UNYAMA: MUME AMPASUA JICHO MKEWE, KISA MCHEPUKO AMBAYE NI MKE WA MTU, MKE AANGUA KILIO AKISIMULIA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 450

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +23

    Mungu atakusaidia pole Sana, machozi yako yatajibiwa siku1.

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +5

    Dah pole sana mama aisee mama umevumilia mwisho ukaamua kutema nyongo kbs aisee Mungu nisaidie nisifikie huku jmn🙏

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว +3

    Maombi yangu kwawanawke wote ambao wanatembea nawanaume zawatu moto uwake kwenye miili yao Amina

  • @zainabukivale9571
    @zainabukivale9571 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana wewe mume wako mwenzio nimepigwa sana na mdogo wangu atali sana

  • @maureenrandiki9805
    @maureenrandiki9805 2 ปีที่แล้ว +4

    Dadangu maisha yako na wanao ni muhimu sana,, usiendelee kukaa kwa iyo ndoa kisa mume... pole sana kwa hayo yote unayoyapitia Mwenyezi mungu akujalie Amani.

  • @CostaAntino
    @CostaAntino 2 วันที่ผ่านมา

    Nkupe pole mama mungu yuko pamoja naww amina machozi yako yatalipwa hapa dunian

  • @Amylotu
    @Amylotu 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada ondoka kwenye hiyo ndoa, katafute maisha kwingine. Dunia ni nafasi. Siku Moja atakuuwa.

  • @rabsontryphon9254
    @rabsontryphon9254 2 ปีที่แล้ว +2

    Msijaji upande mmoja huwezi jua kilichofanya umpasue pasue ivo maisha aya kama haujaishi na mwanamke unaweza kubwabwaja sana lakn hawa watu tuombe mungu atusaidie maana jera tunaweza kuishia

    • @catherinemzurikwao3265
      @catherinemzurikwao3265 2 ปีที่แล้ว +2

      Kaka hakuna sababu yoyote ile inayohalalisha kumpiga mwanamke au mke wako. Mungu amewaamuru kuishi na wanawake kwa akili! Kwa hiyo, ukiona huna akili ya kuishi naye mwache tu kwa amani! Huyo hatembei na roho yako. Mlikutana ukubwani tu. Hekima ni kuachana kwa amani. Huo ni ukatili wa kijinsia na huyo Mungu uliyesema awasaidie, kivipi? Katika uovu huo au?

    • @ariphkimani3790
      @ariphkimani3790 หลายเดือนก่อน +1

      Usiombe huyu mama akawe dada yako ndio ungeona ulichoandika hapo

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 ปีที่แล้ว

    Masikini pole sana Dada Mimi kwa kweli ndoa ya namna hiyo siwezi kukaa bora kila mtu ashike hamsini zake siwezi kuja kuwa mlemavu wakati nimezaliwa na viungo vyangu vikiwa vizima.Mungu aendelee kuipigania ndoa yako.

  • @nassorowaziri3076
    @nassorowaziri3076 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole Sana mama Johnson na Mungu atawabariki na ugua pole

  • @marynyabenda4414
    @marynyabenda4414 2 ปีที่แล้ว +16

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭daaaaah!!!! maskini, uyu mwanaume mungu anamuona wallah!!!!

  • @bellatrixblack4491
    @bellatrixblack4491 2 ปีที่แล้ว +12

    Kazi za mawifi kuwatafutia kaka zao michepuko, aibu, subirini malipo kwa Mungu

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli mawifi tumezid khaa

    • @TatoTato-t7s
      @TatoTato-t7s 4 วันที่ผ่านมา

      Kwaiyo nawewe unamtafutiaga kaka zako wanaake

  • @jacklinemushi6723
    @jacklinemushi6723 2 ปีที่แล้ว +7

    Machozi yako hayata enda bure Mungu atakulipia mama

  • @dinagod173
    @dinagod173 2 ปีที่แล้ว +4

    Wanawake tunapitia mateso makali sana huyu mama kaongea kwa uchungu sana inaumiza sana 😭😭

  • @Lillian-qt6gi
    @Lillian-qt6gi หลายเดือนก่อน

    Mungu anaona na anasikia, dada pole sana. Mungu hamtupi mja wake 🙏🙏🙏😢

  • @MwantumuSogora
    @MwantumuSogora หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada mungu yupo pamoja nawewe

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว +17

    Jamani serikali yetu tunaomba msikie sauti ya huyu mama. Kuanzia ngazi za chini yaani serikali ya mtaa - mkiti,mtendaji,maendeleo ya jamii nk;kata,wilaya ,mkoa hadi taifa.
    Waziri Dototh Gwajima,tunaomba mama kwa hekima zako hili suala mheshimiwa likomeshwe,wanawake wanateseka sana. I wish to have the chance to solve this issues,i will do it in an equal without depressing anybody.
    Lkn hata kama mtu kakukosea kwnn msiachane kwa amani mpk mpigane hivi? Huu ni unyama tunaomba serikali yetu nzuri chini ya shujaa Raisi Samia Suluhu hili lisifumbiwe macho,huu ni unyanyasaji uliokithiri

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 ปีที่แล้ว +18

    Si uondoke dada. Kwani yeye ni bora kuliko uhai wako. Achana nae utauza roho hapo ndugu yangu. Wengine ni wauwaji,mume gani huyo sasa. Mapenzi gani sasa?!! Nakushauri tu uondoke,hiyo ni jehanamu
    Pia usiseme tatizo ni mwanamke ,mume wako nfio tatizo. Tusiwe tunatetea ujinga jamani huyu si mtoto mdogo kwamba hajielewi. Mapenzi yameisha, ondoka dada usijepoteza roho yako.
    Huyu baba ni pepo. Mungu awe hakimu wa hili tunakuomba ukazungumze na huyu masawe na dada yake

    • @collincarlos7433
      @collincarlos7433 2 ปีที่แล้ว

      Sikiliza anasemaj..kikubwa kwake ni wanae na sio mume tena.....

    • @sikujuasikujua9036
      @sikujuasikujua9036 2 ปีที่แล้ว

      Sasa Dada unapasuliwa unaangalia naeunamnyanyulia kitukizto haponikupasuanatuu mm skubali wallah

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว

      Aondoke na watoto wake,tatizo wanawake hatujishughulish anaona akiondoka nao atakosa chakuwalisha masikin

    • @zenakihondo5195
      @zenakihondo5195 2 ปีที่แล้ว

      Usiseme aondoke aende kwenyesheria sheria ndo itaamuua iuzwe nyumba mama akajenge sehemu nyingine.

  • @wakatiwaapolineapoline5508
    @wakatiwaapolineapoline5508 2 ปีที่แล้ว +4

    Daaah umeliza wegi we maman 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Ila kwa yote si mama na mungu tu utashinda

  • @FridaMtitu-d1y
    @FridaMtitu-d1y 19 วันที่ผ่านมา

    Pole sana roho mtakatifu atawale sana ndani ya maisha yako

  • @JaneMpole
    @JaneMpole หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana ndg yangu usikae na huyo atakumaliza anza ukurasa mwingine

    • @paulabelleghe451
      @paulabelleghe451 20 วันที่ผ่านมา

      unajua kinachowafanya wanawake wengi wagome kutoka kwenye miji yao niwatoto

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 2 ปีที่แล้ว +6

    😢😢😢Pole Sana mwanamke mwenzangu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana Mwanamke mwenzangu, ila mimi uwa sivumilii maudhi ya mtu akinitamkia waziwazi labda kwenye kazi ninayo subra.

    • @getrudathomas535
      @getrudathomas535 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa uvumilivu mwingine nikusubiri kuuwawa km mtu ametamka kwa kinywa chake nitakuja kukuua sasa anasubiri nini kuondoka jamani wanawake uvumilivu uwe na kikomo 😭tunauwawa kila siku sasa ndoa zimekuwa km vile vitani

    • @collincarlos7433
      @collincarlos7433 2 ปีที่แล้ว

      Isue ni watoto na kukosa makao

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 5 หลายเดือนก่อน

      Ondoka mama Mungu atakupa njia nyingine ya kuishi ukienderea kukaa hapo kitakukuta kitu Mimi siwezi aka kupigwa hapana

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว

    Pole mwanamke mwenzangu Ndoa ni kuishi kwa amani na upendo sio vyeti km hakuna upendo dada achana nae ww sio wa kwanza atakuua kweli Maisha yako mwenyezi Mungu ndie anayajua atafungua njia ondoka

  • @rithamalyagili127
    @rithamalyagili127 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusaidie Imani hayo mapito yashindwe

  • @kahindokanyana8735
    @kahindokanyana8735 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mwanamuke mwenzangu Mungu atakusaidia mtumainiye Mungu tu nami ndiyo ilikuwa chakula changu lakini Mungu alivyo waajabu kwa sasa napumua

  • @melensianakemanzi8325
    @melensianakemanzi8325 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nakuinua kwa machozi najua utasikia uyu mkuu wa ukoo Atukuzwe hawezi kukuishi wewe basi Mungu onekana kwa akiri ya uyu mama na watoto wake

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 2 ปีที่แล้ว +1

    Aiseeee!! Mungu tetea wanyonge Mungu wangu

  • @AbdillahSalimu
    @AbdillahSalimu 10 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada duniani kuna ndoa na ndoano. nadhani hiyo huenda ikawa ni ndoano usjali bwana wa majeshi atakupigania

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 ปีที่แล้ว +6

    Japo kuwa ni kweli wanawake wa kichaga ni korofi lakini mi sna muda wakumpiga mwanamke hata akinikosea! Afu wana tabia ya kuwanyima waume zao haki zao za ndoa afu mwanaume ukienda nje ye ndo wa kwanza kulalamika mno! Ni washenzi flani hivi! Mwanaume uspo tumia akili unaweza kumuua!

    • @happynessgervas2743
      @happynessgervas2743 2 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo ukinyimwa ndo umpige mtu kiasi iki

    • @mr.machange1377
      @mr.machange1377 2 ปีที่แล้ว

      Ndo hivyo Kabla ya kuoa tusikurupuke tumwombe Mungu sana

    • @miriamcheya3136
      @miriamcheya3136 2 ปีที่แล้ว

      Kukunyima c tabia zako na c lazima mpk nitakapojisikia

    • @ramlajuma2563
      @ramlajuma2563 ปีที่แล้ว

      Aseeeee umeniuwaa mbavuuu

    • @GatekaFatma
      @GatekaFatma หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Kumbe wanabana vitu sn iyo noma

  • @ashurajuma9086
    @ashurajuma9086 2 ปีที่แล้ว

    mtangazaji pole kwa kazi ngumu,,haya sasa mtulize

  • @eliafilembasha2512
    @eliafilembasha2512 2 ปีที่แล้ว +6

    Umeniliza jaman dada pole basi usilie jaman😭😭😭

  • @ElizaDanieli
    @ElizaDanieli 9 วันที่ผ่านมา

    pole sana dada angu

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada yangu

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma หลายเดือนก่อน

    Imebaki akutowe roho Achana nae uyo ameshavaa ushetani mimi siwezi kuvumilia mwanaume Mwenye Kupiga yalinikuta ila nilijivuwa mapema tu ni kaenda kwetu naniliolewa na mungine na ipo slm usikubali kufa kisa mwanaume usijali dada mungu yupo atakulipa insha Allah

  • @phibijuilus7748
    @phibijuilus7748 2 ปีที่แล้ว +4

    nimejikuta ninalilia me mwenyewe😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 chozi lako halitaenda bure dadayangu

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 ปีที่แล้ว

    Mwangalie Mungu hata katika hilo yeye atakutetea hatakuacha hata ukamilifu wa dahari

  • @RoseTembo-e2c
    @RoseTembo-e2c 2 หลายเดือนก่อน

    Massawe mungu anakuona utajuta

  • @monicamushi5192
    @monicamushi5192 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuteteee tuuu dear

  • @enjoomaliya1399
    @enjoomaliya1399 2 ปีที่แล้ว

    Pole xn dada yangu .

  • @ashurajuma9086
    @ashurajuma9086 2 ปีที่แล้ว

    pole sana dada..ila nenda kwenu usikae kwa huyo mwanaume. .leo unahojiwa hapo kesho tutakuja sikia umekufa,,

  • @steramwanakira7183
    @steramwanakira7183 2 ปีที่แล้ว +2

    Very painful
    I really cried so so sad

  • @ivonasangawe7185
    @ivonasangawe7185 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dada mungu amesikia kilio chako

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 ปีที่แล้ว

    pole sana Aunty mungu.atakusaidia

  • @tabynas4485
    @tabynas4485 2 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka.jins baba angu alikua anampiga mama angu toka anawatoto wawili lakini mama angu alipambana na kuvumiliaa mpaka kutulea wote sita.....my mom pambania ndoa yako.pambana mpaka Mungu ajivunie uanamke wako....Mungu yupo pamoja nawe

    • @suziemichael4338
      @suziemichael4338 2 ปีที่แล้ว

      akifa je? aliyesema ndoa ni kuteseka nani?

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mungu atakusaidia atakuua

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 2 ปีที่แล้ว +3

    Duh huyo sio mbavu zako dada atakuja kukua jamani nimelia sana pole dada 😭😭😭😭😭

    • @godytiphil3745
      @godytiphil3745 2 ปีที่แล้ว

      Daaah pole Sanaa mama munguu akujibu sawa sawa na haja ya Moyo wakoo

  • @user-cl2jr3re4s
    @user-cl2jr3re4s 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama umechoka mtoto wawatu mrudishe na kama yeye ndio anamakosa mrudishe lkn kuumiza mwanamke hvy hata mm sisaport shemeji umfanye dada yang hvy au mdogo wangu lzm nikufiche.

  • @lekumolukumay6832
    @lekumolukumay6832 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana my Dada inauma sana

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada Wacha na huyo mwanaume

  • @mwasitishabani7014
    @mwasitishabani7014 2 ปีที่แล้ว +7

    Duuh😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭wee mwanamke umeniliza, pole sana Allah yuu mwema yupo pamoja nawe,

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana 😭😭😭😭😭

  • @philipojohn7510
    @philipojohn7510 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole mommy nimelia jamani usikate tamaa mungu atakutia nguvu

  • @nyamosetitimothy9639
    @nyamosetitimothy9639 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mwanamke mwenzangu

  • @tunguchagu157
    @tunguchagu157 2 ปีที่แล้ว

    you are a good comedian! big up

  • @shi5a_
    @shi5a_ 2 ปีที่แล้ว

    M mungu atakusaidia mungu anamuona huyo baba hasbiyallah waneema lwakil

  • @agreysteven
    @agreysteven 2 ปีที่แล้ว

    Duuh aisee pole sana

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 2 ปีที่แล้ว

    Pole dada polee

  • @lewinakilaja4658
    @lewinakilaja4658 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Mama angu mungu atackia kilio chako

  • @agnethaadabath6718
    @agnethaadabath6718 2 ปีที่แล้ว

    We mwanaume mungu akuhadhibu

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 2 ปีที่แล้ว +4

    Ila na cc wanawake jmn mpaka unapigwa hivi upooo tuu,mm hapana kwakweli ningesha chapa lapa na wanangu saa nyingiii,mpaka aje akuue ondoka mwanamke mwenzangu usiogope maisha.

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 2 ปีที่แล้ว

      Na lazima nimueke alama na yeye, hata akiwa usingizini

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +3

    Nikae mpaka nipasuliwe jicho nasubir nini 😔😢

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 2 ปีที่แล้ว

      Muhimu hapo ni kuachana tu tumesikia maneno upande umoja ili tuhukumu kwa haki tumsikirize na mwanaume kosa hapo naliona kwa huyo mwanaume ni kumpiga kipigo kibaya Kama hicho haifai Hilo ni kosa

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 2 ปีที่แล้ว

      Wanawake wanauzi Sana Sana ndio maana sisi waislamu tunakitu kinaitwa taraka hapana huyo mama tusiamini maneno mpaka tusikie na upande wa pili mbona anangangania nyumba anasema hatoki huyo mama muongo anaonekana Tena anagubu muongo huyo anataka huruma tuu kosa hapo la mwanaume ni kumpiga namna hiyo tu rakini huyo mama anaonekana anashida sio mkweli angarieni Sana jamani

  • @mariamibrahim3976
    @mariamibrahim3976 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwahio bado upo hapo unavumilia ndoa jamani wanawake tunakwama wapi daah! Ngoja akutoboe nahilo lapili uwe kipofu kabisa watoto wakubwa hivyo lakin unavumilia usenge kwenda tena nanzima data. 👹👹👹👹👹👹

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchepuko nomaaa sana

  • @grace-zj6sq
    @grace-zj6sq 2 ปีที่แล้ว +3

    Tena ni mchaga wa masama lemira daaah!pole sana dada yangu

    • @nathanamon6876
      @nathanamon6876 2 ปีที่แล้ว

      Huyu mumewe lazima aseme yote

    • @laitnessmwacha7338
      @laitnessmwacha7338 2 ปีที่แล้ว

      Yani huyu kaka ukimuona huwezi amini ana huu upuuzi mbwa huyu

    • @monicamushi5192
      @monicamushi5192 2 ปีที่แล้ว

      Wachagga wengi n Malaya tuu

  • @florenceelikana3040
    @florenceelikana3040 2 ปีที่แล้ว

    Pole ssna dada,serekari msaidieni huyu dada jamani

  • @dianakamsoka2475
    @dianakamsoka2475 2 ปีที่แล้ว +4

    Usimsingizie mwanamke n ujinga wa mmeo ,,, Kwan uyo mchepuko ndo anamtuma akupige???

    • @mwasitmangi6519
      @mwasitmangi6519 2 ปีที่แล้ว

      Ww utakuwamojawapo katika kuharibu ndoa za watu mungu anakuona

    • @happinesssamwely4796
      @happinesssamwely4796 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaa subiri yamkute

    • @softena1002
      @softena1002 2 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli anamwonea tu mwanamke mwenzake,kwani mumewe ni mtoto mdogo hadi achukuliwe na mwanamke mwingine na adeke kabisa eti nimechukuliwa,yeye ni mwanasesere,waache kuendekeza wanaume 😆😆😆unamshambulia mwanamke mwenzio ilhali mumeo ndo ameyataka

    • @softena1002
      @softena1002 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli anamwonea tu mwanamke mwenzake,kwani mumewe ni mtoto mdogo hadi achukuliwe na mwanamke mwingine na adeke kabisa eti nimechukuliwa,yeye ni mwanasesere,waache kuendekeza wanaume 😆😆😆unamshambulia mwanamke mwenzio ilhali mumeo ndo ameyataka

    • @marrypius576
      @marrypius576 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@softena1002ni malaya unaonekana

  • @mariombinda3445
    @mariombinda3445 2 ปีที่แล้ว

    Pole Dada ila kulia bila kuwa na maamuzi nalo tatizo !! Ila msamehe bwana ongeza maombi ili nawewe usamehewe yako kwa mungu!! Mengine huwa malipizi ya maisha yetu ya nyuma au vizazi vyetu vya nyuma!! Piga goti omba mungu sana na samemehe!!

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว

      Amsamehe

    • @mariombinda3445
      @mariombinda3445 2 ปีที่แล้ว

      @@neemazee1864 ndio amsamehe kwanza ni mume wake!! Ingawa kamfanya vibaya msamaha unanguvu zaidi kuliko visasi !!

  • @zuwenazuwena8657
    @zuwenazuwena8657 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke akijitoa mhanga na kulia hivi mi uvumilivu unanishinda mungu simama na uyu mama

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 2 ปีที่แล้ว

      Mm ndio sitaki hata kusikia uvumilivu wa hivi

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mama,

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa dada, kama huna uhakika na hujawafumania, kwanini unamhukumu mumeo?, pili, kama ni mke wa mtu, iweje mumeo aweze kuwa naye kiuwazi kiasi hicho? Mimi nikiangalia kwa jicho la tatu, hiyo dhana yako kwa mumeo ndiyo inayomkera kiasi akaamua akwambie kuwa huyo mwanamke ni wake, ili upambane vyema na hisia zako. Hapa unahojiwa maswali , kabla mwanahabari hajamaliza kuuliza wewe umeshaanza kujibu, huna muda wa kufikiri kabla hujasema au kutamka neno, wanaume wengi hawapendi wachonga midomo, atakuua kama huna hekima, shauri yako. Tatu; umesema huyo mwanamke ni mkubwa kuliko wewe; sasa unashindwaje kujiongeza ukamshinda mapigo kikongwe huyo. Nadhani msaada unaohitaji si wa pesa bali unahitaji Kungwi, akufunze usafi, upole, kauli njema na kuacha dhana na kiburi. Pia inaonyesha huyo kikongwe ni mrembo kukuzidi ndiyo maana roho inakutoka, wanawake mnakwama wapi🙆🏽‍♂️😩

    • @UkendeKilusha
      @UkendeKilusha 23 วันที่ผ่านมา +1

      Hujielewi wewe

  • @esterkilleo2638
    @esterkilleo2638 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa matatizo ila jamani wanawake tuwe macho unapotukanwa au unapigwa unafanyiwa ukatili kiasihicho tusikae kimya tupaze sauti tusikike na tusiwetunasubiria mpaka khali inakuwa mbaya ondoka hiyo sio ndoa hatakidogo toka nenda zako mara nyingine atakuua hapo alipofikia sio pazuri nenda kaanze maisha yako na wanao yeye muache uwiii mm nahisi ningesha toka siku ya kwanza kibao tu

  • @felikpetro1943
    @felikpetro1943 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mama inatia uchungu sana ila Mungu mteteaji wa wanyonge atakutetea pole sana

  • @samwelmotto9770
    @samwelmotto9770 2 ปีที่แล้ว

    We masawe mungu anakuona machozi yamkeo yatakurarua

  • @naisaempare7584
    @naisaempare7584 2 ปีที่แล้ว +5

    Ndo mana ukiona mwanamke anamfanyia unyama mwanaume hata sio jambo la kushangaa sana...wanaume wanatutesa sana

  • @mwanamwendy9265
    @mwanamwendy9265 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @mariamjuma4136
    @mariamjuma4136 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sn mwanamke mwenzetu😔😔ndoa inajengwa na upendo na mapenzi
    Ukiona ivyo avipo basi riziki imekwesha achana napo
    Riziki ukiilazimisha inakutesa

  • @GodfreyMolel
    @GodfreyMolel 19 วันที่ผ่านมา

    Massawe hiyosio utumishi usherati unakufanya kufunja ndoa yako hebu fikiria sana pole mama umuishie bwana okoka mungu atatenda ,mume wako akirudi msamehe

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 2 ปีที่แล้ว +2

    Tumeanza kuogopa ndoa jamn wanaume mmekuwaje jamn 😭😭😭😭

  • @omanmobile5746
    @omanmobile5746 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇴🇲pole sana yani hawa wanaume jaman.daah

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atakufungulia anasikia kilio chako kwa mateso uliyopata

  • @Cherriechina
    @Cherriechina 2 ปีที่แล้ว

    😩😩😩🥺🥺🥺🥺🥺nyieee😩😩. Sheria ifate mkondo wakee. This is painful 😓💔💔💔

  • @husnabakari5607
    @husnabakari5607 2 ปีที่แล้ว

    yaani pole sana mwanamke mwenzetu lakin kwa Mimi uvumilivu uwo siuwezi

  • @happymacha9053
    @happymacha9053 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh jamani??ukatili huuu?mungu atutetee aisee

  • @shukranlyimo8756
    @shukranlyimo8756 2 ปีที่แล้ว +1

    hakupendi tena muache aende atakuua.MUNGU YUPO FAMILIA YESU ATALETA .

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh!mungu akusaidie mpk natokwa na machoz jaman

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 ปีที่แล้ว +1

    😢😥😢😥 Inaumiza Sana jamani; siyo vizuri na haipendezi kuwanyanyasa na kuwapiga Wanawake.

  • @elizabethmazome5348
    @elizabethmazome5348 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana dada

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 2 ปีที่แล้ว

    Nimelia sana wanawake tunapitia kiza kinene hivi global TV hamuwezi niajiri ili niwakomboe wanawake kwa ujumla katika hili eneo nilipo wanawake wengi wanatelekezwa inaniuma sana Mimi nashindwa ni jinsi gani yakuwasemea bila chombo
    Chochote cha habari kuwafikia

  • @happinesssamwely4796
    @happinesssamwely4796 2 ปีที่แล้ว +1

    Duhuu pole ewe mwanaume mungu anakuona uliko utopata amani kamwe usipo tubu leo hii unaona anamaana kwako mtu kakuzalia watoto mama yao analia mbele yao kisa wewe baba yao inaumaa mchaga wawapi mjiga wewe mbona akuna mchaga mjiga

  • @zahrasalim5533
    @zahrasalim5533 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo bwana ata pata Lana kubwa sana mke wa kwanza akitowa Lana kama ame dhulumika ata pata shida kubwa sana

  • @jasintadeogratius3602
    @jasintadeogratius3602 2 ปีที่แล้ว

    Minilisepa mme akija kila siku namba mpya naalivyo mjaja namba yamke anaisevu jina lakiume kupingwa kila siku saivi Nina mme ananijali mungu mi muweza

  • @halimabaraza8578
    @halimabaraza8578 2 ปีที่แล้ว

    Nimeumia sana

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว

    Jamani!! Alaaniwe,

  • @dosianasimon312
    @dosianasimon312 2 ปีที่แล้ว +6

    Kila mwanamke anayetesa ndoa za watu nawaambia nawaambia jamani cha moto mtakipata nawaambia malaya wakubwa 😭😭😭😭😭😭😭

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว

      Halafu wakija kuolewa kila leo status wanaweka mistari ya dini

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว

      Pole dear mana siyo kwa povu hilo

  • @saidomary6414
    @saidomary6414 2 ปีที่แล้ว

    Inauma sana pole sana dada

  • @dadaagnes4483
    @dadaagnes4483 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndoa ngumu jaman sijui nikubali kuolewa au niendelee kuwa single. Pole sana mama

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว +1

      Usingle mtamu Dada kula maisha

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 9 วันที่ผ่านมา

      Uko single kweli au hauna tu mume ila una wanaume? Cha msingi Si kuacha kuolewa na kuwa single ila unaolewa na nani? Si wanaume wote wabaya cha msingi ni kumuba Mungu akupe mume sahihi kwako mtakae pendana.

  • @newahomwashiuya8858
    @newahomwashiuya8858 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭serikali tunaomba mumsaidie Hy dada

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 2 ปีที่แล้ว +7

    Chozi la huyu mama halitadondoka bule uyo jamaa kitachompata uko alipo utatamani dunia isimame mama kalia kwa uchungu sana mpaka nimeumia na uyo jamaa ashukuru mzee hayupo alikua anaozea jela mapema sana

    • @jumaamartin7929
      @jumaamartin7929 2 ปีที่แล้ว

      Mama umentoa machozi ola naamimi mungu hato kuacha pekee yako atakupambania chozi lako walsh ninaiman mungu atakusaidia insha allah

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ni unyanyasaji wa hali ya juu, lazima wanawake tuamke tusingojee kutiwa kilema kama hicho. Miaka ya miaka yote na watoto hana huruma, hawezi kuwa na huruma na watu wa nje wakati hana huruma na family yake. Pole sana Mungu atakulipia.

    • @munirahmed7753
      @munirahmed7753 2 ปีที่แล้ว

      Ww rukia dawa ya mchepuko ni hiyo safi sana