🎉🎉🎉 hakika Mungu ni mwema, anastahili kabisa na hiyo ndio ishara ya neema za Mwenyezi Mungu kumjia mwanadamu. Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu, wasirudi nyuma, wazidi kuwa na Moyo huohuo, niwatakie kila la heri katika maisha yao.
Mungu akubariki sana kwa moyo wako wakujitolea. Mungu ambariki sana mume wako kwa kukuruhusu kufanya kazi ya kujitolea. Ni mume bora kwako huyo, Mungu awajalie muendelee kupendana na kuishi kwa amani na furaha. Hongereni sana 🎉.
Upendo ni kitu bora sana alifanya kwa upendo amepewa kwa upendo machozi ya furaha yake yamenigusa nami nimefurahi nae machozi hayajaweza tulia imenibidi nibubujikwe tu pia hongera sana dada na mume wako pia abarikiwe kwa kua sehemu ya mafanikio haya. Maana angekugomea usingeweza. Hongereni sana.
Nimerejea kwenye Injili kuhsu DORCAS. Alipowasaidia wa Jane, kwake alidhan kuwa ni kitu cha kawaida tu. Lkn alipokufa, watu walipiga magot wakamlilia Mungu, na Mungu alimrudishia uhai. TUSICHOKE KUTENDA MEMA, KUNA UJIRA USIPOZIMIA MOYO. SADAKA kama hizi, ndizo Mungu anazozitakabali.
Mungu mweza WA 😅yote awabariki wote waliyogusa maisha ya Mariamu na familia yake Kwa ujumla. Kwani ameonyesha moyo WA tofauti sana. Doris Foundation Mungu azidi kukutumia Kwa viwango vingine daima.
Mungu anakila njia ya kumuinua mwanadamu .tuendelee kumtumikia Mungu . Asante kaka kwa Imani kubwa kumruhusu mkeo afanye hili . Ninaimani pia kuwa hata mume wa marium alikuwa na Mungu na anampenda Mungu ndio maana amesaidia . Asante nyote mr and Mrs Mungu awabariki na awainue kwa viwango vingine
Mungu awabariki Nyoni na mkewe Mariam. Kiukweli moyo walionao sio wa kawaida. yaani kumruhusu mwanamke akakumbatie watoto wawatu wengine anatumia nauli bila malipo, da sio rahisi.
Mariam Mungu mwema azidi kukubariki kwa kazi unayoifanya❤hongera pia Mume wa Mariam kwa uelewa na kumpa nafasi ya kumtumikia Mungu...Taasisi Mungu awabariki mnoo❤❤❤
Leo nimelia mwanaume mzima aisee,hili tukio liko soo deep.Hongera sana sister kwa moyo wako mwema.Mungu atazidi kukubariki zaid na zaidi.Na usiache kufanya hiyo kazi.Hiyo ndio talanta yako.
Hongera sana dada Mariam Mungu aendelee kukutunza kwani umekuwa baraka kwa watoto hao njiti.Hongera pia kwa mume wako WEMA HAUOZI.Mungu aendelee kukubariki
Mshkaji wangu Christopher wewe una moyo mwema sana,na mkeo maryam ni mtu safi mwenye moyo mwema pia na hofu ya Mungu, mwenyezi Mungu awabariki sana na awazidishie zaidi na zaidi.
Dah! nimemwaga machozi ya furaha! Nimebarikiwa sana na Mariam kuokoa maisha ya watoto!!! Amepokea zawadi ya aliyoyafanya na familiar yake.Mungu awabariki sana,na Awabariki Doris Foundation kwa walichokifanya.Amen.
Hongereni sn wapendwa Najua ule ugumu wakuwapa joto hao watoto maana na mimi ninae nilijifungua wa miezi 7 tena kilo 1 Namshukuru sn Mme wangu alipambana sn tukaweza peke yangu nicngeweza, Mungu alituvusha mwakani anaingia la 5. na ana afya nzuri. Mwenyezi Mungu azidi kukutunza Dada kwa kujitoa kwako.
Huu ni Utumishi mkubwa kwako Mariam..mshukuru Mungu smekukumbuka na kukubarikia kwa njia hii hongera sana kwa moyo wa Upendo kwa watoto..Mungu asikupungukie🔥🔥🙏
Maa shaa Allah Mariam hongera sana Allah azidi kukufungulia njia za kheir kwako Maa shaa Allah wallah 😭😭. Mie mwenyewe nimelia vp kuhusu wewe ukiwa na Furaha!
Habari kama hizi zinavutia,wanadamu tungekuwa kama hii familia nadhani hata nchi ingependeza, majanga na ghasia zingeondoka duniani,tunakuomba MUNGU tupate wanandoa wengi wa mfano huu.
Mimi binafsi nimemuelewa sana huyu mdada pamoja na mumewe Mtu yoyote mwenye HOFU YA MUNGU peke yake ndio anaweza kuyatoa maisha yake kwa ajiri ya WENGINE Barikiwa sana AYO TV Media, SERIKALI pamoja na hiyo foundation na hasa mumewe kwa kumpata Mariam wa kweli.🙏🙏🙏
Na mume wke tunamshukuru kwakumpa ruksa ya kwenda kulea watoto njiti hongeren wote mungu hawabar sn🙏🙏❤❤
Mimi hata nilimshangaa huyo mume wake
Amina wanaume wa hivi ni wachache sanaaaa wengine hata kwenda kwenye ….😂😂ni shida
Hakika
Hakika
Umeongea pointi kubwa sana.
Wema unalipa. Hata usipolipwa wewe, watalipwa watoto wako. Mwenyezi Mungu akulipe zaidi Mariamu.❤❤️
Kabisa
Doris Mollel foundation hongereni sana kwa kufanya kazi nzuri, hongera pia dada yetu kwa zawadi unayostahili.
Kila mtu awe mwema. Hata wezi waache maana wema unalipa. Asante Mungu kwa kazi nzuri ya uumbaji
Wema unalipa kwa kweli
Mashaallah ' Dada una Roho nzuri sana na pia umempata Mume Bora mwenye Roho kama yako'. ALLAH Awahifadhi🙏🙏🙏
Sio poa
ITOSHE KUSEMA WEMA NI AKIBA❤❤
Sahihi
Hakika
Hallelujah
Kabsaa
Hakika
Hongereni kwa mioyo yenu ya upendo, Marium una mume muelewa sana. Pia Mungu ambariki kuruhusu ulale huko. leo mnafurahi endeleeni kupendana
Asante shemeji mana wewe ni zaidi ya baba mungu akupe maisha marefu mkaone wajukuu had vitukuuu mwenyez mungu awape kila hitaji la moyo wako
Umepata mke mwema.lakini na wewe kijana una MUNGU ndani yako.mungu awainue sana.
Amina kbsaa mwanaume mzima huyooo❤ sio na nusu
Mume wa huyu dada ni zaidi ya jembe, maana walishirikiana kuokoa maisha ya watu ❤❤❤
Kabisaaaaaa
Kwakweli
Sahihi kabisa.
MUNGU awabariki sana
Mungu hujibu kwa Kila jema ulitendalo ashukuriwe mungu
No words. Barikiwa. Tunaombea afya njema kwa watoto.
Hongera zake ila na mume akumbukwe kwa kumruhusu mke kujitolea na mume apewe maua yake
Sku sio nyingi gari inakuja.. mbarikiwe sanaa❤❤
Amen, ikawe hivyo
Amen
Tenda wema upate matunda yako baadae👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
maana kamili ya upendo na kwamba wema hauendi bure!! I am inspired.
Hongera maryam mola akuzidishie afya njema una umri mrefu uweze kusaidia na watoto wengine nijambo zuri maryam hongera sana👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Nimejiskia furaha Sana,hongera wote mliotoa zawadi hiyo kwake,dada Mariam Mungu azidi kukubariki Kwa makubwa zaidi.
Hongera pia mume wa maryam ni shujaa kwa kweli hongera zako kwa wingi👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
🎉🎉🎉 hakika Mungu ni mwema, anastahili kabisa na hiyo ndio ishara ya neema za Mwenyezi Mungu kumjia mwanadamu. Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu, wasirudi nyuma, wazidi kuwa na Moyo huohuo, niwatakie kila la heri katika maisha yao.
Mungu akubariki sana kwa moyo wako wakujitolea. Mungu ambariki sana mume wako kwa kukuruhusu kufanya kazi ya kujitolea. Ni mume bora kwako huyo, Mungu awajalie muendelee kupendana na kuishi kwa amani na furaha. Hongereni sana 🎉.
Hongera sana Mariam na mime wako kwa moyo huo wa kujitoa! Imefanyika baraka sana kwenu. Mungu awabariki sana sana. ❤❤❤❤
Jaman mpaka nimelia Mungu awabariki nyote
Nami NIMELIA PIA YAANI?????
Upendo ni kitu bora sana alifanya kwa upendo amepewa kwa upendo machozi ya furaha yake yamenigusa nami nimefurahi nae machozi hayajaweza tulia imenibidi nibubujikwe tu pia hongera sana dada na mume wako pia abarikiwe kwa kua sehemu ya mafanikio haya. Maana angekugomea usingeweza. Hongereni sana.
Tumelia wengi inasisimua mwili, tudumisheni upendo wamama
Nimerejea kwenye Injili kuhsu DORCAS. Alipowasaidia wa Jane, kwake alidhan kuwa ni kitu cha kawaida tu. Lkn alipokufa, watu walipiga magot wakamlilia Mungu, na Mungu alimrudishia uhai. TUSICHOKE KUTENDA MEMA, KUNA UJIRA USIPOZIMIA MOYO. SADAKA kama hizi, ndizo Mungu anazozitakabali.
Mungu mweza WA 😅yote awabariki wote waliyogusa maisha ya Mariamu na familia yake Kwa ujumla. Kwani ameonyesha moyo WA tofauti sana. Doris Foundation Mungu azidi kukutumia Kwa viwango vingine daima.
Mume mwema sana,,wote Mungu kawakutanisha wana roho zao nzuri mno
Hii ndio dini safi mbele za Mungu Mariam na familia yako Mungu akubariki🙏🙏
Mungu anakila njia ya kumuinua mwanadamu .tuendelee kumtumikia Mungu . Asante kaka kwa Imani kubwa kumruhusu mkeo afanye hili . Ninaimani pia kuwa hata mume wa marium alikuwa na Mungu na anampenda Mungu ndio maana amesaidia . Asante nyote mr and Mrs Mungu awabariki na awainue kwa viwango vingine
Tunashukuru na hao watoto❤
N baraka za Hao malaikq❤
Mungu awabariki Nyoni na mkewe Mariam. Kiukweli moyo walionao sio wa kawaida. yaani kumruhusu mwanamke akakumbatie watoto wawatu wengine anatumia nauli bila malipo, da sio rahisi.
😂😂😂et alipwi chochte nd amelipwa sasa❤ to Mariam Mungu amejibu❤
Mungu akutunze sana dada. Doris Mollel Foundation kongole kwenu Kwa Jambo kubwa linaligusa maisha ya wahitaji.
Mariam Mungu mwema azidi kukubariki kwa kazi unayoifanya❤hongera pia Mume wa Mariam kwa uelewa na kumpa nafasi ya kumtumikia Mungu...Taasisi Mungu awabariki mnoo❤❤❤
Nimefrah sana,sana, Mungu bariki foundation grp, Mungu zidi kumpa nguvu bint huyu
Mungu awabariki sana Taasisi ya Dorice Molleli Foundation.kwa Moyo huo wa Upendo.
Hongera sana Mariam kwa Utumishi wako Uliotukuka🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Leo nimelia mwanaume mzima aisee,hili tukio liko soo deep.Hongera sana sister kwa moyo wako mwema.Mungu atazidi kukubariki zaid na zaidi.Na usiache kufanya hiyo kazi.Hiyo ndio talanta yako.
Hongera sana dada Mariam
Mungu aendelee kukutunza kwani umekuwa baraka kwa watoto hao njiti.Hongera pia kwa mume wako
WEMA HAUOZI.Mungu aendelee kukubariki
Mshkaji wangu Christopher wewe una moyo mwema sana,na mkeo maryam ni mtu safi mwenye moyo mwema pia na hofu ya Mungu, mwenyezi Mungu awabariki sana na awazidishie zaidi na zaidi.
Mungu awabari wotewaliomuwezesha huyo mama. Na huyo mama Mungu amzidishie.
Dah! Me nawaombea tu,Mwenyezi Mungu aweke mkono wake upendo uzidi na kudumu katika familia hii shetani asipate nafasi ya kuwavuruga kabisa, Ameen🙏
Mungu ni mwema ukitenda vyema kwa kweli unapata kibali. Hongera Mariam
Dada Mariam pamoja na mme wako mungu awabariki sana kwa roho ya upendo
Nimeliya sana dah asante sana Doris Mollel foundation kwakuona wema wa dada Mungu awabariki wote
Wema ni akiba! hongera dada kwa kuokoa watumishi wa Mungu aliea hai wa miaka ijayo.
Safi sana Bro unamoyo wa huruma,hakika mungu huwa anabarik watu pasipo kutegemea
Dah! nimemwaga machozi ya furaha!
Nimebarikiwa sana na Mariam kuokoa maisha ya watoto!!! Amepokea zawadi ya aliyoyafanya na familiar yake.Mungu awabariki sana,na Awabariki Doris Foundation kwa walichokifanya.Amen.
Allah akuzidishie ❤❤❤❤❤❤zaid y hapo❤❤❤❤n uzidishe upend n uaminif Kwa watot njiti ❤❤ honger San marium love you❤❤❤
Hongereni sn wapendwa Najua ule ugumu wakuwapa joto hao watoto maana na mimi ninae nilijifungua wa miezi 7 tena kilo 1 Namshukuru sn Mme wangu alipambana sn tukaweza peke yangu nicngeweza, Mungu alituvusha mwakani anaingia la 5. na ana afya nzuri. Mwenyezi Mungu azidi kukutunza Dada kwa kujitoa kwako.
Wokovu ni pamoja na kutoa sadaka, ametoa naye amepokea. Haleluya. Utukufu kwa Mungu
Kwakweli malipo ni hapa duniani,Ubarikiwe mpaka ushangae❤❤
Funzo hapa don't put money front time sometimes volunteer and walk away 🙏 he does at his own time🎉✍️
BWANA YESU AKUBARIKI SANA DADA ANGU
Yeye Yesu anaomba baraka,
Huu ni Utumishi mkubwa kwako Mariam..mshukuru Mungu smekukumbuka na kukubarikia kwa njia hii hongera sana kwa moyo wa Upendo kwa watoto..Mungu asikupungukie🔥🔥🙏
Wanyakyusaa....huo moyoo wanao......mungu akubariki sanaa dadaa........SOMA MITHALI 11:25........
Ebhana eeh
Kabisaaaaaa wanyakyusa tunao moyo huo Kabisaaaaaa kabisaaaaaa. We really do love and give love
@HappyJohn-h8q KUNA USEMI UPO..HAKIKISHA KATIKA MARAFIKI ZAKO HUKOSI MNYAKYUSA MMOJAA........
Kama ni mnyakyusa sishangai, nawapenda sana hawa watu
@davidsika5292 yaani utupende kwakweli sisi tupo na upendo mnoooo.
Mungu wabariki familia hii ya dada Maryam, pia Dr Samia mungu akubariki kumtazama huyu mama na kumpa ajira hili aweze kuwasaidia watoto njiti
MUNGU AMBARIKI SANAA. NA AMZIDISHIE ROHO YA UPENDO KWA WATOTO NA HATA WATU WAZIMAA. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana dada Mariamu kwa kukumbatia watoto njiti. Mungu asikupungukie kamwe.
Mariam MUNGU akubariki sana,malipo ya kufanya mema kwa wengine yapo duniani pia,songa mbele dear
Hongera sana dada MUNGU akutunze sana wewe na family yako
Jaaaama noma mungu akuweke my brother
Mwenyezi Mungu akubariki mariamu
Hongera sana Binti.Hiyo zawadi hakika UMESTAHILI mwanangu.Mwenyezi MUNGU akubariki.🙏🙏🙏
Mwenyez Mungu amlipe jaza yake Bi Maryam anastahili, afanyae wema kwa kujitolea anastahili kupewa moyo
Nimependa ulivyotoa shukrani kwa Mungu Sissy.
Mungu ana namna yake ya kufanya miujuza, hongera kwake mariam
Aseeeeeee..!Hii Inastagili Gold Medal ni Ngumu Sana kwa Wengi..Hata Mume wake Mungu Amsaidie Jamani
Hongeren sana unamoyo wa zahabu hongera unastahili hayo
Huyu mme wake sio tu upendo alo nao kwa mke wake pia ana busara na hekima sana ktk maamuz yake na maongez pia
MUNGU ni mwema sana hongera sana dada ubarikiwe San,pia hongera kwa watoa zawadi mubarikiwe zaid
Maa shaa Allah Mariam hongera sana Allah azidi kukufungulia njia za kheir kwako Maa shaa Allah wallah 😭😭. Mie mwenyewe nimelia vp kuhusu wewe ukiwa na Furaha!
Waooo mungu amlinde mariamu 🎉🎉🎉🎉🎉 ni moyo wa upendo kwelei alionesha 🎉🎉
Hongera dada kwakujitolea mungu akudidishie zaidi yahapo nakuombea utapata nausafili pia xhem uwe namoyo huohuo nice
Ahsante Mungu kwa ajili ya huduma hii maryam utunzwe na Mungu
Asanteni sana DM foundation kwa kutambua mchango wa familia hii
Mungu ni mwema kila wakati. Asante kwa mfadhili aliyefanya jambo hili
Wow! Mungu azidi kuwabariki Mariam na Mumewe na uzao wao, tutende wema bila kuchoka❤
Asante sana mariam M.mungu akupe maisha mema❤❤❤❤
Hongera Sana maliam MUNGU akulinde Sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mume na mke wote hongereni na Mbarikiwe muwe pamoja hadi kizikana. ❤❤❤
MASHA ALLAH HONGERA DADA.IMANI YAKO KWA HAO VIUMBE WACHANGA
Hongera Mariam kwa wema wako.tunakuombea maisha mema mazuri
Hadi raha asee watanzania tuendeleeni na upendo huu❤
Habari kama hizi zinavutia,wanadamu tungekuwa kama hii familia nadhani hata nchi ingependeza, majanga na ghasia zingeondoka duniani,tunakuomba MUNGU tupate wanandoa wengi wa mfano huu.
Mungu hulipa kulinga na ulitoyatenda Asante dada M na mmewako
Yaani namshukuru Mungu kwa ajili yako dada cna hata cha kusema
Mungu ampe uhai duniani huyu mama kwa hiki alichokifanya kwa watoto njiti,hongerq pia kwa waliowaza kumjengea nyumba mungu awabariki sana,
Nimeipenda hii sana Mungu awabariki
Mungu amefurahia majitoleo yenu ndio maana Mungu amewatumia watumishi wake kuwapongeza .hongera sana familia ya Christopher.
Asanten wote wa kumkumbuka huyo msamaria mwema na Mungu ni mwema kwenu wote mlio kumbuka wema wake mbarikiwe sana
sifa na utukufu kwa Mungu, ahsanteni, Sana wadau wote, kweli Mungu awabariki Sana, @Mariam Ahsante pia kwa moyo wa upendo kwa watoto njiti
Yaani mimi nikiona mtu analia namimi naliabila sababu sijui kwanini😢
Tuko wengi😢
Lia na wao waliao😂😂😢
😂😂😂😂😂wew ndio mimi hata nikiangalia tv mtu akifrah sana nalia akilia naliaa looh
Bora ww Yani hata kazini wananicheka ,wanasema wanyakyusa mnapenda kulia 😂😂😂
Tupo wengi kipenzi.. ni kuguswa tu na tumeumbwa hivyo❤❤❤
MWENYEZIMUNGU HAPOTEZI UJIRA WA MTU AFANYAYE WEMA'HONGERA MARYAM'MAA SHAA ALLAH' MOLA AKUBARIKIE ALIYOKURUZUKU
Daaah! Mpaka nimetokwa machozi mungu amsimamie 🙏🙏
Kabisa yani dah huyu dada na kumewake allah awalipe zaidi sanasana
Jamani hakika wewe n mama mzuri na hayo yote unayastahili mpendwa Mungu akuzidishie🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana awape furaha ya maisha,amani na watoto wenu wawe vizazi vyenye akili na busara
Namuheshimu sana Mungu aisee, I Love ❤ forever JESUS
Mimi binafsi nimemuelewa sana huyu mdada pamoja na mumewe
Mtu yoyote mwenye HOFU YA MUNGU peke yake ndio anaweza kuyatoa maisha yake kwa ajiri ya WENGINE
Barikiwa sana AYO TV Media, SERIKALI pamoja na hiyo foundation na hasa mumewe kwa kumpata Mariam wa kweli.🙏🙏🙏
Ngoni boy huyo nyoni tuko pamoja Mungu awabariki 👍😂
Hakika ,umebarikiwa sana, jicho LA mungu likwako uliye na utu na huruma moyon mwako
Ubalikie sana mme jasili
Mungu awabariki kwa hili, hongereni kwakuthamini mchango wa dada yetu
Hongera sana na Mungu afanikishe mipango yako yote unayotamani dada Mariam na taasisi ya Doris
Kazi nzuri BR