UNYAMA ULIOPITILIZA: DADA WA KAZI ATOLEWA FIGO NA BOSS WAKE BILA KUJUA, SASA NI MLEMAVU KABISA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 2 ปีที่แล้ว +5

    Nachukia sana kitu kinaitwa umaskini daah😭😭😭😭😭😭 pole sana dada Mungu atakulipia

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 2 ปีที่แล้ว +27

    Allah yuko nayeye ndie Mkubwa atalipa In Sha Allah 😭😭😭😭🤲

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 2 ปีที่แล้ว +6

    Jamani kapata ukilema wa maisha pole Sana da Judith na pia poleni sana Wana family

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu aliwashusha mitume ktk inch za kiarabu kwasababu aliwaona wakorofi roho mbaya yan kila sifa wanazo

    • @nunuodo3401
      @nunuodo3401 2 ปีที่แล้ว

      Washenzy saana laanatullah

    • @ZuhuraAcholla
      @ZuhuraAcholla 6 หลายเดือนก่อน

      Mtume yupi Alie toka waarabun mwenye roho nzur wote malatili

    • @RehemaJustine-co2kp
      @RehemaJustine-co2kp 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @goodteam7890
    @goodteam7890 2 ปีที่แล้ว +32

    Jamani sio wote mi nipo oman miaka 9 sasa naishi vizuri sana na kila baada ya miaka 2 nakuja home tz likizo wamenijengea na nyumba tz ambayo wanaishi watoto wangu na wazazi wangu pia kutokana na kazi hii nasomesha wanangu mmoja yupo chuo udom na mwengine form 5. Ukatili upo kote sikatai warabu makatili wapo na wazuri pia wapo hali kadhalika kwa mataifa mengine ni hivohivo

    • @lovemwantiti8130
      @lovemwantiti8130 2 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 2 ปีที่แล้ว +3

      Unajua kl kabila kuna watu wema na waovu. Ndio mana ALLAH aliumba pepo na moto. Aliwajua waja wake wengine sio wema.

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli ndugu yng. Umeongea point. Kl sehemu wapo wema na wabaya. Namuomba ALLAH ampe uzima na afya huyu mdada. 😭😭

    • @patelekamagie8277
      @patelekamagie8277 2 ปีที่แล้ว

      Nitafutie namm bs ila niangalizie seem nzuri ambapo awatesi

    • @MariaKirusha
      @MariaKirusha 8 หลายเดือนก่อน +1

      Me ndomaan napnd Oman

  • @JudithKisusi
    @JudithKisusi หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Judy,,,, nimeumia sana

  • @Thebaddest255
    @Thebaddest255 2 ปีที่แล้ว +24

    Mungu awasimamie mama zetu wanaohangaika kwaajili yetu

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 ปีที่แล้ว +19

    Allah atawahukum hapa duniani nakesho akhera wote walochangia uyo ukatili😭😭😭😭😭😭😭

  • @fatumahassan1357
    @fatumahassan1357 2 ปีที่แล้ว +40

    Hawa watu wabaya warabu walaniwe wala mungu atamlipia 🙏

    • @zahorsuleyman3429
      @zahorsuleyman3429 2 ปีที่แล้ว +8

      Si Kila mwarabu mkorofi km ilivo si Kila mtu mweusi mkorofi hayo waliomfanyia Mungu atamlipia ila takriban ukatili km huu aweza fanya mwarabu mswahili na tunaona ktk jamiil zetu mna ukatili mkubwa waarabu hufanya ukatili pia waswahili au watu weusi pia hufanya km nikuapiza tuwaapize waliohusika na tendo hili usijumuishe watu wote

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      subhanallah subhanallah

    • @gloryidelya9899
      @gloryidelya9899 2 ปีที่แล้ว +1

      @@zahorsuleyman3429 Asilimia nikwamba Mwarabu Na weusi ndivyo ilivyo Roho zao nitofautu Utachekewa Tuu Machoni Ila Mioyo Yao tofautii Sisi weusi Sawa Unyama Pia Upoo but Ukoo hiyo ndio Uwarisia Waoooo Best Nikuwa Mkini Nao Tuu tunapo enda Tafuta Risk

    • @zahorsuleyman3429
      @zahorsuleyman3429 2 ปีที่แล้ว +3

      @@gloryidelya9899 Naona bado zigo la lawama walishusha upande mmoja haya mambo yapo mote ktk waarabu na waswahili kitu muhim tusitukane watu kw ujumla wao Kila mtu ana mapungufu yake

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 2 ปีที่แล้ว +1

      @@zahorsuleyman3429 haya majitu ni mashenzi tu hayana maana

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +25

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mimi siongei k2 jmn, Mn bd nipo kwenye lmaya yao eheeeee Mola wngu tujalie sote tuliokuwa nchi za kiarabu, maskini judithi😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @wanaupendotv7183
      @wanaupendotv7183 2 ปีที่แล้ว +1

      Amiina rabi

    • @khanifaally8752
      @khanifaally8752 2 ปีที่แล้ว +2

      Amiin

    • @sikujuasikujua9036
      @sikujuasikujua9036 2 ปีที่แล้ว +2

      Ndio mrudi makwenu mnaishi nawatu makatili Kias icho msha wajua bado manasuburi mpaka mfanyiwe unyama ndio muangalie njia ya nyumban

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 2 ปีที่แล้ว +4

      @@sikujuasikujua9036 ukatili ni wamtu binafsi na sio kabila mbona huko kwetu kila siku watu wanachinjana watoto wanaua wazazi wapenzi wanauana kwani ni waarabu? Ni kuomba Mungu tu.

    • @sikujuasikujua9036
      @sikujuasikujua9036 2 ปีที่แล้ว +5

      @@batulimabewa6953 hayo ya ukukwetu nivisa kulipizana visasi mapenzi naugumu wamaisha ndiomaana mauaji yanazd lakini uko uarabuni mtu mweus wanakuona kama mdudu ambaye hanathamani kwabinaadam wakaona waondio wanaofaakuishi kwa uzima nakumtoa mwenzao Figo onaanavyoteseka mpaka tumbolimekata Allah amlinde Judith

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 ปีที่แล้ว +8

    Duuuuh inauma Sanaaa 😭 Dunia cyo mbaya ila binadamu ndyo wabaya Sanaaa 😭

  • @shehugakwaya71
    @shehugakwaya71 5 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi mungu awape azabu kali Dunian na Akhera walio mfikisha katika iyo hali

  • @asha.mwambamwamba1774
    @asha.mwambamwamba1774 2 ปีที่แล้ว +10

    Jamanii nimeumiaa adinimelia nilitaka kwenda mungu alininusurishaa

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      Saudi 🇸🇦hakufai ukitaka kwenda nenda nchi nyingine

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭Daa pole my sister mungu atawahukumu kwa dhurma wanazizifanya

  • @jointjoint4507
    @jointjoint4507 2 ปีที่แล้ว

    Pole ulipambana kwa ajili ya wanao mungu akupe nguvu na jua tumeacha watoto wetu si kama tunapenda ila nyakati tunazopita ee mungu tusaidiee

  • @wangadeche1179
    @wangadeche1179 2 ปีที่แล้ว +8

    😭😭😭😭I can't stop my tears knowing that am here in Saudi Arabia...what ahell that we are going through here🙆🙆 Soo many girls are out of there sense's being hidden inside those migration offices.. good job groble tv let's the world know the truth

  • @waridyswaleh8843
    @waridyswaleh8843 2 ปีที่แล้ว

    Yaraby mwenyezimngu atuangalie sote tulo nje ya chi ze2 yaraby, kwani hatusafiri kwa raha ni dhiki tu jamn, 😭😭, subhanallah

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallha pole sana daaah kuna warabu wengine mashetani allha atakulipia hapa hapa duniani hizo figo azito fanya kazidiwa lnshallha

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii dunia ina viumbe wana roho mbaya ajabu,YaAllah tusamehe Yarabii! Kuna vitu vinaumiza unaweza hata ukakufuru ila ipo siku. Allah yupo macho

  • @abirhuwel5699
    @abirhuwel5699 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu atawalipia InshaAllah 😪

  • @nasriabdi9046
    @nasriabdi9046 2 ปีที่แล้ว +2

    poleni sana ila inaumiza sana mungu yupo

  • @tatubadi9010
    @tatubadi9010 2 ปีที่แล้ว +1

    Nashkur mungu nimerud salama.. Nawaombea wote walioko uarabuni na nje ya uarabunni Allah awalinde mumalize mikataba yenu ilimurudi nyumban.. Allahuma ameen..

  • @tinangimba8909
    @tinangimba8909 2 ปีที่แล้ว

    Pole.mdogo wangu, hakimu ni mungu peke yake

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 2 ปีที่แล้ว +16

    hata huyo waliompa hiyo figo yako atadumu nayo kwa uwezo wa Mungu atakufa tu kwa uwezo wa Allah atateseka mpk kifo

    • @hawahabibu661
      @hawahabibu661 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaaa

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 8 หลายเดือนก่อน

      Kubadili figo sio kuishi milele itafeli tu na kufa

  • @fatumakwekwe3211
    @fatumakwekwe3211 2 ปีที่แล้ว +4

    May Lord Jesus heal you Amen

  • @SamiHamood-x3b
    @SamiHamood-x3b 26 วันที่ผ่านมา

    Pole sana my sister kwel mungu atusaindie jmn😭😭😭😭😭😭

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +5

    Subhannallah, mtihani kwakweli 😭😭😭

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว +20

    Sala 5 wanaficha mambo yao huku ni shida

    • @saimarmuhsin9578
      @saimarmuhsin9578 2 ปีที่แล้ว

      Usinasibishe sala 5 na matendo ya mtu my uislam umekamilika ila waislaam hawajakamilika hao ni roho mbaya zao tu na hasad walizonazo

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 ปีที่แล้ว +17

    Jamani nimelia Mimi hawa watu hivi kesho watajibu nini kwa Mungu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      waarabu wanajua wakifa moja kwa moja pepon

    • @mwanaherhussani7425
      @mwanaherhussani7425 2 ปีที่แล้ว

      So kweli so warabu wote wako hivvyo

    • @hamisaLbsi
      @hamisaLbsi 5 หลายเดือนก่อน

      Kwan hawa wanowatetea warab ndo mabwana senu au warabu ucheke nao 2 lkn asilimia 💯 wabaya sana

  • @nasrasaid6672
    @nasrasaid6672 2 ปีที่แล้ว +11

    Yani uku ni kuomba mungu tu hawa watu ni wabaya ni mungu tu atusaidiye lakini

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 2 ปีที่แล้ว

      Yaani we acha tu Mungu atusaidie

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭

    • @asmasalum675
      @asmasalum675 2 ปีที่แล้ว

      Yaani. Ni. Nkweri. Awa. Watu. Wanaswali. Tu. Ndg. Lakni. Wee. Jamani. Wana. Loho
      Mbaya. Vbaya. Sana. Machoni
      Watu. Moyoni
      Mwao. Wana. Looza. Kishetani. Sana. Yaani. Namshukuru. Mungu. Sanasana bado. Kama. Wiki 2 mungu akipenda. Kwenye. Uzima naludi. Tzn nawachukia. Sana ili. Daah kote. Ni ktafta. Maisha Tu. Wao.mbona wanaenda. Kwawenzao. Kfanya. Kazi

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 ปีที่แล้ว

    Subhannahllah pole sana mpedwa Allah awaadhibu wote walio kufanyia ukatili huo.

  • @aminakhamis9734
    @aminakhamis9734 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie nakushauri nenda Kwa Mwamposa nabii TZ kawe upokee uponyaji kiraisi

  • @Sashafadhili-z2q
    @Sashafadhili-z2q 3 วันที่ผ่านมา

    Banange 😭😭😭😭

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 2 ปีที่แล้ว +15

    Hawa watu wabaya wa kiarabu mlaniwe, Allah atawalipa kwa kile mnachokipanda. Dah! inauma sana😭.

    • @nunuodo3401
      @nunuodo3401 2 ปีที่แล้ว +1

      Amiiin

    • @johasaeed391
      @johasaeed391 2 ปีที่แล้ว +1

      Watu wabaya sana japo hawazidiani

    • @shekhazahran4608
      @shekhazahran4608 2 ปีที่แล้ว

      Ulaniwe ww kwanza mbwa we sio warabu wote shenzi hapa mara ngapi wanauliwa kutwa visa vya mauwaji n warabu hao uwe n adabu shenzi

    • @malugukushaha6764
      @malugukushaha6764 2 ปีที่แล้ว +1

      @@shekhazahran4608 akili yako ni fupi ndiyo maana unaongea ujinga.nani kakwambia waarabu wote, au huelewi maana ya waarabu ambao ni wabaya??.

    • @noortz9416
      @noortz9416 2 ปีที่แล้ว

      @@shekhazahran4608 tena mlaaaniwe mbwa nyinyi..mlaaniwe mlaaniwe...paka weupe wabaridi nyinyi kwahili mlaaniwe tuuu...

  • @RahemaJumany
    @RahemaJumany 3 หลายเดือนก่อน

    Sidhani kama aliepatiwa hiyo figo yupo hai Wallah maana malipo ni hapa hapa dunian😢😢😢

  • @latifaalsh5421
    @latifaalsh5421 2 ปีที่แล้ว +3

    Subhanaallah 😭😭😭😭bc kutoa hata wafanye taratibu wa kaamua kumtia ulema wa maisha ehee mungu wangu 😭😭😭😭😭

  • @AthanasPatrick
    @AthanasPatrick 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bora ukatili wa muzungu siyo mwarabu

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 8 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭 namuomba Allah atulinde na kutusimamia ya'Rabby

  • @irankundaanitha585
    @irankundaanitha585 2 ปีที่แล้ว +1

    Oman mwaka jana mwezi wakumi na moja mdamda mmoja na yeye ametolewa maiti waripo mpereka hospital ili wafanye uchunzi warikuta warimchomowa roho 😭😭

  • @mwanaishaalfan3145
    @mwanaishaalfan3145 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah ndie atakae kuukumia malipo ni apa apa duniani😢😢😢

  • @mecksaloon81
    @mecksaloon81 2 ปีที่แล้ว

    Ila waaabu mna roho mbaya, Mungu atawaraani, Mungu akuponye Judith

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Judith Allah atakulipia kila kitu

  • @regganjohnmassawe5937
    @regganjohnmassawe5937 2 ปีที่แล้ว +2

    Ee..Mwenyenzi Mungu angalia waja wako😭😭🙏

    • @eshasozy69
      @eshasozy69 2 ปีที่แล้ว

      Amiin mgu atatufanyia wepesi lnshaallah 🙏🏻🙏🏻xana

  • @zaujiajuma8260
    @zaujiajuma8260 2 ปีที่แล้ว +13

    Mwarabu msikie tu kwa Jina ukiishi nao ndo utajuwa roho zao zilivyo wanatuona ss waafrika nikama mizoga hatuumii wala hatuchoki ndo fikra zao

    • @shushu8105
      @shushu8105 2 ปีที่แล้ว

      Ndug hata nimeachoka pale pabas umaskin tena

    • @haleemaom1193
      @haleemaom1193 2 ปีที่แล้ว

      Yan mungu atusimamie wallah

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana ant m/mungu atakulipa warabu wanaroho mbaya sana kuliko weupe wote wamejifichia kwenye dini

  • @MultiBice
    @MultiBice 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada nimeumia saana

  • @HappyBobsleigh-mn6sq
    @HappyBobsleigh-mn6sq 7 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada mungu. Atakulipa kwa ukatili walokufanyia

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atulinde

  • @delishaluhyaqueen6950
    @delishaluhyaqueen6950 2 ปีที่แล้ว +1

    Hoooo i know this hospital king Fahad Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦 Quick recovery my God be with you 🙏🙏

  • @TatoIssa-w3q
    @TatoIssa-w3q 2 หลายเดือนก่อน

    Mtihani.wallaj

  • @husnamanase3943
    @husnamanase3943 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana judi mungu atakulipa nawalahani sana walio leta ugojwa huu nanchi zote wanao kubali chanjo kwanini hawakuleta chanjo yakansa au ukimwi kwanza kisha ndo covdi kwaiyo covdi dougojwa unao uwa kuliko magojwa yote hapa ripiani ata chizi kwahaya anajua Kama kuna muchezo duniani wakibiashala bila kuficha ndivyo ilivyo

  • @FaidhaHassan-o3c
    @FaidhaHassan-o3c 4 หลายเดือนก่อน

    Inauma saana mungu ata kulipia dadaanngu

  • @Amylotu
    @Amylotu 2 ปีที่แล้ว +15

    Mungu halali, atamlipizia tuu. Waarabu ni watu wabaya sana. Hata wakenya wengi wanapoteza maisha Yao siku Hadi siku.

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 ปีที่แล้ว

      Allah ataleta kher yake inshaallah kher na atamuoneshaa inshaallah huyo boss wake

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      haswa wakenya wengi hurudi maiti

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 2 ปีที่แล้ว

      Wa afrika tuzinduke turidhike na vipato vya nchi zetu.

    • @niasharma7735
      @niasharma7735 2 ปีที่แล้ว +2

      But sio wote warabu watu wabaya

    • @mwanaherhussani7425
      @mwanaherhussani7425 2 ปีที่แล้ว +1

      Nani kasema wewe usionge usilo lijia mbona Sisi tunawo warabu na hakuna kitu kama hicho Acha umbeaa

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana juliet wewe mwarabu kama ulikuwa na mgonjwa wa figo hilo nijaribu lako sio kumtoa figo mtoto wa watu MUNGU atakuangamiza

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว

    Ooooh my God. Washughurikiwe haswaa watu wote na hiyo pesa. Ni ndogooo saaaana kihutu kibinahadamu. Uyo mama ametuliza saaana jamani. Warlike pesa Zaidi ya mala 5 ya hizoo. Na uwezi kumtizama huyo mama machoziiii yanatoka inatuuma sana. Wamlipe na WAFUNGWE. HAO APO UGANDA NA KULE WALE WAAJILI WALIOTOA FIGOOO. MASHETANI HAO

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii kiboko .Hii kibokooo
    Daah .wamemtoa Figo km mnyama😭😭😭wangemuhudumia vzr angekua sawa tuu Sasa inaonekana kafanywa kikatili sana hakika waarabu ni ibilisi

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah 😭 Mmhu hata nashindwa kucoment

  • @honeytabaybie5287
    @honeytabaybie5287 2 ปีที่แล้ว +1

    May God grant us🙏🙏

  • @kakakakabeka624
    @kakakakabeka624 2 ปีที่แล้ว

    Pole dadangu mungu akutangulie utapona.

  • @noelamoshi8552
    @noelamoshi8552 2 ปีที่แล้ว

    Dah inauma Sana dah mungu simamia hili

  • @consolatanechesa3004
    @consolatanechesa3004 2 ปีที่แล้ว

    Mbona watu hawana hutu aki mungu watia nguvu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rosemzava5149
    @rosemzava5149 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu akuponye dada 🙏

  • @hfjfjhfjffj455
    @hfjfjhfjffj455 2 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana mm niseme sio warabu wote ni makatili wengine wana roho safi sana mm niko huku nafanya kaz nnai mwaka wa 5 sasa tangia nije huku sijawahi kurudi Tanzania nanaishi nao vizuri bila shida yoyote wengine kweli ni makatili

    • @africanproudly4004
      @africanproudly4004 2 ปีที่แล้ว

      Bora wewe umesema hivo kuna wengine wanawatetea wote

    • @athumanijuma2428
      @athumanijuma2428 2 ปีที่แล้ว

      Ipo siku yako na wewe yatakukuta.

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 2 ปีที่แล้ว

      Shukiru Mungu weweee usiwasemee wenzio rafiki yangu alienda Oman baada ya miaka miwili akarudi Hana hamu hakuna kutoka nje yaani ni ndani tu halafu akakuta nyumba ya family kuna ndugu wa kiume na kike na Baba wa nyumba anakwambia wanapeana zamu mbwa wale yaani wanambaka maana c ridhaa yake hayawani wale Baba anakulala kijana anakulala wanafanya zamu Yani na wanajuana kabisa kuwa wanashea halafu ukikataa wanasema watasema Kwa mama Mwenye nyumba yaani alitumika wee kiasi akaanza kuumwa tumbo ndio akarudishwa bongo na wanakuchoma sindano usishike mimba Hana hamu

    • @psara4067
      @psara4067 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@anastaziamathias8861 mhh vitu vingine Bora ufe ukipigania haki yako angewaacha wamwambie uyo mmama to, huo ushenzi hapana

  • @phibijuilus7748
    @phibijuilus7748 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭pole sana judhith

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 ปีที่แล้ว +6

    Allah ajaaliye huyo aloekewa hiyo figo ifeli isimkubali arudi alikotoka kusumbuka na maradhi . Lakini wanayafanya haya kwa nchi km hizi zilizo mayatima tu hawasubutu kuwafanyia raia wengine km Philippine . walikuwa wakiwaonea mwanzoni lakini sasa hivi serekali yao inawakingia kifua na kuwaburuza waajiri mahakamani.

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi nchi za Bara la Aisia tuiondoa Japan na South Korea kuna nchi yoyote raia wake anaweza kuwa anahitaji figo na wasichukue ya mwafrika!?
    Labda raia huyo wa kiasia asiwe na uwezo wa kulipa hospitali matibabu ya kubadirisha figo otherwise figo ya mwafrika itahusika.

  • @mahanjisanga3077
    @mahanjisanga3077 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani umaskini huu

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 2 ปีที่แล้ว

    Sio poa noma sana

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 2 ปีที่แล้ว

    Wadada wengi wanakimbilia kwenda kufanya kazi uwarabuni ,lakini wengi wanaishia pabaya,hao waarabu wanaroho za kishetani sana,sijui Kwann dada zetu hawaelewi,

  • @irenemwangi7992
    @irenemwangi7992 2 ปีที่แล้ว +1

    Oh no no My God this are end times have mercy on us our Father😭😭😭😭this is inhuman ,so sad so painful...we demand justice for this innocent lady

  • @airinsumeno2490
    @airinsumeno2490 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama 😭😭😭😭😭

  • @lucymwenje3104
    @lucymwenje3104 2 ปีที่แล้ว

    It's good imefwatiliwa and justice she got....may you be healed sister in jesus's name

  • @hamedyahya9846
    @hamedyahya9846 2 ปีที่แล้ว +5

    msiwalaum warabu sana kwani pia kuna wafrica wabaya wauajie wizi huyo mtu mmoja tu kafanya hivo ubaya hauna kwao wala hauna kabila

    • @thabitiykitwana1271
      @thabitiykitwana1271 2 ปีที่แล้ว +2

      Wewe usiwe kama choko angekuwa mtoto wako ungesema ivyo.

    • @smaihsmaih2815
      @smaihsmaih2815 2 ปีที่แล้ว +1

      umesema kweli

    • @TeresiaSagga
      @TeresiaSagga 25 วันที่ผ่านมา

      Wewd ndo mtoa Figo wwe

  • @patriciaschmidt2618
    @patriciaschmidt2618 2 ปีที่แล้ว

    Qr..and Blessings from Germany 🙏😥🤲

  • @ramlazuber6038
    @ramlazuber6038 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh MUNGU TUNAKUOMBA TUSAIDIEE NA UTUJALIE WAFANYAKAZ WOTEE TULIOPO NCHI ZA NJE SUBRAAA NA ULINZI WAKOOO. Huwa naliliaa chooni

    • @alimaalima2614
      @alimaalima2614 2 ปีที่แล้ว

      Mungu Yuko nanyi

    • @ramlazuber6038
      @ramlazuber6038 2 ปีที่แล้ว

      @@alimaalima2614 AAMIYN YAAARAB AL AAMIYN.

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 2 ปีที่แล้ว

    Kweli hiyo fidia ndogo kwaaa 😭😭pole dadaa inaumaa

  • @faridaiddi104
    @faridaiddi104 2 ปีที่แล้ว

    Cjui twende wapi😭😭😭🙆🙆

  • @salvatoremathias1227
    @salvatoremathias1227 2 ปีที่แล้ว

    Warabuu sio watu wanaroho mbaya sana pole dada

  • @hbdina
    @hbdina 2 ปีที่แล้ว +6

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Jamani tuwaangalie kwa ukaribu hawa wawekezaji kutoka nje hawatupendi wanakuja kuiba maliasili zetu tu.Ndio maana secta ya uvuvi na dhahabu tuwekeze kwa wazawa tu 🙏

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Wazungu ni bora kuliko Warabu... Halafu tusikubali kuwapeleka Watu wetu kufanya kazi za ndani huko Uarabuni... Serikali isiruhusu mikataba ya namna hii...

  • @jullyjudy4962
    @jullyjudy4962 2 ปีที่แล้ว

    So painful ,nko Saudi Arabia Riyadh mungu atusaidia tu

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 ปีที่แล้ว

    Kwanza natoa pole saana kwa huyu dada na wazazi wake. Namuomba ALLAH ampe uzima na afya, ili aweze kulea wtt wake. Na kuhusu waarabu ni wabaya. Sio wote. Kl kabila wapo wabaya na wema. Ndio mana ALLAH alituandalia pepo na moto. Sbb aliwajua viumbe wake. Wapo wema na waovu, na makatili. Mungu awalani kl mwenye ubaya na binadamu mwenziwe. Ukatili na mauwaji upo kl sehemu. Tunamuomba ALLAH atulinde na watu km hawa.

  • @amosmwampamba6914
    @amosmwampamba6914 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akufanyie wepesi mungu yupo

  • @mwajumaabcongezabidiisanaj1141
    @mwajumaabcongezabidiisanaj1141 2 ปีที่แล้ว +2

    Mm Sina hata cha kusema maana mm nipo kwenye hizi nchi mungu atunusulu

  • @mlekwaautomotive1508
    @mlekwaautomotive1508 2 ปีที่แล้ว

    Eeeh mungu tunusuru yaarabi

  • @oman7710
    @oman7710 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah

  • @LucyWillson-xo1ly
    @LucyWillson-xo1ly 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yote haya ni umaskin mungu tutetee sisi watafuta kazi

  • @veronicaoman8764
    @veronicaoman8764 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani bila pepa

  • @umlubnaalisali9366
    @umlubnaalisali9366 2 ปีที่แล้ว

    Jamani inauma sana

  • @lidiyakadada778
    @lidiyakadada778 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu musaidiye mwezetu

  • @rozina2161
    @rozina2161 2 ปีที่แล้ว

    Jamani Oh. My God guard us here in saudia

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว

    Malipo ni hap hap Dunian
    Mungu akupe Nguvu Judith hii
    Dunia ina watu wabay sana

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 8 หลายเดือนก่อน

    Pesa ndogo sana izo kwa riali ya Saudia

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbaya sana jamani

  • @suzanpatrick9380
    @suzanpatrick9380 2 ปีที่แล้ว

    It's so sad jmn Mwenyez Mungu na akutunze tyu

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 8 หลายเดือนก่อน

    😭😭 Subhana Allah pole sana dada

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 3 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo wamemtoa. Kisha wametupia makini. Iliasiseme sir

  • @janetmochache3598
    @janetmochache3598 2 ปีที่แล้ว

    May almighty God heal.

  • @mimahmimah1595
    @mimahmimah1595 2 ปีที่แล้ว

    Duh huu ni unyama wa hali ya juu ivi mtu unaona uhai wako n muhimu kuliko wa mwenzio subhanallah maskin mdada wa watu kapata ukilema sasa hii kupooza walimfanyeje au walimdunga madawa ndio asiweze kueleza

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani mkubwa mungu. Atunusuru ishaalah. Na mtihani huo