..
Kwa kweli mwana mpotevu 😂😂😂😂
Mwenda tezi na omo maregeo ni ngamani
Bibi Mungu akutunze akupe maisha marefu zaidi, Recho wako atarudi Bibi na Mungu atamponya.
😭😭😭
Pole mwanangu!!!! Mungu ndiye anajua ,
Mungu anakupenda sana ndiyo maana amekupa uzima,
Jamaniiii bibi pole wallah nimelia kukuona unapiga magoti inshaallah atarudi kwa uwezo wa MUNGU 😭😭
Pole sana recho mungu akufanyie wepesi urudi Tanzania salama ondowa hofu mwamini mungu tu suzi mungu akubariki kwa moyo mzuri na upendo ulinawo wa kumsaidia recho mungu atakulipa kwa wema wako
Amiin ya rabbi amiin bibi Allah atajibu
😮recho wewe ni.mzuri sanaa. Rudi utapata mwenzio wa kukupa heshima. Na kupitia hilo ttz linazaa faida
Dada and God bless you
And unaweza kuangalia online Overstay one day ni Shingapi then ujumlishe siku ulizo but kuna penati which sijui watachaji vipi coz inategemea na Country
Pole Recho Mungu atakusaidia tuu utarudi na utapona
Hiyo over stay google andika how much should I have to pay for over stay penalty utaona
Mungu ajalie arudi salama na alotoa ticket mungu amlipe kheri kutoa ni moyo .
Inshaallah
Mungu awabariki wote walio saidiya 🤲🤲Recho Asante Mungu
Jamaniiiiii 😭😭😭💔 nimejikuta natokwa na machozi jamaniiiiii 😭
Maisha haya anayejua ni Mungu,Mungu akusaidie dada recho
Na huko Malaysia naona wasichana wengi wakienda wanachora matatooo mwili mzima! Sijui kuna pepo la tatoo huko🤷♀️🤷♀️
Daaaaaah pole cn my mungu atakuwezesha
Duh. Bibi miaka 85 sauti na afya bado bomba na meno anayo. Bibi ni mzuri sana. Enzi zake duuh🥰
Pole msichana wa Mungu
Dada wewe uliyemsaidia recho nimekupenda sana na kweli Mungu hakuja kuwatafuta watakatifu bali alikuja kuwaokoa wenye dhambi
Ukome kufakamia maisha usiyoyajua. Ulifikiri kule ni kama utaishi hewani au? Tafuta kwa jasho lako. Mwanamke umeumbwa kwa thamani na mfano wa Mungu. Jitunze na uheshimu mwili wako. Utahmini mwili wako na heshima yako
Pole. Sana. Bibi
Dah.. Mungu atunusuru..
Pole bibi ataludi tu 🙏🙏🙏
Pole saana kwakweli binti recho ukirudi nitafute upate kazi ya kupata Mia mbili Mia mbili
Na mie ntk hiyo kazi iwe ya halali lkn
🤣🤣🤣
Na aftatu
Yani nimejikuta hadi natoamachozi🤲🤲😭😭
Bibi yetu wa moto huyo 😂😂 haya tumekuelewa bibi etu wee
😂😂😂😂nikajua ni Mimi tu nmemuona
@@dijahmriri523 Majibu yake ni noma maashallah
Bora angekuja nnchi za warabu akaosha vyoo,kaz ya halali,angesaidia family yake kwa uhakika
Kbs tena miaka yake 2 angebadilisha maisha ya kwao sasa viza ya mwez 1 alitegemea angepata mamilion ya pesa ?
Tena angelea watt wake vzr na kuwasomesha shule za ghali na kujipanga vzr ki maisha yake baadae panapo uzima
Kweli
Hata huko Kuna kazi za ndani miaka tu na mshahara ni mzuri tu Sema yeye alirubuniwa lakini Zipo MI mdogo wangu anafanya kazi za ndani huko
@@nsumburoote2486 mshahara sio mkubwa alafu vitu bei kule sna
utafika nyumban salama Rachel Mungu Yu pamoja nawe
Huyo mtu mpumbavu kama Anahaja ya kumsaidia sio kuwafamisha watu wote wasimsaidia bora kuludisha mzima kuliko corgo bei mala nane yake mungu Atabariki Ameen🤲🤲
Mungu akuzidishie moyo wa huruma na upendo
Polee sana na hongera kwa kustukia maisha hayo..
Mm nimeona kwa mange kimambi wamempatia tiketi
Jamani Bibi😭machozi ya furaha yamenitoka Mungu akupe Maisha marefu yasiyo na marathi
Nyie namhurumia inshaAllh Mungu amsaidie arudi Salam inshaAllh
Amin bibi dua makbul
🙏
Huyo Kaka Hana akiri yeye ndio alikuwa a nataka kumtaperi
Alifata nini huko? Raha zenu wenyewe mnajitafutia kisha mnakuja kusumbua watu
Kwnz pole sana dada ili limekuw moja na y wanawake wengine jmn lizikeni na maisha yenu dada zng
Pole sana recho ktk mitihan uliopitia na pia mshukuru tu mungu ktk kila jambo
Jamani hiyo over stay mshuhurikieni arudi tutamshika mkono.
Machozi yametoka pole Allah akutangulie
😂😂😂bibi ety huwa siendi nae
Maskini wee Eeeeeh Allah atakupa shifaa
Utarudi kwenu msaidiya bibi yako
Huyu aliyetoa hii tickets ametoa sadaka kubwa kuokoa uhai wa mtu na Mungu hakika hato muacha bure inshallah na hayo pungukiwa pale alipo toa
Mange kimambi
Kwani amekaa mda gani hadi alipie over stay????
angekuwa tapeli angeomba pesa acheni dhambi jamani
Umeongea point yeye anachotak ni ticket tu na pesa ya overstay bas lakin lemutuz amemchafua balaaa
Pole sana mpe mungu nafasi zaidi akuteteeee
Hii inshu hata sijui kama huyu dada kafanikiwa kuindoka huko Malaysia kuhusu overstay Malaysia ni malay 1000 sawa na dollar 250 sasa kutaka kujua kuhusu kujua ni rahisi kwenda migration au kuna site ya Malaysia migration kujua bei halisi ya kulipa
Mungu amfanyie wepesi arud bora asaidiwe arud akiwa mzma aje atibiwe nyumban kuliko akose huduma alipo alafu akifia huko garama zitakua kubwa zaid
🤣🤣🤣Namm nitaondoka mchangee nirudiii
Inshaalaa utarudi salama
Maisha haya yanauwezo yakumdhalilisha yyt ila yakiwa hayajakukuta utasema umalize maneno, mungu akutete Rachel
Dah Yani maisha haya mtu ukiangalia Hali ya home mtu unapagawa alafu anawatoto wawil jamani dunia hii tusimlaumu ona apo palivyo kwao dah
Huyo Arudi bongo……..sasa kuna ubalozi huko ulipo kwanini usiende ubalozi wa Tz wakakusaidia
Overstay nadhani ni 10,000 Malaysian Ringgit (takribani
2, 344. 23 USD) au jela.
Uwiii
Uyo dada muongo jaman alikua anajiuza India nakaleta watoto wawatu 30 leo kawa mchumgaji Na shepherd alitengeneza 😀😀ila Tanzania shikamoo pretty kind acha uongo au toka ukivyong’atwa sikio akil zimeruka😂
Wewe ni muongo
@@luluthebrand7659 alikuwa hivyo ila sasahv kabadirika
Duuu, hela ndefu sana hiyo,hizi sheria za duniani hapa zinatungwa na akili za kishetani tu.
Alifata nini huko.?
Over stay she can check on line with her passport number,
Amina
Sisi binadamu akuna mkamilifu kama uwezi kumsaidia mtanzania mwnzako ata kimawazo nivizuri ukakaa kimia 2 kwasababu unaweza jichumia zambi nalaana kwakitu usicho naushahidi nacho jamani 😢
Acheni kudanga ni aibu nchi za watu ngumu
Amen 🙏 huyu bibi kanitoa chozi 😢
Ata mimi dah
Over stay ulipi ukifika airport wanakublock kurudi Tena iyo nchi for 5 years
Maninaa asaaa daaaaah mnaenda uzaa nyuchi yashafikaa ss ndo haya hebu muoneni anaongea na ilive yupo yupo tu.. over stay nendaa immigration utajua bill yk ulo over stay.. Mungu akusaidie kwa niaba ya Bibi yetu apo
Pole sana
Hilo swala la overstaying waambie ubalozi wa Tz hapo ulipo watauliza hilo jambo
Sasa huo ushauri unampatia nani? Mbona ulishindwa kuutafakari kabla hujaenda huko kujiuza? Kuaibishana tu, mnashindwa kufanya kazi mnataka maisha yaraha aiseee
Sasa SI huyu dada anakubali kua anajiuzaa Sasa nchi ya WATU utaenda vip kuuza tomato Kwa mji mgeni hujui yoyote Wala Huna familia,KAZI mbovuu ndio malipo hayooo
Loh kumbe alienda kujiuza
Malaysia dubai china Hongkong dada zetu wanauza miiili
Na india na kakubali anajiuza
@@ummySheikh72 tena India na kutolewa viungo
@@leokamil6284 hawakomi kwa njaa zao
Halafu hizo nchi hawapati soko, wanaishia kwenye mikono ya waNigeria
@@ummySheikh72 na Turkey 😀
Mbona tunasafiri issue niwew unaenda kufanya ninn hizo nitamaa zimekuponza acheni maisha ya short cat asee mbona huku Gulf tupo safi tunajifanyia kazi mshahara tunapata tena mkubwa tuu hivi ukilipwa laki 8au laki9 au laki 5laki 6 jmn nindogo?? Kwabint jmn ee lkn wenzetu hawataki jasho liwatoke wanataka kitonga tuu pole sikuingine usirudie
Achen kutilia huruma kwakutafuta wenyew makanga ,watu wakuitaji msaada wapo sio ninyi nyau
Bibi anashushua huyoo
Umeona eee
Unamjua
@@maryoommaryoom hapataki tochi apo kumjua au laa
Sio binti no mama ,mtu anawatoto anakuwa binti tangu lini?
Kwani alienda kujiuza jamani hawa watoto wetu hawa mungu awasaidie kwakweli
Ndio yani wapo wengi
@@aminakawawa5800 mtihani huu wallaahi allah awanusu kwakweli
@@rehematawalani733 kuna ubaguzi wa rangi nasikia dah
@@aminakawawa5800 jamani hivi hii tabia itaisha lining ya kubaguana mbona wanatunyanyasa ngozi nyeusi jamani
Duh! Kudanga?
Aende ubarozini tuu recho jamani rudi tuu uje upime afya yakee 😭😭😭
😭😭😭😭
@@salomewandya7257 yaani inasikitisha sana wanaotuponza majeti miee safari ya kuja oman niliogopa
@@shadyasalum192 Ni kweli dear hakuna msaada wowote
Ukirudi nyumbani salama unamshukuru Mungu🙏
Mawili yapo hapo. Kama sio mbeba unga au kahaba
Kwahiyo
Mimi nilikuwepo Malaysia, na nipo na marafiki uko Malaysia. Overstay lazima ulipie ,kwa pesa ya kenya ni 20k sijui kwa hela ya tanzania ni ngapi
😭😭😭mana bib Hanauchungu 😭😭😭
Kwan alienda kufanya nn
Ungekua hapa Dubai sahii ungekua usharud hatuna mbamba sie tunajalian watz na east Africa kwajumla,,
Someni msg zangunijuwe kiasi
Mbona huku mwisho, mama anakoroma kwa makelele megi ! makelele mengi ?
Bibi ananyoosha maneno safi sana
Sasa huyu chums Ilete mmm
Sasa Rachel ,huko kudanga ,mbona nyumba ya bibi hata sebule chafu ,
Nyumba si ya bibi kwani watoto wa bibi wapo wapi
Allahummaa amiin
Unajibu vizuri sana bibi sababu waadishi wanasodoooaa km qagen hapa