MTANZANIA ALIYEFUNGWA MIAKA 18 INDONESIA - ASIMULIA MPENZI WAKE ALIVYOMPONZA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 929

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 หลายเดือนก่อน +1

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @princessjoyce3076
    @princessjoyce3076 4 ปีที่แล้ว +5

    Jamani mungu akusaidie kessy nilikuwa nampango wakuja kukutembelea kwenye mang'ereza JARKATA INDONESIA kabla sijasafiri lakini bado nakuja Tena JARKATA INDONESIA after lockdown Kama mtumishi wa mungu nitakuja na ninamiini mungu atakuvusha.. Naomba jamani msiwe wepesi wakuhukumu.

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 4 ปีที่แล้ว +5

    Indonesia it's not a joke 😭 Jamani Indonesia siyo mchezo Mimi najua I travel alot to Asia with my husband for holidays when were young before we had children .Asia siyo kuzuri watu wabaya sana Kwanza hapo walipo mpaka Sasa ni kwa neema ya Mungu tu .

  • @fatumaseleman1579
    @fatumaseleman1579 4 ปีที่แล้ว +37

    Mungu ninusuru na kizazi changu 👏👏😭

    • @latifacholobi4283
      @latifacholobi4283 4 ปีที่แล้ว +1

      Hayajawakuta semeni muwezavyo ila Mimi nimemuelewa vzr tu raisi magu msaidie binti huyo kwakweli

    • @zainabbakari-vw4jy
      @zainabbakari-vw4jy หลายเดือนก่อน

      Amiin

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana Lilian
    Tulia ukimaliza miaka yako rudi nyumbani wasije wakakufanyia mbaya huko zaidi mtumaini Mungu atakuvusha

  • @asiamalonji5962
    @asiamalonji5962 3 ปีที่แล้ว +4

    Adi nimelia jamanii hatupaswi kuukumu yote ni kutafuta maisha na binadamu sote kwenye uelewa tumetofautiana doh mungu atusaidie

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 ปีที่แล้ว +12

    Waa hao ma Oga ni watu hatari Sana poleni may God see you through +254 🇰🇪

  • @peterdaud8905
    @peterdaud8905 4 ปีที่แล้ว +9

    Pole sana Dada Lilian na Purity Mungu atawasimamia mtarudi nyumbani salama. Muwe na Iman na matumaini.

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwaza mnabahati maana Sheria yauko Indonesia wana uwa watu wa wanao peleka dawa uko. Anyway poleni sana, ila wa Dada tamaana ni mbaya sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sabathdaychannel2985
    @sabathdaychannel2985 4 ปีที่แล้ว +6

    Poleni sana ndungu zetu Mkenya pamoja na mtanzania yote mnayo yapitia Mungu atawaokoa na mtatoka salama amen

    • @nanaaalice8921
      @nanaaalice8921 4 ปีที่แล้ว

      Poleni sana mpango wa mungu hauna makosa sauti zenu zimesambaa dunianikote huenda mkapata msada mungu ikopamoja nanyinyi.

  • @abuuaymankhudhaifa7981
    @abuuaymankhudhaifa7981 4 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana Lilian. Ila tatizo dada zetu wabongo mnashobokeaga sana jamaa wageni.

  • @mrsmrsjj1745
    @mrsmrsjj1745 4 ปีที่แล้ว +27

    Pole sana moyo unaniuma binaadamu hakuna mkamilifu tumuombee dua mwenzetu

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 27 วันที่ผ่านมา

    Tamaa ni mbaya sana. Hamna msamaha kwa muuzaji wa madawa ya kulevya huyu wangemnyonga tu huko huko Indonesia 🇮🇩

  • @piliomary8596
    @piliomary8596 4 ปีที่แล้ว +10

    Ni kwamba ndo kavurugwaa au mbona anatoa Story tofauti tofauti 🤨🤨Au kesi mbili tofauti ila zinakutana katikati 🤗 Haya pole kwake

    • @rachelkente8021
      @rachelkente8021 4 ปีที่แล้ว

      Mbona ndo vile vile na wewe wabongo kha!

    • @mwanajuma4743
      @mwanajuma4743 4 ปีที่แล้ว

      @@rachelkente8021 sio vile vile yaan yupo tofauti na kule alivyo,ongea kwa Millad

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 4 ปีที่แล้ว

      @@rachelkente8021 kasikilize vizuri

    • @nkiringikimagafusi9662
      @nkiringikimagafusi9662 4 ปีที่แล้ว

      Ni aseme yupo gereza gani watu wa Tz wakamtembelee wakahakikishe nikweli?

    • @nkiringikimagafusi9662
      @nkiringikimagafusi9662 4 ปีที่แล้ว

      Wa Tz wako wengi tu huko Indo wanaweza thibitisha hilo, yan sijasikia hata kataja gereza gani

  • @utaani1
    @utaani1 26 วันที่ผ่านมา

    Indonesia nishaenda sana kwa sababu nimeowa kule. Hata nimerudi juzi kutoka Indonesia. Wa Indonesia wengi hawajui English rabda mji wa Bali

  • @samwelhechei8537
    @samwelhechei8537 4 ปีที่แล้ว +16

    Pole sana Lilian naamini Mungu atajalia utoke, ila hili litakuwa funzo kwa wengine wengi.

    • @nashbeka9992
      @nashbeka9992 4 ปีที่แล้ว

      Samwel Hechei usimpe mtu Pole kabla hujajua stori yake..msaniii Huyu ana stahili malipo ya show zake

    • @samwelhechei8537
      @samwelhechei8537 4 ปีที่แล้ว

      @@nashbeka9992 sawa, ila amekiri alikosea Sana na Mungu ni mwenye Rehema nyingi sana. Pia ndo maana nimesema pia liwe funzo kwa wengine wenye tabia kama hizo

  • @hummymgaza6915
    @hummymgaza6915 4 ปีที่แล้ว +26

    Mmmh mbona story tofauti Na kwa Millard ayo 🤔🤔🤣🤣
    I don’t buy anything she sells.

  • @godwinmmari6692
    @godwinmmari6692 4 ปีที่แล้ว +7

    Hawa Ni watu wawili tofauti Lilian wa Millard Ayo na Huyu wa Global hata sauti zao Ni tofaut pia na story zao Ni tofaut pia

    • @julitabonganda1549
      @julitabonganda1549 5 หลายเดือนก่อน

      Ni mtu mmoja

    • @SalmaYoram
      @SalmaYoram 4 หลายเดือนก่อน +1

      Dada ni muongo anaongea maneno tofauti kwa millard AYo kaongea vengine na uku vyengine cjpendraaa jpo.miaka miaka mingi imepita sasa hpo cha kujifunza nn kule rafiki uku boyfriend wabongo tuache uongo tunawez kosa msaada kwa wepec😢

  • @estajoan1285
    @estajoan1285 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana Liliani ata ivo Mungu anakupenda kwa uku Indonesia ukipatikana na madawa ya kulevya ua wanauliwa apo apo kg mbili miaka kumi kg tano kwenda mbele unauwawa kabisa usjari Mungu atakufanikisha amen

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 4 ปีที่แล้ว +138

    Wadada ukimuona mnigeria kimbia kama kirusi cha corona

    • @emanuelmfanga5262
      @emanuelmfanga5262 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa kaka

    • @flowerpiusi7044
      @flowerpiusi7044 4 ปีที่แล้ว

      Heeeeeh iiih challengex

    • @ayushachidau6758
      @ayushachidau6758 4 ปีที่แล้ว

      Mungu atunusuru inshaallah

    • @ayushachidau6758
      @ayushachidau6758 4 ปีที่แล้ว

      Mungu atunusuru inshaallah

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +2

      Nina Kaaa na mnaigeria mwaka wa 5 na nyumba kankjengea. Uyu dada muongo mbona kwa milady aliongea vingine apa anasema vingine mmmhhh

  • @agapejosceline7683
    @agapejosceline7683 3 ปีที่แล้ว

    Duh pole sana dada.
    Najua ni vigumu kuishi gerezani tena mbaya zaidi mahali hakuna ndugu hata mja.sasa niki fika indonesia niku tafute wapi ?
    Naomba jina ya hiyo twon mahali una funga😭😭ila iwe fundisho kwako wa nigeria niwabaya mno

  • @tabithalimo2399
    @tabithalimo2399 24 วันที่ผ่านมา +1

    Dah😢😢😢

  • @barakashilumba1103
    @barakashilumba1103 4 ปีที่แล้ว +18

    Dah pole sana inauma yaan kosa la mwingine likawa lake napenda kumpa pole mungu atakusadia

  • @annieskitchen7210
    @annieskitchen7210 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana Lilian..May God lightenb Mheshimiwa JPM's heart to help.

  • @winniedaudi4670
    @winniedaudi4670 4 ปีที่แล้ว +8

    Sasa mbona story tofauti jmn 😃😃😃😃😃kwa stail hii utapata msaaada kweli nacheka lkn naogop😃😃😃😃😃

    • @roseedevooo1236
      @roseedevooo1236 4 ปีที่แล้ว +1

      Winnie Daudi yani hadi mimi nimeshangaa kwa millard ayo kabeba mwenyewe hapa kabebeshwa so which is which?

    • @neffycute7405
      @neffycute7405 4 ปีที่แล้ว

      Winnie Daudi yaan hadi mim nimeona nilitaka kusema Huyu muongo jaman

    • @tindokamuti8142
      @tindokamuti8142 4 ปีที่แล้ว

      Huyu Dada anatuchanganya sikuile kasimilua vyengine Leo vyengine

    • @winniesheba699
      @winniesheba699 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 27 วันที่ผ่านมา

    Wangemnyonga tu huko indonesia 🇮🇩 sina huruma kabisa na hawa watu wanaharibu sana ndugu zetu wanauwa ndugu zetu , wanawake wa kitanzania ni wababaikaji sana kuona ni mnigeria tayari amemkubalia awe mpenzi wake bila kumjua vizuri

  • @MightyLumber
    @MightyLumber 4 ปีที่แล้ว +6

    Mademu wa kitanzania ni hivi, anytime unatembea na mnigeria ujuwe unatumiwa tu, Mnigeria hawezi oa mtu mwingine kwa nia nzuri....Mademu wa Kitanzania wengi sana wanatumiwa na Nigerians kisha mwisho wa siku wanauliwa kinyemela.

    • @maryamnestory7788
      @maryamnestory7788 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa wale si watu hata 0 wauaji wale

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      Sio kweli ww amna ujualo ninakaa na wanaigeria miaka 6 sasa amna alipo ua wala kumtumia mtu.sikia nenda kwa milard ayo usikize story uyuu lili muongo kule kaongea vingine uku vingine yyt anae msema mnaigeria vby jua uyo amjui mnaigeria. Wanaigeria 24/7 wanawaza pesa tuu kwa deal tofauti sio kama wabongo kuuza sura wanaigeria wanajituma aijalishi utapeli au madawa wao wanataka pesa na ndio maana nchi yao imeendelea. Amna mnaigeria atae mtumia msichana bila sababu sio kweli lzm mkubaliane mpige deal na mgawane ela ila kuua sijui nn sio kweli mnawasingizia.kama kuoa wapo wanao oa nje na wengine kwao yan kama unavyo ona tz au nchi zingine. Mademu wengi nawajua wameolewa na wanaigeria dada angu kachumbiwa na kazaa na mnaigeria na anaudumiwa mimi mwenyewe naishi na mnaigeria najua mbinu zao zotee juu mpaka chini na awajah eti nishawish sijui ujinga gan apana aisee anadanganya uyo ni mdangaji tuu sema alitaka utajiri wa haraka

    • @MightyLumber
      @MightyLumber 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi Mimi sikubishii kwani huwajuwi many Bigerians in the diaspora. Kwa miaka 22 sasa nina deal nao here in the diaspora. Wenyewe (wale wazuri) wanakataza Waafrika wengine wasitoke na watu wa kwao for obvious reasons. Ila wewe wa juzi unabisha iko siku you’ll be surprised by them.

    • @samirakiango957
      @samirakiango957 2 ปีที่แล้ว

      @@euniceeunice7680 kwendraaaa ndo walewale wauza ungaa nyoooko

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 27 วันที่ผ่านมา

      @@MightyLumberwanigeria sio watu wazuri kabisa Mimi nawajua na uwa sitaki niwajue sana hawajui hao wanigeria

  • @FARAJIFADHILI-v6x
    @FARAJIFADHILI-v6x 10 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mdongo wangu Allah yupo uyu mwanamwanaume atakuukumu

  • @mahmoudmohamed344
    @mahmoudmohamed344 4 ปีที่แล้ว +5

    Acha Uongo huyo mwenye Taxi si ungshtua ama ungepiga fujo njiani ungepata usaidizi.Sema kweli ni mambo ya kutaka pesa za haraka.Hata kama haelewi ungemwambia hata kwa Action angeelewa kwani Wa Tanzania wangapi wapo ulaya ama wa maasai na wapo ulaya .

    • @MwanaidiHamisimtupa
      @MwanaidiHamisimtupa 4 ปีที่แล้ว

      Kwa millad ayo kasema aliaidia dola elf tano na kasema alikenda na rafiki yake

  • @elisanjichanyange5485
    @elisanjichanyange5485 4 ปีที่แล้ว +3

    Lilian unatuchanganya kama si kutuongopea stories moja kwa 2.. Kwa Millard kule unaongea tofauti na hapa. Acha wenge uweze kusaidiwa

    • @pichunakichuna2111
      @pichunakichuna2111 4 ปีที่แล้ว +1

      Mrogo sana amna mtu anaye lazimishwa kubeba madawa

  • @nabu.barbim9219
    @nabu.barbim9219 4 ปีที่แล้ว +1

    Jmn mkipataa mwanaumee tofauti na mtanzania kimbiaa mita elf 10

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 4 ปีที่แล้ว +3

    Subhannalllah hatari pole sana

  • @estabaro6538
    @estabaro6538 4 ปีที่แล้ว

    Mbona anatuchanganyia ma faili story tofauti sana 😱😱😱😱😱

  • @katikatisafaris
    @katikatisafaris 4 ปีที่แล้ว +3

    Alafu kwanni Media kubwa kama hii, mnatunga story za uongo mkituaminisha ni kweli.
    Iyo story Milad Ayo ametoa.
    Nyie mmekuja mkatunga yenu kupuuzi sana, acheni izimambo
    Tutanza shindwa kuwaamini kwa hali hii

    • @kwizerajamila6682
      @kwizerajamila6682 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa yani ndo namim nashanga yani tofauti na ili interview ya ayo tv

  • @marthamungure1777
    @marthamungure1777 10 หลายเดือนก่อน

    Pole sana. Mungu akusaidie

  • @johanamagesa7709
    @johanamagesa7709 4 ปีที่แล้ว +12

    Huyu siyo mkweli airport kuna immagration
    Pale wanakagua passport je.kuna security

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 29 วันที่ผ่านมา

    Waaah mungu wangu mpaka nimelia 😭😭😭💔🫂🙌 Mungu saudia 😢

  • @judesammy9643
    @judesammy9643 4 ปีที่แล้ว +3

    Poleni sana
    God heal you guys 😭😭😭😭😭

  • @lucky9285
    @lucky9285 3 ปีที่แล้ว

    Wadada kuweni macho na Wanigeria maana wanapenda sana kuwatumia Wadada wa East Africa

  • @ashura.sarige6
    @ashura.sarige6 4 ปีที่แล้ว +3

    Tamaa mbaya

  • @sandraasafisana811
    @sandraasafisana811 4 ปีที่แล้ว

    Inasokitusha kwa kweli poleni San mwanangu mungu yu pamoja nanyi maana daa maisha haya mpaka kufika mwisho ni mtihani.

  • @rogathekowero8099
    @rogathekowero8099 4 ปีที่แล้ว +5

    Nimelia sana.pole sana Lilian mungu ni mwema utatoka tu amin hivyo

  • @wildatmsellem7531
    @wildatmsellem7531 4 ปีที่แล้ว +2

    Story hai relate kabisa na ya mwanzo..mtu ata kama anataka kukusaidia anashindwa anakuhisi muongo

  • @moshimgaza5642
    @moshimgaza5642 4 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna mkamilifu ktk hii dunia kila mja anamapungufu yke.mkamilifu ni m.mungu t.
    Mh Rais magufuli msaidie huyu ndg yetu. Mungu atakulipa

  • @hamisijumanne4137
    @hamisijumanne4137 2 ปีที่แล้ว

    Duu pole Sana dada angu aiseee shida madada mnapenda Sana wanaume waela Ayo ndio mazala yake

  • @chalhaj8626
    @chalhaj8626 4 ปีที่แล้ว +7

    Wa Nigeria wabaya sana jmn 😏🤦‍♀️

  • @mohdalwaili5289
    @mohdalwaili5289 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole mama

  • @amotowntz6381
    @amotowntz6381 4 ปีที่แล้ว +4

    Yan we Dada ni Muongo balaa dah, kule kwa mirald ayo umesimulia tofauti na huku, ACHA UONGO DADA

    • @rahmamustapha4025
      @rahmamustapha4025 4 ปีที่แล้ว

      Kweli nakusapoti muongo sana maana story 2 tofauti

    • @amotowntz6381
      @amotowntz6381 4 ปีที่แล้ว

      Muongo sana aisee

    • @khalidndemo4386
      @khalidndemo4386 4 ปีที่แล้ว +1

      Usanii na uongo ndo ulompeleka jera aendelee kubaki huko mpaka anyooke

    • @nicedavid8536
      @nicedavid8536 4 ปีที่แล้ว +2

      Huyu dada kaongea uongo inawezekana wanomsaidia alimwambia abadili story aseme alilazimisha kumeza madawa ili asaidiwe kutoka gerezani, kwanini hakuwambia police ataje na hotel walipofanyia kitendo hicho,wangekamatwa maana lazima vitambulisho au passport itumike ili kupata hotel nchi za nje

    • @amotowntz6381
      @amotowntz6381 4 ปีที่แล้ว

      Itakuwa tunadanganywa hapa Wenda hata ni story za kutungwa tu

  • @AnnaMwikali-i1h
    @AnnaMwikali-i1h 26 วันที่ผ่านมา

    pole sana dadangu kwa mkasa

  • @ayoubhussein6625
    @ayoubhussein6625 4 ปีที่แล้ว +7

    Huyu ni muongo na mjinga kabisa anacho kieleza huku na alicho kiongea kwa Millard ayo ni tofauti kabisa

    • @nairobigirl5764
      @nairobigirl5764 3 ปีที่แล้ว

      Ghai ni muongo? Alisemaje huko

    • @Montana12-v2c
      @Montana12-v2c 28 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @Montana12-v2c
      @Montana12-v2c 28 วันที่ผ่านมา

      Dada ni muongo Sana huyu dawa hazimezwi Kwa mdomo mpuuuzi Sana huyu

    • @Montana12-v2c
      @Montana12-v2c 28 วันที่ผ่านมา

      Dawa zinaingizwa kwenye njia ya haja kubwa na sio mdomoni hapo Tu tayari kadanganya dayari

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 10 หลายเดือนก่อน

    Updates zake zipoje?

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 4 ปีที่แล้ว +3

    Wacha kujitilisha huruma muongo wewe umeona kimenuka ulipokuwa airport kwanini usipige kerere kama kweli kazi hukuitaka tutakuhurumia kwa mengine lakin madawa ya kulevya wewe ni muuwaji ndugu zetu wanapoteza maisha kwa ajili ya watu kama nyinyi tubia sana tena sana na uache tamaa na iwe fundisho kwa wengine kama wewe nakuombea utoke Salama na uache tamaa

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      Kbs awa mbwa tuu jiulize ivi wangefanikiwa wangesema? Wauaji awa

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 4 ปีที่แล้ว

    Dah! Pole sana ndugu.

  • @chynabongoo3563
    @chynabongoo3563 4 ปีที่แล้ว +3

    Pole gift dah😢mpopo ni rafiki pale anapokushawishi yani akishakuponza sio rafiki yako mpopo mpende tu mapnz kaz zake asikuhusishe tena mkazie kabsa

    • @claudiajames2003
      @claudiajames2003 4 ปีที่แล้ว +1

      Jamani who is mpopo?

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      @@claudiajames2003 mpopo ni watu wapigao kazi usiku awalali wanakesha so wanaigeria wanaitwa wapopo .

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      Uyo dada ni muongo alafu acheni kuwasingizia wanaigeria jamani mbona mimi Niko na mnaigeria mwaka wa 6 huu na bwana angu anaogopa biashara ya madawa kama ukimwi na ajawah ata nifundisha ujinga sema uyu dada alitaka pesa za haraka alizan atakua tajiri kama wengine. Swali ivi angefanikiwa Leo angetoa siri apa redioni?

  • @hamismpahaje9639
    @hamismpahaje9639 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana mdogo wangu allaha atakufanyia wepesi yatapita ayo ishaallah nakuoneya uruma sanaaaaa

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว +6

    Yaani ma sister kaeni mbali wana Nigeria sio watu hata kidogo kwanza Mafremason pili wazee wamadawa yakulevya musiwe tamaa bora muniombe mm hata Elfu 30/ntakupa usonge ugali... Pole sn LiLian

    • @solomtz7049
      @solomtz7049 4 ปีที่แล้ว

      Wanawake wa bongo wanatamaa alijua anachokifanya muongo huyo...hacha wewe kutuongopea sisi sio wajinga...ulikuwa na uwezo wa kukimbia...wamekugundua wenyewe...unajua mpaka majina yake ya uswahilini inavyoitwa....work....no mchezo wake

    • @gracemuhimba2982
      @gracemuhimba2982 4 ปีที่แล้ว

      @@solomtz7049 Yani amuombe mungu atamsaidia

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana lilian

  • @queenhusna5322
    @queenhusna5322 4 ปีที่แล้ว +4

    Uku kasema mnaijeria kwa Millard ayo kasema alikua na mkenya na rafikiyake ndio alimwambia kua ukitaka nyumba magari fanya biashara ya madawa. Na yeye akakubari lakini uku kaongopa ni tamaa zake mwenyewe kama za BINT KIWIZI

  • @paschalirweyemum1066
    @paschalirweyemum1066 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana liliani muombe mungu utashinda na utatoka

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 ปีที่แล้ว +6

    Mbona story tofauti?

  • @Fx_expertmoneymaker001
    @Fx_expertmoneymaker001 3 ปีที่แล้ว

    na ubaguzi sasa, ndio mnazidi kuteseka. Poleni sana jaaman..

  • @eugenejr.8844
    @eugenejr.8844 4 ปีที่แล้ว +3

    Mama's Love. Feeling sorry to her Mom.

  • @shannyasumanshannyasuman2613
    @shannyasumanshannyasuman2613 4 ปีที่แล้ว

    Pol sana wa naijeria siyo watu wazur iyi simulizi inaniuma sana kusikiya iyo simulizi pol sana dada yangu 😓😓😥😢😢

  • @happinesshezron9862
    @happinesshezron9862 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa tuamini story ipi maana kwa Millard story ni nyingine aaah

  • @alphonsinesingirankabo6274
    @alphonsinesingirankabo6274 4 ปีที่แล้ว

    Dada Mungu akutoshe fasi uko tutakulombea mungu akufungule

  • @ayoubhussein6625
    @ayoubhussein6625 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu hajafungwa maisha yamempiga uko anatafuta ela za kutumia uko jela gani utaongea kwa Uhuru ivyo

    • @farikkaqueen2367
      @farikkaqueen2367 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 maybe she is not in jela

    • @issaMsangi-z2k
      @issaMsangi-z2k 28 วันที่ผ่านมา

      Ndugu yangu usiwaze ivyo Mimi mwenyewe naongeaga naye usiku sana nayupo jela kweli namfaham nijrani yangu tena alikamtwa akiwa Mdogo sana

    • @RahmaFaraji-e2k
      @RahmaFaraji-e2k 23 วันที่ผ่านมา

      ​@@issaMsangi-z2kKwahiy mpk leo hajapata msaada jamani😢😢

  • @fathmaj4329
    @fathmaj4329 4 ปีที่แล้ว +2

    So sad...mungu akutangulie mdogo wangu

  • @happinessjameskiwone5580
    @happinessjameskiwone5580 4 ปีที่แล้ว +8

    Mmmh ulienda kwa aunt wa rafik ako or kwa boyfriend 😲

    • @aisatahaisatah2612
      @aisatahaisatah2612 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndonashanga

    • @happinessjameskiwone5580
      @happinessjameskiwone5580 4 ปีที่แล้ว +1

      Mmmh njian ya muongo ni fupi

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 4 ปีที่แล้ว +1

      Tena rafiki mkenya ndiye alimpeleka Indonesia

    • @happinessjameskiwone5580
      @happinessjameskiwone5580 4 ปีที่แล้ว

      Ndo tushangae😲 alienda maleshia kwa aunt wa rafik ake mkenya, akapata Dill la kwenda Indonesia Sasa imekuaje Uyo boyfriend 😲

    • @prisscakalasa4996
      @prisscakalasa4996 4 ปีที่แล้ว

      Tenaaaa,alidanga Tz akachokwa,akaamua akadange Malaysia....mwana kulitaka mwana kulipata

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 4 ปีที่แล้ว +2

    Lilian mbona kwa AYO TV umeeleza tofauti

  • @mwajumakweli7931
    @mwajumakweli7931 4 ปีที่แล้ว +26

    Uyu Dada muongo mwanzo alisema lafiki leo bwana tena mmh

  • @aberashsobokamerga2866
    @aberashsobokamerga2866 4 ปีที่แล้ว

    Aki poleni sana mungu awafanyie wepesi

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste2876 4 ปีที่แล้ว +15

    Uyu mama kaniumiza sana embu watoto tulieni jmn mnaumiza wazazi

    • @dominatryphone7027
      @dominatryphone7027 4 ปีที่แล้ว

      Jamani jamani

    • @yukundapeter7986
      @yukundapeter7986 4 ปีที่แล้ว

      Cku zile kwa Milard hivi! Leo tena tofauti,Usaidizi wangu ilikuwa MAOMBI,Kwa uongo huo komaa bibi,unakuta bint hataki hata kupika kula hotel,nguo afuliwe kwa hela wakati huna kazi,kujirusha,Naanzaje kumwambia Mungu huyu mdada awe huru,wakati alisema asofanya kazi axle?Kubali yaishe,maana ungetoboa waTz 2cngekunywa maji!.

  • @JumbaMercyline
    @JumbaMercyline 3 ปีที่แล้ว +2

    Ladies need to be so careful especially while dating foreigners. before you travel for vacation with someone make sure you trust that person very well.

  • @irenesikha7636
    @irenesikha7636 3 ปีที่แล้ว

    Yani lilyan fanya kitu kimoja ufunge nakuomba kila siku ili mungu mwenye afungue milango ili utoke mm namuonea huluma mama ako umemuacha pekeyake uku aise mm najua kila binadamu anamapungu yake namuomba mungu huu mwaka usiishe uwe umelud Tanzania 😭😭😭😭😭

  • @SamsungA-su2qj
    @SamsungA-su2qj 4 ปีที่แล้ว +5

    Wa Nigeria sio watu wazuri huku Doha wanafanya mambo mengi sana kama hayo yani ukimkubalia tu mapenzi basi lzm atakutenda tu dah ila nampa pole uyo ndugu yetu Lilian

    • @azizaz1628
      @azizaz1628 4 ปีที่แล้ว

      Ukiwanao safarni ni walokole hatar.tangu ndege inaruka wataimba wanasali mpa ndege inatuwa wao ni kuimba na kuomba

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      Sio kweli

    • @SamsungA-su2qj
      @SamsungA-su2qj 4 ปีที่แล้ว

      @@euniceeunice7680 kwa hiyo ww umeambiwa Utoe comment au ku replie watu

    • @SamsungA-su2qj
      @SamsungA-su2qj 4 ปีที่แล้ว

      @@euniceeunice7680 wewe comment tu unavojua achana kabisa na mm staki kukufaham acha

  • @moussamoussa6166
    @moussamoussa6166 26 วันที่ผ่านมา

    Kwanza ni stori ya kitoto, haina shingo wala miguu. Unajua ukifika Airport pale kaunta unakuwapo peke yako unafanya checking. Sasa kabla hata kuingia kwenye ndege alikuwa atowe ripoti pale plae kwa polisi, kabla hajapanda ndege. Unajua hizi stori za unga ndugu zetu ni tamaa wanakubali wenyewe kufanya lakini wakisha kukamatwa ndio wanasingizia wanaume zao. Ange Win angejisifu na akajiita yeye ni Hasla. Mimi nampa pole, lakini kazi ya madawa ya kulevya si kazi ya kufanya kwa kweli. Watu wanapenda utajiri hawataki kuwa masikini.

  • @summayyamaulid814
    @summayyamaulid814 4 ปีที่แล้ว +8

    dah pole cna dad Allah atakusaidia

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭Mungu amtete utatoka salama binti Mungu yupo pamoja nawe 😭😭😭😭😭

  • @jacklinengozi1122
    @jacklinengozi1122 4 ปีที่แล้ว +6

    Her story is not adding up.

    • @lizp6826
      @lizp6826 4 ปีที่แล้ว

      kweli nimeliona hilo too

  • @maujanjaonline
    @maujanjaonline 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimesikiliza stori kwa Millard na hapa Global, naona ni stori mbili tofauti lakini mtu ni mmoja.

  • @jefftv5151
    @jefftv5151 4 ปีที่แล้ว +4

    Hiv huyu Dada alikuwa anafikiria nini kutoa story 2 tofauti kwenye online media 2 kubwa Tanzania jaman..... Hata kama mtu unataka kumsaidia siunakata taamaa??

    • @estajoan1285
      @estajoan1285 4 ปีที่แล้ว +1

      Amechanganiyikiwa uyu yani aongei ukweli uyu itakua alienda maleshia ndipo aripo Kutana na ao wanaigeria na kumpa ayo madawa kwasababu wasichana wengi wana teketea nchin maleshia kwa kubeba madawa na chanzo ni ao wanaigeria uyu itakua alibeba kwa kujua na kuaidiwa pesa lakini Indonesia ukikutwa na madawa ya watu wanakufa apo apo kg mbili miaka kumi kg tano na kuendelea ni unauliwa apo apo

  • @hakimalia2275
    @hakimalia2275 3 ปีที่แล้ว

    Aisee pole lkn muache kudanga n wanaume w nchi z watu uwii😭😭😭

  • @takyatupu6839
    @takyatupu6839 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa tuamini hipi kwa millay ayo umesema umefanya mwenyewe bila kulazimishwa uku unasema umelazimishwa 💀☠

  • @aypoul107
    @aypoul107 4 ปีที่แล้ว +1

    Polesana lilian kwa ajali ya maisha

  • @christinaalexander1213
    @christinaalexander1213 4 ปีที่แล้ว +5

    Hivi wadada mnaotoka na wanigeria mnakwama wapi?

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 ปีที่แล้ว

    unajichanganya shoga ulisema shoga ako kwa millard huku unasema boy friend wako mwenzangu MAGU ashasema zamani ukikamatwa utatumikia kifungo sio kwa Magu pole sana kwa mitihani ila uckubali kuhojiwa sana mn watu watakua hawakuamini na hutoonelewa huruma mn hapa na millard story tofauti

  • @victorpeter182
    @victorpeter182 4 ปีที่แล้ว +3

    Naomba ifomeshen nzima mm nijue cha kufanya lilian kessy

  • @judithgeorge1756
    @judithgeorge1756 4 ปีที่แล้ว

    Dah 😭😭😭😭😭😭pole sana mungu atakusaidia

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 4 ปีที่แล้ว +3

    Hyu mschana mbona haeleweki kwa millard asema vingine na kma kweli alipata tabu wakati yupo hotel kupigwa na kumeza dawa kwann alipo fika Airport asiende direct kwa mapolisi asipande ndege ndio ingekua vzr, hzo ndio shortcut

    • @nassorolaizer8486
      @nassorolaizer8486 4 ปีที่แล้ว

      ummu adam sauti zake kweli

    • @abdallasalim324
      @abdallasalim324 4 ปีที่แล้ว

      Ndy hapo ulipofka airport ukwenda kw askari moja kw moja

    • @abdallasalim324
      @abdallasalim324 4 ปีที่แล้ว

      Ndy mjifunze mkiwaona wanaume au mademu wa kina Nigeria muwe makini saaana hasa nyingi vijana tamaa mbele mauti nyuma, na muache zinaa inasababisha matatizo, na tusipende short kati ya maisha, tufanye kazi za halali

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

    Mnapenda sna kuwashobokea wanigeria aisee wazungu wenyewe wnawajua vizur hao mbwa ni washenzi kupindukia alafu mnadil nao , Mnigeria ankuaje lafiki yako kmlamama yake.. Tabia za Shobo Dada zang zitawaponza

  • @vanillamziray9167
    @vanillamziray9167 4 ปีที่แล้ว +10

    😭😭😭😭

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh salisema ali shaishiwa na m Kenya ana haribu kubadilisha maneno nawakati anaomba msaada kwa serikari

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 4 ปีที่แล้ว +10

    JAMAN HII STORY NI YA UONGO EBU NENDENI KWA MILLARD AYO

  • @prisscakalasa4996
    @prisscakalasa4996 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh,pole sana,Ila mbona kule kwa Millard Ayo,ametoa maelezo tofauti,,

    • @iddishabuka2199
      @iddishabuka2199 4 ปีที่แล้ว +1

      Na ndo maana milard akaipotezea

    • @ashurakiduba9910
      @ashurakiduba9910 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu dada muongo alichosimulia millard ayo ni tofauti na maelezo sana

  • @dominatryphone7027
    @dominatryphone7027 4 ปีที่แล้ว +4

    Huku ndo umeeleza ukweli kwa mirlad umedanganya cjui ulikuwa unamuogopa..

  • @nuraalimata4670
    @nuraalimata4670 4 ปีที่แล้ว

    Wanawake wengi wa tz wanapenda iyo kazi sana tena sana kupenda utajii wahaaka

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว +5

    Awo wanigeria wengi wauza madawa ya kurevya t arafu wanigeria siyo watu wazr kabisa arafu uzinzi ndiy umekuponza

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @emanuelditto8355
      @emanuelditto8355 4 ปีที่แล้ว

      Acheni hizo jaman mateka huw yatokea alafu siyo kila mahusiano ni uzinz

    • @zulfamohamed4549
      @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว

      @@emanuelditto8355 sasa nani alie kuambia kuwa ukiwa na mausiyano yasiyo ya ndoa ya alali n n sheria nasiyo uzizi acha kupotoka na kufanya uzizi bila ndoa

    • @emanuelditto8355
      @emanuelditto8355 4 ปีที่แล้ว

      Mahusiano huanza kabla ya ndoa

    • @zulfamohamed4549
      @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว

      @@emanuelditto8355 ayo umejipangia wewe nasiyo mora wako alie kuumba

  • @GraceMakenga-zd1vn
    @GraceMakenga-zd1vn 9 หลายเดือนก่อน

    Mhg miaka 18 jmn kwan walimkuta na kilo ngap jmn mbon mingi sanaaa😢😢😢😢😢😢

  • @kingmavenga8913
    @kingmavenga8913 4 ปีที่แล้ว +4

    mbna hii stori ipo tofauti na namna alivosimulia kwa milladiayo.

    • @meshackphilipo7120
      @meshackphilipo7120 4 ปีที่แล้ว +1

      onesmo kibate ndio tofauti kabisa wakati mtu ni mmoja awa wanatuchanganya

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +2

      Ndo nashangaa jamani kwa milad alisema yy mwenyewe kakubali apa anasema vingine aiseee uyu dada inabidi aongezewe miaka tuu maana ni muongo

    • @jacksonpallangyo1369
      @jacksonpallangyo1369 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli Ndo nimejiuliza mbona iko tofaut kabisa na alivyo simulia kwa millard

    • @rehemawakulichombe6283
      @rehemawakulichombe6283 4 ปีที่แล้ว

      Nashangaaaa

    • @petermwamanda6754
      @petermwamanda6754 4 ปีที่แล้ว

      Ttofauti story

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +1

    Walimwengu uwa wanasemaga mfungwa achagui gereza yote ayo ni mitiani ya maisha ni kumuomba mungu tu muwe salama mpaka apo watakapoamua wenyewe kuwafungulia na kurudi nyumbani kujumuika na familia uku kurizungusha gurudumu la maendeleo mungu ataweka wepesi wake mtatoka salama