MUUZA MADAFU IKULU NI KOMANDO ALIYETUA NA HELIKOPTA? KATUONESHA ANAPOISHI “UKIJA VIBAYA NAKUKALISHA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 เม.ย. 2024
- MAPYA YA MUUZA DAFU WA IKULU, JE NI KOMANDO ALIYETUA NA HELIKOPTA? UKIJA VIBAYA LAZIMA NIKUKALISHE"
ALIYEUZA MADAFU IKULU AONDOA UTATA KUTUA NA HELIKOPTA MUUNGANO "UKIJA VIBAYA LAZIMA NIKUKALISHE"
Mnaotaka milard awakutanshe wawili hawa Gonga like
Hatuna hata shida nao. waendelee na maisha yao na sisi tuendelee na yetu
Mnachekesha nyny ndo nn ah 😅😅😅😅😅😅😅😅 upumbavu tuu hii nchi
@@EdwardSamson-uf1eeewaaaah
haiwezi tokea ata sikumoja kiukweli
Niyeye uyo mmoja
"ASKARI HACHAGUI KAMBI " pigia mstari hilo neno halafu twende sambamba na muuza madafu ikulu.
😂😂😂😂😂😂
Wanakuwaga hata vichaa mitaa muhimu hivyo yote yanawezekana
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Huyu jamaa Nyota yake inahitaji ikamilishe kusudi la Mungu Mh. Rais ampe tuuu nafasi'
Tunao tamani huyu jamaa akutane na yule comando tujuane hapa kwa like jamani
Kweli ili tuamini
j@@user-bo2ry2dy7xñdztþźc, d3e22&8i
yaani hajikutanishe mwenyewe aaah bado sijaelewa 🤣🤣🤣
Security top ukija vibaya lazma uka, Askar hachagui kambi, Raisi ajione yupo salma sanaa (kwa maana ya kwamba kila kona wapo) lugha ya mazungumzo inajielezaa - JAMANII SIO YEYEE ILA NA YY NI MIONGONI MWA WALIOMOO-. 2lio pata mafunzo ya kizalendoa JKT naomba tujiane kweny LIKE APOOH👇.
Huwez elewa kama haujasoma fasihii 😂😂😂
Komando huyu
Bado hajasema, kwa nini auze madafu ikulu na kwa nini yupo fiti kiasi hicho na kwa nini afanane na komando kama mapacha na kwa nini yupo flexible kwenye pikipiki kiasi hicho?
Tulopita jkt kauli kama hizo zipo kwa maafande ,Chengne muuza madafu gan wa nchi gan anaeweza kuongea kauli za kishujaa kama hvyo
@@sweetrayuzuwiya8375aiseee
Mnao taka Millard ayo aende kwa comando mpo gonga like hapa
Sio aende tu, waitwe wote tuwaone kama ni watu wawili tofauti
Akienda bila gadi ataambiwa akoroge mike iwe uji halafu anywe😅😅😅
😂😂😂😂😂
@@user-xy6ed7ve6rMILAD AYO MUWONGO WAWEKWE PAMOJA MDIO TUTAMUAMINI
@@user-xy6ed7ve6rwewe ndo una skil
mnao taka Millard ayo aende kwa comando tujuane kwa kugonga lake
Wakati wa Mungu kumketisha Mtu juu na Wakuu ukishafika basi amini imekuwa, Bila shaka kabisa ndio wakati wake huyu ndugu yetu kutimia ndoto yake katika maisha na hakika kupitia vinywa vya Watu pia hata kupitia tukio la kufananishwa na moja ya Komando wa JWTZ hii naiona kabisa katika jicho la KiMungu tiki kubwa na tayari imekuwa na zaidi ajiandae tu kupokea maana tayari fursa imeshamfikia mlangoni mwake.
AMUAMINI BWANA WETU YESU KRISTO
muuza madafu , anauza madafu hadi anapata hela ya kwenda kulipia chuo cha karatee.., tunaolewana vzr gonga like😁
Ha ha ha! Jamaa wanatuona watoto Sana! Tanzania ya gizani imeshapita! Hatujui kusoma sawa, Ila picha tunaona. Muuza madafu wa kawaida hana ubavu wa kuongea hivi. Anajua zimamoto, FFU, polisi etc.
Na ana bodaboda
Mmemsikia akisema "Hii ni security Top hazipitiki Njia" kwa wanaojua Hii ni kauli ya kijeshi jeshi
kwel kaka maana wana vibao vyao pia huwa wanaadika kuwa hakuna njia Amri😂
Na hapo wala sio kwake anazuga
Ni sawa ila hizo quote anazotumia zipo kwenye wimbo wa Dizasta vina Tribulations diss track
@@tamisiliwano5291😂😂
Iyo anamaanisha, security ya juu ya kulinda mipaka
Safari hiyoooooo
Majaliwa mwingine huyooooooo
Nchi hii ALLAH akiamua kukutoa kwenye Hali Moja kwenda juu hakuna wa kuzuia
mhhh nchi yoyote mungu akiamua kukuinua
Kama nakosoa nitasifia pia.
Hii ndyo Kazi ya Millard Ayo TV sio ule umbea siju aliposti mtandaoni mtapoteza uaminifu na Nita mshauri bosii wanotuletea udaku WA mtandaoni Awafukuze Kazi
Umefanya Kazi nzuri Sana bro nitamshauri boss aongezo kipato chako usithubutu kutuletea udaku!🎉🎉🎉🎉
Huyo ni komando, na yule wa jirani yake pia anaitwa captain paul Elias, kama mlifatilia maonyesho jana ndo alimtaja kama kiongozi wa wale makomando
Akai hapo
@@joycekaguo8476yaan mtu wa usalama mnaweza mkawa mnaishi naye sehemu moja na mkawa mnachakarika naye mtaani
@@johnmwandu2116 hii Nimecheka sanaa
Hqhah
@@johnmwandu2116 na kama ni demu anakupa na mzigo kabisaa
Walioshtukia jamaa ni muuza madafu wa mchongo,
👇
Hana ndevu na commando Hana ndevu kama umegundua hili ebu gonga like tujuane
Anaweza kuingiza sana sela
aliyekwambia komando hana ndevu ni nani, KOMANDO anaweza kuwa vyovyote kulingana na mazingira na hali
Umenipa akili😂
Makomando wana ndevu kama Osama sasa kama hujuii
@@jabiryyunus9782 unachosema ni kwel kaka ila huyu jaamaa anamaanisha komandoo aliyeshuka kwa helikopta siku ile hakuwa na uchebe na huyu wa hapa hana uchebe..
Nchi yangu naipenda sana, watu wake wanalala muda wanaotaka, kuna watu wanafanyakazi muda wote! Tuendelee kulinda nchi yetu kila mmoja!
Huyu atakuwa anafanya kazi muda wote. Kulala kwake ni kwa machale sana. Commando kutokulala kwa siku kadhaa ni jambo la kawaida kwao.
Watu wa hivi tunao wengi Sana, ndo maana kitu chochote kinapotokea kinachohatarisha nchi ni haraka Sana kukidhibiti! Pia alimhakikishia Mama Samia atembee kifua mbele Kwa jeshi letu liko macho!
Allahuma Amin
Dunia wawili kweli... Tunaomba uyu kijana awezeshwe...atafika mbali anakitu....mama yetu .SAMIA. SULUHU HASSAN TUNAKUOMBA. inua kipaji cha uyu kijana wako.....NA MNGU. AKUBARIKI📌🙏
Hiyo ni code..watafutwe ili wakutane hiyo ni zuga zuga baada ya mda uyo atapoteah na kurud kambin kwake
Anafanyiwa na uhamisho kabisa
Inawezekana ikawa co yy,lkn yupo ndani ya system kwa mtazamo wng!
hata mimi naamini hivyo..kwenda kuuza madafu ikulu sio jambo dogo
@@raymrash nenda kizembe, ukijua ni ordinary muuza madafu 😂
Jamani ni yeye uyo msidanganywe
@@itstwinshi2179😂😂
@MarthaTraceFrancis kabisa ni yeye bana hivi hata macho yanashindwa kuona kweli?
"Kama raia mnaacha kuuzima"
Tumekushtukia
Angalau ungesema"kama raia tunaacha kuuzima
Anajitahidi kuongea kwa kujiweka ndani lakini anajishtukia!
Hiyo kofia naijua hongera Ndugu
Hii kofia nili search hadi mtandaoni.
Nipe siri
Maana imefanana na ya huyo commando
Mimi watanzania na wa amini Sana kwahiyo wengi wamesema ni yeye Aya na mimi nasema ni yeye😅😅😅
😅😅😅😅😅
Sio yy
Namie pia ni yeye maana sio kwa mfanano huu
Kuna jamaa mmoja alikuwa secrets office. Akitoka nyumbani anatoka na suti bag ya lap top na gari. Sasa kuna rafiki ya mke wake akamwambia mbona anamwona mtu posta ni kichaa anafanana na mume wake?
Huyo dada alishtuka mume wangu kuwa kichaa. Yule dada ilibidi waongozane naye kwenda posta. Walipofika waliona jamaa kichaa anafanana na mume wake.
Basi walichukua baunsa wakamnyakua wakampeleka nyumbani wakamweka store.
Wakaa kusubiri kama mume atarudi nyumbani mpaka saa tano za usiku alikuwa hajarudi. Baadae yule bwana kichaa alibidi aseme ukweli kwamba alikuwa kazini.
Duuuh
Ndio zao Kuna rafiki yangu namjua vzr ndio kazi zake ivyo😂😂😂lkn kanambia ni sisemi watamuhua sababu Ana fichua siri za watu wengi
@@fatmamdihiri4164 kheee sas ua anapata faida gani
😂😂😂
kama huyoo secret service alishikwa mpaka na baunsa na kwenye usafiri akapelekwa basi alikuwa mzembe sana
Yeah God bless you
God bless you guy
Baas yule komandoo tuombe nayeye awepo kwenye interview na huyu nae awepo😂😂
HAPO SAWA
😂😂😂
Sindo huyo
Acheni kujichanganya ndo huyo huyo wee huon maneno yake Ni kejeli
Waje Wawili wote tuone
😂😂😂😂😂😂😂
Muuza madafu ajieleze vizuri namna iyo ata hakosei
Hongera Millard you're now halfway to get another TH-cam button
😂😂😂 safi sana nimependa mwamba huyu..yes huyu by mm ndiye yule ila taratibu haziruhusu kusema yess cz apo anakaz maalum..na yess be kwanza anahusishwa na yule mwamba alie kua muungano day.pili ana vitu vingi vinavyofanana na sifa ya komando mwenye mazoez maalum pia naye anyone mfano fighting skills..na sura plus mophology yan muonekano wanafanana so conclusion yess ndie..usalama wetu wa yaifa uko vzur safi sanaaaaa..❤❤❤❤❤
Namba yako nimeisave nitakutafuta komando wangu❤🎉
Utaskia namba unayopiga kwa sasa haipatikani
Security top hazipiti njia, askar achagui kambi, afu mwamba hacheki😂😂😂 i love Tz🎉
Umeelewa had ongea yake mmmh huwa hawasemi bana mi bado naona anakitu ndan yake
Ndio hivyo
Kackilizeni nyimbo za Dizasta vina..... mtaelewa
Ukiskiliza interview vzr utaelewa
Huyo niyeye. 1. Sauti zinafanana, 2. Wote wanavichogo, huyo komando pale jukwani aligeuka tazama kichogo na huyo muuza Madafu. 3. Mwili unene, kimo na rangi. 4. Swala la kuuza Madafu ikuru na kutumia pikipiki kuuzia Madafu, 5. Mazingira ya nyumba anayokaa na sifa alizonazo ni kweli anaekti kukaa hapo. 6. Huyo ni kamandoo lakini kitengo Cha usalama. Huyo ni mamba.
Leo anaongea tofaut na mwanzo mwanzo alikuwa anaongea kiha saiz anaongea vizur
Afu ni kweli.
Nimeliona hili
😂😂😂😂
Kbx yn
BAADA YA MIAKA MIWILI MTANIPA MAJIBU, ""acheni kuchokonoa nchi""
Muuza madafu anafanya mambo yote ya kikomando. Enewei😅😅😅
Kama ni komandoo na anauza madafu nampongeza anafanya kazi nzuri hongera sana bwashe
KWELI HUYU NI CHUMA
Anamsikiliza sana Dizasta vina
Mmmmh bwana watu ao nawajua vizuri umeona ilo buti na staili zake
Komando Kama komando picha limeanza ❤❤❤❤❤❤❤❤
Cha kwanza kabisa suruali aliyovaaa angalia kwa umakini ndo utajua.pili buti alilovaa tatu mazungumzo yake.nne yupo fitness kabisa huyo yupo kwenye sesytem
Hongera sana Madam Mshupavu na Mama wa mfano time will tell, Samia 2025 tunaimani na wewe kubwa sana Mama.
securuty top haipiti njia
Jamaa anakofia moja ya buku jero ila boot la laki na nusu
Kawaida iyo Boss si alikuwa mlinzi
😂😂 umeona
raia mkakamavu!! jah bless man one day yes
hahahahhahahaha umeona eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
😅😅😅😅😅😂😂😂😂
Mhuuuuuu,, like father like son
Angalia hayo macho mzee hyo ni hatari sana
Huyo ni afsa wa serikali
Uyo jamaa ni usalama wa taifa asikudanganye by fossil nikiwa Nairobi Kenya
Kweli kabixa
Watu wawili tofauti, mapua
Gonga like Kama unamkubali komando chapu hapa tiwazidi wote humu
Usafi (ndevu ), nidham ya maneno, confidence ... Una juaje mixed martia art ( combat)
Ni yeye huyohuyo tu
Mungu anatisha! Duniani wawili wawili Bora mwenzetu wapili yake yupo hapo hapo. Wewe Sasa wapili wako marekani.
Zingatia neno mama Samia awe na Aman kabisa Kwa lile jeshi aliloliona pale
Wa kwanza
Huyu yupo kwenye system 😮
Kabisa ndo yeye
Ni spy maybe anachunguza kitu mhh kazi ipo
@@wemakalama6458 mnamwonea tuu
Mama samia msappoti huyu kijana anaweza 💗
Maana Mama mwangalie Kama sie yeye basi muwezeshe Mama yetu
Mara ngapi?
WELL DONE
Ni yeye
Ogopa sana mungu na teknollj
Upo vzr Madafuboy kaz nzur
Nimshaur kitu Achana Na Interview Piga kaz
Kua nje ya Camera
Kitengo watakuekea kitengo maalum so Kua makini
Siri ibaki Sirini
Mtaji utaongezewa na majukumu utayatimiza
Huyu Kijana,kaka millard Ungempigia Promo, Natamani Angepata Hiyo nafasi ya jeshi akatimiza Ndoto zake, ningekuwa mtu mkubwa serikalini .ningempeleka jeshi huyu Kijana, MUNGU amsaidie Atimize Ndoto zake, Nawe Kaka Millard MUNGU ndiye atakae Kulipa,kupitia nyie Jamaa anaweza kupata nafasi serikali ikamuona. Ahsante
Hapo mngemfuata huyo mjeda na yeye ukweli ungejulikana huyo ni yeye anacheza na akili za watu
Sas unasema ni yey unauhakik?kuliko yeye anaejisemea?kwamba wewe ndio unajifanya unamjua sana au khaaa achen kulazmisha vitu ambvyo huvujui chizi wewe
Huwa hawaonekani ovyo,utampatia wapi hahahahhahahahha makomando
Sasa kama ni yeye itakusaidia nn
Ten itakuwa vzuri kama wakitutanisha nao wote wawili ili tulizike
Usikatizie rizki yake tumpigie kampeini achukuwe jeshini
Lakin Hii ni Security Top hazipiti njia 🔥🔥🔥
Nomaaaa
Maana ni kwamba mwanajeshi wa juu wa kulinda mpaka
top shelf 🌋
Hi ni lyrics ya moja ya wimbo wa dizasta vina anatumia kujimwambafai 😂😂😂
Siye kabx sema wamefanana tu🙌
Ila unatuchota. Wewe Mkuu bwana salute.
HONGERA SANA MILARD AYO KWA KUFIKISHA SUBSCRIBERS 5ML
Asifikishe Kwa upumbavu 😅😅😅😅😅😅
Wapo tofauti kabisa,
Na hasa ukiangalia pua zao ndio utaona utaona tofauti zao,ila wa bongo wakisha shupalia jambo si ujuwaga
👏
Good interviewer
Sawa kaka tuendelee kuuza madafu yetu,
Jukumu la kulinda amani na kudumisha umoja ni la kila mtu . Rais Ajiamini yupo mikono salama
Umesoma hizo kauli
Hio ni kauli ya kujua kua huyo ni mtu wa............
Kaka hizo lugha za watu wa hitifaki umetisha kwa kugundua hilo 😅
Apo me mwenyew ndio nlistuka..
Kauli ya kiume hiyo, huyo mwamba ndo yeye
Nakubali San mwamba
Muuza madafu ghafra Kawa star mara kanunua piki piki mara bishoo mara anataman awe jeshi mara anataman awe mwanamichezo mara ooh mara anakosa pesa yakulipa pango ghafra muuza madafu anamiliki boxer saafi kabisaa daah hongera sana kwake 👍👏 kweli maisha ni bahati
NB; huku mtaani hajanyoa mustach pale uwanjani kanyoa ndavu oya wanangu stukeni😅😅😅 ooh
😂😂
Huyo alikua asijioneshee yengelikua vizr zaid
Sio yy wamefanana tu
Kwanza mlitakiwa mitumie akili mboni aombi msaada😂
Asijioneshe aache kufanya majukumu yake kisa watu watamuhisi kua yeye n komando, halafu majukumu yake akayafanye nani
Security top hazipiti njiaa, ukija vibayaa lazima nikukalisheee sijui mnaelewaaaaaaa😀😀😀😀
😂😂😂😮
Yap security top lugha za kijeshi izo
😅😅😅😅😅😂😂
Mm naamgalia logo ya kofia yake tu😂😂atakua jasusi huyo
😅😅😅😅
Aisee
Pia tofaut
He is very bright. Kama siyo Askari basi mama mwangalie huyu kijana!
Yap! Kabisa kasoma mwelewa Yuko poa atatufaa ki kazi
Ampe mara ngapi mbona wabongo vilaza sana?
Kodi inakushinda huna simu kubwa lakini unamiliki boxer😅😅
Pengne hatakiwi kujionesha km huma
Acha kukalili maisha kwamba unamjua sana au?kwamba hio boxer ulimnunulia wewe yani useme yake?acha ufara na ushamba
😂😂😂😂😂😂
Hapo sasa
Hiyo ni kawaida wewe ndio mshamba
Niweeeee safiiii sanaaa
Duh
Ahahahaaaa muuza madafu mpaka unamiliki boxer mpya, ahahahaaaa, niwewe bwana ila tunashukuru kwa kazi nzuri ya ulinzi kwa Nchi yetu.
Alie beba namba ya comando, gonga like yako hapa chini
Chalii wangu namkubali sana
Kazi ya kudumisha amani ni ya kila Mtanzania. Gonga like
Vitu vingine ni siri za kiusalama sasa wabongo tumekomaa na mwana aisee, mambo ya Ngonswe tumwachie Ngonswe mwenyewe, utulivu tulionao hapa mamaland Tz kuna watu wenye dhamana ambao ndo kazi zao sasa media zimekomaa na hii ishu ya jamaa
Jamaa siyo yeye!! KWASABABU;
1.Huyu jamaa anavindevu(sharubu) yule komando hana kabisa
2. Muundo wa Pua huyu anapua ndefu kuliko yule komando
Duuu yaa wee jamaa😂
Wauza madafu huwa wana visu vikali saaana vya Likatia madafu rais alienda kununua madafu bila bodyguard yoyote hii inawezekanaje?
❤❤❤❤❤❤huu kisha trend
Jmn mama Samia sema neno bas kama sio yy mpe nafas jmn
Bongo kila mtu ni usalama hadi vichaa.
Nikiangalia pua zao kama tofauti kidogo au itakua ni pacha wake 🤔🤔
Na mustachi kwa mbali. Uko vizuri.
Au Mama yao alizaa pacha mmoja akapitea enz hzo ila najiuliza tu maan mmh
Kauli zake ni tata, very technical...
Umeona eeeh kazi ya kulinda amani kudumisha umoja ni kazi ya kila mtanzania haya ni maneno ya kitaalam kabisa😂😂
Huyu ndo yeye ❤❤bhana
Mpeni kazi huyu kijana naeeza anania halisi Rais sikilia ombi huyu kijana
Watu kama hawa wanakuaga wazalendo kwny kazi
Apewe kazi mara mbili??
Apewe kazi gani nyengine😊😂
Apewe kazi mara ngapi tena jamaaam?
Kwei bhana aajiliwe tena
Niyeye ila akiwakazini anajisafisha vizili namafuta mazuli naakiwa kitaa ana kua lafu Ili wasimjue tenauyo nimpelelezi waki kesho nawana mafunzo yakuweka miiliyao tofauti tofauti kulingana na mazingila aminini nawaambia
❤
Wow nimefurahi AYO MMEKUA WAKWANZA KU TULETEA HABARI
Jamani hata mimi nafanana na mawaziri naomba kazi ya uwaziri
Najarib kuunganisha dots kwann atrend kwa madafu , mara komando alaf mwisho ni mpambanaji mashuat, boxing hapo ngoja
najiukiza hivo pia
Yaan umejiuliza km Mimi, yaan hizo dots ukiziunganisha unamalizia kwakusema "NI YEYEEEEEEEEE"😂😂
Noma
😅😅😅😅😅😅 nchi yangu naipenda❤❤❤❤❤❤❤
Hawa ni watu wawili tofauti...
😂